Napenda sana mapishi yako cake naomba uwe unatufundisha kiasi Cha vfaa kwa kilo
@amisafaraji5796 Жыл бұрын
Fantastic 👌nitajaribu na mm, ahsant kwa mafunz mazur
@divahcruz Жыл бұрын
Asante pia, karibu sana🤝💝💖
@AnnJuma-r4l4 ай бұрын
Ongela Dada divah mafundizo mazuri God bless you
@hidayandimini90366 ай бұрын
Hongera divah kwa mafunzo mazuri, nakuombea kwa M/Mungu uzidi kupata mafanikio mema.
@divahcruz6 ай бұрын
Amina ❤
@rosekiwale83023 ай бұрын
Asante kipenzi
@NiaelyOmbeni7 ай бұрын
Hii nimeipenda asante
@divahcruz7 ай бұрын
Karibu
@DavidMwakatobe7 күн бұрын
Sorry dada divah hiyo mashine inauzwa bei gan?🎉🎉
@estherjacob7874 Жыл бұрын
hello dia.tuelekeze ulivyoset moto hapo.mana mi naoven la winning star lina temp knobs.mbili nashindwa kwenye kuset moto
@divahcruz Жыл бұрын
Hi love🥰 oven vinatofautiana mpaka nione ndinaweza kukuelekeza jinsi ya kuset moto, napia zinatofautiana ukali wamoto yangu moto 180c nikawaida kabisa kwakeki lakini kwa oven zingine motohuo wa180c unakua mkalisana. Iliniweze kukusaidia njoo Instagram unitumie picha au video ilinione @divahcruz
@aminahassan40593 ай бұрын
Hii cake ni ya unga nusu au robo?
@JANETHSIMON-mx7ks Жыл бұрын
Ikisha iva unaitunza wapi ili isikomae? Au haiwi ngumu ukiweka tu kwenye sahani?
@divahcruz Жыл бұрын
Unaweza kutunza kwenye chombo cha mfuniko ama zippa bag ama ile mifuko mweupe . ila ukiischa wazi ulaini unapotea
@ElizaJoseph-rk8gp4 ай бұрын
Dada unga wappf nimzuli kutumia ?@@divahcruz
@SinenoMaumba Жыл бұрын
Sijaona baking powder hapo inakuwaje?
@divahcruz Жыл бұрын
Ipo fuatialia vizuri
@ZabuhuraIssa7 ай бұрын
Mm vipimo nko sawa ila sasa moto ndo cjui kusent
@divahcruz7 ай бұрын
Unatumia jiko gani ?
@adolphinayalala40925 ай бұрын
@@divahcruz jiko la umeme
@divahcruz5 ай бұрын
@@adolphinayalala4092160 adi 180 inategemea na jikolako
@shambulajentrix2 ай бұрын
Kama huna blue band unaweza tumia cooking oil??
@divahcruz2 ай бұрын
Ndio inawezekena
@BeatriceCrispin4 ай бұрын
Hellow dear oven yangu ni kenwod
@NicolausTengelakwi29 күн бұрын
Sasa madam samahan hivo vikombe 2½ ni Kama kiasi gani yaan ni kg au½ kwa mzani
@irenemahatane5681 Жыл бұрын
Mbona huweki kiasi mwalimu?
@divahcruz Жыл бұрын
Nimeweka dia, sikiliza vizuri Sukari 1cup Siagi 1cup Unga 2cup na nusu Mayai 4 Maziwa / maji nusu cup Vanilla nusu kijiko cha chakula Baking pawder kijiko 1 chachakula Chumvi robo kijiko cha chai Nimekuandikia vyote. Ukijaribu usiache kuni tag on Instagram natumia @divahcru asantee much love❤❤❤
@JANETHSIMON-mx7ks Жыл бұрын
Unga 2 cups ni sawa na kiasi gani kwenye mzani?
@zubedasulfat65884 ай бұрын
@@JANETHSIMON-mx7ksswali zuri
@AshaDaudi-kc3fv3 ай бұрын
Unaelekeza viziri lakini dada ungekuwa unatuwekea cake ya robo gram ngapi maana ukisema vikombe utujui vikombe gani maana kila mtu nauwelewa wake mwali tusaidie kwailo 🙏🙏
@divahcruz2 ай бұрын
sawa , ntaweka video inayoelezea vipimo asha .asantee
@AminaKinega Жыл бұрын
Mimi kila nikijarbu kupika inapasuka juu..sijajua sababu ni nini? Moto mwing au banking soda ninayotumia ni zesta
@divahcruz Жыл бұрын
Kama unatumia baking soda acha tumia baking powder, pia zingatia moto ama chombo unacho okea kekiyako
@AminaKinega Жыл бұрын
Sawa
@AminaKinega Жыл бұрын
Asante nitafanya hvyo
@divahcruz Жыл бұрын
Karibu kipenzi❤
@tricyleonlee472110 ай бұрын
Jmn mm mafata proces zote napika inaiva vzr tatizo haichambuki cjajua tatizo n nn
@AnnJuma-r4l4 ай бұрын
Hii nitajaribu kupika cake zuri sana yapendeza
@pillydaniel9515 ай бұрын
Huwez tumia blenda kuchangany vitu vtote
@divahcruz5 ай бұрын
Inawezekana, unachanganya the unga unaweka badae ukishachanganya kwenye blenda
@mariamirakoze72994 ай бұрын
@@divahcruzmimi nikichanganya kwenye blender keki yangu inakuwa kama ugali,sijuwi nakosea wapi dear
@divahcruz3 ай бұрын
PoLe kwa hiyo changamoto, soon naweka video jinsi yakuchanganya kwenye blenda@@mariamirakoze7299
@MariamMbena-v1b2 ай бұрын
Na mm nataka kujarb dada
@divahcruz2 ай бұрын
Angalia video vizuri, fata maelekezo utaweza tu
@maimuna98535 ай бұрын
Kinacho sababisha keki isivimbe ninn
@divahcruz4 ай бұрын
Baking powder
@dr.ramadhanih.khamisi68049 ай бұрын
nimejaribu exact vipimo ila keki imetoka Kama imejaa mafuta na taste ya baking powder inasikika kwa mdomo😢
@divahcruz9 ай бұрын
Pole kwa changamoto hiyo , ila kunakitu lazima utakua umekosea my dear, jaribu kuangalia hii recipe kzbin.info/www/bejne/sH62dYuunKysoNEsi=LDcffWOGsbwhuBdK
@ZulfaIddi-v3g2 ай бұрын
Ukiweka mayai kwapamoja inakuaje
@WinifridaMchiro3 ай бұрын
Eti kwani nilazima uwe na mashine wakati wa kuchanganya
@divahcruz2 ай бұрын
sio lazima
@pendobaraka3410 Жыл бұрын
Nifundishe Hindi ya kupamba keki
@divahcruz9 ай бұрын
Soon naleta video hiyo my dear
@latifaramadhani-w7x2 ай бұрын
Sorry madam naomba vipimo vya mzani ya receipe hii hvy me sielew samahan lkn🙏
@EsterJoni-px8ov Жыл бұрын
Je kama sina vanila nafanyaje
@divahcruz Жыл бұрын
Weka fleva yoyote uliyonayo, ata hiriki ya unga inafaa