JPM - "Eti MO DEWJI Alikutwa Gymkhana Alifikaje? Watanzania Sio Wajinga"

  Рет қаралды 155,515

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

JPM - "Eti MO DEWJI Alikutwa Gymkhana Alifikaje? Watanzania Sio Wajinga"
RAIS wa Dk John Pombe Magufuli ameonyesha kuoridhishwa na namna ambavyo suala la upelelezi wa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ linavyofanya na Jeshi la Polisi nchini huku akidai sakata hilo linaacha maswali yasiyojibika kwa wananchi.
Magufuli amesema hayo leo Jumatatu, Machi 4, 2019 wakati akihutubia mara baada ya kumaliza kuwaapisha Balozi Dk. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Prof. Palamagamba John Mwaluko Aidan Kabudi kuwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 110
@frankmwampamba166
@frankmwampamba166 5 жыл бұрын
Anae amin kuwa mo hakutekwa ila ni mpango tu like hapa
@n_onlinetv91
@n_onlinetv91 2 жыл бұрын
R.I.P boss wangu wa muda wotee linikua nakukubali sana mshua💔 Rais wangu wa muda wote😭
@chazzkessy2371
@chazzkessy2371 5 жыл бұрын
Daah yani hapo mkuu Leo umenifurahisha Sana
@chazzkessy2371
@chazzkessy2371 5 жыл бұрын
Leo nimekupenda kweli kweli yani
@morombotv
@morombotv 2 жыл бұрын
Nakupenda sana mzee mungu akupumzishe kwa aman
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
Kwenye uongozi wako anko Magufurj ulizingirwa na maadui wengi kuchagua uongozi wako pumzika kwa amani
@deepcworkshop7442
@deepcworkshop7442 5 жыл бұрын
Leo mbona mkuu unaongea point tupu??
@hafidhyousuph7592
@hafidhyousuph7592 5 жыл бұрын
kweli kiongozi uko sahihi
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 жыл бұрын
Baba Magufuli uliongea ukweli mtupu Pumzika kwa Amani Watanzania tunaumia Sana
@saidnassoro9562
@saidnassoro9562 2 жыл бұрын
Wewe na wewe ulikuwa walewale,Sasa Kama huyu Mambosasa alikosea na yuko chini yako,ulichukua hatua gani?.Acheni kutuzuga sisi Watanzania.
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
Wamekumaliza wafanye yao baba 😭😭😭😭😭
@ridhiwanmwakasie7009
@ridhiwanmwakasie7009 2 жыл бұрын
Rest in peace jpm🇹🇿
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 5 жыл бұрын
I love you my president
@willywaire50
@willywaire50 2 жыл бұрын
Baba yetu Magufuli ulisema IPO sikututakukumbuka na kweli tunakukumbuka kwa mema uliotenda Mungu aiweke roho Yako mahali pema peponi..
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 жыл бұрын
Amiiin😭😭😭👏👏👏
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 3 ай бұрын
Kwa kipi?
@user-nx9cu8gt5s
@user-nx9cu8gt5s 3 ай бұрын
Kwa nyoko
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 2 жыл бұрын
R. I .p.Babaetu Kiukwel Tunapita Mibani bila Hata Malapa...
@ahmedshariff8064
@ahmedshariff8064 5 жыл бұрын
The best speech ever and it shows how Mr President care for his country
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 ай бұрын
Alijaribu kujizima data kuwa hausiki lakin mungu wetu ni mwema...
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 жыл бұрын
Dah! R.I.P mzee!
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 5 жыл бұрын
Safi kabisa
@hapakazitu7364
@hapakazitu7364 5 жыл бұрын
yaani mambo ya ukweli tupu unaongea maana hayamatukio yanaharibu taswira ya utawala huu ulio mzuri
@luganokitwika7359
@luganokitwika7359 2 жыл бұрын
Mungu akupumzishe kwa amani baba yangu
@mohamedkasimu3652
@mohamedkasimu3652 5 жыл бұрын
Nashukuru Mheshimiwa kwa kuligundua hilo
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 2 жыл бұрын
In "pragmatism" theory "what you utter is not what you mean"
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
Ongea tu kiswahili sisi tunajua alichokisema ndio anacho maanisha. Na hilo lipo wazi.
@hamisichuma3270
@hamisichuma3270 5 жыл бұрын
kazi mzuli ufanya m2 mwenye ueledi wahali ya juu saruti kwako mkubwa wa mchi
@ChangchunRealstateDragon
@ChangchunRealstateDragon 2 жыл бұрын
Jamani tumekumis sana dady
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Daah tena sana,rip my beloved president JPM
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
CCM Haina pumzi tatizo hapo sio polisi tatizo ni CCM. Kama polisi wangefanya kazi Yao kama wafanyavyo kukamata gari iliobeba mihadarati HATAKAMA mwenye mzigo yumo gari lazma ipelekwe kituoni na dereva lazma afikishwe mahakamani japo mwenye mzigo yupo so hapo ilibidi CCM na serikali yake iwajibishwe
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
Mkuu wa nchi akizungumza ukweli namna hii tutasalimika.Wakati ws uongozi wake ndio wakati mchongo wa kumkamata Mbowe kama gaidi ulichongwa na aliyafahamu yote hayo lakini kwa akili xake xa kawaida tu hakumkamata na kumwadihibu kama ilivyo sasa.Kama kweli Mbowe anao uwezo wa kutenda ugaidi kwa kutumia vijana watatu tu si atakhuwa hatari kuliko Osama bi Laden aliyekuwa na vikosi vingi?!
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 2 жыл бұрын
Kamfufue umwambie aifute kesi 😏😏😏😏
@dunstangeorge3263
@dunstangeorge3263 2 жыл бұрын
Ndio vituko vya injiiii hiiiii🥱 RIP Magufuli
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
Tengeneza tatizo ulitatue
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Wakina hamza wameisha jmn wajitokeze tena tumewamic uonevu umezd
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 2 жыл бұрын
Kichaa wewe ni nani aliyewapa kesi viongozi wa chadema na kulipa mapesa kama sio jpm?.Tena alimuweka mbowe na Esther Matiko miezi mitano mahabusu.
@ramadhanmgaya1775
@ramadhanmgaya1775 2 жыл бұрын
Watanzania pia mpaka sasa hatujui Magufuli alikufa kawaida au ..alishughulikiwa.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Cha msingi kafa
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 5 жыл бұрын
Kwakweli tunanyamaza mkuu mengi yapo unaongelea huyo dewji alirudi wapowengi ambao hawarudi tunaambiwa walikua majambazi kwakwehili jeshi la lapolisi halipo sawa
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 2 жыл бұрын
Aise ulisema ukweli. Mungu watu Sasa hivi tunafanana baada ya kifo chako,
@wixtomixeverythingeverythi7765
@wixtomixeverythingeverythi7765 2 жыл бұрын
Hatakama wakinyamaza miyoyoyao haitakuwa clear
@sangasadick3350
@sangasadick3350 2 жыл бұрын
My President of all time
@maryclaralema2577
@maryclaralema2577 5 жыл бұрын
leo baba nimekukubali
@amanafi1288
@amanafi1288 2 жыл бұрын
Nenda salama Baba... Umetuachia Jeshi la Police bado limeozaaa... Dilii linalopigwaa Vijijinii kabisa huko mzigo (mpunga) unaopatikana unamfikia Inspector General siku hiyo hiyoo bilaa aibuu..
@malataogtz2080
@malataogtz2080 2 жыл бұрын
Magu dady!!!
@renatusrevocatus3895
@renatusrevocatus3895 2 жыл бұрын
Kwahiyo alijiteka? Mbona hamkumpeleka Sasa wakati ninyi niserikali?
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
Kazi ya Rais sio kuchunguza kesi ni kuongoza nchi. Au humeelewi na anaongea kiswahili?
@titokeneth391
@titokeneth391 Жыл бұрын
Ali jaribu kujizima data Lakini MUNGU wetu ni mwema
@emmaxcaris5530
@emmaxcaris5530 2 жыл бұрын
wamteke tena maana ni mjuaj xaana...@
@jmondmsafi5558
@jmondmsafi5558 2 жыл бұрын
INGEKUWA DUNIAN TUKIOMBA UNARUDI TANZANIA INGEOMBA URUDI R.I.P JEMBE
@shakira1301
@shakira1301 5 жыл бұрын
Mambo ya kisasa kama mambo sasa 😁😁😁
@revinatungarazya672
@revinatungarazya672 2 жыл бұрын
Hamonize
@egattamkaima676
@egattamkaima676 5 жыл бұрын
Hahahahahahah maisha yanaenda mbio muda hautoshi
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 2 жыл бұрын
R.I.P. Raisi wetu kipenzi cha Watanzania
@renatusmonko7172
@renatusmonko7172 2 жыл бұрын
Raisi wangu
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Duh!😭😭
@philbertmwanakusya8050
@philbertmwanakusya8050 5 жыл бұрын
nchi yetu ngumu sana kuielewa lakini Mweshimiwa Rais kaongea kweli zaidi tuiombee nchi yetu na kuilinda wenyewe tusisubiri mpaka police tutakuja kupata matatizo big up Rais wetu
@saramichael1632
@saramichael1632 2 жыл бұрын
Namuombea Mwanangu Joseph aje kuwa Kiongozi mzuri kama wewe baba, ulikuwani ni mtu Imara Sana!! Tutakukumbuka daima
@djmatia2313
@djmatia2313 2 жыл бұрын
2021
@brownjulius8514
@brownjulius8514 2 жыл бұрын
Daah kiongoz wangu wa muda wote
@amirlehao8945
@amirlehao8945 2 жыл бұрын
Mzee pumnzika salama
@daudmwaipasi5672
@daudmwaipasi5672 3 жыл бұрын
Duuu pumzika kwa Aman
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 2 жыл бұрын
😢😭😭😭
@aisharamadhani9438
@aisharamadhani9438 2 жыл бұрын
Tunajuta kukupoteza kipenz chetu
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 2 жыл бұрын
❤❤💪🏿
@ramadhanbm7356
@ramadhanbm7356 5 жыл бұрын
Good point president
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 ай бұрын
Ben saanane nae...kazee kalikuwa kanafiki haka...
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
Ukiwa mpumbavu utakuwa mpumbavu tu. Mnamjua beni saanane alipo? Yeye aliongelea kitu ambacho kilikuwa wazi.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 ай бұрын
@@husseinmkanga7794 @alikuwa kajizima data kujifanya hajui kitu ila mungu wetu ni mwema sana...
@morandraymond8602
@morandraymond8602 2 жыл бұрын
Huu mpango wa aduwi zako ambao wanataka kukuchafua inakuwa makamba kupata.tarifa mapema ya kupigiwa simu wakati mo hakuwa na simu uchunguzi ungeanzia apo
@twahamdoe5730
@twahamdoe5730 2 жыл бұрын
Rip
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 жыл бұрын
Samia mungu anakuona
@sponsor7882
@sponsor7882 5 жыл бұрын
MR PRESIDENT
@shd12m55
@shd12m55 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 5 ай бұрын
Nenda mzee poa
@backsa6214
@backsa6214 2 жыл бұрын
Tanzania you lost a treu Hero
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Wengi waliomchukia huyu mwamba ni wale wenye akili fuata upepo , bila kumsikiliza kwa makini huwez kumuelewa mtu mwenye maadau wengi, ni mpaka umfuatilie kuanzia neno la kwanza na pumzi zake ..... Sioni hatia kwa mtu huyu
@ashimunarashidi1970
@ashimunarashidi1970 2 жыл бұрын
R.P.I magufuli
@laurentlusatho4343
@laurentlusatho4343 2 жыл бұрын
kweli musema kweli huwa hadumu
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Magufuli aliipenda nchi yetu ya Tanzania
@danielmatya373
@danielmatya373 Жыл бұрын
Mtekaji si ww au unajitoa ufahamu
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Yani niwajinga watz lkn sio wajinga sana
@bundalayusuph308
@bundalayusuph308 2 жыл бұрын
Mamb vp
@edigajoh5669
@edigajoh5669 2 жыл бұрын
Mzee ni mapolice wako haohao wanatufanyia hivyo vitu.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Daima daddy u mtima wa moyo wangu hata nikiwa mzee kikongwe you are the only one the best of me
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 жыл бұрын
MCHONGO WA MAMBOSASA NA MAKONDA,,,DHAMBI ZAO ZITAWAUA SHEZY
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 2 жыл бұрын
danganya toto tu.
@nassersalim3408
@nassersalim3408 2 жыл бұрын
Jmn
@omarimshindo6146
@omarimshindo6146 2 жыл бұрын
Nyandu
@harounhilal1394
@harounhilal1394 2 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa mzugaji sana ni mtu mbaya sana yani alikuwa anatufanya kama vile rumekufa akili zetu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
Ukiwa mpumbavu huwezi muelewa JPM.
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
Tengeneza tatizo ulitatua usifiwe
@zully756
@zully756 2 жыл бұрын
Alikua anajua
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 жыл бұрын
Kama hauna akili ya kujua viongozi wa namna kama yake figisu huwa zinakuwa vipi Utakebei ila wengine tunaelewa Rest in Power mwanaume wa kweli
@dennisdereck7006
@dennisdereck7006 2 жыл бұрын
Sikiliza content wewe, acha kuongea ujinga kwa mihemko yako tu.
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Siasa ni ujanja tu , aape kama hawajui watekaji.. Mzee acha kucheza na akili za watu
@zully756
@zully756 2 жыл бұрын
Alikuwa anajua kafanya kama advertisement kwa matajiri wengine waingie na uoga
@franktembo1658
@franktembo1658 2 жыл бұрын
Siamini kama ulishafariki baba yangu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
​@@zully756Ukiwa mpumbavu ni ugonjwa siwezi kukulaumu.
@rahjah5882
@rahjah5882 5 жыл бұрын
Afadhali kiongozi umesema wewe maana hii picha hata stealing hatumjui
@jengahyahaya4835
@jengahyahaya4835 5 жыл бұрын
Leo kidogo umenena
@jimmymasaki286
@jimmymasaki286 5 жыл бұрын
Mkuu haya yote ni point tutazidi kukupenda ikiwa tutaona hao woote wanao usika na matukio kama hayo wachukuliwe hatua
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Huyu mwamba kweli kweli
@a2comedy36
@a2comedy36 2 жыл бұрын
Nitakumis daima hata kama haupo kuna watu watafanya kazi kwa miongozo yako
@ameniameni617
@ameniameni617 5 жыл бұрын
Leo kwa mara Kwanza nimekusikiliza
MCHUNGAJI MSIGWA ATEMA NYONGO, AIPASUA NGOME YA CHADEMA
15:13
Global TV Online
Рет қаралды 449
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 22 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 58 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!
5:25
Global TV Online
Рет қаралды 498 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН