Jinsi ya Kufanikiwa - Misana Manyama

  Рет қаралды 2,252

Misana Manyama

Misana Manyama

Күн бұрын

kila mafanikio yana siri na mchakato kubwa nyuma yake ambayo ni muhimu sana kufahamu ili uweze kufanikiwa.
ungana nami katika somo la leo qmbalo ninaelezea jinsi ya kufanikiwa.
/ @misanamanyama24
Ungana nami katika somo la leo, kama umependa somo hili
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
#malengo #biashara #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam # #kuanzishabiashara # #timemanagementskills #kenya #uganda #zanzibar #misanamanyama

Пікірлер: 49
@ElyMgaya
@ElyMgaya 6 күн бұрын
Blaza hongera kwasomo nzuli sana Mungu akubaliki sana umenifungua sana mawazo
@justinechuwa1388
@justinechuwa1388 Ай бұрын
Aksante saana
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 7 күн бұрын
Mungu akupe umri uzidi kutufahidisha 👌
@shafiimpilika3574
@shafiimpilika3574 2 ай бұрын
Leo naungana wewe mkuu safi ssna
@LucyMayuro
@LucyMayuro Ай бұрын
Asante
@othmanmallya9424
@othmanmallya9424 3 ай бұрын
Ubarkiwe sana mwalimu
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Amen amen
@khadijamohamed3043
@khadijamohamed3043 Ай бұрын
Best One🔎 Sasa Namba yako
@joelparmwat6029
@joelparmwat6029 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@Gesunte-mn3qn
@Gesunte-mn3qn 28 күн бұрын
Nimeeipenda iyo cross sale Very powerful
@misanamanyama24
@misanamanyama24 15 күн бұрын
shukrani sana mkuu
@Frakisports
@Frakisports 3 ай бұрын
Nakushukuru sana kiongozi na Mwalimu Misana Manyama tangu niache kukusikiliza naona matokeo
@KukuVillage
@KukuVillage 3 ай бұрын
Uache? Au uanze?
@Frakisports
@Frakisports 3 ай бұрын
Nilimaanisha tangu nianze kumsikiliza, samahani kwa kukosea kuandika​@@KukuVillage
@misanamanyama24
@misanamanyama24 2 ай бұрын
Asante sana mkuu nilielewa ujumbe. Nisaidie kushare ili wengi zaidi wanufaike.
@islamshabani7840
@islamshabani7840 3 ай бұрын
Big up sana bro umenipa madini sana
@misanamanyama24
@misanamanyama24 2 ай бұрын
Asante sana mkuu
@hafidhially5901
@hafidhially5901 17 күн бұрын
Brother Misana, wewe ni real Mentor, umeamua kushare Experience yako halisi katika ulimwengu wa biashara kwa moyo mmoja. Mambo unayozungumza hapa yana make sense 100% kwa watu ambao kweli wapo kwenye biashara na biashara kwao sio hobby.
@misanamanyama24
@misanamanyama24 15 күн бұрын
Nafurahi kusikia hivyo brother asante kwa kufuatilia masomo haya, nisaidie kushare kwa wadau wengine waweze kujifunza zaidi.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 3 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa
@HafidhOmar-g1u
@HafidhOmar-g1u 21 күн бұрын
Mimi binafsi naamn hii show endapo utaiskiliza ,utaizingatia na kuamua ssa kuishi nilazima mdamfupi utapga hatua ,broo kila leo unaenda deep mnoo ,kila neno lako ni (somo) na unahubiri maono bila kupigiwa makofi 👏
@misanamanyama24
@misanamanyama24 21 күн бұрын
@HafidhOmar-g1u God bless you kwa feedback hii
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 3 ай бұрын
Ahsante sanaaa mentor wangu
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Asante sana kuendelea kufuatilia masomo. Nisaidie kushare kwa wadau wengine.
@robertjaden9063
@robertjaden9063 3 ай бұрын
Daa mungu akubaliki sna🙏🏻🚶
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Asante sana kuendelea kufuatilia masomo. Nisaidie kushare kwa wadau wengine.
@reencndila
@reencndila 3 ай бұрын
Thank you chief
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Any time
@salumlehani3952
@salumlehani3952 3 ай бұрын
Thanks
@joelparmwat6029
@joelparmwat6029 2 ай бұрын
Nikweli kabisa masoma imeningia sana God bless you my mtumishi wa mungu
@becamrindoko
@becamrindoko 3 ай бұрын
❤🔥🔥 Shule inazidi kupambana moto
@wakeupstudios4621
@wakeupstudios4621 3 ай бұрын
asante sana baba... wewe ndo baba yangu wa kweli... ipo siku nitakutaja katikati ya mataifa na kusema... nilipata chakula bora cha mafanikio kutoka kwa baba yangu wewe
@swahilistories01
@swahilistories01 3 ай бұрын
Asante kwa soma zuri pia tunaomba utupe soma la management baada ya kuanzisha hicho usimamizi kwa ujumla kama wafanyakazi n.k
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 3 ай бұрын
Asante sana
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 3 ай бұрын
Nimefurahi sana umefanyika kazi maombi yangu kuruhusu video kudownload ndio lilikua ombi langu ahsnte 🙏
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Karibu mkuu, tunaendelea na maboresho zaidi
@Saidmarez
@Saidmarez 3 ай бұрын
Asante my mentor
@MaryamHaruna-f3r
@MaryamHaruna-f3r 3 ай бұрын
Asante mwl uzidi kubarikiwa
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Amen amen
@daudkanyelele4862
@daudkanyelele4862 3 ай бұрын
Aisee leo somo pana sana nikiweka kwa vitendo lazima nitoe ushuhuda
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Vizuri sana, weka bidii tupate ushuhuda
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 3 ай бұрын
🎉
@sambalamkuu3360
@sambalamkuu3360 3 ай бұрын
NIMEPENDA MAFUNDISHO YAKO
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Asante sana kuendelea kufuatilia masomo. Nisaidie kushare kwa wadau wengine.
@catherinejohon1282
@catherinejohon1282 3 ай бұрын
Leo umefundisha kwa ukali ila nimependa umesema uhalisia kabisa
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Ukweli mchungu ndio unaosaidia
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 3 ай бұрын
Nimesubscribe fasta
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
@@abumuhammad9615 Asante saana kwa kuthamini kazi hii
@zakariachacha7574
@zakariachacha7574 3 ай бұрын
Asante
Namna nzuri ya kupanga Bei kwenye Biashara - Misana Manyama
26:18
Misana Manyama
Рет қаралды 2,4 М.
Acha kuepuka Mafanikio - Misana Manyama
24:47
Misana Manyama
Рет қаралды 1,4 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 27 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 269 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 65 М.
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
Namna ya kuongeza Thamani - Misana Manyama
14:44
Misana Manyama
Рет қаралды 1 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
Hizi ndo aina za uwekezaji kwa mTanzania. With Salum Awadh (Financial Advisor)
1:42:33
TIPS (The Insightful Podcast Show)
Рет қаралды 13 М.
MAFANIKIO YANAHITAJI USHINDANI - MISANA MANYAMA
31:31
Misana Manyama
Рет қаралды 930
Mabadiliko yanayoweza kuleta Mafanikio - Misana Manyama
32:00
Misana Manyama
Рет қаралды 2,1 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН