Mwanangu joel God bless you nimekua nikifatilia vipindi vyako nimegundua kuwa mungu anakusudi kubwa kwako ili kuwaokoa wana wa israel wa kizazi hiki sasa, joel wanangu mungu azidi kukulinda wazushi,natamani npate mawsiliano yko wanangu,kuna neno unisaidie,
@embmacrofinance26959 ай бұрын
Huyu ndo mentor wangu kitambo,,ndo kanifanya nafanikiwa...huyu jamaa anapaswa...akupe maisha marefu sna
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Sijawahi juta toka nikufarilie,nilikua natamani nisome lakini nilikatishwa shule nikiwa darasa la nne kutokana na maisha yetu,nikawa nafanya kazi za ndani nilichoka nikaolewa mume akanitesa sana nikaachana nae akanipokonya watoto ,Mungu akanijalia nikapata kazi ,omani hivi sasa nipo nchini Dubai hakika ni kwaneema ya Mungu nimeweza jenga na kumjengea mama yangu ninahitaji siku nifungue mgahawa mkubwa Dodoma naamani inawezekana kwa neema ya Mungu. Mungu akubariki sana @Joel Nanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Hongera sana sana, Pole kwa mapito magumu na hongera kwa ujasiri wa kuchukua hatua. Keep it up, Mungu aendelee kukupigania.
@priscusaugust725111 ай бұрын
@@joelnanauka🎉
@petrosamwel252811 ай бұрын
Hellow sir@@joelnanauka
@christophermantiri13835 ай бұрын
Nimeongeza kitu kikubwa sana leo
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Asante sana professor Joel nakumbuka 2013 nilikua nafatilia passport ili naende zangu Oman 😅nikawa namwambia sister nikifanikiwa nataka kujenga nyumba nitanunua gari tutaishi km watu wengine vile wanaishi😅😅😅alinicheka wakati huo mshahara ilikua laki 2.5 tu bac imechukua muda kufika kununua kiwanja nikaanza kujenga na now tunaendea kumalizia ujenzi sasa hivi yy alieye nicheka ile siku namwambia kuhusu kujenga ndio ananihamasisha kumalizia nyumba haraka so kukataliwa tunakataliwa hata na watu wetu wakaribu maana hawaamini kile ambacho unataka kujifanya akifikiria kazi yenyewe ni kazi ya ndani sikukata tamaa kutoka kwenye shahara wa laki 2.5 mpaka sasa napata mshahara ambao kuna watu wamesoma na wapo oficn wanaringa bado lkn hawapi mshahara ninao pata na sina hata mtu wakunipa maneno mazuri ila huwa najifariji mwenyewe nikijiangalia kwa kioo najiambia never give up 😂😂😂zulfa
@joelnanauka Жыл бұрын
Hongera Zulfa kwa ushuhuda wako huu, inatia moyo na inathibitisha kuwa kama mtu hatakatishwa tamaa na maneno ya watu wengine, basi anaweza kutimiza ndoto na malengo yake.
@lutherngoma1270 Жыл бұрын
Mamboo
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
@@joelnanaukaasante sana kaka Joel Mwenyezi Mungu akuoe umri mrefu INSHAALLAH na afya iliyo njema umri mrefu afya njema ni bure nimekuwa nikijifunza mengi na kufarijika kila nisomapo vitabu vyako natama kuoaza sauti ili kila mtu asome vitabu vyako nimesoma juzi kati katabu cha mkombozi wa family kuna page ya mahusiano na family yani ni km umeniandikia mimi jmn km watu wanaweza bac wengenunua hiki kitabu na wakakisoma Mwenyezi Mungu akubariki sana hii video imenigusa sehem nyingi ni vile cwezi kueleza yote ❤❤❤❤❤
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
@@lutherngoma1270poa
@eddahhawa7471 Жыл бұрын
Mashaallah 😘🦋
@peterreiya74438 ай бұрын
Big respect Mr nanauka kiukweli bila kuficha unajua already I transform my mind because of you!!!!
@justinmwenda744912 күн бұрын
Siku zote nikikusikiliza napata nguvu umebadili maisha yangu toka 2019 nilipo maliza chuo nikiwa Sina mtaji nikakusikiliza ukanipa nguvu na Leo nimejiajiri Asante sanaaaa
@FransiscaJoseph-bg6vl9 ай бұрын
God bless you, it's very powerful speech
@NicksonKihindo-yn5ir9 ай бұрын
Bro Tokea nianze kukufuatilia January 24 hii Maisha yangu yamebadilika Sana MUNGU akupe Maisha malefu kwa lengo LA kukomboa hiki kizazi Amen
@realemma23128 ай бұрын
Tuko wengi tunao mfatilia Kwa mwaka 2024
@JanethJaneth-b5f10 ай бұрын
Yani wewe Joel ulizariwa kwa ajiri yetu naamini kila anaekufatilia lazimaaaaa atoke atua hi nakupanda atua nyingine Mungu akubariki sanaaa❤❤❤
@wisdomofbooks690510 ай бұрын
Kujiamini ni nguzo muhimu sana.Maisha ni mtihani usiyoisha maswali.Tunatakiwa kuwa imara Sana kiakili Ili tuweze kufanikisha malengo yetu.Mungu azidi kukubariki Joel Nanauka,Great Inspiration.
@selungwihengo497015 күн бұрын
Ahsante Sana Mr.Joel Mungu akupe Umri Mrefu ili tupate Elimu zaidi
@dicksonfondo30789 ай бұрын
Mimi niliambiwa na fundi wangu alokuwa akinifundisha kushona , alinambia we hauwez kufanya chochote kwa hii kazi bora ukalime nyumbani , ila sikukata tamaa nimesimama na mpaka sasa nimekuwa fundi bora kumshinda
@4lizzofficial950Ай бұрын
hakika unaishi kusudi lako bro, maana kupitia wewe mimi nahamasika nikiamini na wengine pia wanahamasika! 🙏🙏🙏🙏
@AnordSanga-o7vАй бұрын
Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu Mr.....💪💪💪
@yusufbonomali42224 күн бұрын
Believe in what you do and be yourself i
@sikituukololo116111 ай бұрын
51:42 Ninachokipata kwenye speech zako kinanipa nguvu sana. Mungu akubariki maana nimebadirika na kujifunza mengi.
@priscusaugust725111 ай бұрын
Hivi mna uhakika Joel nanauka ni mtu wa kawaida?????? Kama ni mtu wa kawaida basi mungu kampendelea sana 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎄🎊🎊🎊🎊
@adventinahevaristo95589 ай бұрын
Nani kasema wakawaida😅huyu n malaika mbona mwenye vityu vyake
@EstherNekesa-e1o2 ай бұрын
Mungu akubariki. Mungu amekutuma kuongea nami asanti mumy
@NsanzabahiziRehema Жыл бұрын
Kwaza na mushukuru mungu kwa kuzidi kunipa nafasi na ya ku endeleya kuku sikiliza Niliwayi kuwambiwa kuwa Sito weza kununuwa viwaja wala ku jenga vikanitiya hasira nikapeka hasira zangu kwenye ku pambana aliye nambiya ni ndungu ni kapata nafasi ni kasafiri Saudi Arabia mwaka 2019 nikaaza kazi ni liyaza kuku sikiliza siku nyingi ni ka tuma mtu aniwuziye vitabu byako akaniyagiziya sikujali garama ili binifikiye nili hakikisha na bipata nikaza kusoma Kwa Sasa nina viwaja na manyumba na byashara niliyo iyazisha aliye nambiya siwezi chochote ndiye niliye muwajiri na Sasa mimi joo boss wake na account ina soma vizuri I'm 26 years alhamdulillah never give up Mungu azidi kuku bariki ume nikuza ki akili ❤🇧🇮
@NsanzabahiziRehema Жыл бұрын
Shukhani Sana
@joelnanauka10 ай бұрын
Hongera sana sanaaaaaa👏🏻👏🏻👏🏻
@simonrusigwa3024 Жыл бұрын
Kaka, sina la kusema. Hongera kwelikweli. Umeletwa na Mungu. Twende mbele. Kanyaga twende ndugu yangu. Bado hujafika nyumbani. Kwa kazi hii nzuri, bado unalala chini kabisa. Na godoro bado huna. See you kuleeeeee KING
@josephlazaro253 Жыл бұрын
Maumivu ya kukataliwa ni madogo sana kuliko maumivu ya kutofanya ulichotakiwa kukifanya.KUKATALIWA MAANA YAKE HUJAELEWEKA KABORESHE TENA ULICHO LETA.When you learn more you earn more.
@JumaJuma-t1q11 ай бұрын
Good 👍
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Naam ndugu, nashkru siku moja moja unatuzawadia dakika za kutoshaa..Kama hii leo dk. 71. Somo la leo nalipokea Kama zawadi ya Krismasi & Mwaka mpya 2024. Salaam toka 🐟 Mwanza. "Usisubiri kila mtu aone unachoona ndipo uanze Safari yako"(spiritual toughness)
@joelnanauka Жыл бұрын
Sawa sawa nashukuru sana, nimepokea pia na ushauri wako🙏
@motiveperson143 Жыл бұрын
I lost my parent at a young age, and the people I expected them to lift me up don't show. Now, I have 26 years. Indeed, I have a mental toughness, but I still wanna be extraordinary and wanna improve on these 7 tips . Life never goes easy but we human beings get tough. Thank you Joel 😊 this story made me cry. Let me know which seminar of yours can i join I really like your speech.
@JamesMakasi-v2q7 ай бұрын
Joel Joel Joel you're special one nadhan inabidi serikali ikupe heshima inayo stahili
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Asante kaka kwa elimu bora na maarifa unayotupatia,mungu akupe maisha marefu,kwani elimu unayotupatia huwezi kuipata sehemu nyingine bali ni kwako tu.
@joelnanauka Жыл бұрын
Amen, ahsante sana kwa mrejesho🙏
@IbrahimuRamadhani-nc4mr5 ай бұрын
Ahsante MUNGU wangu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo,na shukrani za kipekee zikuendee ww kaka Joel Ahsante sana Kwa mafundisho Yako yanazidi kuniimarisha kuwa Bora kila iitwapo Leo mungu akubariki sana nd I appreciate you ❤❤❤
@JosephMpangala-wd5mp22 күн бұрын
Ninashukuru sana, Mungu akubariki sana, umenipa akili mpya.
@amoslugaila41134 күн бұрын
Asante sana Nimejifunza kitu kupitia hili
@IBRAHIMMTEMI-n5u6 ай бұрын
Mimi nikijana ila nimejifunza vitu vingi sana kwako Joel nanauka na nitaendelea kujifunza❤❤
@JosephMoses-y5p Жыл бұрын
Historia ya familia yangu na historia yangu huwa kila siku nikiifikiria inanifanya niiue kweli Mungu anaishi
@maryjulius5923 Жыл бұрын
Hakika nimejikuta mpyaaaa baaada ya hili somo MUNGU wangu akutunze saaana kwaaajili ya utukufu wake
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen
@EnlightnessRomane3 ай бұрын
GOD bless you uncle this is all about me...from now on am changing
@musatalange45874 ай бұрын
🎉🎉🎉maua yote ndio yakupasayo mentor of all mentors
@davielubuyih-yh7sx7 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka Joel certified life coach.
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
Barikiwa sana mentor wangu🙏✅
@DeogratiusMruma Жыл бұрын
Akuna mafanikio mazuri kama Yale uliambiawa Ayawezekani barikiwa sna kaka joel
@AlexVenance-s1b4 ай бұрын
Unachokipata nijuhudi zako,ili kiwasidia wazazi wako,mwenyezi Mungu atupe nguvu na uimamara wa kuwajengea nyumba.
@PaschalPatrick-b6m10 ай бұрын
Brother joel nilikutana na wewe karibu na mwaka tower z o office, nilisau kukuomba picha Am so excited to see One day i will meet you again if god wish
@elizabethmziray24615 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako,🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@saumumagazine-tc4cp Жыл бұрын
Mungu hakulinde Umenitoa mbali maneno yako ni zaidi ya faraja.
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ameen, nashukuru sana🙏
@tumainichanya326810 ай бұрын
Wafanya kazi za ndani hasa mlioko nje nawapenda Sana Sana sana hongereni Kwa ujasili japo mwanzo sio kitu chepesi lakini Kwa msaada wa Mungu Maisha yetu ni sawa na wasomi maana tuna alama za kuonyesha ktk utendaji kazi wetu tuzidi kupambana tu Mimi nimwenzenu Mungu hajatuacha labda tumuache sisi
@zuwenayusuph38135 ай бұрын
Nakupenda sana kaka Joel MUNGU akuinue zaidi MUNGU akuzidishie
@abeldicken8949 Жыл бұрын
1:02:57 "Kuwa na furaha ni maamzi yako wewe mwenyewe ". Nimeipenda.
@Teacherdavidmasterclass101010 ай бұрын
Mungu akulinde kaka Joeli tunajifunza mengi kupitia wewe
@LilianKeya-ci3ex4 ай бұрын
Powerful teaching barikiwa sana mutumishi wa MUNGU ❤
@PAULPAUL-v2c11 ай бұрын
Nimejifunza kitu kipya,asante sana
@LoveMiho-i3k11 ай бұрын
Tunaweza semaa wewe nkama malaika hapa dunian kazi yako nkutoaa ukomashimonii kwenye frikaa finyuu i will never go down
@ummuwawili11 ай бұрын
usikufuru
@felixngwasi9469 Жыл бұрын
Bro Joel, hongera Sana, kila niangaliapo kazi zako, napata hamasa ya kuongeza bidii katika kuboresha kuyafanya yaleambayo ni kwa ajili ya wengine kupata kufungu nguliwa kwa uzuri wa kuyafikia malengo yao kadhalika na Mimi katika yangu, mwenyezi Mungu mwenye Rehema akuongoze na kukupigania daima katika kutimiza kusudia alilo kutuma
@hyasintajoseph25899 ай бұрын
Yaaan joel Mungu akubariki tu. Nimejifunza sana
@norberthamlowe236310 ай бұрын
Asante professor. Very pure words. Filled by wisdom. Live long brother. As a society, we need your teachings. Keep going!
@joelnanauka10 ай бұрын
Ahsanteeee
@abdallahamiry16619 ай бұрын
Kiukweli kaka Joel nlikuwa nimekata tamaa mimi ila hii clip imenipa nguvu na naamin ntafanya vilivyobora zaidi na sintokata tamaa kamwee
@susanolambo97238 ай бұрын
Funzo zuri sana ktk maisha. Jitahidi sana kuifikia new generation taifa litapona
@aidanmbilinyi81842 ай бұрын
Umenigusa san dr Joel
@ZaitonahZaitonah4 ай бұрын
Ubarikiwe San mungu akulinde akupe afya uzima umri mrefu nizidi kujifunza 🙏🙏🙏
@Esromulussana4 ай бұрын
Shukrani sana kiongozi hakika kuna kitu hapa nimejifunza, Mungu akubariki sana.
@ndalahwashija627811 ай бұрын
Nimepata nguvu ya kusimama tena kwenye malengo Yangu kupitia somo hili hakika nimejifunza mambo Mengi Ubarikiwe sana Mwalimu
@AsiaOmary-w6z11 ай бұрын
Umenifunza kuwa imara mungu akubariki sana bro
@angelinamagambo8733 Жыл бұрын
Mungu akubariki kupitia masomo yako nimevuka vipindi vigumu na leo mm ni mama mshindi hakika nitaendelea kuamin yote ninayoyaona moyoni mwangu na ninaiman yanatokea.
@Lizzyktd10 ай бұрын
Tunabarkiwa sana na elimu yako brother Mungu akupe maono zaid na zaid 🎉🎉🎉
@TusaKiblaga-vp9jg4 ай бұрын
Asnte kakaangu wewe ni watofaut sana Mungu akutunze uzidi kutuamsha
@victormusoga41365 ай бұрын
Je suis 🇰🇪 kenyan et j'adore vos cour.
@langemwepesi Жыл бұрын
Chenye napenda zaidi nikuwa tunachambuliwa kwa lugha ya mama tunanauka vizuri kabisa mbali lugha za kigeni hongera sana mkuu.. ❤
@shamsaabdalah70383 ай бұрын
Nmejifunza kitu kikubwa Ubarikiwe sana❤
@EnockKagomba Жыл бұрын
Kaka nakushukuru sana kwa mafundisho hakika wewe ni mtu wa mhimu sana kwangu hakika sijutii kukufatilia Mungu akubarik umenifundisha mengi
@charlesakomba810311 ай бұрын
kwakweli nimejifunza mengi sana kutoka kwako, Mungu akutanguliye katika safari hii, umetusaidiya wengi kwakweli
@VigardSakani4 ай бұрын
hakika asante sana, nmejifunza kitu, nafuatilia kutoka kenya
@Madam2555 ай бұрын
Kaka Joel Nanauka you're the best in my life you're my mentor
@AvelinaMossy7 ай бұрын
Ubalikiwe sana kaka,yananijenga sana mafundisho yako.
@SelemaniMlekwa3 ай бұрын
Nina jitaidi sana kukufatilia agarau kile nilicho kosa darasani agarau nipate ata kidogo kwako ninacho oba mungu akulinde akupe afya jema ware tulio nahamu nashauku ya kujifuza kwako tuederee kunifuza
@salhakyande39057 ай бұрын
Joel! Nice having u
@monicakauky89147 ай бұрын
Hata mimi nilishawahi kukataliwa,lakini sasa niko vizuri sana.
@eliastanda9825 Жыл бұрын
Joel Joel Joel nmekuita Mara tatu saut yako Ni mwangaza mungu ambaliki mama ako🌟🌟🌟
@joelnanauka Жыл бұрын
Amen Ameen
@NevestWisa Жыл бұрын
Thank you very much Mr Joel Nanauka... Umeletwa kwangu katika kipindi sahihi..,, Sijutii kabisa kuangalia Video hii mwanzo mwisho,, Nimejifunza mambo mengi na nimepata Nguvu ya kuendelea na Maisha ingawa nimepitia mambo mengi sana Mwaka huu ikiwemo kupoteza Mzazi, kufeli chuo, kupoteza mitaji katika uwekezaji.... But I believe One Day Mambo yatajipa tuu,, Mungu ni mwema and I'm grateful ninaishi 💪
@priscusaugust725111 ай бұрын
Pole sana
@allanjohn719 Жыл бұрын
JOEL MUNGU AKUINUE SANA NA MAFANIKIO YAKUANDAE KWA AJILI YA KUSIMAMA KWA UPANDE WA MUNGU UWABARIKI WENGINE SANA
@isacklaizer6776 Жыл бұрын
Joel Arthur Nanauka...Top Academy safi, ila plan kufungua Chuo kabisa, ili hizi shule ziweze kuwa na mtaala rasmi, ambao hautakufa na kuondoka na wewe...Thanks for sharing this with us.
@zachariajacob6559 Жыл бұрын
no retreat no surrender!! it is not over until its over !I feel impowered impressed with your strongest and fruitful speech!! in my journey to my future endeavour!! thank you in advance!!!!!
@HusnaSultan-rm9fq11 ай бұрын
Joel..nitakuja kutoa ushuuhuda live 💪💪❤❤barikiwa kaka
@gosaizaka14952 ай бұрын
Thanks bro Nanauka
@GladnessKwesi4 ай бұрын
Mwalimu mzuri sana. Be blessed
@priscarichard9719 Жыл бұрын
Suala la emotional toughness. Asante sana🙏🏽. Emotional situation ina affect hadi uvaaji na muonekano pia🙌🏽. Ubarikiwe mno Joel Nanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Amen Amen, nashukuru sana
@mastaplan Жыл бұрын
Baada ya kutazama hili darasa kwa saa 1:03:06 nimekuja ku-comment Much respect bro Joel
@marymkamwa3779 Жыл бұрын
Knowing you at my Fifties 😂nabaki kusema "It is never late"my success is in my mind. May God keep you for this generation.
@iamqacha10 ай бұрын
Keep going no matter the age🙏
@BeldinaAbuya-zr6qi11 ай бұрын
Asante umeinipa nguvu yaku songa mbele.
@michaelsafari11 ай бұрын
Successful people always seek mentorship ,to me Mr Joel Nanauka you're my mentor
@naibethRafael Жыл бұрын
Nashukuru sana mtumishi wa Mungu umebadilisha fikra na mawazo yangu na nmezidi kuwa jasiri🤍
@dorothclement585910 ай бұрын
A wonderful being.. the heaven send guy.
@WozifonOberd2 ай бұрын
Excellence is everything Amen
@jameskileo52926 ай бұрын
POWERFUL MESSAGE (NAKUMBUKA KISA CHA SEVEN UP)
@thomasjoseph3178 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri. Naamini hatma za wengi zimepata mwanga. Ubarikiwe sana Joel Nanauka
@mathewnguyaki Жыл бұрын
Asante sana mtumishi 🙏
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Nmeikuta hii leo live nmefurahi sana nipo pamoja na wewe kaka joel
@MariamadamSalum10 ай бұрын
Nilikata tamaa nakujiona sistahili kabisa . Ila kuanzia Leo nyanza kujiona mimi ni bora zaidi naninaweza kufanya mambo makubwa pia najiona ni mtu mwingine
@AlexJefwa3 ай бұрын
Amen be blessed 🙏🙏🙏
@BaptisteMapunda10 ай бұрын
GENEOUS JOEL......Kuna Hekima ya Mungu kwenye ubongo wako....... Iyo awareness sio ya kawaida.....
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen
@naylahobra7 ай бұрын
Unasaidia watu wengi kaka mungu akupe umri mrefu ❤nakupenda sana kaka angu unachanua sana akili yangu nilikua ni mtu wa kuogopa sana watu na kuyo kujiamin lakin kila siku nakua mpya kwa sababu yako ❤
@SamAbdalah7 ай бұрын
Ni nzuri sana a elimu hiyo ulionanayo, lakn usije ukaacha, kwa maana Mungu anataka uwafungue wau watu wake ambao wako huru tayari.
@NimaNima-dh6zz7 ай бұрын
😂 mimi nawaambia familia yangu kwamba mimi ni tajir wanacheka na kunikosoa lkn nawaambia nyie subilini na napambana kweli kwel na kumuomba mungu kile ninacho kitaka na nina lmani nitakuwa boss lady soon watanisalimia kwa heshima never give up
@raheltigiya10 ай бұрын
Be blessed brother 🙏
@starlight100-o2l9 ай бұрын
22:31 very uplifting🙏
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Kaka joeli uko vizuri Nina tamani kuwa kama wewe kwenye misimamo
@joelnanauka Жыл бұрын
Tuendelee kujifunza🙏
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
@@joelnanauka amina
@Justinmax-p7n6 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana
@janetmbwana55310 ай бұрын
🙏🙏🙏leo nimepata nguvu mpya kabisa😀😀kuanzia leo sitoogopa tena rejection