MAFANIKIO YAKO YA KESHO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 15,341

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny Жыл бұрын
Umenigusa sana brother mungu akubaliki kwamafunzo unao Tupa Kira day
@mosesmargana431
@mosesmargana431 Жыл бұрын
Watu wengi awapendi mafanikio ya watu wengine na wapo negative kila wakati
@johnmaduhu9435
@johnmaduhu9435 Жыл бұрын
Hapo umenigusa sana kaka huko nyuma nishawa jiunga na magroup mengi ya udaku na ujinga nilipoteza mda wangu na fedha katika kufuatilia nonsense za mitandaoni
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka @Joel
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli kaka unachokesema,katikamitandhao watu wanapendha sana mshenee ila hawatakimafunzo,lakini kilamtu akonauamzi wake mwenyewe .asanate sana kwa mafunzo yako kani kwaghu mimi yananifaa sana
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Unachokisema nikweli brother ubarikiwe.🙏
@safarikakuru277
@safarikakuru277 Жыл бұрын
What you say is true, only want to know what to do if it is your wife or husband who is negative and you live together with him/her?
@RichardYohana-oh2vi
@RichardYohana-oh2vi 9 ай бұрын
Sana kak umenibadilisha sna
@lamackmwalwanda1004
@lamackmwalwanda1004 Жыл бұрын
Ni kweli kama matokeo ya darasan ya kufaulu mitihan ndo iko ivo watu wenye uelewa mdgo hujenga urafiki nawale wanao faulu sana hiyo nmeipima kwa rafiki zangu wawili Edbus na Enfriz na walifaulu na leo umeniongezea uelewa kuhusu marafiki na wengne waweza kuja kwangu kumbe wanahitaj njia ya kuwezeshwaaa Asante kk Nanaukaaa umenipa assignment ya kufanya 🙏🙏🙏
@munaissa2529
@munaissa2529 Жыл бұрын
Our destination is detamined by our association.
@pasakamwinuka-3319
@pasakamwinuka-3319 Жыл бұрын
Broo upoo vizuri sana mungu akubaliki
@MasaweBeda
@MasaweBeda Жыл бұрын
Nice ❤
@johnfideli1450
@johnfideli1450 Жыл бұрын
asante kwa mafunzo
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 4 ай бұрын
Asante sana
@Baraka757
@Baraka757 Жыл бұрын
Shukrani sana kiongozi 🙏
@mussamwinjuma3628
@mussamwinjuma3628 Жыл бұрын
Upo sahihi Mr pamoja Sana
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@fridalifa7575
@fridalifa7575 Жыл бұрын
Well said bro@Joelnanauka👏👏👏
@AminaMtengela-z1q
@AminaMtengela-z1q Жыл бұрын
nice
@pauleugenumbu-6756
@pauleugenumbu-6756 Жыл бұрын
I thanks all the time because of lesson that I got from you and for me I compare like fuel in the car bcse without fuel you can't drive a car
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen Ubarikiwe
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Жыл бұрын
thanks Engineer Nana
@abdiabdi8513
@abdiabdi8513 Жыл бұрын
🤝🤝🤝
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Unachokisema nikweli brother ubarikiwe.🙏
@marcopeter4091
@marcopeter4091 Жыл бұрын
Asante sana
@fatusfredrick3879
@fatusfredrick3879 Жыл бұрын
Nakukubali Sanaa kaka..
LIFE WISDOM : FANYA MABADILIKO HAYA UFANIKIWE - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
LIFE WISDOM : ILI UFANIKIWE KWENYE KITU CHAKO - JOEL NANAUKA
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
SIKILIZA SAUTI YAKO YA NDANI - JOEL NANAUKA
6:20
Joel Nanauka
Рет қаралды 34 М.
UWEZO WAKO UNAWEZA KUKUNYIMA NAFASI - JOEL NANAUKA
6:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 87 М.
LIFE WISDOM: MAMBO MATANO YANAYO UA NDOTO YAKO - JOEL NANAUKA
9:07
Nanauka Super Thursday
50:20
THE MILLIONAIRE COACH
Рет қаралды 6 М.
WATU WALIOBEBA MAFANIKIO YA WATU WENGINE - JOEL NANAUKA
6:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН