No video

JOEL LWAGA - NAFASI NYINGINE (Official Video)

  Рет қаралды 2,642,187

Joel Lwaga

Joel Lwaga

Күн бұрын

#JOEL LWAGA# NAFASI NYINGINE
Lyrics
(Mmmmh mmmmh mmmmmh)
Mavumbi umenifuta yote
Habari umebadili yooote
Aibu umeondoa yootee
Machozi umenifuta yoteee
Mmmh
Umeniita mwana niliyekuwa mtumwa
Umenisimamisha katika mwingi wa Neema
Na umeniketisha mahali pa juu sana
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita nikiufurahia ule ujao
Maana umenipa
Nafasi nyingne (umenipenda tena bila kuchoka)
Nafasi nyingine (Neema yako imeniinua tena)
Nafasi nyingne (Umenipa tena bila kukoma)
Nafasi nyingne Mungu wa Neema
Neema aaaah Mungu wa Neema Neema aaaah aahaaa
Madaktari walisema sitapona tena
Walimu walisema nitafeli
Ndugu na jamaa walisema nimeshindika
Na kumbe wewe waniwazia mema
Umri uliposogea walisema ndoa si fungu langu
Nilipofiwa na mpendwa yule walisema sitaweza tena
Baada tu ya kufilisika sikumwoma wa kuniombea
Na kumbe ndani yao walifurahi niliyopotia
Ninaucheka wakati uliopita
Niliufurahia ule ujao *2
Maana umenipa
Nafasi nyingne (umenipenda tena bila kuchoka)
Nafasi nyingine (Neema yako imeniinua tena)
Nafasi nyingne (Umenipa tena bila kukoma)
Nafasi nyingne Mungu wa Neema
Neema aaaah Mungu wa Neema Neema aaaah aahaaa
(Bwana umenipa)
Nafasi Nyingne
(Kweli umenipa)
Nafasi nyingne
(Mimi nisiyestahili umeniipa)
Nafasi nyingne
Mungu wa Neema (Wa Neema aaaah)
Mungu wa Neema aaaaah
Nafasi Nyingine is a great Gospel and Inspirational Song that means "Another Chance"
its another HIT song from minister JOEL LWAGA who is a multi award winning artist and male artist of the year 2019 EAST AFRICA
Audio Production by : Taz Goemi
Studio : Fishers Records
Video by : Director Ivan

Пікірлер: 1 300
@wandiafaith778
@wandiafaith778 Ай бұрын
2024 am here again to say that hakika mungu umenipa nafasi nyingine ❤❤❤💪💯🤝🙏
@mwanakwababayangu5841
@mwanakwababayangu5841 4 жыл бұрын
Jana nimetoka hospitali, sasa ni mzima, BWANA amenipa nafasi nyingine.... nisaidie kugonga like....
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 9 ай бұрын
AMEN HALELLUYA you
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 9 ай бұрын
AMEN halelluya ❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@gracemoraamonyoncho4025
@gracemoraamonyoncho4025 3 жыл бұрын
This is one of the few songs that I can't stop listening to even as I grief for the loss of my Son Lui who was a 4th year B.Com student at Catholic University, Kenya. As much as the pain & grief is unbearable; & the tears I shead daily coz of Loosing my Son do abruptly in very unclear circumstances; many unanswered questions; the feeling that my world has come to my end; etc, etc, this song still comforts me that Lord, machozi utanifuta yote,.. na kwamba umenipa nafasi nyingine ya kuishi; Despite me thinking that the pain of Loosing my son would kill me too. Joel, please let God continue using u to Minister to many like me who are also going thru the many storms & challenges of life. May God Bless you & your music ministry. 🙏🏽🙏🏽
@nurujuma5222
@nurujuma5222 2 жыл бұрын
May his soul rest in peace🙏🏽 Mungu akupiganie usiache kumtumainia, Mungu wetu ni mkuu sana na kila kitu hutokea kwa sababu, mshukuru Mungu kwa yote, amini neema yaja kwenye maisha yako🙏🏽
@irineawuor7444
@irineawuor7444 2 жыл бұрын
It is well ❤️
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Pole sana
@esthernyambura7198
@esthernyambura7198 2 жыл бұрын
I pray for Gods comfort that surpasses human understanding but still you need to enter into warfare n declare there will be no more premature death long n successful life is ours n our children declare deutronomy 28 the blessings of lord when we serve him God bless you
@duncanodhiambo5740
@duncanodhiambo5740 2 жыл бұрын
Pole sana
@user-bb1dp6vv2b
@user-bb1dp6vv2b 7 ай бұрын
Mungu katupa nafasi nyingine Tena ya kuuona mwaka 2024
@yasintaelisha762
@yasintaelisha762 4 жыл бұрын
waooh kama unaucheka wakati ulio piata like hapa🌹🤗🤗hakika ni Mungu wa neema❤❤
@yasintaelisha762
@yasintaelisha762 4 жыл бұрын
❤😂😍😍🙏🙏❤
@rehemaapolo4817
@rehemaapolo4817 4 жыл бұрын
Oy dah Kaka anng nauchek wakat uliopit
@yasintaelisha762
@yasintaelisha762 4 жыл бұрын
😂😂
@fanuelycliff1912
@fanuelycliff1912 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@happysophiamsilanga2535
@happysophiamsilanga2535 4 жыл бұрын
Mungu wa Neema 🙏❤
@pacifiquenteta
@pacifiquenteta Жыл бұрын
This was my late brother wedding entrance song but unfortunately He left us before the wedding could happen. This song will forever remind me of him.
@marthapatrick2778
@marthapatrick2778 28 күн бұрын
So sad😢 sending hugs🫂
@pacifiquenteta
@pacifiquenteta 18 күн бұрын
@@marthapatrick2778 Thanks a lot 🙏🏾🙏🏾
@philberthpatrick4987
@philberthpatrick4987 4 жыл бұрын
Joel Lwaga jamaa anajua like kama unampenda Yesu #nafasi nyingine😘😘😘
@hawaabubakar6120
@hawaabubakar6120 4 жыл бұрын
Bless god
@dalendelen1907
@dalendelen1907 4 жыл бұрын
Almighty God up lift u
@hancydreus997
@hancydreus997 4 жыл бұрын
naipenda sana jmn
@nelsonkaijage3277
@nelsonkaijage3277 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@irenemakau1578
@irenemakau1578 4 жыл бұрын
@@hawaabubakar6120 lkk
@sincerelykendi
@sincerelykendi 4 жыл бұрын
I was sick but after listening to this amaizing song,I felt better. Kwa kweli amenipa nafasi nyingine🙏
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 4 жыл бұрын
Amen glory to God
@evermwambalaswa5851
@evermwambalaswa5851 4 жыл бұрын
God bless you
@zeDolls
@zeDolls 4 жыл бұрын
Amen
@zachariambuligu3586
@zachariambuligu3586 3 жыл бұрын
@@samwelmwaijumba6018 p0pp
@ezrakorir5792
@ezrakorir5792 3 жыл бұрын
Yeah
@isaacmwamlima3302
@isaacmwamlima3302 4 жыл бұрын
hakika una jua Mtumishi wa Bwana Nakubali Mwanzo mwisho kama Na ww tuko pamoja kumsaport joel Gonga like yako hapa ili twende sawa
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 4 жыл бұрын
Mwmbaj bora wa mwka respect to joel lwaga
@neemajames2073
@neemajames2073 Жыл бұрын
Kakika Mungu anakutumia hii nyimbo nasikiliza kila siku na sichoki miaka sita nilitafuta mototo bila kupata badae nikapata nilikuwa nimekata tamaa lakini badae nikapata nimba ilidumu kwa miezi mitano ikatoka nilikuwa nalia sana na kwa sasa navoongea Mungu amenipa nafasi nyingine tena sifa na utukufu namuludishia Mungu wa mbinguni mimi mjamzito tena🙏🙏
@bensontreasure4036
@bensontreasure4036 Жыл бұрын
Wishing you safe delivery 🙏
@Gg-ij3mq
@Gg-ij3mq 2 жыл бұрын
2:22 reminds two years ago when the least I expected happened ie lost my dad, lost my job and we broke up with longtime bf, this happened in a span of 3months... When I thought I had figured it out COVID came and if affected my small business which was only one month old... Today I'm at a better place, never thought I would.. If you reading this and you going through tribulations, remember you ain't alone and you're an overcome. Thank you God kwa nafasi nyingine🙏🏿
@Davidharles
@Davidharles 4 жыл бұрын
asante MUNGU kwa nasafasi nyingine GOD bless you my brother joel lwaga
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 4 жыл бұрын
This is awesome
@singtorres6049
@singtorres6049 4 жыл бұрын
I'm Kenyan, I love your songs. They bless my soul.
@chibudangote4457
@chibudangote4457 4 жыл бұрын
Umenipa nafasi nyingine, thankyu God.. Bless you Joel
@iddisalimu6971
@iddisalimu6971 4 жыл бұрын
SING TORRES We are together.
@hopetumain3018
@hopetumain3018 2 жыл бұрын
Aibu umeondoa yote.naucheka wakati uliopita nikiufurahia ujao.verynice
@djnakymkenya
@djnakymkenya Жыл бұрын
same here
@gabriellamwanzeoil6241
@gabriellamwanzeoil6241 Жыл бұрын
@@djnakymkenyabc v
@sanekwilabya4453
@sanekwilabya4453 Жыл бұрын
Huu wimbo Bado unaishi hadi Sasa 2023 April. Ninaucheka wakati uliopita japokua wakati wamapito yake nlilia ila Sasa NAFURAHIA kwakupitia yalioniliza.kweli Mungu anatuwazia mema.kama unaamini katika wakati sahihi WA Mungu gonga like....
@eduwineginatio
@eduwineginatio Ай бұрын
Nakukubari sana
@marymuthoni-mh7fv
@marymuthoni-mh7fv Жыл бұрын
Im going through a lot but every time i listen to this I'm at ease at joy coz apart from all the difficulties I'm glad I'm in good health and alive....Thank you Jesus for another chance and thank you so much Joel Lwaga this song is all I need every time I feel suffocated
@eddahmwampagama115
@eddahmwampagama115 4 жыл бұрын
Joel is a star twende pamoja for likes
@msafiikatondo1251
@msafiikatondo1251 4 жыл бұрын
Eddah Mwampagama is
@apaifurambise2083
@apaifurambise2083 4 жыл бұрын
His real
@furahanyamba371
@furahanyamba371 4 жыл бұрын
Eddah Mwampagama nimekulike
@joachimlema3299
@joachimlema3299 4 жыл бұрын
Eddah Mwampagama naomba sababu zilizokufanya useme hivyo
@meshackasimbile3537
@meshackasimbile3537 4 жыл бұрын
Nakutakia baraka za kristo katka kazi yako
@abednegopaul2623
@abednegopaul2623 4 жыл бұрын
Dance Moves... Na Kila kitu mbna it's like Nibadilishe ya Good luck ...why watu mlimsema good luck?? Nowadays Gospel ina change to another level and it's better not to Judge but accept the Changes ... kongole kwako bro Joe.
