Kaka asantee sana unatubaliki sana na speech zako nilikuwa naomba utufundishe jinsi ya kuwa watulivu ktk maisha yetu baada ya kupokea tarifa mbaya au nzuri au kwa namna yoyote Ile "UTULIVU "
@LeahMwaipwisi5 ай бұрын
Kweli nami nalitamani somo hili.Mungu amtumie kaka Joel kwa wakati wake.
@fedharmmark63989 ай бұрын
Umeendelea kuwa mwalimu wangu bora sana katika maisha yangu, na nimejikuta nafanya yale kwa vitendo unayo fundisha na kuona matokeo yake makubwa; na nimeweza kukuwa kwa hisia, kiakili kimwili na fedha pia. Wewe ni MTEULE.
@hekimamyoba-hm5ij9 ай бұрын
Kweli kaka najivunia kukufuatilia
@harithwhite5899 ай бұрын
Hili somo limekuja wakati muafaka, yaani kama limeandaliwa kwa ajili yangu.
@FrankPaulo-y7rАй бұрын
Joel nanauka uko smart sana bro
@paschalmasanilo26179 ай бұрын
Mimi pia yalinikuta na sasa naishi mbali sana na family yangu na kuanza maisha mapya kabisa
@JsephJegizh9 ай бұрын
Ni kweli kabisa mwache aende.mwalim Joel thanks
@devothasimbi64959 ай бұрын
Nilifanikiwa kufanya maamuzi magumu kumuachia kiumbe n'a n'a sasa naona matokeo yake ,uko Sawa kabisa
@godfreygerase87139 ай бұрын
Naaam mwalim ni kweli namm iliwai kunitokea kuna binti nilikua naye kimausiano kwa malengo ya kuoana lakini nikipangilia mambo yango yalikua hayaendi kabisaa nilipoanza kukufatilia wewe kuna moja ya maneni unasema fanya maamuzi na nyingine inasema watu hawawez kukuelewa!! Mm nilifanya maamuzi ya kuachana nae niliumia sana lakini kwasasa naona mambo yang yanaenda sawa!! ❤asante mwalim joel mungu akulinde🙏
@EliasGwaya3 ай бұрын
Be blessed
@hamisally9749 ай бұрын
good morning team all the way from Zanzibar
@jacksontumaini4899 ай бұрын
Bon voyage
@hopingtrust12848 ай бұрын
Hili somo limesema uwalisia wa maisha yangu ya sasa ila umenipa nguvu mpya na kukubali kupoteza🥹
@emmynjau39839 ай бұрын
Ùnajua unajua unajua tena tunajifunza mambo mengi mazur
@ashurashabani72499 ай бұрын
Shukrani sana somo limekuja kipindi nimeamua kumuacha aende😢
@IbrahimuRamadhani-nc4mr9 ай бұрын
Namshukuru sana kaka Joel, i wish long life God bless you 😢
@annoyua56429 ай бұрын
exactly kaka joel😢.. ni ukweli kabisaa,, ilinihrt kweli karibu hata nipoteze maisha yangu.. ann from kenya
@aishaabdallah45609 ай бұрын
Shukran kaka somo limeniingia na n mda muafaka napitia kipindi kigumu lkn cna budi kupingana na ukwl kumuacha aende 😭
@ReshimaAbdalla9 ай бұрын
Asante umenitia nguvu ya Jambo fulan🙏
@imanimwakinga49349 ай бұрын
Emotional dependence 😮😮😮😮 acha kabisa mwalm
@MrMireal009239 ай бұрын
I real appreciate you; Life coach and Mentor Mentor naendelea kujifunza na kukua kifikra kupitia wewe, kwakweli stay blessed Man of God🧠💪
@eliasmugume2549 ай бұрын
Asante Sana kwaushauri Mkubwa Mungu Akubariki Sana
@hashimuliloto80179 ай бұрын
Ni kweli kabisa....💪🏻💪🏻💪🏻
@NyalingaSamwel8 ай бұрын
Kak ujumbe wako unatunge san endelea kuwa nwalm mwem 🙏
@jacobdaud34259 ай бұрын
Kaka Joel umekua mkomboz sana kwang
@matrida.lunyilija51969 ай бұрын
Asante kakaangu umenifumbua macho maana nimeng'ang'ania pasipo pendeka,kuanzia sasa nachukua hatua, ACHA AENDE
@saidbanga9 ай бұрын
Ahsante sana japo sauti haikuwa sawa Leo ila ujumbe umetufikia
@IddiMakungu9 ай бұрын
Hongera kaka kwa kutupa madini
@ZATIUNISaidi9 ай бұрын
Ni kweli kabisa,
@goldiegranted55019 ай бұрын
Shukran sana kwa somo PROFESSOR 🏆
@theophilwhiteheart19979 ай бұрын
Ahsante mno brother📌
@shijandobehe49539 ай бұрын
Asantee Sana Mwalimu Kwa ujumbe huu
@godfreygerase87139 ай бұрын
Naa asante kwa kumwita mwali nimekuona ❤
@asiajoseph3149 ай бұрын
😭😭😭mbadala jamani
@ananiashibanda34299 ай бұрын
Tunabalikiwa kwa kwel asante
@janetmbwana5539 ай бұрын
Shukran sana 🙏🙏🙏
@Shedrackh9 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka. Umebadilisha maisha yangu kaka
@JohnDaud-sv1oc9 ай бұрын
Nimejfunza
@GraceSteven-qq5hn9 ай бұрын
Asant sana
@CatherineJacob-yt5sy9 ай бұрын
Blessed bro joel🙏
@imanimwakinga49349 ай бұрын
Kuhisi utakosa mbadala daaah 😢😢😢😢😢😢
@mohammedrashid29069 ай бұрын
Ahsante
@hawakaino82029 ай бұрын
Asante sana nimekuelewa
@kuruthumukondo71499 ай бұрын
Shukrani kaka ❤
@jacobdaud34257 ай бұрын
Kaka hakika ww ni mteule
@umojamedia41679 ай бұрын
Mbona yote unayoongea ni mimi kabisa daah 😢
@LinusOngore-o5k9 ай бұрын
Amen
@olivanooraladin54369 ай бұрын
Kaka Joel mafundisho yako mazuri lkn unapoweka hii sound kubwa naumia Sana masikio
@DanielaSanka5 ай бұрын
Hiyo sounds inafanya ujumbe unakuwa na maana kubwa sana 😢 hakika amejua kufanya kinachogusa maisha yetu
@yusuphmartin99009 ай бұрын
Kaka Kama kunakitabu hiki Cha life wisdom nakihtaji
@niriacatering1729 ай бұрын
Shukrani
@annicetnzisabira24529 ай бұрын
Shukrani Ila sound inaweka fujo
@ClementLeonard-h9m9 ай бұрын
Imeni tokea mke niliye juwa tuta zikana nilimuacha aenda IRA ni maumivu makali mno tuna kupata kaka hazina ya vijana