Wale walio rudia kuangalia hii video 2024 wagonge like tujuane ime nipa uwezo wa kujiamini sana
@danielmyahudi13393 ай бұрын
Aisee kumbe ni miaka 6 iliyopita, mm Nilikuwa naangalia tu video
@jimmymbella9972 жыл бұрын
Hii ni kweli kaka, kitu kama hujakikamilisha huwez kukisahau kamwe muda wote utakikumbka, kama mm hapa kuna kitu nakiwaza mda wote sababu sijakikamilisha Asante kwa SoMo zuri❤️💪💪
@SengusAbihudi6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu ili uendelee kuwafundisha na wengne
@daudkwalu3563 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuendelea kuiishi ndoto yako...Nakushauri unayesoma comment hii baada ya clip hii search clip yake tittle aliipa "Nguvu Iliyoko Katika Maono" hautajutia muda wako
@kahwaanacleth55645 жыл бұрын
Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza, hasa kupitia athari za kukosa furaha, husabibisha kushuka kwa kinga ya mwili, pale unaposhambuliwa na mgonjwa ya ajabu, na pengine unaweza kwenda hospitali kila mara kupima na kujikuta huna ugonjwa wowote wakati wewe unajisikia hoi. MATOKEO YAKE PIA HUWAZA TOFAUTI, AIDHA UMEROGWA AU IMANI ZINGINE TOFAUTI, PIA UWEZO WA KUJIAMINI HUPUNGUA. Ahsante sana Nanauka coach wangu ,napenda sana maomo yako na nafatilia sana. Nataka niwe mwanafunzi wako katika ile coaching programme, naomba utaratibu wa kujiunga.
@esthermichael32215 жыл бұрын
Barikiwa Sana Joel kwa kazi nzuri naona mabadiliko makubwaaaa mnoo katika maisha yangu Japo Kuna sehemu kidogo ambayo bado unanisumbua cjapata muafaka wa wapi nianzie
@salmabanga89623 жыл бұрын
Barikiwa kwa elimu nzuri
@erikalutevele83622 жыл бұрын
Mungu wetu azidi kukutunza zaidi maana toka nilipoanza kukusikiliza nimekua mtu wa tofauti sana yaani mpaka najishangaa mwenyeye
@veronicamnubi90854 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri ya maamuzi kwa sehemu kuu tatu za maamuzi nimepati kitu kikubwa sana
@msonjojeuri5006 Жыл бұрын
1wajibika na maisha yako 2zingatia kufanya jambo muhimu kila siku 3jifunze kudeligate majukumu 4 mind reprogramming 5 sikiliza na usome kitu cheney kina kupa furaha
@anastasiamainaministries27004 жыл бұрын
Wow naskiziza 2020...nimependa Sana kutoka kenya
@radhiarajabu45843 ай бұрын
Asante sana kwa mwongozo huu nilikwazwa na jambo kubwa kifamiria nilisema nimesamehee lakini Bado kwangu halihishi nifanyeje
@alfredodhiambo44733 жыл бұрын
Nmefurahia mafunzo yako kuna mengi najua sasa naomba mungu azidi kukupea iyo hekima let God use you to heal broken hearts
@jacksonkidawile1475 Жыл бұрын
Huyu mwamba ruge mtupu kasoro jina tu 🤝🤝🤝🤝 nakubali kaka madini yako yana penya ubongon kwangu
@felisteravija19014 жыл бұрын
Ur my hero bro,kilasiku unaongelea maishayangu nashukuru mungu kukuweka ili unitibu mm.mungu akubariki na akuzidishie
@johampangala12093 жыл бұрын
Leo umeniponya magonjwa yoteee. Nilikuwa sijui hii chanel thanks bro.
@godzidendera3027 Жыл бұрын
Like za kutosha kama unamkubali huyu jamaa
@coachsportif95335 жыл бұрын
Asante sana Nanauka kupitia wew leo maisha yangu yapo mazuri ndani ya ufaransa na kila siku nakusikiliza wew kabla ya kutoka kwenye miangaiko.. Hakuna mtu wa kunichezea akili yangu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Japhet Paul hongera sanaaaa
@hassanovajunior69725 жыл бұрын
My best Mentor of all the time JOEL may god bless you Bro #SeeYouatTheTop 🙏🙏
@msikitiibrahimu19906 жыл бұрын
thanks u so much my brother nmejifunza mengi sana kupitia wewe mungu akubark sana
@adrianthobias2966 жыл бұрын
Huo ndo ukweli wa maisha.Asante sana.'Furaha ni mtu na mazingira yake.
@anordgodibless13614 жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka mafundisho yako ni tiba tosha
@grantmwakyusa19614 жыл бұрын
Mentor #Joel thank you for your mentorship,, I am going to practice and live by doing this.
@nkakenychannel28312 жыл бұрын
MUNGU aendelee kukutunza kaka umefanyika msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu
@davidandrewmarius34546 жыл бұрын
umekuwa Furaha sana Na naamini Kupitia mafundisho yako Nitafanikiwa Zaidi#Joel Nanauka love You so much Brother..Naomba Mwongozo Naitaj kunzisha Biashara
@joelnanauka6 жыл бұрын
David Andrew Marius ahsante david;pamoja sana
@davidandrewmarius34546 жыл бұрын
+Joel Nanauka aksante sana Barikiwa mno mno Sana'a..Naomba mwongozo Nianzaje biashara wazo nalo
@niccohgordon41255 жыл бұрын
nimefutilia clip zako chache broo nimegundua wewe ni mwana falsafa mkubwa sana na utazid kuwa mkubwa zaidi duniani, mungu aendelee kukupa nguvu na afya ili kizazi kichojaribu kupitia clip hizi kifaidike zaidi. nimeanza sasa kukufuatilia kaka. stay blessed forever broh.
@joelnanauka5 жыл бұрын
niccoh gordon Ameen nashukuru sana
@dorcusmo68173 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana
@joshuakaminyoge49545 жыл бұрын
Joel nanauka kuna siku nitakushuhudia kubadili Mindset na maisha kwa insparation zako Mungu akubariki
@kpetres28724 жыл бұрын
Nilitumia week mbili na sehemu nahangaika kumbembeleza mtu anikopeshe bila mafanikio, nilivoskiliza hapa TU nikajua maisha yangu yananihusu mmi kuyangaikia,, Leo hii nakwambia nachoma chapati na watu wametoa mwitikio naingiza kipato😥😥😥😥
@ibraahkria51572 жыл бұрын
Nakubali xana
@ibraahkria51572 жыл бұрын
Nimejifunza sana
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Tunajifunza Sana bro!!
@pharmacistantykamaleki56425 ай бұрын
Hongera deat
@zulferabour6076 жыл бұрын
daaaaaah yan n kwel kbsaaaa lkn kuptia ww nmejfunz meng wallah......nkpnd w kaka...mungu akupe umr mref uzd kutufundshaaaaaaaa
@sarahmhina43596 жыл бұрын
Safi sana brother Joel, nimefurahi sana kusikia mafundisho yako. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri. Naamini umeokoa roho za watu wengi kwa hiki unachokifanya. Da! Be blessed bro
@gadafibinthadei6023 Жыл бұрын
asante sana kaka
@trillhappybeautypoint98743 жыл бұрын
Kaka Mungu akuinue kwa viwango vya juu sana coz nafatilia sana masomo yako na ninasonga mbele.
@suleshkasim43223 жыл бұрын
Mamb dada uko sehem gan dada
@emmanueljohn33873 жыл бұрын
Asante sana kk umenielimisha sana Mungu azidi kukubarik
@ericsaul41866 жыл бұрын
Yet another great educational talk. Big up Joel -:)))
@magneticofficialtz4 ай бұрын
Nimeanza kuwa mtu mwenye furaha sana baada ya kuwa nafuatilia masomo mazuri kupitia channel hii ahsante MUNGU 🙏🙏🙏
@brhchannel66186 жыл бұрын
Thanks I learn something from you brother.
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Watching it again and again be blessed brother joel @kenya
@katigizuAlexander15 күн бұрын
Mungu akubariki kabisa brother
@a.p.monlinetv35615 жыл бұрын
Asante sana bro Unatusaidia sana katka mambo mbalimbali
@aidansemmanuel85465 жыл бұрын
Brother ur a teach of life.
@lidyampazi81675 жыл бұрын
Asante kaka, mungu akubariki sana, naamini nimejifunza kitu kutoka kwako
@Tom-1717 Жыл бұрын
Nakufatilia pia nakuelewa sana nafanyia kaz maneno yko ipo siku ntakufata mbele ya macho yko
@shideashidea55705 жыл бұрын
Joel Mungu akubariki sana maana hekima hii n kubwa sana kutufundisha yale ambayo yanatupa Nuru ya kusonga mbele
@sheilachemutai59713 жыл бұрын
Asante sana Joel umenifunza mengi mungu akusaidie
@ShemsaKombo6 ай бұрын
Asante kwa ushauri wake mzur
@HassanHassan-qo2yu4 жыл бұрын
Nakuaminia bro Sana kaz nzuri
@amnasalumu75346 жыл бұрын
nashukuru sana maana unibadili kimtazamo kila siku
@judithmbwilo74705 жыл бұрын
Thanks so much brother, nimejifunza kitu kipya leo!
@ramadhanalmashamza34582 жыл бұрын
Asante sana kaka mungu akubariki your the super hero
@magrethjoseph5894 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka angu
@aminathoya42656 жыл бұрын
Shukrani kwa mafundisho mazuri yenye faida maishani
@johampangala12093 жыл бұрын
Ahsante sana ubalikiwe
@safinabambanya30655 жыл бұрын
The concept is very helpful.. thank you brother you have awaken my mind
@ellysilwani92875 жыл бұрын
Asante kaka kwa Elimu hii..
@richmahegah77406 жыл бұрын
safi xana brother coz unatufundisha mambo mengi sana,
@assamwakasanga35706 жыл бұрын
Asante San kak Joel Arthur nanauka huwa tapata hamasa ya Kufanya Vitu zaidi na zaidi
@joelnanauka6 жыл бұрын
Assa Mwakasanga ahsante Asa naamini utafika mbali
@assamwakasanga35706 жыл бұрын
Amin Kaka Joel Arthur nanauka..
@janethandrea872 жыл бұрын
Kaka Asante sana yaan nimejifunza nafanyia kaz
@rahmahussein40196 жыл бұрын
Powerful speech , thank you bro .
@yassinlisa61683 жыл бұрын
Nafurahi sana kusikiliza kwa Kiswahili 😊
@gindupeter91636 жыл бұрын
Ukweli katika maisha yangu yamekuwa ya kubahatisha yani sizingatii wajibu wangu ahsante sana
@rukiaeliaszadock70715 жыл бұрын
Kweli kbsa broo anaeleweka
@johnsonemmanuelbenedicto20384 жыл бұрын
Asante saana s6jui nikulipe nini dhaa aise mungu akuongezee kipaji
@ramadhanmohamed76685 жыл бұрын
Asante sana brother joer una2fundisha mambo ya msingi na yenye ku2jenga maishan. Mungu akupe umri mlefu. Ili 2endelee kunufaika na mafundisho yako mazuli. Mimi Niko. Dar. Naitaji vitabu vyako je? Nitavipaje na nitavipata wapi?? Naomba unipe maerekezo jinsi ya kupata vitabu ntashukulu ssna bro joer.
@JamedJames Жыл бұрын
Big up broo, tns for tell us on how we can time time before time time us more tns
@aminaibrahim36563 жыл бұрын
Uko vzuri Mr Joel Nanauka nice talk
@anandepallangyo41773 жыл бұрын
Kaka wewe ni wa muhimu sana alooo your the best
@inocentkaiza87913 жыл бұрын
Broo nimekubali hiyo point yakukosa furaha maranyingi napokuwa kazin uwa napoteza uwezo wakufanya kazi zangu kwakukosa furaha
@asyamaulidi78576 жыл бұрын
Maneno yako Ni sahihi Kaka Joel Wala hayahitaji marudio kwani yanaeleweka vizur Sana Ubarikiwe na mungu bila Shaka wewe Ni chaguo la mungu kwa Tanzania yetu
@victoriajacob61822 жыл бұрын
Naamini kupitia inspirations zako nitafanikiwa na nitaleta ushuhuda.
@felisterabed743610 ай бұрын
Ukweli mtupu jisemee be blessed Kaka
@malalezengo44056 жыл бұрын
hongera sana nanauka wetu mwalimu wamaana sana umenibadilisha sana
@michaellukas39146 жыл бұрын
vizr Sana kiongozi Joel nanauka nimejifunza mengi Sana Mungu awe Nawe Naomba uniambie Arusha vitabu vyako znapatilana wapi
@FelixNdayishimiye-q9o7 сағат бұрын
Thank you
@francisdaimon77056 жыл бұрын
Hakika mungu akubarik kwan umekua baraka sana kwangu
@joelnanauka6 жыл бұрын
Francis Daimon Ameen nashukuru sana
@fikikenya14013 жыл бұрын
Very helpful
@gindupeter91636 жыл бұрын
Nashukuru Sana kukujua naimani umenisaidia pakubwa Sana! Of course I will be there for you and I don't want to go back in my life !
@violethndowo-fr3rc7 ай бұрын
Nakushukur kakaang mana unatusaidi weng
@alicempuya52383 жыл бұрын
Unanibariki Sana, na wewe Mungu akubariki
@athumanikigolo87533 жыл бұрын
Hongera cna kk
@michaeltimoth3663 жыл бұрын
Golden hour....I will work on this one
@Anord-u3n4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana joel
@sumafrank44276 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafundisho haya mazuri
@rizikimoshi47986 жыл бұрын
nashukuru bro kwa masomo yako hakika mungu hatakulipa
@angeltairo68836 жыл бұрын
My mentor paster God bless you
@joelkilasi13816 жыл бұрын
Mr Joel nanauka amenibadilisha vitu vingi sana katika maisha yangu kwanza mindset yangu
@joelnanauka6 жыл бұрын
Ahsante sana wajina,nafurahi sana kusikia hivyo
@araphaiddiy7663 жыл бұрын
Yani kaka nakufatilia kila nikiamka nakufatilia najikuta napata nguvu kuisaka pesa kuweka akiba na kupunguza matumizi yangu MUNGU akubariki
@kambonajoseph9243 жыл бұрын
U really talk truthful in all God bless u
@merykyungai255111 ай бұрын
Professional always we love you
@mericktamba79812 жыл бұрын
Niceee brazzzzzaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💫💫💫💫💫
@joelllemi78493 жыл бұрын
kwakwel kaka nimekuelewa sana be bless
@catherineandrew73922 жыл бұрын
Wewe n chaguo la mungu kbsa
@ntiruvakureismael7174 жыл бұрын
Hiiiyo example yakuwapa wengine watu majukumu nisawa ila mbona watuwsligeuka
@majaranyonyo21254 жыл бұрын
Vizur xn brother
@NuruNuruh-kc2ff Жыл бұрын
Nashukuru nanauka ume ni motivate sana
@robertshemaonge60006 жыл бұрын
nashukuru sana kwa kutupa iman ya maisha
@geofreykomba10076 жыл бұрын
Elimu nzuri, big up Mr.
@khadijarashid55486 жыл бұрын
Kazi nzur Sana bro unanilisha madin
@jenisanga22813 жыл бұрын
My God bless u
@mariamogelasanayohana74424 жыл бұрын
asate sana tukopamoja kwakirakipidi unacho kito nakufatilia san
@swalehebaraka40286 жыл бұрын
tuna shukuru kwa somo be blessed
@joelnanauka6 жыл бұрын
Swalehe Baraka karibu tena swalehe
@magrethfulgence78882 жыл бұрын
Nimefurah sana kwa somo nzuri, naomba no ako kaka kuna kitu Naomba unishauri
@hunterjungle63432 жыл бұрын
Shukran brother
@margueritnyingani88446 жыл бұрын
Also let them know that it's important to start the day with prayers and reading the bible.
@alphoncemtola974 жыл бұрын
God bless you joel
@ibraimoissiaca60584 жыл бұрын
How If I'm not Christian ? You have say to submit to God only
@etiennekwizera87624 жыл бұрын
This one is too important. Japo ni ngumu kwa vijana, ila ni muhimu kwa kuwa ndani ya Biblia, kitabu kitakatifu, yote tunayoyatufuta yamwo ndani
@frida-oi6kw4 ай бұрын
@@ibraimoissiaca6058 yeye kasema kwa imani yake...
@mosimgeni20865 жыл бұрын
point taken brother we will be together at the top