@josphinedaniel1643
@josphinedaniel1643 4 жыл бұрын
Umenipa nafasi nyingine bila kuchoka Mungu wa neema 💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥 somebody say Ameeeeen because He has done it again
@maggiealevique4292
@maggiealevique4292 4 жыл бұрын
Ameeen
@dominickmseti2304
@dominickmseti2304 4 жыл бұрын
Amina
@luizaogada4178
@luizaogada4178 4 жыл бұрын
zgaaqqágā
@luizaogada4178
@luizaogada4178 4 жыл бұрын
uwu 2w
@samiraabduly2906
@samiraabduly2906 3 жыл бұрын
Ameen
@jonathankyalo5135
@jonathankyalo5135 4 жыл бұрын
Ninaucheka wakati uliopita nikiufurahia ule ujao... maana umenipa nafasi nyingine, umenipenda tena bila kukoma neema yako imeniinua tena
@m-blnlabenie3138
@m-blnlabenie3138 4 жыл бұрын
Nina ucheka wakati ulio pita, niki ufurahia ule ujao Amen Amen bro🙏🙏🙏🙏
@pastorchico6388
@pastorchico6388 4 жыл бұрын
😂😂😂😂nacheka sana wakati uliopita after kujua kwamba Mungu ni wa neema tuimbe mziki wetu nchi zingine wanabarikiwa sana #NO_EDITION
@fruitfulmpanduji.6732
@fruitfulmpanduji.6732 4 жыл бұрын
Uko juu .tunaomba Mungu akuzidishe .pia akuepushe na wanaopenda kuteka vipaji vya watu wa Mungu kama Freemason .zaidi kumtukuza Mungu Broo.Barikiwa zaidi
@agnesmuiruri5379
@agnesmuiruri5379 4 жыл бұрын
Nice 😍😍😍😍😍😍😍
@joelkisembo4435
@joelkisembo4435 4 жыл бұрын
Good speach
@happykimaro1080
@happykimaro1080 3 жыл бұрын
Uko vzuri sana mungu akulinde
@moriamwangesile1883
@moriamwangesile1883 3 жыл бұрын
Qhdhf be jc
@richardkassanga1571
@richardkassanga1571 4 жыл бұрын
Ahsante kaka angu,,,najifunza kila iitwapo leo,,,kupitia uchungaji wako huu wa uimbaji,,,mdogo wako Richard kassanga,,,Mungu ananitengeneza kupitia wewe kaka angu tuzidi kuifikisha kazi yake mbali zaidi.
@winstonmutafungwa8895
@winstonmutafungwa8895 4 жыл бұрын
Hongera Sana my Brother for continuing to shame the Devil and blessing us with beautiful songs of Praising & Worshiping GOD!
@dorinejustine1295
@dorinejustine1295 4 жыл бұрын
Hongera sana kaka joeli kwakazi nzuri
@jumun.R54
@jumun.R54 4 жыл бұрын
thanx bro
@lilianshoo5000
@lilianshoo5000 4 жыл бұрын
M Pump ? Mkkngg9 b nhhhk
@lillianmmbone2150
@lillianmmbone2150 4 жыл бұрын
TRUE GOSPEL MINISTER, GOD BLESS U JOEL LWAGA. WAKENYA MPO? WEKA HAPA LIKE KA UNAMPENDA JOEL
@catherinepastory4820
@catherinepastory4820 4 жыл бұрын
Joe Joe Joel lwaga oooooooh God
@faithkanyiri7138
@faithkanyiri7138 4 жыл бұрын
This song should be over million views Coz the song is just awesome am blessed watched it over 20times....joel may GOD bless your ministry
@patorinsky
@patorinsky 4 жыл бұрын
What's it na kuomba likes 🥺 can't you just let us enjoy this song peacefully! Lakini sitaki kuachwa nyuma piga like hapa 😂😂😂
@protectinglifemovementtrus7885
@protectinglifemovementtrus7885 4 жыл бұрын
Haha Patrick Mbugua
@irenelihanda7111
@irenelihanda7111 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@joanmakena8450
@joanmakena8450 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fjojoly
@fjojoly 4 жыл бұрын
hahahaha hata mimi sielewi kwann watu wanaomba likes
@NehemiahRotich
@NehemiahRotich 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@belkiasamson6823
@belkiasamson6823 4 жыл бұрын
This message is mine for sure, God bless you
@anovenord
@anovenord 4 жыл бұрын
From nigeria. Yoo kill it swahil version broh.. Team nigeria make it blue
@lydiakemuntookindo3930
@lydiakemuntookindo3930 4 жыл бұрын
Much love from 254 your songs always make me have hope in everything l,face Amen
@fundiwawatu1
@fundiwawatu1 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ thankyou God .......am blessed
@scorpioBabe777
@scorpioBabe777 4 жыл бұрын
Here after citizen tv advert, great message, love it❤️
@wafavour557
@wafavour557 4 жыл бұрын
Same
@sharonnyaga7983
@sharonnyaga7983 4 жыл бұрын
Me
@judywairimu8730
@judywairimu8730 4 жыл бұрын
Same
@misskarun2548
@misskarun2548 4 жыл бұрын
that advert made me look him up😅😅😅this song issa blessing
@scorpioBabe777
@scorpioBabe777 4 жыл бұрын
The first time I saw the advert I didn't even wait for it to finish just searched on you tube "nafasi nyingine"and boom 😍😅
@clarajulius4046
@clarajulius4046 4 жыл бұрын
God bless you Joe...Mungu ni wa Neema sana,napita kwenye magumu sana nna imani siku moja ntaucheka wakati uliopita😊,Amen
@saidathmajidy4649
@saidathmajidy4649 4 жыл бұрын
Nafasi nyingine JoEL perfect Like zenu 😍😍
@Taly25
@Taly25 2 жыл бұрын
here not knowing what tomorrow holds but trusting in God
@priscillahjackson3664
@priscillahjackson3664 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu juu amempa nafasi nyingine juu date 13th January 2023 he was seriously sick, concisious amepelekwa hossy kumbe he was poisoned but he's alive and the devil evil pple was ashamed to see him in good health again juu Mungu amempa Nafasi nyingine 🙏🙏🙏
@puritypendo6472
@puritypendo6472 4 жыл бұрын
Your songs make me feel brand new everytime I listen to them and this one here just made my Sunday 🙏🙏🙏 Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Be blessed
@lizalaw8663
@lizalaw8663 4 жыл бұрын
Asante. YESU umenipa nafasi nyingine ..kiuchumi..kijamii...kielimu na kiroho.....wakati. Ulopita naucheka..
@mongaretaleen5756
@mongaretaleen5756 4 жыл бұрын
am here frm citizen tv🤗
@raelominde
@raelominde 4 жыл бұрын
From KENYA Here in 2020 ,1st January,1.20am NAFASI NYINGINE💯💯❤
@rachaelndinda-cl2kj
@rachaelndinda-cl2kj 4 ай бұрын
Shukrani jehova umenipa nafasi nyingine siku ya Leo
@ashimaganze9745
@ashimaganze9745 4 жыл бұрын
🔥🇨🇩🔥 we love you brother 🇨🇩🔥🇨🇩🔥 Wa Tanzania waku chunguze vizuri Kama Una vyeti 🔥💥❤️ Tanzanie nzima hakuna ambaye ana weza imba kama wewe🙏 Mungu ni mkubwa âme tupa NAFASI NYINGINE ya ku ku silikikiza
@tulizosteven3193
@tulizosteven3193 4 жыл бұрын
ASHIM AGANZE wapo wengi tuu Ila hawajapata kusapotiwa.
@tulizosteven3193
@tulizosteven3193 4 жыл бұрын
ASHIM AGANZE wapo wengi tuu Ila hawajapata kusapotiwa.
@consolatamedard1700
@consolatamedard1700 4 жыл бұрын
Wooyooooo Safi sana Mtu wa Mungu vitu vizur ivi ila usiwe na wale vijana wanaocheza bila maadili endlea ivoivo unaniflaisha
@taturamadhani6776
@taturamadhani6776 3 жыл бұрын
Nipe nafas nyingine mungu baba ..ya nyuma nishayaacha ....
