MAMBO YA KUFANYA KUONDOA STRESS - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 14,620

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 62
@julietmateru5789
@julietmateru5789 10 ай бұрын
Kaka Joel wewe Ni tunu tuliyopewa na Mungu.nakushukuru kwa mafundisho.
@joelnanauka
@joelnanauka 10 ай бұрын
Ameen Ameen
@mpwapwanewstv8204
@mpwapwanewstv8204 10 ай бұрын
Fact that is true thank u
@SophyMeshack
@SophyMeshack 9 ай бұрын
Habari kaka joel , samahani ninapitia changamoto mbali mbal sana kwenye maisha yangu hadi nahisi nmepoteza muelekeo kwenye maisha , samahani naomba unisaidie namba zako walau unisaidie
@Kiswahilifasaha
@Kiswahilifasaha 10 ай бұрын
Kaka Joel A Nanauka nashukuru mno maneno zako amabazo zinatilika na hekima mimi nipo Uganda Kampala naomba Mwenye Mungu mwenyezi aendelee kutia nguvu daima katika hii wito yako jamani neno ambalo nitaanza kijiambia kuaanzia leo ni Furaha yangu ni wajibu wangu mwenyewe .
@lilianwilfred3271
@lilianwilfred3271 10 ай бұрын
Self talk; Leo ni siku njema na nzuri sana , nitaifurahia na kuishangalia zab 118:24
@annasaye8782
@annasaye8782 10 ай бұрын
Jamani, brother Nanauka may God bless you.
@enockjoel9230
@enockjoel9230 6 ай бұрын
You always make me happy,and always am keep on winning, be blessed bro
@rashidsalum9375
@rashidsalum9375 10 ай бұрын
Naenda kuwa Bora kwa mafundisho yako
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 10 ай бұрын
Joel tunajivunia sana kukujua mapema kwasababu Vipo vitu na mambo mengi sana tunapata tafsiri kupitia wewe.tupo pamoja sana Maneno ninayopenda kujiambia SIWEZ KUSHINDWA hata kama nijambo kubwa litachukua muda kufanikiwa ila nitakufanya ty
@joelnanauka
@joelnanauka 10 ай бұрын
Nashukuru sana
@fawziyahassan5714
@fawziyahassan5714 9 ай бұрын
Thanks ❤ Naamini mimi ni mfanya biashara mzuri na muwekezaji bora kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu....Amenipa mafundisho mengi sana kupitia video zako. Nakushukuru sana kaka JOEL kwa elimu yako Mungu akubariki zaidi na akutimizie Hitajio la Moyo wako EnshaAllah.❤❤❤
@omanjalan582
@omanjalan582 10 ай бұрын
Mimi najiamini nitafikia malengo nimejiwelea kwa uwezo wa ALLAH kupitia wewe Mr joeli
@johnsoka7239
@johnsoka7239 10 ай бұрын
Thank broo, tunaombaaa utuandalieee statement na full story of his life za Albert esteeen Zi na zo motivateee ku struggle
@HaibaSalum-l5o
@HaibaSalum-l5o 23 сағат бұрын
Umeongea neno zur naend kufanya kaz asant mung akubarik
@emmanuelmashaka1769
@emmanuelmashaka1769 10 ай бұрын
Anhsantee sana kaka joel #see you at the top🙏
@McMadata-sw2hy
@McMadata-sw2hy 10 ай бұрын
Waoooo, swala ambalo kwakweli nililokua nakosa katika wakati wa mawazo ilikua ni kusakujiambia positive point, hichotu ,nakimenisumbua sana nashukruleo nimepata solitons
@user-yy3ml3yo4o
@user-yy3ml3yo4o 10 ай бұрын
Samahan Joel nlikua na shida binafs naomb unishaur sjajua nakupataje
@musankya6344
@musankya6344 10 ай бұрын
Mungu aendelee kukuweka kaka
@doreenkimbusu5100
@doreenkimbusu5100 10 ай бұрын
Mm ni Muimbaji wa kimataifa...Nyimbo za injil ❤
@CharlesMabula-u5o
@CharlesMabula-u5o 9 ай бұрын
Hogera sana kaka
@user-rd5gg2fs5t
@user-rd5gg2fs5t 10 ай бұрын
Nilipitia changamoto kubwa sana nikajikuta nadumu kwenye mawazo Hadi niliugua presha na vidonda vya tumbo, vinanitesa Hadi Leo, nashukuru sana kukufahamu
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 10 ай бұрын
Ntakua mwanasiasa Bora Sana ambae nntakua naupendo na watu wangu sana
@194summer
@194summer 10 ай бұрын
I am the best thankyou verymuch
@ZawadiMbatta-lt3yh
@ZawadiMbatta-lt3yh 10 ай бұрын
Mimi ni the best kwenye hii dunia,mimi ni tajiri mimi ni mke bora na mama bora
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 10 ай бұрын
Barikiwa zaidi kaka Joel
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 10 ай бұрын
Kaka uko vzr shukrani
@bensontemu9356
@bensontemu9356 9 ай бұрын
Ahsantee
@anselmonsumba3900
@anselmonsumba3900 10 ай бұрын
😂umetisha sana Brother, I am the best Husband🎉
@jennymwakibasi2069
@jennymwakibasi2069 5 ай бұрын
Kaka Joel nashukuru kwa mazungumzo yako kupitia mitandao ya kijamii ombi langu sio kila kitu naweza kukiweka wazi hapa naomba tusaidiwe namba ya cm yakuwezesha kuongea na wewe
@mauadumba7842
@mauadumba7842 10 ай бұрын
Mimi ni mfanya biashara mkubwa sanaa,,tangu nianze kukufatilia niko na mabadilikoo yanayoonekana kwa machoo 🙏🙏
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 10 ай бұрын
Ushauri mzuri sana. Barikiwa. Bw. Nyandwaro, Kenya.
@leticiampeka1488
@leticiampeka1488 10 ай бұрын
You are a blessing brother, thanks🙏
@user-yv2dx2ml8q
@user-yv2dx2ml8q 3 ай бұрын
Andika maandishi kaka wengine viziwi
@LameckMbembati-gd2rk
@LameckMbembati-gd2rk 9 ай бұрын
Nyundo tamu
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 9 ай бұрын
Amen
@StevePhilemon
@StevePhilemon 10 ай бұрын
Thenks brother
@elishamkumbwa6158
@elishamkumbwa6158 10 ай бұрын
Be blessed Man of God
@user-fv7mi7qx9j
@user-fv7mi7qx9j 9 ай бұрын
Asante
@jacksontumaini489
@jacksontumaini489 10 ай бұрын
I'm going to win
@Udindigwa
@Udindigwa 10 ай бұрын
Naming Katika Kuto Kata Tamaa Naamini Katika Kujaribu Na Kujifunza Naamini Katika Ushindi
@abdalahnanga6678
@abdalahnanga6678 10 ай бұрын
Asante kaka ubarikiwe sana
@Mama-A
@Mama-A 10 ай бұрын
Am happy and feeling very wealthy
@FanuelIsaya-b1y
@FanuelIsaya-b1y 10 ай бұрын
Nataka kujiamini na furahaa sina
@jesusgospelunitytv4532
@jesusgospelunitytv4532 10 ай бұрын
Thanks
@Lazaro-tq9fp
@Lazaro-tq9fp 8 ай бұрын
Mimi ni hadali sikuzote na katika kila jambo
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 10 ай бұрын
Barikiwa kaka joel
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 9 ай бұрын
Mimi ni mfanyabiashara mkubwa na nitafika mbali
@FidelisBanga
@FidelisBanga 10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 10 ай бұрын
Mimi ni mtu mkuu
@user-zl2zj1tw1u
@user-zl2zj1tw1u 10 ай бұрын
Mm najiamini,
@nasraathman8678
@nasraathman8678 10 ай бұрын
Mm najiamini
@Maulidfundi
@Maulidfundi 10 ай бұрын
🧐
@yustermayenga6991
@yustermayenga6991 9 ай бұрын
Mimi Ni mwanamke mfanyabiashara
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 10 ай бұрын
Mimi naweza kujisimamia mwenyewe
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 9 ай бұрын
I am CEO in my own company
@mahonayoramu5083
@mahonayoramu5083 9 ай бұрын
Joel nikushauri kitu Kuna huduma wateja wako tunazikosa Kwa mfano Mimi nilikuwa namatatizo rafiki yangu akanitumia clip yako inayosema vitu 4 vinavyodumisha mahusiano ilinosaidia sana pia nikawa namatamanio ya kuzungumza nawe nikapiga simu akapokea mdada mmoja nikamueleza nataka huduma ya kuongea na Nauka akasema huduma hiyo Bado haipo , tuwekee hiyo huduma maana video zako zinasaidia ila iliutusaidie vizuri huduma ya kuongea na wewe Kwa matatizo binafsi ni muhimu sio tu Kwa ajiri ya mafunzo hapana naamini ata kwenye hii video Kuna mtu imemsaidia ila Wenda anataka kusaidiwa zaidi weka namba tulipie gharama kama tunavyo nunua vitabu Mimi hapa wa kwanza nilihitaji sana ufafanuzi wavideo ilionisaidia ilinitatue nilipo kwama lakini imekuwa ngumu kukupata
@alicenice1711
@alicenice1711 10 ай бұрын
I need your number teacher Joel plz
@mushicat1288
@mushicat1288 10 ай бұрын
Hakika unanibariki sana kaka Joel
@jennymwakibasi2069
@jennymwakibasi2069 5 ай бұрын
Kaka Joel nashukuru kwa mazungumzo yako kupitia mitandao ya kijamii ombi langu sio kila kitu naweza kukiweka wazi hapa naomba tusaidiwe namba ya cm yakuwezesha kuongea na wewe
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 10 ай бұрын
Asante
@jennymwakibasi2069
@jennymwakibasi2069 5 ай бұрын
Kaka Joel nashukuru kwa mazungumzo yako kupitia mitandao ya kijamii ombi langu sio kila kitu naweza kukiweka wazi hapa naomba tusaidiwe namba ya cm yakuwezesha kuongea na wewe
LIFE WISDOM: VITU AMBAVYO VIPO NDANI YA MAONO - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
ELimu ya UTT - THE TOP TEAM ACADEMY
17:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 5 М.
LIFE WISDOM : MATUMAINI KATIKA KIPINDI CHA KUSUBIRI - JOEL NANAUKA
16:49
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 143 М.
ONDOA UCHUNGU NDANI YA MOYO - JOEL NANAUKA
7:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 93 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
Aina Tano (5) Za Hofu Unazotakiwa Kuzishinda - Joel Nanauka
8:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 99 М.
AUDIO BOOK: ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO - JOEL NANAUKA
1:09:55
Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kila Siku - Joel Nanauka
9:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.