No video

Kanuni Ya Muda (The Law Of Timing) - Joel Arthur Nanauka

  Рет қаралды 37,784

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 179
@mwachumkhamis6360
@mwachumkhamis6360 5 жыл бұрын
Shukran kaka Joel, Mm chakusema naona huu ndio wakati wangu sahihi wakufanya jambo sahihi. Endelea kutufuza kaka ipo siku tutakutafuta halafu tukuambie kuwa tayari ndoto zetu zimetimia Inshallah.. 😘😘
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Mwachum Khamis #SeeYouAtTheTop
@mwachumkhamis6360
@mwachumkhamis6360 5 жыл бұрын
Shukran kaka Joel kwamra nyengine.
@yassirsalim3427
@yassirsalim3427 5 жыл бұрын
Kbsaaa
@thelimitlessclass7909
@thelimitlessclass7909 5 жыл бұрын
Nakubal Sana 21 laws of leadership hyo kanuni ya The law of Timing iliniacha mdomo wazi hongera kwa kushare nasi
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Kuna vitu vingi umenifundisha na naendelea kujifunza swala wakati sahihi ni muhimu sana na linahitaji "nguvu ya maono" ambayo pia umetufundisha hapa.. Mada zako zina hisia kali sana.. Nasema ahsante sana.. Time will tel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Pia Omary Shafii #SeeYouAtTheTop
@alexmichael8735
@alexmichael8735 5 жыл бұрын
kitu sahihi + muda siyo sahihi hii imenigharimu sana Mara nyingi napata resistance kwenye wazo langu nimechukua suala la kuatamia wazo asante sana joel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@abdulrahmanhassan3825
@abdulrahmanhassan3825 5 жыл бұрын
Mwalimu mm Nimefurahi Sana kuona umetoa Kitabu cha tajiri wa Babeli mungu akubariki unasaidia sanaa watu, pia vipo vitabu vingi vya zamani unaweza ukaviandia upya wenzetu ulaya hawaoni aibu kutafsiri Kitabu kuweka kwenye Lugha zao, Kama Kitabu cha napoli kime tafsiiriwa kwa Lugha zaidi ya 12 ,kwahivyo na wewe ukiona Kuna Kitabu cho chote kizuri cha zamani au kipya tuweke kwenye Lugha yetu, mungu akubariki
@rothndayiragije9839
@rothndayiragije9839 5 жыл бұрын
Asante sana Bwana Joel ninafikili mimi nimmoja miongoni ya watu wachache wanaofuta mafundisho yako huku Bujumbura Burundi ila ninashuhudia jinsi ninavyo saidiwa sana na mafundisho yako,hivi baada ya week moja nimesha anza kukamata hatuwa kubwa kubwa na actions tena
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Vizuri Asante Kunifuatilia Ndugu Unaweza Niasiadia Kushare Kwa Watu Wengi Uwezavyo #SeeYouAtTheTop
@rothndayiragije9839
@rothndayiragije9839 5 жыл бұрын
Ndio nita share kwa kuwa nahitaji wengi wao wapate kupata mafundisho haya itasaidia sana kwa nchi yetu ya Burundi. Nakwambia hivi nimesha anza kutunga nyimbo mpya,kusoma vitabu na kufuga nguruwe. I am very motovated really
@jimmyjohn8184
@jimmyjohn8184 5 жыл бұрын
Mimi ni mtu wa Imani, ninachofahamu ni hiki, kijua wakati sahihi wa kufanya kitu sahihi ninahitaji nguvu ya ziada iliyo nje ya uwezo wangu. Zaidi ya hapo nitakuwa ni Mwenye kupapasa papasa tu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Sure #SeeYouAtTheTop
@lawrenceleonard1369
@lawrenceleonard1369 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ufaham ili uzidi kutuelimisha kaka hongera sana kwa kazi yako na mda wako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Lawrence Leonard
@laeticiamalando9452
@laeticiamalando9452 5 жыл бұрын
Em nishaur braza njia ip nifuate kene maisha yangu,nifanye biashara,nisome au nifanye nn il na mm nfanikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
+255 756 094 875
@faudhiasultani7289
@faudhiasultani7289 5 жыл бұрын
Leo kuna kitu nimekigundua kwanini mwenza wangu kuna vitu anavipinga vitu Fulani vizuri kumbe wakati ndio sio sahihi najisikia Amani now...SeeMeAtTeTop kaka JoelNanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kutambua #SeeYouAtTheTop
@HassanAhmed-te9yn
@HassanAhmed-te9yn 5 жыл бұрын
Naomba utuamvie vitabu vinapatikanajr na wapi
@claraprosper8642
@claraprosper8642 5 жыл бұрын
Thanks bro...umefikisha ujumbe kwa wakati sahihi,mana ndio mwanzo wa wiki mpya."If i fail,i try again,and again and again".
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@alphamwipopo5725
@alphamwipopo5725 5 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa Mr Joel ni makosa ambayo wengi sana tumeyafanya lakini naamini kupitia video hii imetusaidia wengi sana nakupa big up mkuu.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouiAtTheTop
@peterbayo4677
@peterbayo4677 5 жыл бұрын
Nakubali fundisho hilo kijana Nanauka. Umeelezea kwa umahiri mkubwa.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Sir #SeeYouAtTheTop
@telesiamkumbwa8888
@telesiamkumbwa8888 5 жыл бұрын
ubarikiwe joel mungu akuinue zaid
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks
@eliasalbinus5204
@eliasalbinus5204 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa somo! lakini utawezaje kama wakati huu ni sahihi ili ufanikiwe. mfano kwa mwalimu anayefundisha tuition ili aweze kupata mafanikio
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Endelea Kunifuatilia #SeeYouAtTheTop
@gonta2553
@gonta2553 5 жыл бұрын
Unatufungua sana bro...hapo mi nimegundua hua nafeli kwa kufanya Right action in the Right time but without preparation
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Good Chukua Hatua #SeeYouAtTheTop
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 5 жыл бұрын
Ni kwel kakaa joelii, shukranii kwa mafunzo yako
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 5 жыл бұрын
Asnte Sana Joel Nanauka...Mungu Akubariki Sana Sana...
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 5 жыл бұрын
Mimi nimekuelewa kabisa changamoto kubwa ni kutambua lipi sahihi Kwa wakati upi sahihi kueleza umeeleza lkn changamoto itakuwepo kwenye upambanuzi.Asante
@shukranjs4307
@shukranjs4307 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana ,kiukwel nashindwa hata kusema barikiwa
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 5 жыл бұрын
Changamoto ipo kwenye kutambua right time,kila MTU ana kitu sahihi cha kufanya ila muda ndo watu tunakosea
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Kweli Ndio Maana Itakiwa Kujua The Law Of Timing #SeeYouAtTheTop
@festongonyani152
@festongonyani152 5 жыл бұрын
Asante sana ndugu, Ninapakia madini toka kwako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
HAKI JOEL KWENYE HII VIDEO UMENIAMSHA🙄🤛🇹🇿✅✅✔️✔️✔️✔️✔️✔️🕥🕚🕦🇨🇽📣#️⃣🔳🈁*️⃣💯💯💯💯💯
@mimanatamelchior3825
@mimanatamelchior3825 5 жыл бұрын
Tunashukuru Sana Kwa kutupa ushauri mzuri Ila Sasa ni vizuri kama ungekuwa no upigiwe ili watu anae weza ili umfahamishe vizuri vitu vipo maana kueleza shida yote iliyo nayo na hii ni media izi au mfano ningekuwa tz ungetoa maelezo ili MTU aje apate ushauri vizuri maana mfano naangalia Sana ingawa si muda mrefu nimeanza kuangalia vipind vyako na Mafanikio nayaona nakushukuru sana mungu akupe umri na kila la kher katika Maisha yako Ila no. Tatizo sipo tz
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa mafuzo yako mazuli
@monicamswahili8331
@monicamswahili8331 5 жыл бұрын
Huwa najifunza mengi sana toka kwako nimepata changamoto sana ya kufanya kitu sahihi lakini wakati sio sahihi hali ambayo inaniumiza sana.
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 5 жыл бұрын
Mi naona nilishakutana na disaster, resistance, mistake....sasa nasubiri success Barikiwa kaka Useful
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@tcbthemarket9317
@tcbthemarket9317 5 жыл бұрын
Mungu akubariki atakavyo.
@kingoman7895
@kingoman7895 5 жыл бұрын
Naendelea kujifunza kaka joel nanauka thanx so much #seeuatthetop#
@modanytheone.9784
@modanytheone.9784 Жыл бұрын
Asante fether Joel.
@japhetchambanenje5483
@japhetchambanenje5483 5 жыл бұрын
Alot of thanks brother
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 жыл бұрын
Yaani umenigusa sana kaka ni vitu vingi sana nilifanya sahihi lakini sio kwa muda sahihi
@mahmodsaid8632
@mahmodsaid8632 4 жыл бұрын
Daaa nilikua sijui aya mambo kaka daa kiukwel nimejifunza kitu hongera kaka
@georgeesamwesongo1802
@georgeesamwesongo1802 5 жыл бұрын
Naomba namimi niunganishwe kwa group yako brother""see you at the HILL (TOP)
@chalakakatekista1662
@chalakakatekista1662 5 жыл бұрын
Naomba kuungwa kwenue group lako 0652101762
@ambrossetrainer2909
@ambrossetrainer2909 5 жыл бұрын
Asante bro nimejifunza kitu ✌✌
@assadrajonathan5451
@assadrajonathan5451 Жыл бұрын
I have let but for this mepata ujasiri na nguvu mpya godbless you kaka
@enoceruganga5435
@enoceruganga5435 5 жыл бұрын
Aise una deserve kuwa genius, kwa Lecture hyo
@ndeke_154
@ndeke_154 5 жыл бұрын
See you at the top .Thank you for the insight
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks
@sarunmollel9922
@sarunmollel9922 5 жыл бұрын
Shukrani Dr Joel
@mdtv2625
@mdtv2625 5 жыл бұрын
Thanks.
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 5 жыл бұрын
Thanks for the detailed message bro #Joel
@samirkombo266
@samirkombo266 5 жыл бұрын
Kaka Joel naomba kuuliza hv utajuaje kama huu ni muda sahihin na hili ninalolifanya ni sahihi
@diyaosman8992
@diyaosman8992 5 жыл бұрын
Asante kaka ubarikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Pia Kunifuatilia Ndugu
@frankjoshua6869
@frankjoshua6869 4 жыл бұрын
Naomba msaada. nitajuaje kama hiki ninacho fanya hakipo sahihi na katika wakati sahihi msaada wako kiongozi wetu
@linetnekesa7328
@linetnekesa7328 5 жыл бұрын
asante sana nimekupata vinzuri kaka
@piuspuka5071
@piuspuka5071 4 жыл бұрын
Sawa Kaka, tatizo Ni kujua wakati sahihi kwa Jambo sahihi
@piusgiringa409
@piusgiringa409 5 жыл бұрын
Hongera sana brother nakukubali sana kwa elimu yako nzuri
@joachimvangis5825
@joachimvangis5825 4 жыл бұрын
Nashukuru mwalimu
@idutathomasmaige2113
@idutathomasmaige2113 5 жыл бұрын
Thanks kwa some zuri. Nimejifunza mengi mazuri . Nina swali how can I know this is right time to me to do something????
@mervaillenyamushala9543
@mervaillenyamushala9543 5 жыл бұрын
Nice
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
Right action $ right time
@DatiusKakeneno-no4cu
@DatiusKakeneno-no4cu Ай бұрын
Ubarikiwe
@rehemaandrew7569
@rehemaandrew7569 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel. Hii iliishanitokea kabisa. Na ilinikatisha tamaa na kuacha kabisa kuendelea na wao nililokua nalo. Naomba kuungwa kwenye group lako. 0745428171
@exaudmwakitega4942
@exaudmwakitega4942 5 жыл бұрын
THANKS BROTHER
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 жыл бұрын
superb brother,**,.!!,.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@kigodacomp9912
@kigodacomp9912 5 жыл бұрын
safi sana kk me naomba unishauri hapo kwenye mda muafaka wkt wewe hujui km hapa ndio mda muafaka.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Endelea Kunifuatilia Nitakujuza
@mwambauliohai5043
@mwambauliohai5043 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@slemdj
@slemdj 5 жыл бұрын
how to be a leader at work.. Naomba utuandalie somo plzzz
@pineappleplanet1567
@pineappleplanet1567 4 жыл бұрын
Thankx Bro
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Shukran
@helmanjoshua7342
@helmanjoshua7342 5 жыл бұрын
Dhaaa kwel nimejifunz k2
@mosesdidas1170
@mosesdidas1170 5 жыл бұрын
Naekulewa sana bro joel ila mm nina changamoto moja mwaka huu nilipanga nianzishe biashara ya car wash. Lakini nilishindwa maana machine nili nunua lakini haikufaa maana ilikuwa na power ndogo matokeo yake nilimrudishia yule alie niuzia ila nikikwambia tangu mwez wa tatu mwaka huu mpaka sasa sijapata jibu lolote kuhusu machine je unanishauli vipi hapo bro maana it is my dream kuwa na car wash machine ili niweze kukidhi mahitaji yangu madogo madogo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
+255 756 094 875
@monicaosward6798
@monicaosward6798 2 жыл бұрын
Asante
@Twirwaneho
@Twirwaneho 5 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako Swali langu ni: unaweza jua aje wakati sahihi wakufanya jambo?
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante kwakutufunza, ila nitajua je mda sahihi na siyo d'ahurie ?
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Josee Faida Butu Unaweza Kujaua Endelela Kunifuatuilia #SeeYouAtTheTop
@moshiramadhan1082
@moshiramadhan1082 5 жыл бұрын
Thank you Brother
@nyambibo-official3617
@nyambibo-official3617 Жыл бұрын
Nimekuelewa hapo
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 5 жыл бұрын
Thanks much dear brother barikiwaaaaaaa Sana. Huu kwangu naona ni Right Time but nahisi sifanyi right Actions
@claraprosper8642
@claraprosper8642 5 жыл бұрын
Naungana na ww,kuna wakat nakuwa na mawazo mazuri lakin sichukui hatua ..
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
@@claraprosper8642 Je Umechukua Hatua Gani?
@claraprosper8642
@claraprosper8642 5 жыл бұрын
@@joelnanauka nimekuwa na mawazo ya kufanya recycle ya vitu vingi sana,lakin nilikuwa mvivu sana kuchukua hatua,kila wakati nilikuwa naahirisha,lakini hii video ya Leo,imenifanya nichukue hatua..na hatua ya kwanza nimeanza kuangalia upatikanaji wa malighafi ,kitu ambacho hapo mwanzo sikuwah kupoteza muda kufikiri.Asante kaka,hata kuwaza kazi ni hatua.
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Leo nimechelewa hili some lakin siombaya nimepata kitu ata sasa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@pendoalex7299
@pendoalex7299 5 жыл бұрын
naomba mniunge kwenye kundi lake watsup
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 9 ай бұрын
No2 ni chadema
@amourlaizer5682
@amourlaizer5682 Жыл бұрын
How will I know the right time?
@furahamakunga4156
@furahamakunga4156 5 жыл бұрын
Kaka Joel naona hapo Mimi kwangu nilifanya jambo kwa wakati muda bado mwishio janga kwangu Leo nimepata kujua shida ilikuwa wapi
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Jitathimini Tena Chukua Hatua Inawezekana Kuinuka Tena
@ahmedsharif2259
@ahmedsharif2259 3 жыл бұрын
Je ntajuaje mda sahihi na kitu sahihi
@kuntainc6182
@kuntainc6182 3 жыл бұрын
Nilifanya kitu sahihi kwenye wakati usio sahihi ,,,,nilianza biashara wakati nipo kwenye muhula mgumu wa masomo nikafeli nikarudi nyuma.
@samamanrubama4213
@samamanrubama4213 4 жыл бұрын
Kaka Nanauka nimekufatilia ila nimeshindwa kujua namna ya kujua right time ya kufanya right action ili nipate success
@gideonkwalazi9160
@gideonkwalazi9160 3 жыл бұрын
Somo zuri. Swali langu. Je, Naandaaje right action ili nikutane na right time?
@violahreydmsangi6847
@violahreydmsangi6847 5 жыл бұрын
Leo kaka Joel sijaelewa kabisa apo wrong time utajuaje sasa n wrong time viashiria VP vitakuonesha kama n wrong time then nakama umeangukia kwenye disaster nini nifanye ili nfike kwenye success
@emmanuelagustino513
@emmanuelagustino513 5 жыл бұрын
nitajuaje km huo wakati ni sahihi au siyo sahihi
@witnessmtoi4198
@witnessmtoi4198 5 жыл бұрын
Nitajuaje mudA sahihi na kwa wakati sahihi
@bernard3239
@bernard3239 Жыл бұрын
je mm nipo chuo na nataka niwenashamba ni nipe njia nzuri za kusimamia
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 9 ай бұрын
Hio no1 ni hawa ccm
@mimanatamelchior3825
@mimanatamelchior3825 5 жыл бұрын
Ila naona watu wanasema uwaunge unalo group basi kama lipo nijuze nipate kutoa ili uniunge
@february2866
@february2866 5 жыл бұрын
Hivi nikitaka kuwa na channel kama hii yutube afanyaje maana nimejaribu naona nashindwa naishia kuwa na akaunti tu yutube nafanyaje wadau nisaidieni
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Piga Simu Namba +255 754811753
@laeticiamalando9452
@laeticiamalando9452 5 жыл бұрын
Bro mm vp nmefel chuo mwaka huu amabao nltakiw kuingia mwaka wa pl,but nmeshindwa kujiunga tena mwaka huu kutokana na sababu zlzo nje ya uwezo wangu,but nataka mwaka 2019/2020 ndio niombe tena chuo,lkn naona muda mm umentupa mkono kene habar za kusoma coz mwakan mwez wa kumi na mbili tareh 24 nitatimiza miaka 33
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
+255 756 094 875
@iddiadam857
@iddiadam857 5 жыл бұрын
Kuna muda nilikuwa na wazo lakini cna maarifa. Nikawa na kiherehere. Du kilichotokea aibu.
@awadhimaramshamaramsha1910
@awadhimaramshamaramsha1910 5 жыл бұрын
Naomba kuungwa kwenye group la wasap ili nipate kujifunza vizur
@eliaslugondajoseph6290
@eliaslugondajoseph6290 Жыл бұрын
Ndio kabisa wrong action at right time sikufanya vizuri nilikuwa nafanya kilimo Cha umwagiliaji
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Mimi nilifanya kitu sahihi ila wakati haukua sahihi,Nilifungua biashara wakati sina hata elimu yeyote ya biashara na hata nilikua sijawahi kuangalia video zako zenye mafunzo na mbinu nyingi kwenye biashara,bado ipo ila tatizo ilikua haiendelei. Najifunza vingi sana,kupitia ww.Nilitamani siku moja niingie darasani nijifunze ujasiriamali lakin kupitia nyie najifunza humuhumu.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
See YouaAt The Top
@alimatambwe8864
@alimatambwe8864 5 жыл бұрын
Unajuwa kitu Joel nahitaji kujuwa ,mimi ni mama wawatoto 6 afu nawalea pekeangu mme wangu alifariki na kuniachia penye I'm in United States USA na wanangu this country evry thing they really follow the time najikutaga nipo like watoto kuwaanda kwenda shule it time appointment need time work they need on time najikutaga siku nimeimaliza nimechoka sana ila nahitaji unifunze kitu vipi takavyo jikamata kwenye time zangu pls
@solomonitv7808
@solomonitv7808 5 жыл бұрын
Amina barikiwa sana kiongozi kazi yangu kuu ni ku-share ili wengine wapate ELIMU hii
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante
@fatmahaji8987
@fatmahaji8987 5 жыл бұрын
Hapo my kk umeniacha nitajuaje kama hiki ninachokifanya ni sahihi na nimekifanya kwa wakati sahihi?
@erastobombe9806
@erastobombe9806 5 жыл бұрын
Awali ya yote nikushukuru kwa somo lako zuri na lenye msaada katika jamii yetu, napenda kuuliza kwamba ni sababu zipi au vigezo gani vitakufanya ujua kuwa kwa hicho unachotaka kukifanya kwa wakati huo ni kitendo sahihi na muda sahihi kabla ya matokeo? Pia unaweza nisaidia sababu au vigezo kwa kanuni tatu zilizobaki ili kuweza kuzitambua kabla ya matokeo ili kuchukua hatua za kufanya kitu ambacho ni sahihi na kwa muda sahihi, kikubwa na cha muhim ni mafanikio na sio vinginevyo kaka.
@aboumwanyika898
@aboumwanyika898 3 жыл бұрын
Inakuaje kuwa huu ni wakati sahii au syo wakati sahii
@silassila1364
@silassila1364 5 жыл бұрын
Naomba uniunge kwenye group lako 0626687581
@awadhimaramshamaramsha1910
@awadhimaramshamaramsha1910 5 жыл бұрын
Kaka jinsi ya kupata kitabu chako kwa mkoa was tanga Ni sehemu gani kinapatikana?
@sultanikawambwa4118
@sultanikawambwa4118 5 жыл бұрын
Kaka Joel, nami naombwa kuungwa kwenye group lako nipo Newala - Mtwara. 0688 151 217
@uhurumathias1259
@uhurumathias1259 5 жыл бұрын
nahitaji kitabu chako nitakipata wapi? nipo buguluni dr es salaam.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
0756 094 875
@stephenjonas4866
@stephenjonas4866 4 жыл бұрын
Joel mtu hatari
@shadow4real868
@shadow4real868 2 жыл бұрын
Umenifumbua ubongo
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Mafanikio Yako Yanatokana Na Ujasiri Wako  - Joel  Arthur Nanauka
7:19
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 138 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 58 М.
Jiamini Unaweza Kubadilisha Maisha Yako - Joel Arthur Nanauka
7:05
Makosa Saba (7) Ambayo Watu Wengi Wanafanya Kuwakosesha Fursa
11:18
Dr. Chris Mauki: Mambo tano (5) wengi huyasahau katika uchumba
10:21
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 138 МЛН