🤲Ee Mungu nijaalie Niwe kati ya watu wanao Hitajiwa Inshallah🤲 🙏.
@jacobsichone28919 ай бұрын
Kaka Joel Nanauka hii tropic ime nigusa sana na yote ume ongea point tupu, nime endelea kujifunza kupitia videos zako, na zime nisaidia sana ktk maisha yangu, toka mwaka jana mwez wa 9 ndio ilkua first time kuanza kukufatilia so ipo siku nitakuja kukupa ushuhuda wa mafanikio yangu, punde tu nilpo anza kuku fatilia wewe ktk tropic zako, na sasa hamna video yako mpya ikatok bila kuiangalia, Inshort huw haipit sik bila kuw na bandle hii yote nifatilie tu video yako mpya.
@FatmaSalum-z4f9 ай бұрын
Kaka Mungu akubarijki sana mana unatufunza nakufatilia video zako zinatuoa amani na mafanikio
@user-ib9lv7mx5z9 ай бұрын
Brother tumekutana z o office of sudden nikasau kuchukua self am so excited to see you am so lucky
@mahalawanamahalawana40199 ай бұрын
Nakuamin sana baba mm nina miakaishilini na tano ujue nina moy wa kufanya mambo magumu na makubwa ninauthubutu mkubwasana nitakupa shuud mwakani
@LUPIMO_TV9 ай бұрын
Hii imeenda kaka Joel😂🤝
@Officialwizzosun9 ай бұрын
Upako tosha kutoka kwako kaka ubarikiwe sana
@tumainselestine33988 ай бұрын
"Maneno ya kinywa cha Mwalimu Joel Nanauka ni kama maji ya vilindi; Ni kijito kibubujikacho chemichemi ya hekima".
@abeidmbarouk62809 ай бұрын
See u at the top
@thomasardoph9 ай бұрын
Muendelez mkuu wangu
@seraphinemuthama51199 ай бұрын
Aki u nasaidia kweli
@AllyMbawala-db2rj9 ай бұрын
Nikuombe Tena kaka,,,nakufatilia sana,,,naomba pinguza kingeleza wengine la nne c,,ila tupo kwenye biashara
@bernadetachari76489 ай бұрын
Kwakweli mwalimu nimejifunza menghi sana kwako
@kuruthumukondo71499 ай бұрын
Kwa kweli hii topic ni nzuri na inanigusa mm tena sana, shukrani kwa elimu
@judithgodfrey65039 ай бұрын
Hii imekaa vizuri Sana. Asante Kaka Joel
@eliasmugume2549 ай бұрын
Ubarikiwe Sana kwaushauri Mkubwa Kiukweli Mungu Akubariki
@faudhiasalum72799 ай бұрын
🎉Wow
@lebahatikeiya86669 ай бұрын
Mungu akubariki sana my brother
@TinaKisomba-jt6yr9 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@MwanaishaHemed-xi6rj9 ай бұрын
Asante Sana
@paulojohn18189 ай бұрын
Nahitaji kitabu cha money formula
@geophreymanyama43359 ай бұрын
Great
@julianalaly20959 ай бұрын
Asante
@franzoonlinetv36419 ай бұрын
Ushauri ni bure au?
@Dolicedamas9 ай бұрын
Nimekua wa kwanza.....Please naomba namba yako ya whatsap
@joelnanauka9 ай бұрын
0742 112 946 karibu
@Dolicedamas9 ай бұрын
Asante baba lakini nimetuma ujumbe wangu kwenye whatsap
@user-ib9lv7mx5z9 ай бұрын
Brother tumekutana z o office of sudden nikasau kuchukua self am so excited to see you am so lucky