JIONGEZEE THAMANI KWA KUFANYA HIVI

  Рет қаралды 18,478

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Asante kwa kufuatilia. Unaweza kujiunga na group langu la whatsapp ili kupata mengi zaidi. Tuma meseji ya whatsapp kwenda namba hii (+255) 759-191-076. Tukutane kwenye group!!!
@omaiim4014
@omaiim4014 5 жыл бұрын
Mbona kaka nimetuma messeg watsap lakin haijibiwi
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
@@omaiim4014 hiyo simu ilipotea tuma katika namba hii 0744655852
@husseinkareem9914
@husseinkareem9914 3 жыл бұрын
Ok
@bhaabhahamza7228
@bhaabhahamza7228 3 жыл бұрын
@@successpathnetwork 👨‍🏫 professional web site i like it
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Each One Teach One haijawai kuniacha bila kitu shukraan sana hakika upo sahihi Allah akubariki sana 🙏 🙏
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Brother ww ni mkombozi kwa vijana ambao wamekata tamaa nasaha zako zinawainua endelea kuielimisha jamii
@edwardalfred1172
@edwardalfred1172 4 жыл бұрын
Nashukuru kaka ubarikiwe kwa namna unavyoonesha njia. Najifunza mengi kutoka kwako na kwa kiasi kikubwa maisha yang yameanza kubadilika. Ubarikiwe sn.
@rajabhamza4628
@rajabhamza4628 5 жыл бұрын
Asante sana kaka kweli hii ni njia ya kufikia malengo,,,,,,toka nimeanza kukufatilia kaka now nipo tofaut mbaka najiona nina mabadiliko kulala kwa utaratib yaan naamka niko fresh kabisa na kupangilia ratiba yang now iko vizur thanks bro
@medsonstarlon0805
@medsonstarlon0805 4 жыл бұрын
Muda ni Mali,, thanks bro Ezden kwa jitihada zako, hakika wewe ni darasa huru
@saleheabdallah3438
@saleheabdallah3438 3 жыл бұрын
dah nazid kupata vitu ambavyo vinabadilisha maisha yang .allah akulipe zaid na zaid
@miim9429
@miim9429 5 жыл бұрын
Thanks much dear brother I really appreciate you through your teachings
@salhaoman5002
@salhaoman5002 4 жыл бұрын
We love you brother, tusaidie tuu tunazidi kujitambua
@mariamnahodha2390
@mariamnahodha2390 5 жыл бұрын
Asante sana
@joseefaidabutu7294
@joseefaidabutu7294 5 жыл бұрын
Asante Kaka
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Asante sana Jumanne tupo pamoja sana
@ramadhanseif3085
@ramadhanseif3085 5 жыл бұрын
Shukran brother
@wemamuss
@wemamuss 5 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha zaid 🙏
@abubaherbalclinic
@abubaherbalclinic 5 жыл бұрын
These are wonderful tips ALLAH strengthen you
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Yaani haujakosea, all of those can make our life longer in this world. Kw hakika nitafanya bidii kwenye mazoezi n kula vyakula bora in shaa Allah. Shukran brother Ezden 👍🏼
@mariamngarama3268
@mariamngarama3268 5 жыл бұрын
Shukran kaka
@merykabogo7636
@merykabogo7636 4 жыл бұрын
Tnashukuru kwa kaka kwa elimu yako nzurii!!!
@anifashabani4341
@anifashabani4341 4 жыл бұрын
Ahsante mwalim wetu 👌
@elijahanthony9082
@elijahanthony9082 2 жыл бұрын
Ahsante Sana Kaka mkubwa Edzen
@abeidsalum9833
@abeidsalum9833 5 жыл бұрын
Allah akulinde bro jazaka Allah kher kwa kutuelemisha
@omaiim4014
@omaiim4014 5 жыл бұрын
Ahsante sana kak
@khamishosea6269
@khamishosea6269 5 жыл бұрын
upo makini sana brother nakuelewa sana
@abdallahkigube2897
@abdallahkigube2897 5 жыл бұрын
Mungu akujalie kaka uendelee kutujuza aya mambo na sisi tunayafanyiakazi
@mwanaidaly3616
@mwanaidaly3616 2 жыл бұрын
Thanks 👌
@rehemajuma4656
@rehemajuma4656 5 жыл бұрын
Mashaallah shukraan kaka ake, Allah azidi Kukuongoza in sha Allah.
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Pamoja sana Ujumbe umefika sana bro
@ismailysaid5352
@ismailysaid5352 4 жыл бұрын
Nice subject
@ismailysaid5352
@ismailysaid5352 4 жыл бұрын
sante kaka Mwenyezmungu akupe umri mrefu uzidi kutupatia madini
@seblosoundstudio
@seblosoundstudio 5 жыл бұрын
Thank you
@skambiscarface786
@skambiscarface786 5 жыл бұрын
each one teach one shukran brother
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
💪🏼
@mingosjobsintertentement6334
@mingosjobsintertentement6334 3 жыл бұрын
Mimi nafuata sana channel yako,mimi Niko Mocambique.Assante Kwa fundo🙏
@hakafitness3801
@hakafitness3801 5 жыл бұрын
Wow love you
@fidodidotz3012
@fidodidotz3012 5 жыл бұрын
Thanks brother
@husseinkareem9914
@husseinkareem9914 3 жыл бұрын
Axant xana broo kwa kunfungua kifikira
@mdomani2404
@mdomani2404 5 жыл бұрын
Nakubali sana🙏
@kingsimbahh8458
@kingsimbahh8458 5 жыл бұрын
Good san kk jumanne
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
👍
@danilopato8472
@danilopato8472 5 жыл бұрын
brooh heshima yako, mm Nina aidia nyingi sana za kushuti matangazo sana sana kwenye mitandao ya simu Nina aidia yan jinsi ya ku act tangazo liwe bora na maneno ambayo yatafanya tangazo lipendwe lakn cjui pakuanzi nilkuwa naomba msaada wako broh
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 5 жыл бұрын
danilo pato mfollow kwa account zake instagta.
@mwafrikaelcapitano6669
@mwafrikaelcapitano6669 5 жыл бұрын
Hapo kwenye kupumzika,hapo ndipo tatizo langu.Nafanya kazi for 14 hours per day,Mon-Sunday and I'm selfemployeed
@davidlolibo9578
@davidlolibo9578 4 жыл бұрын
Ninajikuta sifanyi siri kwa maicha yangu nisaidie nifanye nini?
@hamidpapyto7187
@hamidpapyto7187 5 жыл бұрын
Allah akujaalie faham zaid ili tuendelee kuelimika na darsa zako
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Aamiin
@rajabuabdala2411
@rajabuabdala2411 5 жыл бұрын
Bro hiz clip zako nahis mechelew kuzipat zimenfundaxh v2 ving kwa mda mfup San hongera xan Allah akufanyie sahal mamb yak inxhallah me singd
@mtinangkhalphan2609
@mtinangkhalphan2609 5 жыл бұрын
Ebhenah keep in going brah#eachone#teachone
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 5 жыл бұрын
I known brother ulishawai kuwa katika wrong relationship na akakuuzisha sura kweli.
@eshaabdalla9725
@eshaabdalla9725 5 жыл бұрын
Hiyo last min mm ndio imenikosesha jambo muhimu sana
@mossesisaya396
@mossesisaya396 5 жыл бұрын
Brother..! Mimi na appreciate sana jinsi unavyotaja jina la hii channel mara kwa mara na kujitambulisha pia, coz hii ndiyo iliyonidirect kwa haraka sana kuingia youtube na kusubscribe hii channel pale tuh nilipokutana na moja ya video yako kwenye group la whatsap ikanifanya nikutafute kila chocho za social network na kukufollow, KEEP MENTION IT BROTHER....
@JohnJohnson-mz7fj
@JohnJohnson-mz7fj 5 жыл бұрын
Every your teach make me always blessed, please ad me to the group my watsup no iz 0692641947
@zulfajuma9897
@zulfajuma9897 5 жыл бұрын
nice broo ezden, jazakha llah khery, binafsi nakuelew sn broo, each one teach one, inshaallah soon ntafany kitu kikubw kupitia mawaz unayotoa, pia naomb kuungw kwa group +255 622 040 364
@salomemtani5687
@salomemtani5687 5 жыл бұрын
Naomba namm niungwe kwenye group 0782771341
@mudyadinani5182
@mudyadinani5182 3 жыл бұрын
Flesh
SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII
23:47
Success Path Network
Рет қаралды 20 М.
MAJUTO MAKUBWA BAADA YA SHULE (NA SULUHISHO LAKE)
22:56
Success Path Network
Рет қаралды 22 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 16 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 85 МЛН
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING
19:47
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
SHERIA 12 ZA FEDHA ZISIZOPITWA WAKATI
21:11
Success Path Network
Рет қаралды 48 М.
FAHAMU TABIA 13 ZA WATU WASIO NA FURAHA
21:16
Success Path Network
Рет қаралды 29 М.
JINSI YA KULIPA MADENI HARAKA | Happy Msale
9:54
Happy Msale
Рет қаралды 23 М.
HII NI DAWA YA UGUMU WA MAISHA YAKO
17:24
Success Path Network
Рет қаралды 69 М.
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Zaidi Kwenye Jamii | Mwongozo wa Maendeleo Binafsi
12:50
Success Path Network
Рет қаралды 1,2 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
JINSI YA KUWA MWENYE BAHATI ZAIDI - MBINU 9
16:30
Success Path Network
Рет қаралды 20 М.
ZINGATIA HAYA UFANIKIWE - Part 2
13:41
Success Path Network
Рет қаралды 20 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 16 МЛН