@dmnmkenya1986
@dmnmkenya1986 4 жыл бұрын
this is My testimony too...nafasi nyingine nimepewa
@nyatindwagerald4607
@nyatindwagerald4607 4 жыл бұрын
Kwel mana kuiona siku mpya hyo ni nafasi nyengine. Asante mungu kwa nafasi nyengine
@emmanuelbaraka6720
@emmanuelbaraka6720 4 жыл бұрын
Nan tupo Kila saa kuchek wimbo huu akicheka wakat uliopita akiufrahia wakati wasasa kama Mimi😍😍😍😍
@janetdaniely7945
@janetdaniely7945 Жыл бұрын
Asantee Mungu Kwa upendo unaonionesha kirasiku 🙏🙏🙏
@pastorbe-daejr.7059
@pastorbe-daejr.7059 4 жыл бұрын
God is the God of Second chance This is how Joel lwaga mean and actually this is how Our God is
@Shiluusoud
@Shiluusoud 3 жыл бұрын
GFREBJTLYWQ
@estherwaruoya2111
@estherwaruoya2111 3 жыл бұрын
My favorite song God bless you always Joel lwaga
@nishemezwedarlene-qe5wz
@nishemezwedarlene-qe5wz Жыл бұрын
I feel like crying because of joy 😹 I liked this song🫂✨❤️🫂 actually this is love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮😍
@priskilamajengo9879
@priskilamajengo9879 4 жыл бұрын
Jamani Mungu ni mwema unajua kuimba sana nyimbo nzuri sanaa ❤❤
@amepicofficial2838
@amepicofficial2838 2 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana ya declaration ❤🎉🎉 Mungu aibariki sana Huduma yako ikanguze nyoyo nyingi ulimwenguni Huu.🎉 Blessings 🙌🏾 Ciao Press like button everytime it be a reminder to come back Listen and Declare🎉
@elizabethmunyui4184
@elizabethmunyui4184 3 жыл бұрын
God saved me from a very bad accident, amenipa nafasi ingine , i will praise his name forever.......
@esbonmasanja8175
@esbonmasanja8175 4 жыл бұрын
Amina ni nafasi nyingine powerful message 💪💪💥 nitaendelea kuufurahia wakati ujao barikiwa mtumishi wa BWANA
@violethmnzava7873
@violethmnzava7873 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wake
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 Жыл бұрын
Mungu ni wa Neema naucheka wakati uliopita naufrahia ule ujao 😀❤️❤️❤️❤️❣️🤩👏🙌🔥🔥💃💃🙏
@angelinechris
@angelinechris 6 күн бұрын
The Lord's Annointed ❤
@Laurah-k
@Laurah-k 4 жыл бұрын
Am in love with the beats,the tempo ,the song itself 😍🤗😇
@peterkaruma4798
@peterkaruma4798 4 жыл бұрын
thats why youre my favorite gospel artist
@desangekahindo6745
@desangekahindo6745 3 жыл бұрын
Courage Brother Joel 🥰🥰pour cette chanson Nafasi nyingine 💪💪💪💪
@msangy4230
@msangy4230 4 жыл бұрын
Dah kwny video kuna pisi Kali sana..asee...kwa Yesu kuna kila kitu asee
@noriekaishugany3619
@noriekaishugany3619 4 жыл бұрын
Yeah,Yote yote yaani yote kama yote.aibu yote ni historia,NA God bless ya all
@justinmukena2697
@justinmukena2697 4 жыл бұрын
I love your singing because your songs inspire me a lot of prayer ...❤️ ... Combien des frères et sœurs congolais suivent cette belle chanson🇨🇩 🇨🇩?
@samsonirobert2694
@samsonirobert2694 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@mayson8061
@mayson8061 3 жыл бұрын
Kwa yesu kuna raha,shetan tupishe huu n wakat wakuufurahia
@irenechakwela6942
@irenechakwela6942 4 жыл бұрын
Umeimba vizuri ila hao wanawake hawamtukuzi Mungu siku nyingine waambie wavae kiMungu na style zao ziwe ni za kumtukuza Mungu nakuomba kupari kubadilika usiwee kama godluck imba kwakumtukuza Mungu tu J
@directorshirombugua7378
@directorshirombugua7378 4 жыл бұрын
umenipa nafasi nyingine mungu wa neema! Thank you Jesus.This song is blessing my soul.
@yasintamwita1750
@yasintamwita1750 4 жыл бұрын
Star wa mbinguni 🙏🏻🙏🏻🙏🏻❣️
@lindakabaijam5280
@lindakabaijam5280 11 ай бұрын
Daaa...nikikumbuka nilikotoka ninaishia kumtukuza Mungu tuuu...maana haikua rahisi.
