KAMA ADAMU ALIKUWA MZUNGU WATU WEUSI WALITOKEA WAPI/NI MATOKEO YA LAANA YA NUHU?

  Рет қаралды 69,364

SMTV

SMTV

Күн бұрын

Пікірлер: 332
@true.africa
@true.africa Жыл бұрын
Ahsante kwa ufumbuzi wako umefanya nijione wa thaman
@furahamwambola1517
@furahamwambola1517 7 ай бұрын
Ndugu nashukuru kwa tafsiri zote nzuri Ila nikurekebishe mahali padogo. Mtu anapofundisha tofauti na unavyoujua uhakika sio kuwa anamtumikia shetani, wengine ni kwa sababu ya namna walivyofikishiwa mafundisho. Tunakua kila siku
@jasonmartin5294
@jasonmartin5294 10 ай бұрын
Ahsante sana umetutoa tongo tongo Machoni, Mungu akibariki sana
@StevenWillemtundu
@StevenWillemtundu 7 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu kwa mafundisho yako mazuriii
@trizafrances4304
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Eee acha nikuite Mwalimu cose umenifundisha mambo hata wazazi wangu hawajui Nimefundishika Mimi Tena Sana naomba Mungu akuzidishie Ufahamu Zaidi Na Zaidi triza kutoka Mombasa kenya
@bonigichau1336
@bonigichau1336 Жыл бұрын
Hii elimu ya juu sana kwetu walejelewa, Emwenye Enzi Mungu atukuke vile amekutumia utie hai kwawasio pendelewa. Kweli Mungu aliamua yeye mwenyewe kwa nguvu za atunusuru atatunapoonekana upunguvu.
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 11 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Bwana ninaomba pia utusaidiae kuhusu mapambo
@michaelicastor3685
@michaelicastor3685 Жыл бұрын
Wewe kwer umeongea kwer wazungu wanampango mbaya mungu akubarik kwa mafundisho
@AmosOguku
@AmosOguku 6 ай бұрын
Mtumishi maandiko yanasema ,Mungu alifinyanga Udongo na Udongo ule ndo ulikuwa na mchanganyiko wa rangi ,kama unavyoona Kuna aina za Udongo na rangi tofauti ,Udongo uliyotumika kwenye Uumbaji ulikuwa na mchanganyiko wa Rangi na Udongo Huo ulitumika kuumba Wanyama na Ndege na hata wao Wana Rangi tofauti ,Mengine hayo ni Upotoshaji TU,
@MpembaHalisi
@MpembaHalisi 4 ай бұрын
we akili huna mbona mtu mweusi bila kufanya tendo na mtu mweupe hapati mtoto mweupe na nywele lain na mtu mweupe pia kama hajafanya tendo na mtu mweusi hapati mtoto mweusi!? Na tunaona hapa duniani muarabu anazaa muarabu na wala hazai mtu mweusi na wazungu wanazaa wazungu hawazai watu weusi na mtu mweusi anazaa mtu mweusi hazai muarabu wala mzungu! Ukiambiwa na we jiambie usifate tu kama ng'ombe izo zilikua ni biashara tu za wakoloni hakuna ukweli wowote kuhusu mambo haya
@brunoh_bx
@brunoh_bx 4 ай бұрын
Maandiko yepi yanasema tofauti ya rangi za udongo ndo zinafanya wengine wawe wazungu na wengine weusi
@festomombo5859
@festomombo5859 8 ай бұрын
Busara za mwanadamu nu upumbavu kwa Mungu.Haina nafasi kwa mungu
@nacyjoncommedy3978
@nacyjoncommedy3978 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mwalimu wa neno,hata nami nimesaidika kabisa..
@Viviankasandi
@Viviankasandi 4 ай бұрын
Amen 🙌 nimejifuza mengi
@marywilbourne200
@marywilbourne200 Жыл бұрын
Kama kawaida Mwalimu umenifunza mengi sana, sana. Pia Mungu mwenyewe alisema alupumua hewa kwa udongo ndio Adam akaumbika. Udongo kama kawaida ni rangi ya mtu mweusi. Ahsante na Mungu akubariki.
@mariaalenge2106
@mariaalenge2106 Жыл бұрын
Dungu yangu umeongea kitu cha kweli nilisha wai kuwa ambia watoto wangu kuwa sisi ndio tuli umbwa na Mungu pale edeni niliwai kuwauliza niwapi walisha wai kuona udongo mweupe naiyo inaonyesha sisi ni special sana wakujizarau wajizarau lakini kweli itabaki kuwa kweli
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 2 ай бұрын
Uwongo yesu hakuwa mweusi alikuwa mweupe hakuna weusi kule wayahudi weusi
@brezenetcomputers9081
@brezenetcomputers9081 Жыл бұрын
Ebwana we isaya upo vizuri sana maneno yk ya kuwa adam alikuwa mwrusi hata kwny quran ushahid upo tena wa wazi kanisa ukiutaka ntakupa
@shabanshabani8453
@shabanshabani8453 5 ай бұрын
Nipe elimu kaka nizidishe uelewa please
@Jojiisraeli
@Jojiisraeli Жыл бұрын
Ameni mtumishi
@chengobenardchengobenard8056
@chengobenardchengobenard8056 Жыл бұрын
Asante mwalimu wa neno la Mungu endelea kutufundisha kwa maana wazungu wametuweka watu wa matabaka Ila kwa Sasa mm hawaniwezi kwa uongo wao
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hamuwezi kuwakwepa mana ndo wameutawala ukiristo kila kitu wao
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 2 ай бұрын
Kweli Wewe ni Mwalimu
@clavankalinga734
@clavankalinga734 Жыл бұрын
Songwe momba kunasehemu kwenye jiwe panaonekana wayo wa kare mje kufanya utafiti watalaamu wetu
@elizawamainge8623
@elizawamainge8623 Жыл бұрын
Asante sana mwalimu wafungue watu macho wajidhamini.
@daudimangire4976
@daudimangire4976 Жыл бұрын
Nikweli kabisa maana wazungu wasingeacha bara tajiri na kwenda kuishi huko waliko ,waangeishi Africa kwenye utajiri ,huko sawa
@AshuraKaigwa-pz2lq
@AshuraKaigwa-pz2lq 11 ай бұрын
Wewe mkristo au muislamu
@chilumbaathumani2236
@chilumbaathumani2236 Жыл бұрын
Upo vizuri mwalimu, mungu kupe nguvu zaidi ya kuwafundisha watu wasiojielewa Asante sana
@atterychatta5844
@atterychatta5844 Жыл бұрын
Kidogo kidogo naanza kuelewa. Asante sama kwa ufafanuzi, Mungu akubariki.
@isayalameck8133
@isayalameck8133 Жыл бұрын
Mungu akubariki saana. Ushari, naomba urekodi mafundisho hayo yasambazwe kwenye maduka ya vitabu na kwenye maduka ya Vyombo vya muziki.
@andrecorte3681
@andrecorte3681 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa maneno yako professore doctor mwakilembe.
@methodmasenda9170
@methodmasenda9170 Жыл бұрын
Hii elimu ni nzuri yafaa kuelimishana mara kwamara ili kujitambua pia kujithamini endelea zaidi na zaidi
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 6 ай бұрын
Najivunia sana kuwa mwafrica
@mercywa5149
@mercywa5149 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana❤very true
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu Asante kwa ajili ya kutufundisha maana wstu wengi hawajui
@evancemichael5489
@evancemichael5489 Жыл бұрын
Very good very good explanation. Ningekuwa na nafasi ningeongeza ya kwangu
@hatibuiddi4163
@hatibuiddi4163 Жыл бұрын
Mwalimu much respect sana
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 5 ай бұрын
ukwel kutoka kwnye Qur-an ni kwmba alipotumwa malaika kuchukua udongo ili mwenyez Mungu amuumbe nabii adam akatakiwa achukue udongo kutoka maeneo tafaut na ndipo akaumbwa na ndio chanzo cha uzao wake kuwa na rangi tofaut lengo sio kutengana bali kuweza kufahamiana na mbora wetu ni yule mwenye kumcha mungu si vinginevyo
@ima-fc3fm
@ima-fc3fm Жыл бұрын
asantemwlmu.naubarikiwe
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mimi naamini kuwa mungu ni muumbaji Wa kila anachokitaka sio watafiti Wa dunia ni miujiza anayotuonesha mungu kwamba yeye hashindwi lolote tusiamini miungu mengine
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 10 ай бұрын
Sayansina imaninivituviwilitofautikabisa utachanganyawauminitu.imani haiamini theory of evolution .
@jacobngalya989
@jacobngalya989 Жыл бұрын
Mwalimu hongera kwa kai nzuri, naomba kufahamu pia kusuhu chanzo cha jamii nyingine mbali na wazungu, mfano; waarabu, wahindi, wachina, n.k.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Amina mwalimu Issaya Benson Mwakilembe mwalimu wa neno la Mungu
@fabriceniyonkuru5882
@fabriceniyonkuru5882 Жыл бұрын
Shalom sasa mwalimu wanenola mungu nataka nijue mwarubu naye alitoks wapi? Naomba unifzhamishe
@94winga
@94winga Жыл бұрын
Ameeeeen
@edwardnsuhuzwa4099
@edwardnsuhuzwa4099 Жыл бұрын
Hongera sana MWALIMU,ni Leo tu umenifungua kutambua asili ya mtu mweusi na mweupe yaani mzungu,AMINA.
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 6 ай бұрын
Asante Mwalimu ❤❤
@sergekibala8298
@sergekibala8298 Жыл бұрын
Swali. 1. Tangu uumbaji hadi leo, kwanini mweusi ajawau kufanya lolote kwafaida ya wengine? 2. Kwanini tangu mwanzo wa Historia mweusi ni mtumwa? 3. Mtu wa porini kwa wazungu na mtu wa porini mweusi, nani mjinga zaidi? Tuanchane na mambo ya rangi bali tumwombe Mungu atutowe chini ya laana ya utumwa(utumwa kiakili).
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Watu weusi tunajizalaulisha sisi wenyewe. Mungu hajatuzalaulisha hata kidogo.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Inasikisha sana mwafrika ku linganishwa na shetani
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kwakweli huwa nawaelewa sana ndugu zangu. Mwalimu Issaya unapiga kazi sana. Mwalimu Mpoki naye hulo aliko ajitahidi basi awe anajirekodi na kuweka video zake kwenye chanel hii tafadhari
@stanleysanga7758
@stanleysanga7758 Жыл бұрын
Hongera Sana kazi nzuri.
@obedychando7517
@obedychando7517 Жыл бұрын
mtumishi naomba jibu kibibilia nani aliyefungishwa ndoa alafu wazee wetu wa imani kama yakobo Ibrahim na isaka walifungishwa ndoa nanani? alafu hawa watumishi wanatoa wapi mamraka yakufungisha watu ndoa? vyeti au hati ya ndoa bibilia inaitambua?
@zamybukene
@zamybukene 5 ай бұрын
Nimeyapenda sana haya mafundisho kweli kweli,nina swala limoja,umesema muzungu na mweusi wakikutana wanazaa mweusi ila mimi hawa watoto wamezaliwa na mweusi na mzungu yani ma caulight,sio weusi wanakuja na rangi ya kizungu sana na nywele zao ziko karibu naza kizungu sana kuliko zetu wa bantu hapo haukukosea kweli?mfano OBAMA,CHRIS BROWN na wengi nao wajuwa?
@bethkimani92
@bethkimani92 Жыл бұрын
Thankyou so much for your teachings nimekwelewa kambisa.
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi Wa Mungu
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Laana ya Mwafrika ni kukubali dini za kuundwa na watu, Ukristu na Uislam.
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 Жыл бұрын
Sawa hapa umerudi kwenye mpango ulioitiwa safisana,axhana na ushabiki wa kule urs
@isayacondrald8217
@isayacondrald8217 Жыл бұрын
Ahsante
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@nuruchaula1772
@nuruchaula1772 Жыл бұрын
All about continental drift
@hamisiramadhani9217
@hamisiramadhani9217 Жыл бұрын
Asante mwalim isaya mungu akubaliki sana
@amangervacy879
@amangervacy879 Жыл бұрын
taifa la mungu ni mtuu mweusi na mungu alimuumba adamu akiwa mweusi cyooo mweupe
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Hata wale thailand.kambodia Filipino sirilanka Bangaladesh Japan india.nepali Indonesia wote ukiwatizama wanaasili ya Afrika.pua sura rangi.tatizo lau tafauti ni nywele tu. ila hata huku Tanzania ukizaa mtoto huwa na nywele nyepesi ila huwa wazee wanazikata lakini wao mtoto hawamkati nywele alizozaliwa nazo mtoto.
@Mohamedychilungu-t7y
@Mohamedychilungu-t7y 7 ай бұрын
Na vietinam
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 Жыл бұрын
Upo sawa kabisa mwalimu
@johnmwangi1131
@johnmwangi1131 Жыл бұрын
Mwalimu uko sawa mzungu wa kwanza alikua nuhu,soma kitabu Cha enoki sura106
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 Жыл бұрын
Wala nuhu hakuwa mzungu ila alikuwa na nywele nyekundu
@petermutuku1289
@petermutuku1289 Жыл бұрын
Uko sawa mwalimu
@zbmtk529
@zbmtk529 Жыл бұрын
Asante sana mtumish wa mungu umenifungua fumbo la mda mrefu nimekuelewa sana mungu Aendelee kukutia nguvu🙏
@khalfanshahabakar7439
@khalfanshahabakar7439 Жыл бұрын
Dongo jeusi lililovunda na lilikaa karne na karne na baadae akaumbwa nabii adam.HAWA alitoka ubavuni mwake na alikua mweupe na yeye alikuwa anazaa rangi tofauti
@happinessmaregesi253
@happinessmaregesi253 Жыл бұрын
Asante sana Mwl, BARIKIWA
@alexmugala
@alexmugala Жыл бұрын
Amina
@nicomalle4442
@nicomalle4442 11 ай бұрын
Mtumishi mminaona rangizilianzia mwanza 6:1 nawala siyo mwanzo 25:25
@robi7printing291
@robi7printing291 Жыл бұрын
Kukuu samahani nisaidie kujua utofauti wa tamuzi na yesu
@emanueliphilipo8303
@emanueliphilipo8303 20 күн бұрын
mtumxhi wakrixto tunafel wapi mwiixlam akichnja mnyama wakrixo tunakula ila mkirxto akichnja mnyama mwiixlam hali au ukrixto xio xehem xahih ya kumtukuza mungu
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 Жыл бұрын
Nakukubali Sana.
@OmanOman-cq3zq
@OmanOman-cq3zq Жыл бұрын
Balikiwa unaongeya ukweli Mungu akubariki azidi kukupa akili
@oscarwilliam8341
@oscarwilliam8341 Жыл бұрын
Unajua wew nimwaoimu lakin kuna vitu hukutakiwa kuviuliza vitu ambavyo mungu mwenyew aliviacha so nadharia izo
@muhidinihassani2282
@muhidinihassani2282 5 ай бұрын
Naomba ufafanue mwisho wa taifa la Israel kihistoria,Kwani wanaonekana ndio chanzo cha uovu ulimwenguni.
