Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango

  Рет қаралды 613,418

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Rais John Magufuli amepigia debe watanzania kuchapa kazi na kuzalisha mali kuendana na uwezo wa kuhudumia vizazi vyao.
Msikilize akifafanua kwa mifano
#MagufuliMeatu

Пікірлер: 255
@sheiykingtv3713
@sheiykingtv3713 2 жыл бұрын
Who misses JPM like me ?? Nipe like
@jumakimawa3633
@jumakimawa3633 2 жыл бұрын
I'm here bro! Big up
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 2 жыл бұрын
Nimemusssii JPM
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
I miss him a lot RIP Magufuli
@jumakimawa3633
@jumakimawa3633 Жыл бұрын
You came and conquered the country and ÿou did an amazing job! Pumzika kwa amani Papa!
@tariqmaduga8051
@tariqmaduga8051 2 жыл бұрын
Rais wangu Kipenz mungu akulaze mahali pema peponi. One love 🇹🇿
@josephatimasunga9470
@josephatimasunga9470 2 жыл бұрын
JPM rest in peace
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
"Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi"... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@leonardcharles9654
@leonardcharles9654 2 жыл бұрын
Nikukumbuka sana mzee wangu mungu ailaze roho yako mahali pema
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 жыл бұрын
Hotuba zake mtu ukiwa na muda unaweza kuchukua siku nzima kuzisikiliza bila kuchoka.mungu akulaze mahali pema peponi.kwetu tuna msemo usemao kuwa hili ni due la mbegu,kweli JPM kama ni dume la mbegu basi ulistahili.
@armelngondet2619
@armelngondet2619 2 жыл бұрын
Effectivement
@mrchick5193
@mrchick5193 2 жыл бұрын
Amina
@gilbertambila3371
@gilbertambila3371 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 жыл бұрын
Me nikiwa mmiss tyu na sikiliza tyuu clip zake
@patrickbunduki3477
@patrickbunduki3477 2 жыл бұрын
Saana kwakweli mi kunamasiku namfataga siku nzima yaani...
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Hivi nikitu kilitokea tar 17/03/21 😭😭 Hadi sasa hatujaelewa. Huyu Baba alikua mtu tofauti na wengine.
@justinewalwa7387
@justinewalwa7387 2 жыл бұрын
Mimi sijakielewa kifo chake, kilitokeaje
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 2 жыл бұрын
Mungu akurehemu
@danielcosmas5194
@danielcosmas5194 5 жыл бұрын
anaongea na kisukuma ili watu wa eneo hilo wamuelewa ukizingitia alikuwa anaongea na wasukuma kuna wengine hawaelewi kiswahili
@festinamwakipale6446
@festinamwakipale6446 2 жыл бұрын
Mpendwa wangu nilikupenda sana Magu lala sana
@khamislisso9137
@khamislisso9137 2 жыл бұрын
Hivi huyu Rais Daah Ila mipango ya Mungu daah😭😭
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 жыл бұрын
Rais mkali kwa Mali za umma
@ashahamza2822
@ashahamza2822 2 жыл бұрын
Da wewe nitakukumbuka ktk moyo wangu
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 2 жыл бұрын
Kwa kweli baba yetu wewe ulitumwa na Mungu uje utukomboe watanzania rest in peace JPM
@adventsumari6967
@adventsumari6967 2 жыл бұрын
Mungu akulaze maali pema pepon
@robertchuri3222
@robertchuri3222 2 жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu lakni yote maisha tu
@niyimpumurizamoise2256
@niyimpumurizamoise2256 2 жыл бұрын
From Burundi : namkumbuka sana huyu bulldoze ! Africa imehasarika!
@augustintumbwe8809
@augustintumbwe8809 2 жыл бұрын
Asante baba nashukuru basi tuu mungu
@nassoroshaaban7279
@nassoroshaaban7279 2 жыл бұрын
Nataman urudi ufafanue hicho kilugha maana walifaidi Sana watu wa lugha hiyo, daaa rip magu
@kidstz2695
@kidstz2695 2 жыл бұрын
Anachekesha sana huyu mzee
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 2 жыл бұрын
Kabisa mkuu
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
😀😀 dah mzee alikuw na story zuri sana yaani za ukweli hapa nimecheka
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu
@agventure_tz8928
@agventure_tz8928 2 жыл бұрын
Nabii aliyetumwa kusema ukweli ambao si rahisi ku uelewa kwa elimu tulizo fundishwa darasani...he live forever.
@laurinfred2931
@laurinfred2931 2 жыл бұрын
Huku tumekubari tozo, lakini bado na mikopo wanazidi kukopa 🤔
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Baba tangu atutoke tozo zimekuja nyingi sana,imebakia moja tu tozo ya roho😭😭😭
@Crabtree1844
@Crabtree1844 2 жыл бұрын
Jembe kutoka Chato. Ewe mwenyezi Mungu ulitupatia dume kweli. Sijaona Afrika mzima. Aaah, shuja wetu! Asante Mungu, hapa tumeona Rais wa wanyonge. Hakuna nyef nyef.
@barakawatu9226
@barakawatu9226 Жыл бұрын
Rest In Possible our hero president, every hour, every day, every minute, we remember you, 🇹🇿🙏😭♥️.
@vsaintburundi9616
@vsaintburundi9616 2 жыл бұрын
Baba wewe na nkurunziza waburundi murazwe Pahari pema tutawakumbuka mirere
@josephellytemu9645
@josephellytemu9645 2 жыл бұрын
Umemwachia mam tukajua atatupenda lakin Sasa anacho tufanya asee sas hamna kufanya kazi tumefukuzwa k Koo km kuku
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Mungu muweke huyu mtumishi wko panapostahili Amina😭😭😭😭
@patrobaselestine9017
@patrobaselestine9017 2 жыл бұрын
Watanzania tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi. Mungu akulaze mahali pema. Amina
@barakamafulu8660
@barakamafulu8660 2 жыл бұрын
Mwenyez mungu akupmzshe kwaa aman amina
@sadickponera2464
@sadickponera2464 2 жыл бұрын
Sawaaaaaaaaaa baba nmekuelewa 😭😭😭😭
@gwakubionga5428
@gwakubionga5428 2 жыл бұрын
Mungu tunaomba mbadala wa
@sharifujita7815
@sharifujita7815 2 жыл бұрын
We Remembering JPM, Rest In Peace
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Hii brain haikuwa ya kawaida....Tungejua ungekuwa kuwa Rais kabla ya wengine....
@joneskavoi3966
@joneskavoi3966 2 жыл бұрын
We all will miss our dear leader
@husseinhamiss6538
@husseinhamiss6538 2 жыл бұрын
Tunakukumbuka sana jpm mwanga wa milele ukuangazie
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Rais wa mfano hakuna kama wewe tunakukumbuka mnooooo
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 2 жыл бұрын
Alikua na upendo wakweli
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Ulifata mpango wa MUNGU jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@nehemiatesha5763
@nehemiatesha5763 2 жыл бұрын
Kazi ya mungu haikosolewi
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 5 жыл бұрын
Jamani zaeenitu
@williammooshemollel7102
@williammooshemollel7102 2 жыл бұрын
Jembe letu endelea kupumzika kwa amani
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 2 жыл бұрын
Kwa kweli hili la uzazi wa mpango lifanyiwe utafiti wa kina maana wanawake wengi waliowahi kutumia uzazi wa mpango Wana matatizo ya kushika mimba na wengine hawana watoto kabisa waziri wa afya ummy mwalimu naomba ulifanyie kazi.