@dativamachary
@dativamachary 3 жыл бұрын
Nilipitia mengi magumu, ila baada ya kuusiliza hii nyimbo nimekumbuka mbali sana
@kennedykangethe5933
@kennedykangethe5933 4 жыл бұрын
Just when I felt low and lost and He comes through... I just Dont know how but He is sufficient for me. Nafasi nyingine.
@vividchris3746
@vividchris3746 4 жыл бұрын
2020 ITS OUR YEAR LETS MAKE THIS SONG BIG.... JOEL WE LOVE YOU FROM KENYA...
@lyidiakapapa7679
@lyidiakapapa7679 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ni Mungu mwenye fursa pili Thanks God for making a second chance for me!!
@hossianaagape731
@hossianaagape731 4 жыл бұрын
Lwaga Mungu akupe hekima maana kila ukitoa wimbo nayaona maisha yang kwny hatua ubarikiwe
@marthamwapongo113
@marthamwapongo113 4 жыл бұрын
We never leave u bro mungu akubariki nyimbo zinatuhudumia kwelikweli
@faudhiahifadhi8290
@faudhiahifadhi8290 4 жыл бұрын
Utukufu adi Utukufu Mbingu zimefunguka kwajina lake 🙏
@Njihia_W
@Njihia_W 4 жыл бұрын
Attended your concert a few days ago here in Nairobi at Nairobi Chapel. I've been sleeping on you! You're a powerhouse! Your worship sessions are to live for! More grace Man of God!
@sylviakisanga7507
@sylviakisanga7507 4 жыл бұрын
uwiiiiiiiiiii We Kaka wewe Umejuwa kunifurahisha kwa Kweli .. Mungu wa Mbinguni Akutunze zaidi .. ninauchekaaaaa wakati uliopita nikiufurahia ule ujaooo ohhuh kama unabarikiwa na huu wimbo embu gonga like hapa
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 4 жыл бұрын
Happy birthday to me....asante Yesu kwa nafas nyingine....ubarikiwe sana brother Joel....amen amen amen Mungu wa neema....
@divineradiofm9272
@divineradiofm9272 4 жыл бұрын
Wangapi mna hamu kama mimi ya kuona Collabo ya Joel Lwaga ft. Jonathan Nelson? Like zenu hapa
@benadethasawe5078
@benadethasawe5078 4 жыл бұрын
Daaaah yaaan wanafanan wanimb vzur I lije
@bridgetayieko1114
@bridgetayieko1114 4 жыл бұрын
The look alike collabo
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 4 жыл бұрын
Hahaha sipat picha....Mungu afanye tuuu kwa kwel
@pendomauk2161
@pendomauk2161 4 жыл бұрын
Upo juu sana Joslin Mungu akulinde.
@catherinenyariki8649
@catherinenyariki8649 4 жыл бұрын
They look alike too
@mikekileo1186
@mikekileo1186 4 жыл бұрын
Amazing #vocal #melody #lyric #beat Yote kwa ajili ya bwana... #Joel-be-blessed
@christiana-yg3xz
@christiana-yg3xz 3 ай бұрын
2024 ...am here enjoying the God of 2nd chances
@rosemarystephano406
@rosemarystephano406 4 жыл бұрын
Mungu awe nawee katika Kaz zakoo
@metrinemei5746
@metrinemei5746 4 жыл бұрын
Thanks God for giving me another chance.....Mungu wa neema.
@ednamumbi4999
@ednamumbi4999 4 жыл бұрын
I keep smiling endlessly as I watch this video,I feel great joy in my heart ,Thank you lord .I passed my exams after a series of failing and this song makes me feel thankful and laugh at my past as I am new now,a new chance for me
@zawadiluoga1389
@zawadiluoga1389 3 жыл бұрын
Amen
@sammymutinda6346
@sammymutinda6346 Жыл бұрын
I just love this song❤it's my message in my past,nmepitia mengi,nmetenda dhambi 😢mob but God I believe u will give me a second chance to repent and come back to 🎉you. Asante Mungu
@sammymutinda6346
@sammymutinda6346 Жыл бұрын
😢😢😢😢ninaucheka wkt uliopita nkiufurahia ule ujao,I love this part 😮
@emmanuelnyandindi6430
@emmanuelnyandindi6430 4 жыл бұрын
Oooh yes naucheka wakati uliopita just because I have been given more than second chance!!!!
@mejjahjohn8146
@mejjahjohn8146 4 жыл бұрын
Nafasi nyingine👌👌👌. Ubarikiwe🔥🔥🔥
@_ENZO_MUSIC_
@_ENZO_MUSIC_ 3 жыл бұрын
Kama umeikubali hii nyimbo gonga like 👍👍
@levinamwaila7847
@levinamwaila7847 4 жыл бұрын
Kweli mungu alinipa Nafasi nyingine na kwa Imani huu mwaka unapoisha ananipa nafasi nyingine ya juu zaidi🙏🏾kama una imani kama yangu tujuane hapa watu wa mungu,well done joel👍
@julynchaila8818
@julynchaila8818 3 жыл бұрын
Amazing song ninaucheka wakati uliyopita Mungu umenipa nafasi nyingine Mungu wa neema
@janetkilonzimusic5505
@janetkilonzimusic5505 4 жыл бұрын
Hakika naucheka wakati uliopita...Glory to the Most High God!Hallelujah.
@vedastomtasha
@vedastomtasha 4 жыл бұрын
Pamojaa mzee uko vzur wale wa yesu ngonga like
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 4 жыл бұрын
MUNGU akutunze mtumishi balikiwa umekua msaada kwa wengi kwa jumbe za matumaini💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏👏
@rosebaraka4087
@rosebaraka4087 4 жыл бұрын
Sio sir nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu awe nawe kwa kila jambo🙏🙏🙏
@elegantyou1905
@elegantyou1905 4 жыл бұрын
Glory to God, the God of second chances...💃💃💃
@faithrachel7696
@faithrachel7696 4 жыл бұрын
I love this song so much I’m feeling different than before when I listen to this song keep up I give you 💯 May God keep you high from here the next one will be more higher than this one I believe in Jesus name🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪💪💪 go strong man God send you for us keep it up
@annahpatkat7229
@annahpatkat7229 2 жыл бұрын
😇🙌Mungu wa Neema amenipa nafasi ingine 😭😭😌
@maryblessing5798
@maryblessing5798 3 жыл бұрын
Dear lord am greatfull for giving me another chance.. GOD of Second chance.. Much love from🇰🇪💪🙏
@titomelekiverynice7024
@titomelekiverynice7024 4 жыл бұрын
Naucheka wakati wangu uliopita naufurahia ule ujao. Barikiwa Sana Joel lwaga
@johnsonmwilemela9035
@johnsonmwilemela9035 4 жыл бұрын
Thank you Lord for your servant.
@DeanPhilipful
@DeanPhilipful 4 жыл бұрын
My testimony of 2019. I thank God for enable me see 2020. Thank you for blessing us
@alloycejames5285
@alloycejames5285 Жыл бұрын
Nilikosea sehemu ila Mungu amenipa nafasi nyingine... I thank God
@consolatamedard2777
@consolatamedard2777 4 жыл бұрын
Jembe la Yesu ilo nakukubali sana kaka Mungu akuinue juuu Ila chunga sana kiburi kisiwe ndani yako siunajuaga Mungu wetu hapendi wenye vibur
Joel Lwaga - Umenishangaza (Official Music Video)
5:26
Joel Lwaga
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video )    SMS SKiza 9841777 to 811
5:09
Paul Clement Official
Рет қаралды 4,5 МЛН
Nikumbushe (Cover song) - Nandy
5:05
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 15 МЛН
JOEL LWAGA - MMI NI WAJUU (Official Video)
4:22
Joel Lwaga
Рет қаралды 4,3 МЛН
Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza  dial  *837*2692#
3:58
Obby Alpha 🏅
Рет қаралды 10 МЛН
JOEL LWAGA - YOTE MEMA (Official Video)
5:10
Joel Lwaga
Рет қаралды 3,4 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН