Joseph Selasini "Amvaa" Spika wa Bunge, Mpina kupelekwa kamati ya maadili amtaja kupambana na rushwa

  Рет қаралды 36,965

SAUT DIGITAL

SAUT DIGITAL

Күн бұрын

#SAUTDIGITAL l #HABARI l #michezo l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates

Пікірлер: 157
@Alphonce223
@Alphonce223 3 ай бұрын
Upo sawa kabisa. Wanataka kuficha ficha ufisadi
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 3 ай бұрын
Mh Serasini tunakuunga mkono Mpina anaonewa mara nyingi hutoa hoja sahihi lakini zinazimwa. Wamuache atutetee
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 3 ай бұрын
Hatuna spika.Hatuna wabunge.Nchi imekwisha.WANANCHI TUAMKE.
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Asante sana Therasini upo sawa
@zuberihamisi460
@zuberihamisi460 3 ай бұрын
Wabunge wa Tanzania sio wabunge ambao wapo bungeni kwa masilahi ya wananchi ,wapo kwakutetea masilahi yao tu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Joseph Selasini.Huyu spika badala ya kumlinda mpinga rushwa na ufisadi na mafisadi yeye anawalinda mafisadi.Huyu ni spika wa hovyo sana huyu.
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 2 ай бұрын
WATANZANIA TUPO PAMOJA NA MTETEZI WA WANANCHI MH; MPINA. 💪💪💪💪💪💪💪 MH: 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 MUNGU AKUBARIKI SANA MH MPINA
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 3 ай бұрын
Hongera MZEE Joseph
@judithsarahmasanja550
@judithsarahmasanja550 3 ай бұрын
Spika wa Bunge unatukosea sana Watanzania. Tunaomba umrudishe MH. MPINA BUNGENI.
@johnboscomasumbuko1073
@johnboscomasumbuko1073 3 ай бұрын
Upo sahii mzee
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 3 ай бұрын
Tupo nyuma ya mpina na tunaona kinacho endelea mpina 💪
@SophiaTafuna
@SophiaTafuna 3 ай бұрын
Speaker bora jiuzulu
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 3 ай бұрын
Selasini upo vizuri umetetea ukweli
@TakasiSulle
@TakasiSulle 3 ай бұрын
Ndiyo muelewe kwamba inchi inahitaji katiba mpya sio kushangilia maagizo ya ccm
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 ай бұрын
Selasini hoja zako zinamashiko.
@RaphaelElikana
@RaphaelElikana 3 ай бұрын
Wananchi wa Kenya nimewakubali wanajitambua
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Ccm ina kazi kweli kweli haitaki ukweli katiba ya ccm inasema kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Tulia yupo kukandamiza wabunge wanaojitambua
@emmanuelmayuma3466
@emmanuelmayuma3466 3 ай бұрын
Hongera selasini.Bunge la hovyo
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 3 ай бұрын
Point kabisa.. Spike haifai hatumtakiu cc wananchi
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 3 ай бұрын
Kuna wabunge wanamlinda Bashe.m hii Ni hujuma ya wazi wazi hatukubaliani ..Tulia amekosea sanaaa .Ni dhambi ya waziwazii
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 ай бұрын
Wao wazunguke tu, lakini ukweli tunaujua na mpina anapogania Taifa la Tanzania na wananchi wa Tanzania kwani siyo kwa manufaa yake na yeye
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 3 ай бұрын
Ukozr sana spika anamkingia kifuwa waziri bashe
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 3 ай бұрын
Hapo kuna dalili za kuendeleza rushwa kwa kuptia zuio la kumzuia Mpina kusema kweli? Au tusemeje nje ya Bunge? Je, Mpina hajaonewa na Watanzania. Hoja na tuhuma dhidi ya Waziri husika na sukari? Hivi kweli? Taarifa ya Mpina itawekwa wazi? Ufisadi upigwe vita nchini. Mungu ibariki Tanzania.
