SIRI NZITO TOKA VITABU VYA WAYAHUDI WENYEWE KUWAUWA WAPALESTINA PROFESAR HAMZA NJOZI AISIMULIA .

  Рет қаралды 32,404

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 177
@husseinshaaban3518
@husseinshaaban3518 11 ай бұрын
Hizi nondo ni adhimu sana lakini hatuzipati kabisaaaa Allah akulipe kheri Prof
@mustafamatata3795
@mustafamatata3795 10 ай бұрын
Unazipata vipi kwa mifumo hiiii tuliowekewa akili ndogo kutawala akili kubwa
@SelemaniMajengo-dk1hb
@SelemaniMajengo-dk1hb 10 ай бұрын
@@mustafamatata3795 r
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Allah akubariki profesa
@zenassylvester125
@zenassylvester125 10 ай бұрын
Watu wanashindana na Taifa teule na Taifa Barikiwa la Mungu, Hapo ni sawa na kumwambia Mungu ulikosea kuwabariki wayahudi.... Aliyebarikiwa kabarikiwa tu hakuna kingine.....vilivyobakia ni kelele tu.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 10 ай бұрын
Mungu alisema awauwe Palestine au ndio uzuzu wenyewe
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 10 ай бұрын
Huyu ni ktk wake wanaoamini ujinga, eti mayahudi ni taifa teule. Mnadanganywa n mnadanganyika basi hata hamna akili y kufikiria
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Wewe mbumbu ndomana umekuwa mkristo yesu ndio alitaka kupigwa nahao wayahudi musa alisumbuliwa nahao wanaosapoti ushoga ndo kundi moja nayahudi wewe mbumbu kutoka wapi hujui chochote na ukiristo huo namapapa washaanza kuwatangazia ushoga hiyo sio dani banana!!!badilika
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 9 ай бұрын
Wazee hadimu sana hawa Allah akutunze
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 10 ай бұрын
Profesa Mungu akubariki kweli malezi ya watoto ni ya wazazi na si vinginevyo
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Naomba nisaidieni hiyo aya ni ktk Sura gani,, Mwenyezi Mungu habadilishi yaliyo nafsini mwetu mpaka sisi tubadilishe kwanza
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 11 ай бұрын
Yaani dunia nzima watakubali Wayahudi Nawa power Nauli Influence hicho nikiwa kipawa inaonyesha wamebarikiwa na Mungu.
@IddiMkindi
@IddiMkindi 10 ай бұрын
Hata ibilisi ana kipawa lakini Cha motoni milele SI kuweza hayo ndio kubarikiwa shetani anaweza kua msaidizi wao na MATENDO yao yanajidhihirisha ni wafuasi lusifa
@MattarMuhammed-d6s
@MattarMuhammed-d6s 10 ай бұрын
Wamebarikiwa kufanya mauaji bila hatia😏😏
@MattarMuhammed-d6s
@MattarMuhammed-d6s 10 ай бұрын
​@@IddiMkindikabisaa bro
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 10 ай бұрын
Ha wapi!Wale nimatajiri Tu pia Na support ya ndugu zao wa Marekani,Na Ndio wanaongoza kiubaguzi duniani.
@HakizimanaZainab
@HakizimanaZainab 10 ай бұрын
Najifunza mungu akupe afia n'a maisha mazuri uko wa maana kwenye jamii
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 10 ай бұрын
Yesu alikuwa myahudi???? Musa alikuwa muisilamu au myahudii??? Hao wote wote wawili ktk Koran inasemaje?? Wanatokea wapi???? Ulaya ? Makka au wapi? Tupe ukweli?
@abdulgwelo7150
@abdulgwelo7150 11 ай бұрын
Baarakallaah fiyka shekh
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 9 ай бұрын
Barkallahu fiiq
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 10 ай бұрын
Profesa wangu chuo kikuu cha dar es salaam 1997/2000
@Amina-rr8ve
@Amina-rr8ve 11 ай бұрын
Maashallah ahsante kwa elimu prof
@mtae5504
@mtae5504 10 ай бұрын
Izarieli haiwezi vita mpaka wasaidiwe na wamagharib.wasimame wenyewe waone bila msaada wa marekani au nchi za ulaya waone
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Kuna aya km hiyo ndani ya Quran
@FadhiliMrutu-uj2ef
@FadhiliMrutu-uj2ef 10 ай бұрын
Hata yanafanywa Sana na wanasiasa wahuni,hata Tanzania yapo
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 10 ай бұрын
Hakika Wayahudi wamebarikiwa na Mungu. Taifa dogo namna hii lakini linaendesha dunia.. alhamdulillah🤲🏿
@Umsuleym4378
@Umsuleym4378 10 ай бұрын
Wamebarikiwa kukataliwa au wewe hutakikuelewa?
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 10 ай бұрын
@@Umsuleym4378 Jibu unalo mwenyewe
@rajabjuma277
@rajabjuma277 10 ай бұрын
semeni basi waengereza wameisababishia zanzibar kutawaliwa na watanganyika
@JafarHussein-qe6ly
@JafarHussein-qe6ly 10 ай бұрын
Wengine kweli ni mazuzu hawajui mchezo mchafu wanao cheza jeshi la Israel na Hamas kuwauwa waparestina lkn wengine wanajua ila wanajitoa ufaham.
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 11 ай бұрын
Taifa la Islael ni ahadi ya Mungu kwao na walipomkosea Mungu alisema atawatawanya kwenye mataifa na aliahodi kuwarudisha na kuanzisha Taifa lao.
@abuubilal2646
@abuubilal2646 11 ай бұрын
We huna ulijualo
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 11 ай бұрын
Taifa la mungu linaunga mkono ushoga?
@venancembwaga-uw6kb
@venancembwaga-uw6kb 11 ай бұрын
😂😂 unabii lazm utimie si mayahud wote ni mashoga ni saw na waisilam wengine ni mashoga iyo ni dhambi ya mtu mmoja mmoja sio nchi nzim
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 11 ай бұрын
Unapoongea pia tupe andiko si maneno ya kichwa tu hapa si kanisani kaka ambako mmezoea kuuambia watu maneno ya kichwani hapa ukiongea unafuatanisha na andiko kama hauna funga mdomo
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 11 ай бұрын
@@venancembwaga-uw6kb mbona huelewi nch gani ya kiislamu iliunga mkono ushoga?israel inaunga mkono ushoga na nusu ya baraza la mawaziri ni mashoga
@guillaumebambea7938
@guillaumebambea7938 11 ай бұрын
Mashkeik wote kazi yao kutetea waislam tu.
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor 11 ай бұрын
Unatak watetee nn
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 11 ай бұрын
Kicheko sasa wewe unataka sheikh amtetee NANI? Muisilamu NDUGU YAKE muisilamu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 11 ай бұрын
@guillaumebambea7938. Na Maskofu wote kazi yao kutetea Wakiristo tu. Hata Baba wa Kanisa Rais Mkatoliki Nyerere, alikuwa Kiongozi wa kwanzo Duniani kuwatetea Makatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Shirikisho la Serikali ya Nigeria chini ya Uongozi wa Jenerali Yaqoub. Alifuatiwa na Mkatoliki Rais wa Zambia, Mkatoliki Rais wa Gabon na Mkatoliki Rais wa Ivory Coast. Ili kuwatetea Wakiristo, Nyerere, alimpidua Rais Muislam wa Uganda Idd Amin, baada ya kumwita NDULI na kumrejesha Madarakani Mkiristo Mwenzake Milton Obote. Kuwatetea Wakiristo wenzake, Nyerere alishirikiana na Mkiristo John Okello, Askari wa kukodiwa wa Uganda kuvamia Serikali Halali ya Zanzibar kwa sababu Mawaziri wote walikuwa ni Waislam na Wazanzibari.😂
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp 10 ай бұрын
Ndio na we kemea ndoa za jinsia Moja kanisani sawa?
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Wewe kafiri ndo bla bla nakwaya zenu yesu hakuwahi kuwa nakanisa wala kuwafundisha kwaya acheni bla bla makafiri
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 11 ай бұрын
History hiyo PROF inajulikana okay the Way forward Nini KUHUSU Dola la kiislaam na Waparestina?Wanauwawa wanachinjwa nk
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 10 ай бұрын
Kabla ya wayahudi kuamuliwa😮 kuuwawa na adolph hitra walikuwa wanaishi nchi gani
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 ай бұрын
MAYAHUDI WALIKUWA WAKIISHI UJERUMANI NA NCHI MBALIMBALI ZA ULAYA. KIUFUPI MARA BAADA YA KUPANGA MAUAJI YA YESU KRISTO WAKUSHIRIKIAA NA WAZUNGU (WARUMI), MAYAHUDI WALIPIGWA LAANA YA KUTANGATANGA DUNIANI NA MWENYEZIMUNGU, NA HATA UTEULE WAO ULIISHIA HAPO MARA BAADA YA KULAANIWA, WAZUNGU KWA MASLAHI YAO WAKATENGEZA KIMAANDIKO DHANA KWA WAKRISTO IONEKANE BADO WAISRAELI NI WATAKATIFU ILI WASIPATE UPINZANI TOKA KWA WAKRISTO KWA KUSHIRIKI KWAO KUFANYA MAUAJI YA YESU KRISTO MSALABANI. WAZUNGU WALIWAKUSANYA MWAKA 1945 NA KUANZISHA TAIFA LA ISRAEL NDANI YA MASHARIKI YA KATI (UARABUNI), HALI AMBAYO INAONEKANA SI YA KUDUMU KWANI UKWELI UKIFAHAMIKA WANAWEZA KUNG'OLEWA MAHALA HAPO MUDA WOWOTE, NA NDIYO MAANA WANATUMIA NGUVU KUBWA KUSAMBAZA PROPAGANDA CHAFU ILI KUFICHA UNYAMA WAO WANAOTUMIA KUJILINDA.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
UJERUMANI
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 ай бұрын
Waezrael wametapakaa Dunia nzima kiufupi Kila taifa Duniani wapo labda Africa baadhi ya nchi km Ethiopia eritria Morocco lkn kwa wingi wapo nchi za kiarabu middle east na ulaya.
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 ай бұрын
Hawakuwa na taifa sababu ya laana ya Mungu waliletewa mitume mingi iliyotoka ktk koo zao lkn waliwapinga na wengine kuwauwa km Nabii Zacharia a.s nabii yahya a.s mnamwita yohana.kiasilia nabii Ibrahim alitokea Iraq Kisha kuhamia Palestine na mkewe Bi Sara na kukuta wenyeji baada kutopata mtoto wakiwa wazee bi Sara alimwambia amuoe kijakazi wao Hajra na kupata mtoto WA kwanza Ismail kwa miaka kumi na mbili ndipo kuzaliwa nabii is,haraka a.s bi Sara alipozaa wivu ukapelekea Hajra kuhama Palestine na kuhamia Saudi Arabia na mwanawe Ismaili huko akaishi na jamii nyengine nabii Ibrahim huenda kumtembelea na kwa umri huo WA Ismail miaka kumi na mbili aliweza kumsimamisha nguzo ya Alkaba na baba ake nabii Ibrahim km muendelezo tu WA nabii Adam A.s na ndipo waislam wote Duniani uwelekeo WA ibada zao.
@abuukhorboshy3308
@abuukhorboshy3308 9 ай бұрын
Sisi waislam tunacho kitabu kisicho shaka ndani yake tumeelezwa hila za wayahudi vizuri2
@rajabjuma277
@rajabjuma277 10 ай бұрын
Muengereza ndio alomkabizi nyerere zanzibar hata hao wazanzibar hawana mamlaka na nchi yao akishirikiana na mmarekan ndo mjuwe wazanzibar wakipiga kelele hofu yao ndio hiyo
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
Kwani Zanzibar ilitwaliwa na UINGEREZA na MAEKANI ???
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 3 ай бұрын
Palestine hakuna vita ila kuna mauaji wao nia yao kuwatoa wapalestina,
@allychengula3511
@allychengula3511 10 ай бұрын
Profesa ahah et historia yake ni ndefu, tena unafupisha duu na watu hawauliiz, wale wapalestina ni mayahudi, ndio maana hamas, is na al qaeda wanawaua ndugu zao, na et leo mnashanga, je mnakumbuka apartheid policy south africa, elewa ndicho kinachoendelea mashariki ya kati profesa waafrika wanauliwa congo, sudan, somali land
@AbdulkadirAbdullah-y4z
@AbdulkadirAbdullah-y4z 10 ай бұрын
Mtihani duniani
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 11 ай бұрын
Ukitaka kuelewa soma Ezekiel 16,38,39
@FestoSungura-rr1uc
@FestoSungura-rr1uc 10 ай бұрын
Ama kweli neno la Mungu ni unabii wa kweli halikuacha ata kitu kimoja, Wengi maandiko hawayasomi
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 10 ай бұрын
Si huwa mnapoga kelele kuw nanabii wote ni waislamu, wayahudi ni waislamu na kwamba Yesu alilingana Uislamu? Sasa ndo dunia inajua mbivu na mbichi...uongo wenu utajulukana tu!
@SaadabdulNgonyani
@SaadabdulNgonyani 10 ай бұрын
Wewe ni myahudi, au mkristo?
@JacobMsuya-e2p
@JacobMsuya-e2p 10 ай бұрын
Huyu ni mzushi TU, eti wakaenda nchi ya kiislamu, hajui lolote, Israel ipo kabla hata uislamu,
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
@@JacobMsuya-e2p KANAAN ni Jina La Wapi Hivi Sasa ? Au Kwa Jina La Sasa Linaitwaje???
@mtae5504
@mtae5504 10 ай бұрын
Acha chuki
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Wewe hujuwi kitu ukihoji nahauna kitabu chakukueleza ukweri zaidi unaimbaimba kwaya nayesu hakuacha kwaya hakuna unacho jua musa alizaliwaje misri ama ibrahim baba wa mataifa alivyomzaa ismail walienda wapi acha ujinga kafiri
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 11 ай бұрын
Na kuna Muungano utafanyika kwa Mataifa mengi yakiongozwa na Urusi zidi ya Islael,haya yote yalitabiliwa na nabii Ezekiel.
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 10 ай бұрын
Profesa kaitetee Congo
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 10 ай бұрын
Kongo inateswa na Uhutu na utusi watusi wengi wao ni zao la Kiyahudi Waliitaka yuganda pia
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 10 ай бұрын
Wewe professor mwongo sana .peleka ujinga wako huko mwongo mkubwa
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 11 ай бұрын
KILA UCHAGUZI WA ZANZIBAR 😂TUUWE ZANZIBAR TUUWE MUUGANO UWE DAIMA😂
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 10 ай бұрын
Kweli shida inaanzia kwa waislam wenyewe wengi nivibaraka
@mabubakar1076
@mabubakar1076 11 ай бұрын
Salamu aleikum, mbona Quran inasema Ardhi yote wamerithishwa Mayahudi? Magharibi ya Ardhi na Mashariki yake. Vp hapo?
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 10 ай бұрын
Maelezo hayo umeyatoa aya gani?
@haidarsalum9228
@haidarsalum9228 10 ай бұрын
?
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 10 ай бұрын
Mabubakar WEWE ni Msomi wa Kiislam ? Unajua Tafsiri ya Quran vizuri Umesoma wapi maneno hayo kuwa Ardhi yote ni wamerithishwa hao majamaa
@mabubakar1076
@mabubakar1076 10 ай бұрын
QURAN Surah A'raf 7:137. Rudini kwa mola wenu awaongoze. Kwa uelewa wenu nyinyi, Bani Israeli ni mayahudi. Mimi sielewi hivyo. Kwa uelewa wenu nyinyi, ARDHI ni hii tunayoikanyaga, Mimi sielewi hivyo. Sasa nipe somo, hiyo ARDH iliotajwa hapo ni Ipi? Misri? Au Palestina? Na hao Bani Israeli ndio hawa Mayahudi tulionao? Naomba Jibu la Elimu tafadhali. @@ramadhanimtetu3656
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 10 ай бұрын
Lete hiyo aya iliyosema
@JacobMsuya-e2p
@JacobMsuya-e2p 10 ай бұрын
Shekh usijifanganye wala usidanganye watu, eti ninyi ni wengi? Swali mbwa anaezaa watoto wengi mara mbili kwa mwaka, tena bila kuchinjwa, na ngombe anaezaa mtoto mmoja kwa mwaka, nani wengi?
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Nyie makafiri ndio hamjielewi
@zenassylvester125
@zenassylvester125 10 ай бұрын
Swali dogo nchi ya ahadi waliyopewa wayahudi na Mungu katika quran ni ipi?
@doramtenga796
@doramtenga796 10 ай бұрын
Tusichocheee bali tumuombe mwenyezi alete upatanisho ama ni tuombei na sio kuleta midahalo haisaidii hadithi nyingi sio utatusi
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 11 ай бұрын
Kwani Yesu walimuwa
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 ай бұрын
LENGO LA MAYAHUDI LILIKUWA HILO
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 11 ай бұрын
@sharomdguda.. Record clip yako utueleze unavyojuwa wewe,comment yako haitoshi.
@babazungu3180
@babazungu3180 11 ай бұрын
Wale makafir wakisikia haya maneno haya utaona mapofu yao midomoni
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 8 ай бұрын
Sasa makafiri wanawapiga waislaamu mnaojiita watu wa Allah na watu wa dini ya hakhi inakuaje huyo Mungu wenu anawaacha mpigwe,na muwe na hofu kuingilia vita,? Matokeo yake mnashangilia mahakama ya kimataifa na kulaumu nchi zisizo saidia kwa wazi kijeshi ,mbo ni mambo ya aibu kushindwa na kafiri? Inakuaje?, Hakuna namna yeyote professor utaacha kuishi chini ya mwavuli wa wazungu hata koti lako tuu linaeleza kua Bado unaeneza utamaduni wao pia viatu ,hata Kama wewe ni mshabiki wa mpira Bado wameahakushinda kiakili tayari ,huwezi aminika katka Dunia ya Leo kama hujajulikana na wazungu na kua na elimu ya msingi wao ,nchi zenyewe za Kiarabu zinategemea wazungu asilimia 85 ya maisha Yao na bila hivyo mambo hayaendi Sasa haku afrika ndio usiseme wasomi wanatafuta nafasi za maisha kwa wazungu na viongozi wa afrika Kila kukicha wanaamkia kwa wazungu unadhani bila wao Nini kitaendelea ? Tukubaliane tuu kua Yule ambae Mungu amemtukuza duniani Ili awe kiongozi wa wengine hatuwezi kumshusha kwa maneno Wala elimu Wala kijeshi kwani Dunia inakamilishwa na utawala na uongozi Bora na nguvu imara na hekima ya uwezo wa kuamua mambo kwa wengine ,na hiyo ni kanuni ya Kiroho au ya Mungu kua ktk wanadamu Kila mtu anae mkubwa anae mfanya awe mnyenyekevu au ajishushe na kinyume na hapo njaa itakufanya usujudu ,Hao wapalestina mnao watetea wanasaidiwa na wazungu asilimia 90 kwa Kila kitu haswa ukizingatia nchi za Kiarabu Huwa za mwisho kusaidia mahali popote wazungu ndio wanawafanya palestina na waarabu wengine kusonga mbele haswa kwa kua wazungu wanaendesha biashara kubwa na waarabu na ukizingatia pia mafuta Hadi kesho yanachimbwa na wazungu kwa mkataba au hisa
@isaacnewtonmmary3377
@isaacnewtonmmary3377 10 ай бұрын
Shee Unadanganya Mimi naijua Historia Kuliko wewe Aiseeee sio Kweli......
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 9 ай бұрын
Wayahudi hawakuwa na makazi maalum walienea Duniani ktk nchi tofauti tofauti, hata Tz walikuwepo ingawa walikuwa kdg, South Africa wapo hadi Sasa lkn hawakuwa na taifa hadi mwaka 1947 kwa msaada wa uengereza ndo wakajikusanya Palestina kutoka ulaya mashariki na kuunda taifa Lao.
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 ай бұрын
Ata zuchu anayo historia
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 10 ай бұрын
Kama mgogoro unawahusu, kwa nn hamjaenda kuwasaidia? Mnaogopa kupigwa?
@mussammanga7791
@mussammanga7791 10 ай бұрын
Wewe mwenyewe unatafutwa na Wayahudi.Hawataki ata kukuona.
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 10 ай бұрын
Ww ulienda ngorongoro kutetea wamasai ktk nchi yako
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 ай бұрын
Kweli kichwa maji
@balusilunganyi1387
@balusilunganyi1387 11 ай бұрын
Ajabu moja iliopo ni kwamba Qoran inaruhusu muislam kudanganya ili kuitetea dini. Mbona iwe hivyo!!!
@mohammednassor3614
@mohammednassor3614 10 ай бұрын
Mjinga wewe quran haisemi uongo wala hairuhusu kusema uongo
@zenassylvester125
@zenassylvester125 10 ай бұрын
Power sio kua na watu wengi professor Power ni kua na watu wenye hekima na uelewa ndio maana wayahudi wapo wachache lakini wanawazidi waislam billions kwa akili zao na vipawa walivyopewa na Muumba.
@omalijohn-il9xe
@omalijohn-il9xe 9 ай бұрын
Hawana paw yoyte wayahud Bal wansaidwa na mataif a yenye nguvu ya kikafr
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 9 ай бұрын
Yani unaweza kuwa professor lakini ukivaa ulevi unaitwa dini, fikra zinaondoka. na akili zako kama mtu mzima yaani siri iwekwe kwenye kitabu alfu wewe upate hicho kitabu? Yaani umeuvaa uislam mpaka unatetea vitu hata havina mashiko. uislam wenyewe hadithi zinasema KIAMA HAKITASIMAMA MPAKA TUWAUWE WAYAHUDI WOTE". Sasa we nilisikiliza nikafikiri umeelimika lakini naona udini tu.
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 9 ай бұрын
Tatizo huoni
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 9 ай бұрын
Tatizo huoni
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 9 ай бұрын
Alafu kuna wajinga wengi wanakwambia ni nchi ya Ahadi.
@alexalute6712
@alexalute6712 10 ай бұрын
Baba yangu Mambo ya wayahudi na wapalestina ni Jambo gumu saaana; ni ndugu wanaogombania maeneo matakatifu. Soma Mwanzo 25:5-6 pia Soma Zab 76:1-3
@allychengula3511
@allychengula3511 10 ай бұрын
Hitla alikuwa myahudi asili, alitoa kafara wenzake
@zenassylvester125
@zenassylvester125 10 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/j4XagpttZ72IkNEsi=Q8fcL0wzJOZxrSFG Somo kidogo kuhusu akili kubwa
@doramtenga796
@doramtenga796 10 ай бұрын
Muwe na ufahamu mzuri israel na hamas hawapiganii dini bali ni ardhi tusichanganye mada
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 10 ай бұрын
Nani kasema wanapigania dini?
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab 9 ай бұрын
Wewe ndo hujui wanacho pigania wewe munatangaziwa ushoga namaskofu mapapa na marekani muingeleza waafrika msio jielewa kanisa linawapeleka wapi
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 10 ай бұрын
Tatizo lenu mnasoma kile Allah anawambua katika Quran na hamtaki kusoma kile Yahweh anasema katika Biblia. Mnafiniri Wayahudi hawana nchi. Hata kama Waislamu wote mtaungana, hamuwawezi. Mtapigwa sana tu
@SaadabdulNgonyani
@SaadabdulNgonyani 10 ай бұрын
Huo sio ukweli. Ghaza ni sehemu ndogo sana kama Israel ina nguvu hizo mbona limeenda jeshi la marekani na silaha za Kila Aina kwa ajili ya kuwasaidia mayahudi? Na bado wanawaza kutumia nyuklia
@mohammednassor3614
@mohammednassor3614 10 ай бұрын
Subiri utaona
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 10 ай бұрын
Kwanini mashehe watu wenu wanafanya uharifu halafu mnawakalia huo ni ujinga
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 10 ай бұрын
Shekhe Gani anafanya uhalifu?
@sammynyalleKe
@sammynyalleKe 11 ай бұрын
Uongo! Mbona Wapalestina waanze huu uvamizi sasa!? Acha wapate adhabu yao. Israel cant relent
@JafarHussein-qe6ly
@JafarHussein-qe6ly 10 ай бұрын
Wewe ni wakawaida sana huwezi jua mchezo wanao ucheza Israel ili kupata sababu ya kuwauwa waparestina.
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 ай бұрын
​@@JafarHussein-qe6lykwa hiyo unataka kutuambia kuwa waisrael waliwaambia Hamas wavamie Israel na kuua watu ili Israel ianze kuua wapalestina??! Yaani kwa fikra kama hizo ndo maana kila palipo na mwarabu hakuna amani
@JafarHussein-qe6ly
@JafarHussein-qe6ly 10 ай бұрын
@@ladislausngoyinde4384 kwanini Israel haiwaadhibu Hamas kama ndio walio wachokoza badala yake wanashughulika na kuangamiza watoto na wanawake wa Gaza ambao hawajahusika ktk huo uchokozi wakati wana MOSAD na IDF?
@sammynyalleKe
@sammynyalleKe 11 ай бұрын
Uongo! Mbona Wapalestina waanze huu uvamizi sasa!? Acha wapate adhabu yao. Israel cant relent
@aishaarusha894
@aishaarusha894 11 ай бұрын
Na wewe pia utaipata soon inshallah 😊
@sammynyalleKe
@sammynyalleKe 9 ай бұрын
@@aishaarusha894 kaskie vbaya Huko.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 9 ай бұрын
@@sammynyalleKe koma
@wallacesalimu5754
@wallacesalimu5754 11 ай бұрын
Mze wewe hujui historia nenda kasome.BIBLIA . Kwa maoni yangu vita hii ilianza tangu David na Goliath David ni wa MUNGU, na goliath ni mphilisti (mpalestina,)
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 10 ай бұрын
Hao waliopigana na Daudi siyo hawa njoo tukufundishe, wale ni majabari ambao waliondoshwa kabisa ktk ardhi hiyo, Nahuyo Daudi ni mtume wa Allah na ni muislamu.
@MichaelShedrackRubai-kg3hg
@MichaelShedrackRubai-kg3hg 11 ай бұрын
Hakuna profesa hapa ni bla bla tuu
@HassanJambia
@HassanJambia 11 ай бұрын
Na ww hakuna taifa la izrael Kuna taifA la kaanani
@BinHakim
@BinHakim 11 ай бұрын
Netanyahu ni waziri mkuu wa Kaanani au Israeli?
@sharomdguda
@sharomdguda 11 ай бұрын
Nyinyi masheikh hacheni nyongo zenu kwa wayahudi, history ya wayahudi hatutaki kusikia habari za Balfour ya mwaka 1917, historia ya wayahudi tunaanzia kwenye Biblia na qurani. Uongo wenu ilivyo. Kwanza hakuna kitu kinaitwa wapelestina, Hawa ni waarabu hakuna kitu kinaitwa palestinians. Hao wapelestina wanazunguza lugha gani?! Hawa ni waarabu wapototoshe hao wanaokusikiliza km kawaida Yao hawajui kufuatilia Bali kusikiliza
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 11 ай бұрын
Huna adabu unabishana na pro. Humpati kwa lolote kwa elimu kwa imani huyu ana imani nzuri kuliko yako..!
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 11 ай бұрын
Kuwa na nidhamu huyu ni shekhe
@abdiidi2494
@abdiidi2494 11 ай бұрын
Wewe Hadi Leo umekaririshwa yesu ni mingu na miungu ni mitatu kwaulivokua hufatilii kitu
@azizimasenga3893
@azizimasenga3893 11 ай бұрын
Mbona mapovu sna wewe mwanadamu.
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor 11 ай бұрын
😂😂😂😂We mpumbav t hujijui at unpotok n unpokwenda
@aishathabit3732
@aishathabit3732 11 ай бұрын
Huyu njozi sio ndoto ameshindwa kujua mauaji ya Palastina sio sawa na ya wanazi na hapa ameonesha uduni wake wa kufikiri Wanazi sawa walitengeneza mauaji hayo Lakini suala la mayahudi ni uvamizi tangu mwaka 1948 na hiyo Ghaza wamesha chinjwa zaidi ya mara 10 Sasa tukio hili kusema wamefanya mayahudi wenyewe lengo lako ni kuonesha kwamba kinacho wapata waislamu wa Ghaza wameyataka wenyewe
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 ай бұрын
Mbona hamuwaongelei mauaji yanayofanywa na waarabu darfur dhidi ya waafrika weus, mnatetea waarabu kuliko ndugu zenu waafrika wanaouliwa na haohao waarabu darfur, utumwa wa akili ni mzigo kweli
@pascal2415
@pascal2415 11 ай бұрын
Tatizo ni pale waislamu wanapojipa umuhimu saana, kwani Palestinian wote ni waislamu? Tetea haki sio Udini .... Wewe ni mweusi na uliuzwa kama mbuzi na waarabu ambao ni waislam wenzako sasahivi unawaona kama ndugu nyooo
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 11 ай бұрын
😂PALESTINE NA ZANZIBAR😂 Chama Cha Mazaonism (CCM) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 11 ай бұрын
Uislamu mbali na uarabu mbali sisi sote ni umati Muhammad hata wewe pia
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 11 ай бұрын
@pascal2415.Islam ndio Dini pekee inayopinga Ubaguzi Duniani. Wakati wa Mtume Muhammad (SAW) Swahaba (Companion) wake Abdullah Salam (RA) alikuwa Muyahudi na Mshauri wake. Jee Wakiristo ni Mayahudi kwa sababu Yesu Kristo (AS) alikuwa Muyahudi?
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 ай бұрын
​@@khatibal-zinjibari6956ni kichekesho, eti ni dini inayopinga ubaguz 😂
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 10 ай бұрын
​@@ladislausngoyinde4384Baada ya kichekesho chako tupe ushahidi kuwa Uislam haipingi Ubaguzi.
@joejohn8115
@joejohn8115 10 ай бұрын
Mseme ukweli nyinyi Waislam. Je ule Msikiti pale Jerusalem ni kweli ndiyo hapo Mtume Mohammad alipopaa kwenda mbinguni. Inakuwaje Mtume alikufa 632, na calipher Omary na majeshi yake waliiteka Jerusalem mwaka 638 na hatimaye kuanzia ujenzi wa Msikiti huo 682 mpaka 705 SWALI je Mtume alipaiya kwenye eneo Gani? Maana miaka ya uhai wa Mtume Mohammad palikuwapo mabaki ya Hekalu la Daudi? Na je Waarabu walijiitaje Palestinian wakati ktk kiarabu hamna letter P? ACHENI HILA ZENU ZA KIDINI. SOMENI HAMAS CHARTER 1988 KIFUNGU 7, 11 na 13
@fadhilshafi2947
@fadhilshafi2947 10 ай бұрын
usiandike tu kwasababu ulipelekwa shule ukajua kuandika.. fanya research katika sources sahihi ndio uje hapa kuandika nakuleta maswali yenye tija na hoja... usijiaibishe huku bure
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 10 ай бұрын
@fadhilshafi2947 Leta fact wewe unayeujua ukweli
@joejohn8115
@joejohn8115 9 ай бұрын
Mm au wewe ndyo unajiaibisha!! Mmeja hila tu mbaka zinafanya msiyaangalie mambo ya Dunia kwa uhalisia wake? Soma kwanza sahih Al- bukhari 4950 ndiyo utajua hujui kuwa kumbe Allah mnayemuabudu ni Shetani mwenyewe
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 9 ай бұрын
Palestina kwa kiarabu inatamkwa falastin, afu Ile sehem aliopaa mtume Muhammad s.a.w. ipo toka Enzi hizo kabla mtume unachosema ww ni maboresho tu. Ni km Alkaaba ya makka ipo kabla Muhammad ktk wkt wa Ibrahim lkn iliboeshwa tu.
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 9 ай бұрын
Kuna watu wanadhani wayahudi ni wakristo na wanadhani kuwaunga mkono na kuwatetea ndio kuwa pamoja kiimani, ktk oparesheni zao wayahudi wanawahujumu Wapalestina awe muislam, awe mkristo au myahudi asili madhal wote ndio wenyeji wenye mitizamo ya kizalendo kwao huwa adui. Lkn tukumbukeni wayahudi wenye shida ni wayahudi wahamiaji toka ulaya mashariki na Amerika na sio wayahudi wa kazi halisi wa Palestina.
@sharomdguda
@sharomdguda 11 ай бұрын
Waongo wakubwa, mlijitia kumtishia na dola zenu hafifu mara Iran, mara uturuki wanatoa mapofu tuuuu hawana lolote. Mkatoe msikiti wenu bandia
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 11 ай бұрын
Muongo wewe na viongozi wako wanaokuongopea kuwa yesu mungu wakati yesu mwenyewe anasema ili upate uzima wa milele umjue yesu ni mtume tu yupo mungu wa pekee 17:3
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 11 ай бұрын
Koma we mshenzi mkubwa. Akili yako sio sawa kwa sababu unamuabudu Binaadam. Msikiti bandia ni ule unaokwenda kuabudu wewe usiejitambua .
@SaidRojo-zt6kn
@SaidRojo-zt6kn 11 ай бұрын
We ni mjinga Kama hao wajinga wenzako mayahudi.
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp 10 ай бұрын
Umemeza sumu ya kiyahud kenge wew
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 10 ай бұрын
Inna lillahi Wainna Ilayhi Rajioun
@aishathabit3732
@aishathabit3732 11 ай бұрын
Hawa sio wasomi wenye kuwa na suluhisho bali wasomi makasuku yaani kuwa na msomi kama huyu ni sawa kuwa na vitabu mkononi tu, Msomi lazima aeleze tatizo Kisha atoe suluhisho Kuhadithia tu ni sawa na kitabu cha sauti
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 110 М.
MITIHANI NA FITNA ZA WATOTO //SHEIKH OTHMAN MAALIM
36:57
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
UKIWA KIONGOZI LAZIMA UWE NA SIFA HIZI 5 //SHEIKH OTHMAN MAALIM
17:09
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.