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Uzazi wa mpango ndo chanzo kikubwa cha saratani kwa akina mama.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
na inasababisha kancer
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 2 жыл бұрын
nakumbuka saiti yako uliyotoa ukiwa kagera ukasema shule ya msimgi kingongo ya.Dar es salaam ambayo omeonyeshwa watoto wakiwa chini yamti na mwalimu walijifinza ukasema kabla ujamaliza ziara yako mkoani kagera ukute watoto wako madarasani siyo chini ya mti kweli yalijegwa madarasa tisa na.choo cha kisasa chenye matundu 24 kwa muda wa mwezi mmoja R.I.P.JPM
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
Ni watu wachache kama Huyu kutokea Dunian
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
Baba bora wa muda wote
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 2 жыл бұрын
Aisee kizuri hakidumu jamn
@gatabazitheogene322
@gatabazitheogene322 2 жыл бұрын
Mungu ulimupenda zaidi
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 2 жыл бұрын
R.l.P. 🤧🤧 Father mangu mungu akurehemu salama yale uliyoyapinga kwasasa yanaruhusiwa hali ni tete 😭😭😭😭
@ibrahimjohnace1663
@ibrahimjohnace1663 2 жыл бұрын
Magufuri Baba lao ,huu ni UKWELI kabisa mwanamke akishajihusisha na maswala ya uzazi wa Mpango hana uwezo mzuri wa kufanya kazi zenye nguvu.Tuishi tukimuelewa Mzee wetu.Pumziko la milele umjalie Dr.Magufuri.Amina.
@noelswai172
@noelswai172 2 жыл бұрын
Huku wanafanya Happy birthday Iliku
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 2 жыл бұрын
R.I.P Daddy
@floraladislaus1142
@floraladislaus1142 2 жыл бұрын
Bado siamin hata kidogo bado sana
@caritaspascal906
@caritaspascal906 2 жыл бұрын
Baba nitakukumbuka daima tutakukumbuka Sana Sana,Mungu akuweke mahali pema peponi amina
@caritaspascal906
@caritaspascal906 2 жыл бұрын
Hakuna wa kuziba pengo lako kamwe
@suzanmbilinyi5169
@suzanmbilinyi5169 2 жыл бұрын
Utuombee tupone wa Tz kwa sasa tuko hali tete
@atrick.
@atrick. 2 жыл бұрын
Lala salama pia pumzika kwa Aman mwenyez Mungu akupe ulinzi wa nilale AMEN
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 2 жыл бұрын
Mh Àllha akurehemu unatupa shida sana kukusahau sielewi hata nasema nn basi Allha ndy mkuu zaidi
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 2 жыл бұрын
RIP mzee wetu JPM 😭😭😭
@chumanondochuma1535
@chumanondochuma1535 2 жыл бұрын
Haya magufuli wetu tunakukumbuka Sana baba unafurahisha ila upo serious ,,tulia kwa amani huko uliko big daddy
@claudfute1047
@claudfute1047 2 жыл бұрын
Safi
@gaspermganga8900
@gaspermganga8900 2 жыл бұрын
Rip my president
@samwelmushi1783
@samwelmushi1783 2 жыл бұрын
Man of the match, my dream president, one day God he will rise again president like you
@gabrielgodwin2698
@gabrielgodwin2698 2 жыл бұрын
Naenjoy spich ya hayati magufuli kweli Ni mafundisho yasiyopoteza wakati.pumzika Rais wangu nitakukumbuka daima.
@majaysjrmtitu5300
@majaysjrmtitu5300 2 жыл бұрын
Asante JPM...rip ...Dad
@etemesiedward1508
@etemesiedward1508 Жыл бұрын
I miss y
@leonardkambona3608
@leonardkambona3608 2 жыл бұрын
Uyu mpuuz alokuwa anacheka kanivunja mbavu
@osamaabdallah4648
@osamaabdallah4648 2 жыл бұрын
Nimekubali
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Sasa haupo tena ila Elimu yako tuko nayo love you .RIP JPM
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Rip raisi wetu
@selemaniselemani7014
@selemaniselemani7014 2 жыл бұрын
Tuzae bwana umeona ukrane wanavyotesekana viya lakini tukiwa wengi tutaweza kuilinda nchi yetu!
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 2 жыл бұрын
Very good teacher.
@user-zf1op1ez9l
@user-zf1op1ez9l 4 ай бұрын
Haki I miss this man,Niko kisii Kenya,let him rest in peace
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
RIP JPM
@michaelmuhando1461
@michaelmuhando1461 2 жыл бұрын
Yaan inabidi utengenezewe sanam hata posta au morogoro maana haijawaitokea rais kama wew na ningum kuja kutokea mwingine kama ww
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana mzeee wangu jpm
@mhebaniemmanuel932
@mhebaniemmanuel932 Жыл бұрын
Tutakukumbuka sana mkuuu
@agathaandrew403
@agathaandrew403 2 жыл бұрын
Hotuba za huyu mwamba inabida ziwe mnazirusha kwenye tv mara kwa mara ili watu wazidi kuzienzi fikra zake . Huu ndiyo ukuu wa mwafrika. Japo hatupo pamoja ila tunakupenda sana mioyoni mwetu. Na Imani ipo siku Mungu atakuleta kivingine. Pumzika kwa amani mzee
@alphoncemaganga5887
@alphoncemaganga5887 2 жыл бұрын
Msema kweli sema baba, tutakukumbuka milele 🙏🙏🙏
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 2 жыл бұрын
Chuma
@khalidmwinyi1981
@khalidmwinyi1981 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba hakika umepiga kaz
@suzanajulius6653
@suzanajulius6653 2 жыл бұрын
Thnks fthr
@kefajoseph158
@kefajoseph158 2 жыл бұрын
Huyo ndo alikuwa raisi achana na samia malaya mtembeza uchi
@princehancesam9892
@princehancesam9892 5 жыл бұрын
Nimependa
@rashidwaziri1715
@rashidwaziri1715 2 жыл бұрын
I m apresiont magu
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba mraze maali pema
@emanuelfissoo3700
@emanuelfissoo3700 2 жыл бұрын
Taifa ya Italia mimi nimekusaidia anko
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 2 жыл бұрын
Kweli?
@kenedythomasi9478
@kenedythomasi9478 2 жыл бұрын
I Remember jpm
@cosmasjustus4135
@cosmasjustus4135 Жыл бұрын
Alwayz remember you father of the dvt
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 жыл бұрын
Atali uku baba peter anatu maliza
@shinjegadala9092
@shinjegadala9092 2 жыл бұрын
Sasa usipo zaa unategemea nn
@nassorozawiya5778
@nassorozawiya5778 2 жыл бұрын
I wish I could be him
@ndewariopeter1370
@ndewariopeter1370 2 жыл бұрын
Eeeee MUNGU wangu,utuzawadie WATANZANIA kumuona tena ktk ulimwengu ujao,, Ulitupenda sana watanzania,ukatuzawadia kiongozi mwenye sauti,akili,na maamuzi kipekee,,kwa kipindi kifupi mno,,RIP JONH JOSEPH POMBE MAGUFULI Amen
@angelpaulopaulovivan7325
@angelpaulopaulovivan7325 2 жыл бұрын
Pumzka kwa Aman Baba yetu tulikupenda San lakn mungu kakupend zaid
@victormpandula3247
@victormpandula3247 2 жыл бұрын
Baba kwa bahati mbaya umeondoka na maneno yako umeondoka nayo na hata wale waliokurithi hawajali tena maneno yako
@mwanamatofali6981
@mwanamatofali6981 2 жыл бұрын
Sahihi kabisa mzee baba
@user-jq9zg1lh4m
@user-jq9zg1lh4m 4 ай бұрын
Kweli kabisa 😅
@dicksonnoel1004
@dicksonnoel1004 2 жыл бұрын
Pumzika bb yetu
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 2 жыл бұрын
Daah magu, pumzika kwa Amani baba
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 2 жыл бұрын
Nimesikia tu maziwa yanatoka
@nyesigaemmanuel393
@nyesigaemmanuel393 2 жыл бұрын
We lost a leader. Uganda loved him
@reformerthrone972
@reformerthrone972 Жыл бұрын
Maneno yake ni kweli kabisa..
@justinkisinza3505
@justinkisinza3505 2 жыл бұрын
Tuseme nini Basi baba kwa kukupoteza ww bado tuna kulilia maumivu bado hayajatuisha kwa kukupoteza mungu tusamehe tulishindwa kumlinda rais wetu mpendwa
@mrpeace8974
@mrpeace8974 2 жыл бұрын
Jaman JP n nan alikuua rais wang kipenz kila nikikukumbuka machoz yananifumba macho nakuombea heri kwa mwenyez mungu akupe pumzko jema huko mbinguni
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 9 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 57 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 10 МЛН
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 582 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 9 МЛН