Mimi nakuelewa sana mtu wa Mungu kwa tafsiri zako maana nakufatilia sana kwa kuwa nami naelewa maono,njozi na ndoto,
@bahatadof55433 ай бұрын
Mi naona unayemtaja sio sema yupo mwingine tu nisamehe lkn ,Mwanza imebarikiwa sana,Gwanima,Makonda,mpina,Dotto,Mwanamapinduzi,Makonda,Msukuma,hao ni wachache kwa kuwataja,Mungu aibariki sana Mwanza jama mi naona hivo
@bahatadof55433 ай бұрын
Sawa kaka naanza kukuelewa sana sasa
@HappyBuffalo-yt7wf7 ай бұрын
Amina naiwe hivyo kama kweli alionyeshwa barikiwa sana
@bahatadof55433 ай бұрын
Kwa maana nhingine Mwanamke msamalia alikuwa anamwambia nini yesu.
@GodfreyOsward7 ай бұрын
Kutotangua torati kuitimiliza ilimanisha kuwa si damu ya wanyama kama upatanisho, badala yake ni damu yake itapatanisha mungu na wanadamu. Si damu ya wanyama na mbuzi wa kutupa jangwani.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur7 ай бұрын
Mimi nadhani ungemtafuta Mtumishi wa JEHOVAH MUNGU Daudi malendeja ndio Hekima,hii Hekima,hii ndio sababu Mfalme Suleman Aliomba Hekima ili ajue kuingia na kutoka ,apa nikujitafutia utukufu unachofanya umenikera sanaaaa huna Hekima kabisa
@chalokalunde94297 ай бұрын
Tafsiri inafanana na Kitabu cha Daniel ile mifano yake.
@WemaMwaikambo7 ай бұрын
Huyu Marendeja naye nimefuatilia kwa muda mrefu hata kabla hajaungana na Tengwa na kutengana, huyu mwanzo kabisa alitabiri kwamba Uamusho unatakiwa kuanzia mwanza na kipigo kitakachoipata mwanza na kwamba Mungu ataipiga kwa maji. Nadhani ndiyo maana alienda kuombea maji.
@hudumayakristo7 ай бұрын
Amina..nikuombeni umfikishie hii video nafikiri atapata jambo la kuongezea katika utume wake
@scolasticakaduma51437 ай бұрын
Naomba namba Yako ya simu nimekukubali wewe ni Nabii wa Mungu hakika
@InjiliyaUfalmetv3 ай бұрын
@@hudumayakristoMtumishi naomba no yako samahani sana
@bahatadof55433 ай бұрын
Mbona kiboko ya wachawi anatangua toratu na wewe unamtetea