@kilulamofi4948
@kilulamofi4948 Жыл бұрын
Mungu akupe njia nyingi zakutumia ili waafrika tuelimike
@SimonDaniel-lm6jd
@SimonDaniel-lm6jd 5 ай бұрын
Amina mwalim . Lakini naomba utufafanulie zaidi Kiukweli umeeleza vizuri . Ila naomba kufaham kuwa imekuwaje kwa mzungu kuwa mbele zaidi ya Mwafrika kimaendeleo kmna ss uzao uliobarikiwa kuwa kama wanatuzidi japo binafsi sioni kama wanatuzidi ila in general bado tunapokea misaada yao . Hii ilikuwaje mwalim ?
@muziranengerakiri9693
@muziranengerakiri9693 Жыл бұрын
Mwalimu Isaya tafadhari ungesoma Biblia vizuri Adamu :Maana yake udongo mwekundu Nuhu akazaa Wana 3. Shemu Hamu Yafeth Hapondipo yaanza makundi yawatu.
@waziriwaziri4330
@waziriwaziri4330 4 ай бұрын
Mchungaji vingine kama huna uhakika usipoteshe omba watalaamu wakusaidie
@MasoudseifRamadhan-hd8zx
@MasoudseifRamadhan-hd8zx Жыл бұрын
Mbona haijawahi kutokea kiongozi mkuu wa kanisa (Kama vile kina Papa John wa Kwanza na kadhalika)kutokea Afrika au mtu mweusi Hapaswi kuchukua nafasi hiyo
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 Жыл бұрын
Nime kupata mwalimu isaya mwakilembe
@maryammkaramba2168
@maryammkaramba2168 Жыл бұрын
walykum salama
@emanuellohai9044
@emanuellohai9044 Жыл бұрын
👏👏👏👏
@emanuellohai9044
@emanuellohai9044 Жыл бұрын
Wabishi waacheni
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 5 ай бұрын
Kitabu cha enoko kinaelezea mwanadamu aliumbwa kupitia vitu saba wala sio udongo tu, lakin kilifichwa kitabu cha enock sahii kinatumika kama science sahii 😮
@titojb4703
@titojb4703 3 ай бұрын
Hakuna ukweli kwa yote hayo, Mwafrika ndiye mlaaniwa na ndo maana hiyo laana ilitimilia kwake.
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Жыл бұрын
Sisi waafrika ni kama tumefunikwa na likitambaa mtu mweusi ni royal mtu mweusi ukifanyia kitu huwa anatabia ya kutawala hicho kitu angalia kwenye michezo, miziki uongozi mfano marekani walipo mruhusu tayar mtu mweusi kaingia sehemu ambayo mtu hajaruhusiwa kuingia ni suala la uchumi na sayansi ndio maana waafrika hawa kupewa " marshall plan"
@IngridElizabeth-e7g
@IngridElizabeth-e7g Жыл бұрын
Kwenye chanzo cha mzungu umeongopa kama ujaongopa basi ujui kitu hapo Chanzo Chao ni maraika walioanguka wa kundi la tatu waliwaingililia na kuwafanya wake zao wanawake weusi. Mwalimu ni mmoja tu naye ni Zouloula 100.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 Жыл бұрын
Binadamu aliumbwa kwa udongo. Je kuna udongo mweupe? Labda chokaa! Mungu hana rangi hivyo kama tuliumbwa kwa udongo kwa mfano wa Mungu, rangi itakayoakisi ni ya udongo ambayo ni kijivu au kahawia ambayo ndio rangi ya wafrika mbali na athari za hali ya hewa toka eneo moja hadi jingine.
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 Жыл бұрын
Kweli ww nimwalimu ila kunakitu mm sitakagi kuamini kutoka kinywani kwako unamuzigo mzito kwa kumusifia m2 flani ingawa unajuwa Hana utumishi wowote mbele za MUNGU
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Na ndio maana wazungu au wetu weupe wanatuchukia na kuwafundisha watoto wao kama mtu mweusi ni sokwe yote hayo kutokana na wivu waliokuwa nao mana wanajuwa kama mtu mweusi ndio wa mwanzo kuumba na ananguvu na akili na maarifa bila kusoma ila wazungu wanaakili ya vitabu kudanganyana Tu.
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 Жыл бұрын
Daa tumedanganywa sana mim binafs nimesumbuka sana na swali hilo niliuliza hadi college ya theorog nikajibiwa because of environment 🙄☹️
@stellah11
@stellah11 6 ай бұрын
Mwafrika akizaa na mzungu mtoto anatoka mweupe .. mwafrika na mwafrika wakizaa pia mtoto anaweza kutoka mweupe kama albino lakini mzungu akizaa na mzungu mtoto hawezi kua mweusi bali mweupe
@JohanessNango
@JohanessNango 9 ай бұрын
Hapa umékanyaga hatua nimeelewa
@abelynyota6598
@abelynyota6598 Жыл бұрын
Umechemka mwalim unahitaji kufundishwa mtu mweusu ametajwa kwa ham mtoto wa nuhu
@designdesign4426
@designdesign4426 Жыл бұрын
Yani mzee unaa IQ kubwa sana
@fridachuwa8622
@fridachuwa8622 Жыл бұрын
Mtu mweusi ndio wa kwanza kuumbwa,
@fridachuwa8622
@fridachuwa8622 Жыл бұрын
Mitume wote walikuwa ni watu weusi, hata Kristo wa kweli alikuwa mweusi, na sio huyo mzungu mlioletewa na mamakatoo yaani kanisa katoliki, chunguza vizuri upate historia ya mtu mweusi
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 2 ай бұрын
Mwongo wanatoka mochotara na wanakuwa rangi nyeupe zaidi sio weusi
@diversetv74
@diversetv74 Жыл бұрын
Kweli unayo idea , but you still have a long way to encounter the real fact of nature!Labda ndo ujuwe kwamba kama ni mzungu aliye anzisha dini ni kwa nn akwambiye mtu wa kwanza alikua mweusi?Mbona sioni mtu mweusi alieenda ulaya kufanya utafiti kusu hayo?Sisi ni daraja la mwisho without favour!
@innocentmwangosi1997
@innocentmwangosi1997 Жыл бұрын
MUAMINI YESU ACHA DHAMBI hayo mengine utaenda kuyajua mbele kama ukitoboa
@ezekielanania6967
@ezekielanania6967 Жыл бұрын
Hayando yenye ukweli DNA much
@suleimanseif3290
@suleimanseif3290 Жыл бұрын
Adamu hakua mzungu na alikua nimweusi
@amangervacy879
@amangervacy879 Жыл бұрын
yani hawa jamaa hawajui chochote mdaa mwingne hpo ukimuulz bustani ya endeni ilkuwa wapi utaskia wanakwbia et ilkuwa palestini jambo ambalo cyoo kweli
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Ndio maana waafrica hatuendelei mtu mweusi mwenyewe anajikataa anamtukuza mzungu heti Ndio aliumbwa na mungu
@eyelushshamschel
@eyelushshamschel Жыл бұрын
Kitab quran ndo ukwl wa mambo yote kila ki2 kimo humo we apo unapuyanga tu kasome quran utajua m2 mweus alitokea vp.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Wazungu wamewapoteza watu wengi sana
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 Жыл бұрын
Adam alikua mzungu hujielewi kbsa
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 182 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 54 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
42:18
arkas online tv
Рет қаралды 419 М.
Je, Yesu ni nani: Mzungu au Mweusi? #1
15:46
Majaliwa Machinda
Рет қаралды 7 М.
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
MFAHAMU MALAIKA WA KUKUPELEKA KWENYE MAFANIKIO YAKO // Part 01
14:11
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
1.OMBEA MIFUMO KWA MBINU ZA DANIEL ILI UFANIKIWE KIMFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:22:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 30 М.
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН