JOKATE VS HAMISA MOBETTO / BIFU ZITTO !!

  Рет қаралды 11,942

Original East Media

Original East Media

Күн бұрын

#exclusive #originaleastmedia #hamisamobetto #jokatemwegelo

Пікірлер: 24
@faithjoseph6641
@faithjoseph6641 3 жыл бұрын
Jokate hakupaswa kumuunfollow hamisa kwasababu siku zote hamisa anaonekanaga hanaga bifu na wanawake wa Maex zake alafu jokate anatakiwa amuheshimu hamisa sana kwenye msiba wake hakuna msanii aliyehudhuria ni hamisa tuu daaah sema jokate kapuyanga sana.....
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Kwenye msiba wake? Au kwenye msiba wa baba ake joketi?
@faithjoseph6641
@faithjoseph6641 3 жыл бұрын
@@walaaabdallah3236 Wa baba ake
@bahatiali1965
@bahatiali1965 3 жыл бұрын
@bahath memes hapa misa si alisema hajawai kuwa na Mr vunja vunja wadada🙉🙉🙉🙉🙉🙉
@celinekanda1850
@celinekanda1850 3 жыл бұрын
Jokate mshenzi
@rashidibakari8689
@rashidibakari8689 3 жыл бұрын
Mchafuzi tu alitulia alikuwa anamuogopa aliempa U DC sasa hayupo anaanza upekepeke
@faithjoseph6641
@faithjoseph6641 3 жыл бұрын
Aliyeanza kumuunfollow mwenzie ni huyo mbuzi jokate......😏
@khadijamillanzi5273
@khadijamillanzi5273 3 жыл бұрын
kwan lazima afuatilie hamisa si maamuz yake
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Mbona wazur kuolewa hamna mnachezewa tu jaman mhh
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 3 жыл бұрын
Jocket siku zote mtu akipanda juu wengi hua wanashusha.we achana na Hao wanaotaka kukushusha .sidhani kama Jocketi na cheo chake anaweza kujianika kwa Tabia mbaya hata Kama ni mtu wake hawezi kujiweka wazi .piga kazi achana naye
@mercymbuvi4154
@mercymbuvi4154 3 жыл бұрын
We missed you east
@sweetbethacesca5555
@sweetbethacesca5555 3 жыл бұрын
Wa kwanza jamn💖💖😂
@thelifeofmwajabu1086
@thelifeofmwajabu1086 3 жыл бұрын
Na sign in
@meedahasger2715
@meedahasger2715 3 жыл бұрын
@new_kondegirl was here , watching all your videos 🤗❤
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 3 жыл бұрын
Wa pili jamni🤩
@marymayanja4672
@marymayanja4672 3 жыл бұрын
Hamisa hajawahi kukiri vunjabei wana date. Hayo kwa mastaa wa bongo wazoea kubadilishana cha ajabu ni nini mbona yeye alimchua Diamond. Hizo ni shida zao wameamua mapenzi ya kufichwa usiumie. Endeleeni kutumiwa ka toilet paper ujana unamwisho halafu mkishindana kwenye ligi ya mabwana msitafute huruma tafuta danga lingine ok
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 жыл бұрын
Ata na daimond hakuwaig mkubali so ni tabia yake kuficha ficha na ukiona star yeyote anaficha mausiono jua ni danga .. anao wengi .. mtu unamkana mwisho wa sk mtoto cheee
@ikupaisaac2635
@ikupaisaac2635 3 жыл бұрын
Mapensi
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 3 жыл бұрын
Huyu muheshimiwa mbona anajishusha ila jocket si Nec atamsaidiane vunjabei kwenye siasa 🤔
@nainai9623
@nainai9623 3 жыл бұрын
Tuseme mnashindw kuelewa au vp mana apo mwanamme nd anaetongoza ss cha ajab nn kwan huyu misa yeye si fundi wa nyaku nyaku akae kw akutulia doz ipenye🤣🤣🤣
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Wote manyakunyaku kumbe
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 3 жыл бұрын
Unaakika alijiwahi, au ni ukweli, wewe ukianiniwa autajianinisha, je unaakika J alipatwa wivu, dawa yenu serikali ianzishe tozo la uhongo, hicho ni chanzo cha kipato serikalini,
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 3 жыл бұрын
Penda sana
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 3 жыл бұрын
Nae si ahamie simba
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 2,2 М.
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
PRINCESS TIFFAH AFANANA NA BIBI YAKE UPANDE WA MAMA ZARI THE BOSSLADY !!
12:21
ANJELA AMTOLEA UVIVU MWIJAKU BAADA YA KUMCHONGANISHA NA MABOSS ZAKE
4:23
GIGY MONEY” BABALEVO AWAHESHIMU MALAYA !!
25:23
Original East Media
Рет қаралды 415
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 2,1 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 102 М.