Kampuni ya Mtanzania, Benjamin Fernandes, NALA yakusanya TZS Bilioni 106 za uwekezaji/mtaji

  Рет қаралды 10,538

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

20 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 67
@faridhamad3678
@faridhamad3678 18 күн бұрын
Maa shaa Allah Kijana kapambana sana Allah azidi kumfungulia Rizki yake ili azidi kua Asbaab ya wengine kupata Rizki inshaa Allah.
@marrypius576
@marrypius576 18 күн бұрын
Ongera zake kijana anapambana sana Mungu akuongoze
@kalfohuncho7356
@kalfohuncho7356 18 күн бұрын
Idol🙌🇹🇿
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 18 күн бұрын
Hongera sana kwake jamaa anatuwakilisha vyema sana nje ya nchi
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 18 күн бұрын
Pongezi nyingii kwako mjasiliamari Mtz mwenzangu kwa mapito ya kampuni yako. Waliouchukulia duni mwanzo wako taarifa hii ni adhabu tosha na fundisho kwa wengineo, bila kusahau hii ni motisha kwetu tunaojitafuta tukingali na mwanzo hafifu Sana.
@zakayodismas251
@zakayodismas251 18 күн бұрын
Hiyuu jamaa baada ya miaka kadhaa ni bilionea ajayee
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 17 күн бұрын
Tunge kuwa tumwekea mazingira hapa ndani, huo utajiri ulikuwa wetu wote. Si ajabu kasajiliwa nje.
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 18 күн бұрын
Huyu jamaa alitakiwa awe pale TRA awatengenezee mfumo mzuri wa kukusanya kodi na hatimaye kodi ipungue ili kila mtu aweze kulipa kirahisi na kampuni yake hiyohiyo ya NALA lakini utasikia tuna watalaamu wetu
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 18 күн бұрын
Amani ya nchi ndio msingi wa maendeleo ya Kila Mmoja bila amani hakuna maendeleo respect🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@shaban6644
@shaban6644 18 күн бұрын
At the same Time anatangaza Nchi Yetu Kwa ukubwa Sana. Proud of You as Tanzanian.
@jengainavyotakiwa
@jengainavyotakiwa 18 күн бұрын
Hongereeni sana kwa hatua mliofikia, haikuwa rahisis
@BARAKA-ns3jv
@BARAKA-ns3jv 18 күн бұрын
Tunaomba ufanye naye interview
@aminaali792
@aminaali792 18 күн бұрын
Maa sha Allah Nala has good rates 👌🏼😍😍
@beingothman
@beingothman 18 күн бұрын
Hadi Raha
@patrickmulonda9710
@patrickmulonda9710 18 күн бұрын
Ni company nzuri sana kabisa, hata sisi tuliopo hapa ulaya tunaitumia
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 18 күн бұрын
Hongera sana🎉🎉🎉🎉
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 18 күн бұрын
Niliwaona mbali sana NALA, kutokana na technologia yao isio ya mitandao ya sim. Lakini nikawa na shaka juu ya Fernandes kufadhili mambo ya ukiukwaji wa misingi ya kuishi kiuumbwaji, hilo bado naliangalia kwa jicho pana sana. Lakini hiyo kampuni ni safi na nia ya muanzilishi ni njema, katika maelezo yake. Ni moja kati ya watu naowafatlia sana, na ninaona wana kitu cha kuinufaisha nchi yetu.
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 18 күн бұрын
Tanzania imejaa watu wenyeh taaluma na techilogia ya juu 😊
@jotafungo4622
@jotafungo4622 18 күн бұрын
Isogezeni nchi zote za SADC
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 18 күн бұрын
Tukumbuke hapa alikutana na mizengwe, akakimbia.
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 18 күн бұрын
Fernandes the super hillo of tanzania
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 18 күн бұрын
Ongea kiswahili pumbu ww. acha ulimbukeni.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 18 күн бұрын
Super Hiro huku tulimkimbiza nyumbani
@Sonier_Bright
@Sonier_Bright 18 күн бұрын
Wow❤
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 18 күн бұрын
Bilionea mtarajiwa Afrika
@johnmessi6831
@johnmessi6831 18 күн бұрын
Mbona nala haipo Israel 🇮🇱? Tuna pasta shida kutuma pesa
@Fgldesigns
@Fgldesigns 18 күн бұрын
Ila mtambue kampuni si ya Tanzania kwasababu ya kutokuwa na maono, bali tunajua rushwa tuu
@bushbabytz
@bushbabytz 15 күн бұрын
Mtoto wa Mchungaji Ferdinandez huyo wa ATN aisee, kumbe NALA ni ya kwake!? natumia NALA sana kutuma pesa Tz kwa familia kutoka huku Scotland
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 18 күн бұрын
Ni washenzi sana
@user-br4gt8nz7o
@user-br4gt8nz7o 18 күн бұрын
One day❤
@jamesrichard54
@jamesrichard54 18 күн бұрын
Top 10 nami nimo kwakutumia Nala kutuma pesa home 🎉 kama na ww upo Top 10 like hapa 😮🇹🇿🇹🇿
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 18 күн бұрын
🚀🚀🚀🚀🚀🚀
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 18 күн бұрын
Jiulize kwa nn wengi wakianza kifanikiwa wanahamia nje,.?
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 18 күн бұрын
Huyu kijana Nakuona Niaka ijayo Atakuja kuwa Tajiri no 1 Tanzania Benjamin ni hatari
@dareplatform8784
@dareplatform8784 18 күн бұрын
Huyu anae andika title ni nan😂😂😂😂 uwezekaji ?????!!!!!
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Siyo MTANZANIA huyo😢
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 18 күн бұрын
Mimi nipo Germany 🇩🇪 natumia nala kutuma pesa nyumbani ipo fasta mno nikajua mmiliki wake ni m nigeria 🇳🇬 kumbe mtanzania? Na ndomana hua wananitumia text wananiekea na maneno ya kiswahili
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 18 күн бұрын
Ila mbona wa tz wenyewe sio mtu mweusi 😢
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 18 күн бұрын
​@@PuzzleMc-zp2lgkwani mtu mweusi tu k mm wewe ndio mm mtanzania peke yake, ondosha fikra na mawazo mgando ktk akili yako, hebu isome history ya Tanzania utajuwa ina watu wa aina gani na gani
@user-mt6nu5hs8q
@user-mt6nu5hs8q 18 күн бұрын
Kwahio tz amebaniwa si ndio
@Qqambaa
@Qqambaa 18 күн бұрын
Fanandez ni msomali mwenzangu cio
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 18 күн бұрын
Peleka Ushamba mbele , usomali nini umeleta hapa, akili za matakoni 😂 sasa siungeenda Somali, kwa nini uko TZ ??? Kijana amesema yeye ni Mtanzania alafu wewe unakuja kumtafutia kabila😒
@majalaworldwide
@majalaworldwide 18 күн бұрын
Mbona una ipromote nala wakati hata tanzania haipo na haifanyi kazi
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 18 күн бұрын
Mmefanya tafiti?
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 18 күн бұрын
Ipo
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
​@@lovenessvisent9408Haipo ipo Kenya
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 18 күн бұрын
Hongera sana lkn kitu chochote marekani akiwa mshirika wako ujue ataleta matatizo tu hivyo kuwa muangalifu
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 18 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 khaaa. . Small minds mna shida sana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 18 күн бұрын
@@rebbywealth9869 mimi small minds lkn nakubali lkn ndio huo ukweli huo wewe c ndio Manager wake
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 17 күн бұрын
Ndugu msichama akiwa mrembo, vijana wa kiume wa karibu wasione uzuri. Kuna shida kijana kumposa?. Hayo mataifa wanasaka fursa. Wakikuta mmezubaa wanachukua. Utasema naandika nini. AI na fursa zake hapa ndani ni kama hatuji ndiyo maana hakuna uwezeshaji wa kitaifa. Hivi vitu vina gharama. Na Kwa sababu hatujali watu kama hao wanakimbiza utajiri kwenye mataifa mengine. Tutasubiri kushangilia tu. Mfano mwingine kuna kampuni ya RADELIFAME unaitwa Skyline and logistics wasafirishaji wa mzigo tz wameanza kutumia, na umesajiliwa nchi 193. Mataifa makubwa na jumuiya za kiuchumi zinaangaika kuwachukuwa. Hapa tz Sina hakika kama tunajuhudi za kuweka mazingira ili nao wasikimbie kama NALA. Hayo mambo ya mifumo makampuni ya ndani kama hayo yanaweza kutengeneza mifumo. Ya kila aina bila kutoka nje
@Mr-GMB
@Mr-GMB 18 күн бұрын
Ofisi ziko wapi hapa Tanzania?
@salvadorfx
@salvadorfx 18 күн бұрын
Ofisi za Nala zipo Nairobi 🤣Tz walileta ungese
@Mr-GMB
@Mr-GMB 17 күн бұрын
@@salvadorfx aisee
@salvadorfx
@salvadorfx 17 күн бұрын
ndio nchi yetu hio 😂 Kuna interest binafsi sana
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 17 күн бұрын
Wakati mwingine sio interest, ni uelewa uko chini. Kuna chimbo unaweza liona ukajiuliza kwa nini tunazubaa, baadae tunatukanana tu. App ya tz nyingine inayotikisa duniani ni Skyline and logistics. Hivi vitu Mungu anatupa vitusadie. Hajabu tuna tabia ya kuchelewa.
@majalaworldwide
@majalaworldwide 18 күн бұрын
😂😂😂 kijana wa kitanzania harafu tanzania hamna nala😂😂
@iganizarichard8197
@iganizarichard8197 18 күн бұрын
Inafikilisha sana aisee
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 18 күн бұрын
Nimecheka
@ce-08
@ce-08 18 күн бұрын
Masikio yenu wote hayasikii msikilizeni tena alichosema Fred Bundara alishajaribu Tz alaf huyo ni mfanya biashara sio tu unaweka Tz kisa kwenu je itakulipa au utaendesha kwa hasara mbona Kuna baadhi ya watu wanamahotel makubwa dar na wengine had nje ya nchi unahis walishindwa kufanya kwenye mikoa waliyotokea au kuzaliwa wameangalia kwanza faida wap watakuwa na soko maana unaweza ukafungua kwenu na biashara ikafa kwa kukosoa wateja au wateja kuwa wachache alafu gharama za uendeshaji zikawa kubwa ikawa ni sawa na kujaza maji kwenye tenga😅
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
​@@iganizarichard8197Ni mtanzania kweli ila kampuni kaisajili Kenya maana aliona bongo longolongo nyingi aliona(kiufupi sheria zetu sio rafiki sana)
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 18 күн бұрын
Kijana anapambana kukuza biashara huku vijana wanakunjwa pombe kali na kubashiri michezo wakitoka hapo wanaenda kuvhukua mafuta ya upako na reso.godbesss
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 18 күн бұрын
😂😂😂
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 18 күн бұрын
Umenichekesha snaa 😂😂
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 18 күн бұрын
@@wazarendotv7966 ndio ukweli vijana wamechoka wanamka wanakula kande harafu wanashusha viroba matajiri watatuacha mbali sisi tukajaze fomu kwa manabii wa michongo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 18 күн бұрын
Hata china, vijana wanakunywa. Shida ni wabunifu wetu kutowapa uwezeshaji. Na kutoona bunifu zao ni uchumi wetu sote. Huyo kijana ukumbuke alishasema, kwamba hapa nyumbani alikutana figisu. Hivyo kampuni yake si ajabu hati miliki ya huo mfumo. Kafanyia taifa jingine. Tuliona kampuni nyingine ya Tz kule Al Jazeera, ikipewa sifa ya ugunduzi wa mfumo wa robot kujifunza au adaptive learning. Pia wametengeneza mfumo wa skyline and logistics. Unarasisha usafirishaji wa mzigo, nchi kavu, makini na nchi kavu. Na wanaunganisha huo mfumo kutumika nchi 193 duniani. Huduma yao inapatikana kiganjani. Pengine kwa nini wanajulikana kwenye vyombo vya kimataifa sisi hapa hatujui? Kama ni kampuni iliyossjiliwa tz, itavuna pesa ya kigeni kuleta tz kiasi gani? Sisi kama taifa tunafanya nini kuhakikisha, lengo la kuleta utajiri nyumbani tz linafikiwa?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 17 күн бұрын
Adoption category ya jamii inaonyesha wabunifu ni chini ya Asilimia mbili. Vijana hawawezi kuwa na ubunifu kama NALA. Ila ubunifu huo wa NALA inatakiwa utumiwe kuzalisha ajira mamilioni. Changamoto si vijana kuelewa. Kuelewa ni kiashiria cha tatizo. Mfano NALA mfano alifanya tz ndiyo makao makuu ya kampuni yake, pesa itakusanywa kote huko duniani na kuja ndani. Ikifika ndani itawekezwa kwenye vitega uchumi vingine ajira za hao vijana zitapatikana. Tutajikuta tunabadilisha jina kutoka walevi kwenda wanywaji. Analysis nzuri NALA itatoa ajira ngapi, kodi kiasi gani?. Changamoto zipi zinazo kabili sekta hii, ili huu utajiri wtz wenzentu wakimbizie nje. AI duniani inaenda kwa kasi sana. Hapa Ziko changamoto zipi za ki sera?. Tunaweza kupunguza vijana walevi kwa kuwawezesha kujishughulisha na fursa zilizopo. Sio mtindo huu. Ambao mtu uchukua mti mrefu au fimbo ndefu kugeuzia au kusukumia mzogo. Tatizo la vijana si lao wenyewe kwa kiasi kikubwa. Sisi tunajikataa mfano hai ni huo. Kitabu. The ecomoc of Trust. Kuna neno wivu ukiwa utamaduni wa taifa mmmm
MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
32:25
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Audi R8 in coca cola #shorts #youtubeshorts #viral #shortsvideo #shortsfeed
0:13
Official Hasnat Gamer
Рет қаралды 4,3 МЛН
Какая машина у Мистера Биста 🤣
0:31
Авто.Бот
Рет қаралды 2,3 МЛН
Every car need this.#car #carhack #shortsyoutube
1:00
Chaudery Auto Traders
Рет қаралды 3,1 МЛН
Когда только что купил авто с пробегом 🤔😁
0:58
Суворкин Сергей
Рет қаралды 3,4 МЛН