@SaraLuoga
@SaraLuoga 3 ай бұрын
Tulia tutawahukumu kwenye masanduku ya kura,bunge lako la kulindana,mnatukela sana wananchi
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 ай бұрын
Hata speaker akizuia lisijadiliwe lakin sis wananchi tumeshaona na MUNGU anaona
@lucascosmas908
@lucascosmas908 3 ай бұрын
Dah kweri ukweri una ishi ongera mpina sisi tunajuwa kuwa ilo bunge ni bunge la mapambio ivyo kwa sababu iyo usingeweza kutoboa apo sababu umesema ukweri na kutetea wana nchi
@drallan6879
@drallan6879 3 ай бұрын
speaker hututendei haki;
@MwigaAdam
@MwigaAdam 3 ай бұрын
Tanzania ya CCM iyo kubebana na kulindana ndio ngao yao.
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Spika amejawa kiburi Sana anafikiri bunge Ni Mali yake sivyo bunge ni Mali ya watanzania wote
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Kuna mawazir ambao hawagusiki katika utawala huu wa mama yetu wanavurunda watakavyo tena kwa ushahidi lakini mama yuko kimya hata wabunge wanawaogopa maana ukiamka kuwasema tu hao kipenzi cha mama utasikia mjinga mmoja anaropoka taarifa taarifa ili kupoteza muda katiba mpya ni mhimu sana watanzania ili kuondoa huu umungu mtu wa rais
@thabitimadabali1726
@thabitimadabali1726 3 ай бұрын
Kaka hoja yako iko sahihi kabisa
@davidMwita-oz5gg
@davidMwita-oz5gg 3 ай бұрын
Spika ni mlizi wa viongoz wa serikal bungen
@epimackjohn461
@epimackjohn461 3 ай бұрын
Uamuzi huu unaweza kumpunguzia SPIKA sifa sana nchini , kaliendea mbio sana , na anaweza akaipunguzia CCM idadi ya kura kadhaa maana uamuzi wa SPIKA haujaridhisha watu wengi sana maana wanaguswa na tatizo la SUKARI na sababu imeanikwa na aliyeadhibiwa .
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Apungukiwe sifa mara ngapi? Vipi suala la kampuni ya kiarabu DPW alivyosimamia upitishwaji wa sheria tata kwa sehemu ya nchi isiyo na mamlaka (part of contry/state) kuingia mkataba na nchi (state)?
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 ай бұрын
Wananchi wanahaki Mpina yuko sahihi na tunamwuunga mkono
@migerajacob581
@migerajacob581 3 ай бұрын
Hatuna bunge/spika makini wa kutetea masrahi ya watanzania, Wana nchi tuna paswa kupiga kelele Kwa nguvu,
@chedijohn2270
@chedijohn2270 3 ай бұрын
Mbona bunge pamoja na,spika,wamenyamazia ripoti ya cag,mpina hoyee Mungu yupo pamoja nawe kaza buti kwa,mafisadi endelea kuwafichua majizi ndani ya ccm .
@AbuubakariKanuti
@AbuubakariKanuti 3 ай бұрын
Sipka ajiuzulu
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Mzee therathin upo sahihi, na sio maamuzi ya spika,
@jacobsimion5957
@jacobsimion5957 3 ай бұрын
Waache kunadamizaji
@ashirikavella6401
@ashirikavella6401 3 ай бұрын
Shida wa Tanzania wamekalia upumbavu sio haki zao
@jorammasunu7040
@jorammasunu7040 3 ай бұрын
Point
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 2 ай бұрын
Mpina arudi Bungeni hatutaki brablaa watanzania tunauelwa wa kutosha sana na Tanzania tunaviwanda vingi sana vya sukari Bashe kama umeshindwa kuitendea haki hiyo kazi ya uwaziri achia ngazi watanzania wapo wengi tu walio soma na hawana kazi u haguzi huo umewadia watu wagombeee ubunge uwaziri utawakuta huko nakama utanzania umekusjinda rudi huko Somalia kawaebdeshe huko halafu uone
@salarose5980
@salarose5980 3 ай бұрын
Safi sana mchango wako,raia hawaja hukumu ila wanataka wajue serikali itatoa maamuzi gani?
@RaphaelElikana
@RaphaelElikana 3 ай бұрын
Kifungu cha 34 nyaraka zilikuwa zimeshawekwa mezani tayari ,tatizo liko wapi ?
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 3 ай бұрын
Speaker ambaye haijawahi kutoka Tena ni WA mbeya mwenzangu ila Cha moto atakiona mbeya
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 ай бұрын
Nchi imekuwa ya kulindana haijalishi umekoseya au hujakoseya zaidi wanalindana
@LushugembeMboje
@LushugembeMboje 3 ай бұрын
Salasin kumbe bado uko sawa kisiasa mimi tukopamoja na wewe mpina yuko sawa wizi umezidi mno serikalini.
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 3 ай бұрын
Spika Tulia hana akili hata kidogo Ninadhani hata PHD aliyosoma ana GPAless siyo bure siyo kwa ujinga huu
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Duu, sijui anasoma hizi comments
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 3 ай бұрын
Jamani watanzani tuchukuwe hatua ya kuhamasisha family zetu tuungane tukachaguwe viongozi watakao jali shida zetu na kutatua
@kamarakusupa5456
@kamarakusupa5456 2 ай бұрын
Bunge siyo Mahakama kiasi kwamba lililoko Bungeni lisijadiliwe na wananchi. Tafsiri sahihi ya Bunge ni kwamba hiki ni kikao cha wananchi kwahiyo haitatokea kikao cha wananchi kikawa na siri isiyotakiwa kujulikana na wananchi
@PetterMasika
@PetterMasika 2 ай бұрын
Wanna chill wote Tanzania Mpina Kaonewa Haki ya Mungu Mbunge Josephu Kasuku Msukuma Wilistoni Lusunde Spuka Akinsoni Tuliya Kwa Uonevu Mlioufanya Kwa Mbunge Halali Mweshimiwa Luhaga Mpina Mumejiondowa Wenyewe kwanye.Maamuzi…Hata uamuzi wa nyumba kumi kumi Nimesukuma kuandika hili Hamupo
@ufundi_tz
@ufundi_tz 3 ай бұрын
bora enzi za kikwete
@MussaNdalugilie
@MussaNdalugilie 2 ай бұрын
Mpina Yuko sawa wabunge wote jifunzeni kwake mtutetee
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 3 ай бұрын
Mafisadi wengi sana nchiiii hiiii
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 3 ай бұрын
Mpina mnampaisha na wa tz tunaanza kuelewa acheni kupika uovu
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 3 ай бұрын
Tulia wewe ni mwanamke na mama wa watoto nchi hii ikiingia pabayaMungu atakulipa maana badala ya kutetea wananchi unatetea maovu kumbuka ulivyokuwa unawazodoa Aida Kenani na Halima Mdee kuhudu mikataba ya bsndari je hiyo ndiyo kazi iliyokupeleka bungeni kukandamiza wanachi?
@albinombungu4294
@albinombungu4294 3 ай бұрын
RAIS AVUNJE BUNGE LA TANZANIA
@BenardNdotto
@BenardNdotto 3 ай бұрын
Uko sahihi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Uko sahihi mh.Selasini... kwamba sasa tunataka kusikia tamko la Rais kama kweli hapendi rushwa kutoka rohoni mwake kwasababu wananchi hatutegemei kuja kusikia tofauti na hatua kali kwa Waziri Bashe na wenzake kutoka kwa kamati ya maadili na spika mwenyewe vinginevyo tutaelewa kuwa pana biashara haramu serikalini... hoja ya Mpina ikomeshe mchezo huu!
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Spika yoyote anayetokana na ccm siyo spika bora mwisho wa kunukuu
@LusekelokyambaKyamba
@LusekelokyambaKyamba 3 ай бұрын
Tatizo hili nchi niyakibabe mpinga ameonewa
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Hapa ndo namkumbuka marehemu samwel sitta aliyekuwa spika wa bunge kwanza alikuwa mtenda haki wakati Wa shughuli za kibunge inapokuja maslahi ya nchi si huyu
@matiredms917
@matiredms917 3 ай бұрын
Bwana Selasini usidanganyike kuwa Rais hahusiki katika suala sukari. Samia anahusika moja kwa moja vinginevyo angalikwishatoa kauli yake. Usimtetee Spika hapa.
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Hapa nakuunga kama raisi anakataa rushwa wakati hakemei wala shughuliki
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 3 ай бұрын
Spika NI mteyezi wa wala rushwa, wenye viwanda na matajiro wabiaashara ya sukari wamemuweka mfukoni kwa kuwa ameishapokea rushwa.o Tulia, Mwigulu na Bashe NI MAJIZI washitakiwe na waondolewe madaraka Yao.
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 3 ай бұрын
Tatizo wamezoea upigaji....
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 3 ай бұрын
Bunge nichombo cha ccm kinacho saidia kuiuza Tanzania ,Yani bunge la wabunge watanzania halitakiwi kuwepo bunge hili ndolinalo mpa laisi nguvu ya kuiuza bandari ,wamasai hawanakwao misitu kuuzwa gesikupandishwabei,nk ,BURKINAFASO NAWAUNGA MKONO KWA ALILOFANYA TAOLE
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 3 ай бұрын
Nchi hii bado ina Viongozi wabovu sana
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 3 ай бұрын
Ndugu Selasini umesema vema kabisa.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 ай бұрын
CCM asilimia kubwa ni mafisadi ukiwa msafi unapigwa vita hata kuuawa.
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 3 ай бұрын
Kiongozi wa Ccm anayetetea wananchi amebaki Makonda, na Mbunge wa ccm Mpina
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Ushahidi ametoa mnachomchukia nini tatizo la Ccm yetu hawapendi mtu kusema ukweli Tulia Mungu atakulani kqa kutokupensq ukweli unataka wananchi wateaeke kwa ajili ya ufisadi
@RichardMadebe-f1m
@RichardMadebe-f1m 3 ай бұрын
Wtzania tuamke tuikatae ccm tuliamche tumuunge mkono mbunge mpina tuandamane mpaka kieleweke
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 3 ай бұрын
Mhe. Rais tunakuomba sana umsaidie Mpina kwani Bashe achunguzwe anatuibia sana.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 ай бұрын
Watanzania kuweni na kumbukumbu hivi CAG alishaeleza wazi mijizi ya mali za umma walimpuuza,mpaka sasa hakuna aliyechukuliwa hatua.Itakuwa Mpina kasema.
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 ай бұрын
Kwanini wasiruhusu hoja ya Mpina ijadiliwe?! Viongoz wetu wanatupatia mashaka,na hilo ni miongon mwa madoa ktk chaguzi tunazoziendea!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
Hivi Mheshimiwa Spika anaongoza Bunge kwa maslahi ya nani? Je, ni kwa maslahi ya wananchi waliowatuma Wabunge Bungeni au kwa maslahi ya mafisadi mabwenyenye serikalini? Je, wananchi hatuna nafasi ya kumkataa spika maana hatuwakilishi wala hatujampigia kura awe spika wetu?
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 3 ай бұрын
Hiyo inaitwa funga kalomo kwa My Mpina.na hapa wanamlinda Badge..hawajamtendea vyema Mpina
@kayombogregory8241
@kayombogregory8241 3 ай бұрын
Bunge liache ujanjaujanja hapa! la sivyo Rais vunja hili bunge.
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 3 ай бұрын
Mhe. Bashe, hebu mjitafakari, hapo kuna mchezo mchafu wakumlinda mhe. Bashe.
@husseinwaziri2796
@husseinwaziri2796 3 ай бұрын
Watendaji msaidiyeni Rais kwa yale mazuri anayoyaishi,msimhari biye. Endapo itabainika,basi mh.Bashe awajibishwe na adhabu inayostahili kwake ni kuvuliwa uwaziri kwasababu hastahili kuwa msaidizi wa Rais.
@daudsonda9706
@daudsonda9706 3 ай бұрын
Spika aache kupinga mawazo yawabunge atumie nguvu ya Hoja,hiyo ni sauti ya wananchi
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 3 ай бұрын
Ufisadi ni kanuni ya CCM na Bunge la Tulia
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 3 ай бұрын
Sipike hutu ni kimeo kabisa kuanzia sura na roho sinui ni kitu ganiq
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Amuache Mpina afanye kazi huyo ni maema ukweli na hakuna siri duniani Mpina ana vithibiti vizuri sanaaaa sasa cha ajabu nini na asiondoke Ccm kamwe apambane nao tu na wakileta mchezo Mama hapati kura kanda ya ziwa wamuache Mpina
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 ай бұрын
HATUNA SPIKA WALA WABUNGE INCHI HII
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Hatembelei Mikoani kwa wananchi haya ameamua kumchagua makonda sasa ana washauri wanaompiga Vita Makonda anapochapa kazi anasimama tena mama anamshtumu Makonda hata haeleweki huyo Mama kwa kweli haeleweki tabu tupu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
Mbona spika ukitukosea wananchi 3:16 hatusemi n makosa ya nidhamu kwa wananchi!!
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 3 ай бұрын
Hapo sasa nimeanza kukusikiliza angalau
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 3 ай бұрын
CCM majizi tu hadi kichefuchefu yanalindana hivi nyie viongozi munatuona wantanzania kama matahila,Mungu anawaona mtang'oka tu hamtatawala milele munazidi kuifilisi nchi
@christiankaguo4311
@christiankaguo4311 3 ай бұрын
Lazima sisi Watanzania turudi kusimamia ukweli .
@TinaZimba
@TinaZimba 3 ай бұрын
Spika ndo nani Katika nchi hii naye ni mwizi kama bashe a takuja tu mbeya tutamwuliza vizuri
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 ай бұрын
Hivi kiwanda cha mkulazi kimeishia wapi
@Mosmwampa
@Mosmwampa 3 ай бұрын
Tanzania hii spika alikuwa Sitta tu
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 3 ай бұрын
Hii nchi kufuatilia viongozi lulu kwa wananchi nafaidakwanchi hii huenda ikakigarimu chamahicho munda simrefu maana kwanini Yahovyohovyo yaatamiwe naderikali? Wakati watu inje hukuwanatedeka.
@kaburi920
@kaburi920 3 ай бұрын
Hivi ni kweli hataki rushwa na ufisadi je aliposema kuleni kwa urefu wa kamba zenu alimaanisha nini hasa naomba kueleweshwa kama siyo kutumia nguvu ya madaraka katika kulihujumu taifa.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Kaburi mama yuko kimaslahi zaidi hii ni chukua chako mapema siyo mfuatiliaji anarimotiwa soma vitabu vya dini vinasema toka lini mwanamke akawa nabii shekhe au Rais kwa Tanzania bado sanaaaa huyo Mama pia hajitambui Uongozi wake siyo wa kura ni wa katiba humo ndani kuna baadhi hawamtaki kabisq tena ni watu wa karibu nae
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Mama hatakiwi na wanataka watoto wao wawe Marais ungesikiliza vizuri Crip ya Mkuu wa Majeshi kipindi cha kufa Rais Magufuli hapo ungejua jiulize kwanini kila aafari anakwenda na Kikwete kuna siri sirini
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Sisi Wanawake tumetoka kwenye ubavu wa mwanamme hata tufanye nini tutabaki hivyo tuna sehemu wa mama na Wababa wana sehemu yao tukubali tusikubali pia ana washauri wakumuangamiza siyo mfuatiliaji
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 ай бұрын
Speaker atoe maamuz sahihi juu ya huo ushahid na kama mpina amekosea kwenda kwenye vyombo vya habar na penyewe kuna sehem yake!
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 ай бұрын
Kiuhalisia mpina hajakosea na ndo sababu wanamsakama kosa lake ni kuonesha uovu na ubadhirifu wa viongoz?!
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 3 ай бұрын
Wakimfungia kuendelea na vikawo tunaandamana,
@abubakarimburu9096
@abubakarimburu9096 3 ай бұрын
Tatizo ni pale wasiokuwa raia halisi wa Tanzania wanapopigania kupata madaraka makubwa matokeo yake ndiyo. haya na tulishaonywa kuhusu hawa watu Wana mambo Yao nyuma ya pazia tutakuja juta
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 142 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 142 МЛН