Dah wewe ni mwamba kwa kweli. Natazama video zako na Huwa naishia kusema moyoni lakini Leo imebibidi nicomment. Hongera sana
@joelnanauka11 ай бұрын
Ahsante sana 🙏🏼
@gracepamba707911 ай бұрын
Thanks alot brother
@getrudapaulo11 ай бұрын
Brother Joel Nanauka samahani kwenye hiyo swali uliloliuliza la watu watano wa karibu kama sifikishi hiyo idadi nitafanya nini ili itimie na nitajuaje ndo watu sahihi kwangu
@gerraldgready805111 ай бұрын
Nasubili kwa hamu kubwa somo lako kaka Joel nanauka
@AllyMasoko11 ай бұрын
Nanauka namshukuru mungu kunikutanisha na ww lakin pia mkuu wangu wa shule isakwisa mwakilama. Wa lufilyo sekondar kupitia yeye nimekufaham
@KassimShamis9 ай бұрын
Mkuu nimeanza kukufuata kwenye mitandao
@jamilaathumani548111 ай бұрын
Kwer hii doz kaka Joel Yan nichakula Cha akili safi,,tusaidie kisakolojia kaka nauka,,usichoke tusaidie Kwa mawazo mazur kaka
@naindwamsheri480311 ай бұрын
Thank you brother tunazidi kujifunza kila siku. God bless you
@Mama-A11 ай бұрын
Unatishaaaaa.......
@jamilaathumani548111 ай бұрын
Kaka nauka nakukubali Sana na unanisaidia Sana Kwa vipindi vyako,,Yani nipo darasan ninaposikiliza vipindi vyako,,naomba uriply kaka Mimi ni shabiki yako,,na wewe ni mwalimu wangu kaka
@amourmtungo62311 ай бұрын
Baba, mama, mpenzi au mke na watoto na at least rafiki mmoja
@emanuelchanya518211 ай бұрын
5 TOP CLOSE PEOPLE OOH SIR JOEL IT IS TASK
@rajabukingwande456711 ай бұрын
Deep matters
@kingsolomoni-xp3dv11 ай бұрын
Kaka nanauka jaribu kuwa unaongea kiswahili sana tupo wengi hatuelew siuna juwa
@mohammedrashid290611 ай бұрын
Tupo Sawa SANA brother
@RichardJoseph-w8g11 ай бұрын
Ahsnte sana kwa darasa
@_letsgrowtogether11 ай бұрын
On Wait 😢
@veronicawangari808911 ай бұрын
Happy new year Joel I love you❤❤ you are a good friend
@Chagha_lee_6911 ай бұрын
Pamoja sana
@Kidunu103011 ай бұрын
Daa dk 18 azihishe 😢 kweli weee boss unaifluence kwangu
@brackskinyozi32803 ай бұрын
🙏🙏
@elineemazakaria182811 ай бұрын
🙏🙏🙏,! Mungu akubariki kaka joel, ur knowledge transform my life kwa kiasi kikubwa sanaa
@joelnanauka11 ай бұрын
Ameen Ameen Mungu ni mwema🙏🏼
@nkurunzizalydia172011 ай бұрын
Mimi niko na wa 4 kwa kweri bora wao wakose ila wahakikishe mambo yamekaa sawa
@cloudenock616711 ай бұрын
👂📝🤔
@BrunoEmanuel-h1d11 ай бұрын
Kaka utaratibu wa kuhudhuria vipindi vyako ukoje? Natamani sana nihudhurie
@Festo-t8b10 ай бұрын
Ata mie
@_letsgrowtogether11 ай бұрын
It was real helpful to me ❤
@husseinmnubi683411 ай бұрын
❤
@faudhiasalum727911 ай бұрын
✍️✍️☝️
@MamaEsp11 ай бұрын
Sas mimi sipati usingizi ni fanyeje?
@aikajaphet110811 ай бұрын
🙏
@abdulmakongwa385611 ай бұрын
Kak Nanauka habari za asubuh hata nashukuru Sana kwa masaada wako japo tafadhl sana nahitaj kupata namba Yako ya simu ambayo ipo Whatsapp kuna jambo linanisumbua sana aisee tuweze kuwasiliana tafadhl.