From south Africa tuko live kutokea hapa wanafunzi wenzangu mpo wapi? Mbona niko peke yangu😢
@AfsaAbdul5 ай бұрын
😂
@afyamap4 ай бұрын
Nimejifunza nenda kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa na sababu kubwa. Lengo lako #1 iwe kujenga uhusiano wa kirafiki na watu walioko mtandaoni. Pili, usionyeshe bidhaa zako tu, onyesha upo kuwasaidia nini.
@saumsaid39703 ай бұрын
@daktariwamauzo Nimejifunza kwamba mtandaoni sio mahali pa kupata wateja yaani kuuza bali ni mahali pa kupata marafiki. Lazima ujue ni kwanini umetakakufanya biashara ya mtandaoni? Mtandaoni ni sehemu ya kujenga biashara kwa kupata marafiki wengi ambao badae wanaweza kuwa wateja. Dunia ya sasa mambo mengi yanafanyika mtandaoni na hasa katika kujenga biashara