JINSI YA KUBALANCE MAISHA YAKO YA PESA , TABIA NA IMANI (FULL SHOW)

  Рет қаралды 5,092

madinidotcom

madinidotcom

Күн бұрын

#Livenagee radio magazine, TAARIFA na MAARIFA kwa lugha 'simpo' 🌍
every Saturday 3:00pm - 4:00pm on Eastafrica radio.
Instagram : / madinidotcom
X - x.com/madinido....
youtube ‪: / @madinidotcom

Пікірлер: 26
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 10 күн бұрын
Huyu Ndugu Madulu, nashauri aandike vitabu kuwasaidia hata wale ambao hawana sim za smart waweze kunufaika na maarifa anayoyatoa. The man is exceptional..
@omarsongoro5719
@omarsongoro5719 7 күн бұрын
Tabia ya kusoma vitabu hatuna still watanufaika wachache mno hata ukiuza 3,000 wanunuaji hamna
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 5 күн бұрын
Sahihi
@MichaelMesso-q5m
@MichaelMesso-q5m 4 күн бұрын
God bless you
@AlphonceJofrey
@AlphonceJofrey 10 күн бұрын
Apa ndo nawaerewa Waaachookoonoooziiiiiii👏
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 10 күн бұрын
Nitashangaa ikiwa unangalia haya na huna sehemu ya kuandika. Pili wazo kubwa analokuwa nalo mtu humfanya kuonekana taahira mbele ya wasioona pazia zito la ndoto za mafanikio ya mwenye wazo. Nina shuhuda za kuwa na jambo kwa muda mrefu na likitokea ndio watu wanakuunga mkono. Kweli masikini wa fikira bado wako wengi.
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Күн бұрын
Madulu ni mtu na nusu.Ahsante Mungu kwa hii hadhina❤
@jordannuruell9018
@jordannuruell9018 11 күн бұрын
Hii show ya taarifa na maarifa nilikuwa nayo mwanzo hadi mwisho; kwakweli nimejifunza jambo kubwa sana sana
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Күн бұрын
Jamaaa anajua sana tena::: huyu jamaa allah kampa kitu sio cha kawaida❤
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 4 күн бұрын
Nawafuatilia sana
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 5 күн бұрын
NAWAKUBALI SANA
@African511
@African511 5 күн бұрын
King madulu,mwamba toka kanda ya ziwa ❤
@ayoubluizpizzaro8735
@ayoubluizpizzaro8735 10 күн бұрын
Nmepata maarifa naenda kuyatumia ,,👏my brother gee
@nathancharles3186
@nathancharles3186 5 күн бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏
@SavgyPlamz-r5c
@SavgyPlamz-r5c 10 күн бұрын
Bro Gidion anko cosmas awe anataja ata whasapp namba yake ili tuwe tunamcheki kwa ushauri zaidi kak
@madindangonde4044
@madindangonde4044 10 күн бұрын
Aisee akili kubwa
@maxkidava2939
@maxkidava2939 9 күн бұрын
🧠+🙌🙌
@SupenOleLekipya-wg9nv
@SupenOleLekipya-wg9nv 10 күн бұрын
Natamani siku moja kukutana na bwana madulu kwa kuzungumza nae japo machache tu
@kenedymdaile6167
@kenedymdaile6167 7 күн бұрын
Hakika muda hautoshi kwa madini haya.
@ChimboBoy-l7h
@ChimboBoy-l7h 10 күн бұрын
dah kweli haya ni madini pamoja..
@FrancisLyamuya-ou1eb
@FrancisLyamuya-ou1eb 9 күн бұрын
Jamani Asanteni sana
@HamiduIsmail-j7w
@HamiduIsmail-j7w 10 күн бұрын
Respect
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 11 күн бұрын
Haswaaaaaa
@NtayandiLeonard
@NtayandiLeonard 8 күн бұрын
🙏
@ProsperKayanda
@ProsperKayanda 11 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze Gee na team yako yote 🙏
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 12 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?
10:44
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
"Mawazo" Sehemu Ya 71 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
35:12
Chomoza Tv
Рет қаралды 4,7 М.
"Mawazo" Sehemu Ya 72 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
41:35
Chomoza Tv
Рет қаралды 3,3 М.