"Nenda"Mama Hongera Kazi iendelee.. Maendelea Daima,utaratibu ukifuatwa mambo yataenda Vizuri..Kariakooo❤❤❤❤❤
@KhalfaniSaidi3 ай бұрын
Ataki machawa
@FredrickKabura-gd7hg2 ай бұрын
Mama Tuko nyuma yako tunakuombea ila pia jiombee mwenyewe kesha ukiomba usiingie majaribuni.
@JafariHamisi-gu4ef3 ай бұрын
Hongera sana raisi wetu samia
@Xie84933 ай бұрын
We love you Mama 🎉, yani I wonder how can't you perform unapokuwa na boss mzuri kama hivi, au ndo mipango tuu ya watu kusabotage , Mama hongera na kaza buti 2025 tupo na weeewe , Mama kasema kweupe kabisa Kuhusu Wachina waouza kama sisi wazawa
@elijahfresh59852 ай бұрын
Mama hajawahi kufanya biashara kwa hy haelewi watu wanazungumzia nn. Lakini kiukweli sera, taratinu na sheria hazilengi kumsaidia mfanyabiashara afanye kazi katika mazingira mazuri. Yani kila mtu iwe TRA, halmashauri, Fire, Polisi, Nemc, Osha na taasisi lundo zote zinategemea kula kwenye hizihizi biashara. Rushwa imekua kubwa na siku hizi kama polisi wanaiomba kwa mtutu wa bunduki na hakuna mtu anawakemea. Sasa kwa namna hii biashara inakua na changamoto nyingi.
@omarybakunda25543 ай бұрын
Hongera sana Raisi wetu
@mussamsakamali39303 ай бұрын
Mama komaa hivyo hivyo.
@OmallyMkinde2 ай бұрын
Kwa tuliokuelewa mama❤ kazi iendelee💯
@RamadhaniMachenje2 ай бұрын
Safi sana mama yetu wa taifa
@SelemanAlly-lz4sb3 ай бұрын
Hongera mama 2025 ni wwe
@Nijuzetzdigital2 ай бұрын
hakuna mfanyabiashara anaegoma akiwa hajui kitu kwann anagoma
@mufaddalmoawalla85223 ай бұрын
Ahsante sana mama,hongera sana sasa tutukuwa n uhuru tulikuwa kama tumefungwa.jela
@nickson34733 ай бұрын
GEN Z WAKIAMKA UTAKOMA , OLD BRAINS CAN NOT MATCH NEW IDEAS AND CAN NOT CHALLENGE YOUNG BRAINS
@alzawahirabdallah22993 ай бұрын
Hakuna kwetu gen z
@DewGroupTech3 ай бұрын
K@@alzawahirabdallah2299
@HASASON3 ай бұрын
Unaongea pumba tu, kafanye kazi pumbavu wewe unataka serikali ikuwekee pesa mfukoni? Hao vijana wanaojituma na kufanikiwa huko mitaani walipewa pesa na nani?
@MickyMgeri3 ай бұрын
Kkoo kuna biashara hakuna siasa nyoosha maelezo,chukua hatua za msingi sio bla bla.
@ramadhanchenga46062 ай бұрын
Mama watu wana sema kodi zipo juu t.r.a ww unasema siasa duh
@davidrweyemamu9383 ай бұрын
Ahsante sana Mheshimiwa rais hili nilishauri muda mrefu kuhusu wamachinga kuuza bidhaa za wenye maduka makubwa ili kukwepa kodi!
@lilangasayi16893 ай бұрын
Hao watu uliowateua wakusaidie ndiyo hao wanaofanya wananchi wakuchukie wewe kutokana na utendaji wao mbovu,weka sahihi
@jedidahbintidaudi82413 ай бұрын
Mh Jafo, you need to be innovative- mbunifu. haya anayosema Mama ni sawa kabisa ila isiwe unataka tuu kupokea kutoka kwake ya utekelezaji na wewe jiongeze..go ouit there and think what needs to be done then act accordingly. this is now your ministry, sit down with your subordinates and draw done a plan come up with tactics and strategies, then assign to your team. Review PERFORMANCE- this needs to be in the field like she is saying and also in the books. You have to be extremely SERIOUS Jafo. Kariako na kwengine kote malalamishi ni yakweli..hao wakisema hawajui wamegomea nn mie sina uhakika. You also need to involve enterprenuers for more ideas and w/nchi in general. you will be very successful..Jafo, our nation has a huge expectation from yu man!!!
@GodfreyOsward3 ай бұрын
Woga bwana, wajuzi wa mambo siku zote, ni kuzama kwenye mzizi. Mgomo wa kariokkoo kabla ya huu. Mfanyabiashara alisema kwa TRA wanajua pesa hawajui hesabu. Kiini cha kelele unazosikia Ziko hapo. Kwa mzani ambao ni hesabu haviko sawa. Kwa Maana nyingine ni kama unatumia nguvu kuchukua kingi. Ambacho kinasabisha watu kukiuka matumizi ya risiti. Tukisemazana kama wadau kodi zitafurika. Shida ni pale upande mmoja kumiliki maarifa ya biashara huku hata genge hajawai kufanya. Sisi tuna nidhamu ya uoga. Mwl Nyerere aliomba msamaha kwamba kama ni Yeye alifanya watanzania kuwa waoga. Katika mazingira ya migomo raia wako haraka kusema hakuna shida kwa kuhofu.
@apolinarymboya32313 ай бұрын
Kweli mama machinga alipi.kodi afu wanazuiya walipa kodi kufanya kazi wakijengewa machinga complex akakai.sasa wakionekana kariakoo ata mikowani wamejazana barabarani ushuru awalipi wengine wanalipa ushuru halmashauri ikayazingatiye piya mama❤
@BartonMwakyejo3 ай бұрын
Madai yao mbona yalikuwa waz siasa ipo wapi
@EmmanuelChrispin-bo5xh3 ай бұрын
@@BartonMwakyejo cheif b yeye ndio anatuletea siasa
@ShesheJahsh3 ай бұрын
@@BartonMwakyejo kwani ww hujui kua kariakoo hawatoi risit Sawa wanaandika bei ndogo
@AbdilahiMriri3 ай бұрын
Shikamoo afande wangu shikamoo Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani naomba umma wa Tanzania mtuombee sana Dua zenu nyingi zinahitajika sana enyi halaiki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jamani ndugu zangu jamani.
@khamishemedi85173 ай бұрын
MAMA Allah akulinde unajitahidi kuweka sawa but wachache wenye kuelewa unachokusudia kwenye taifa letu
@abednego38763 ай бұрын
Kwa lipi hasa!
@SuleimanMussa-x5i2 ай бұрын
Muna mchukia kwa xababu ni mzanzbar ndugu zenu kila miaka mitano wanatuletea wanajeshi wana tua zanzbr mama ss wazanzibar tuna taka mzanzbar mpya Zanzibar moja mamlaka kamili tuna kuangalia watoto wko wa kizanzibar mama yetu hii ni nafas alio kuletea mungu kutufanya wazanzibar tuwe na mamlaka kamili mama yetu mpendwa @@abednego3876
@EmmanuelChrispin-bo5xh3 ай бұрын
Hakuna siasa mama kwani ukweli ukowazii
@ShesheJahsh3 ай бұрын
Ukweli gani wote tupo kariakoo hamna duka linalo toa risiti full ukinunua mzigo wa mil 5 risit inaandikwa mil 1 au laki nane, ww nitajie Nani anaandika bei yote kwenye rist kama sio kukwepa kodi ni nini?
@bahatielias64433 ай бұрын
@@ShesheJahshlazima wafanye hivo bcz ya utitiri wa Kodi,wewe simfanya biashara hivo hujui vingi
@ShesheJahsh3 ай бұрын
@@bahatielias6443 Sawa vizur kama unakiri hawatoi risiti Sawa ila hiyo sio suluhisho la kupunguza utitiri wa kodi, wote sis tupo kariakoo Kuna mpak rist ya kuonyesha njiani na ya kuacha transport ile ya njiani unardisha dukani
@birianination70973 ай бұрын
@@bahatielias6443 Utitiri gani, uwizi tuu
@BarakerZeonlist3 ай бұрын
@@ShesheJahsh HII YOTE INATOKANA NA KUWA KODI KUWA NYINGI KODI HAIANGALII FAIDA INAANGALIA MAUZO
@feisalkhamis94453 ай бұрын
Sio kweli hakuna siasa mnazingua
@ShesheJahsh3 ай бұрын
Wote tupo kariakoo risiti hakuna anaye andika Sawa mzigo mteja anatoa mil 5 rist inaandikwa 1-5 huo ndio ukweli
@RashidRamadhani-b5o3 ай бұрын
@@ShesheJahsh ina maana we pia ni miongoni mwa wanaoiibia serikali yetu 😂😂😂
@feisalkhamis94453 ай бұрын
@@RashidRamadhani-b5o bro mm ni mzanzibar lkn bimkubwa anazingua kijinga yni
@ShesheJahsh3 ай бұрын
@@RashidRamadhani-b5o huo ndio ukweli
@HASASON3 ай бұрын
Wezi ninyi wafanyabishara cha ajabu mnajifanya mmeshika dini majizi makwepa kodi
@mohammadoman89633 ай бұрын
Sasa simfunguke na ninyi wafanya biashara kumweleza mh rais ukweli kinachowahangaisha kama ni kodi si mseme tu kweli ili watumbuliwe viongozi wanaoendesha kuliko gomagoma hiyo itawasaidia nini
@ZenaUsangi3 ай бұрын
SIKUHIZI HAWATUMBULIWE BALI WANAHAMISHWA,VIVA JPM JEMBE LA ULIMWENGU
@imallya65133 ай бұрын
Hapo nimekukubali mama swala la wageni kurusiwa kufany biashara kama mwenyeji sio sawa maduka kila kona za mikoa wahindi haswaa warudishwe wote kariakoo
@Worldunite3 ай бұрын
Siku hizi watching,wadosi walishapitwa na wakati
@russia12533 ай бұрын
😮 mama tuma watu wakanunue vitu usikie kama awaja kamatwa na Tra nakuwaambia risiti azitoshi 😢 kenge hao
@MohammedGabaye3 ай бұрын
Machinga kazi munayo mamae
@wilsonandlea86143 ай бұрын
Mafisadi wote mmekutana mnapanga jinsi yakutunyosha hongereni kwahilo mmefauru😢😢
@zawadix95743 ай бұрын
Ukweli 😅😅😅😅
@lovemusicnoreen91853 ай бұрын
TRA HAKUNA SIASA TRA NI KWELI WANASUMBUA
@ShesheJahsh3 ай бұрын
@@lovemusicnoreen9185 ukiuza hasa ww andika risit Sawa na ela unayo pokea Kwa mteja uone kama utasumbuliwa
@nin63243 ай бұрын
TRA hawajawahi kusumbua mtu ila nyie msiotaka kulipa kodi ndio mnasumbua kazi kurubuni maofisa tuu. Lipeni kodi halali muone kama kuna mtu atawasumbua. Mfanyabiashara ananunua gari la milioni 200 halafu kwa TRA anasema huo mwaka amepata hasara au mnadhani maafisa hawatumii akili??? Kwa TRA unasema hujauza bidhaa wakikuambia tuoneshe bidhaa ulizoingiza zimeisha... kumbe zote umewapa machinga na hawajaota EFD. Maofisa TRA wana akili kama mchwa na kwa taarifa yako wanajua mbinu zote za ukwepaji kodi
@PhilipoMwita-wc1ku3 ай бұрын
Jamni jamani huyu mama duh
@user133753 ай бұрын
Umeelewa kuwa wanaume ndo wanauwezo eeee😮
@febby83082 ай бұрын
Mwiguru punguza makodi mai nimagumu kupituliza
@Sidrasidra6363 ай бұрын
😂😂😂watanzania hamnaga umoja masikini yooooh wenzenu wame wauza😂
@kalengashoppingcenter11083 ай бұрын
Kwahili nakupongeza❤
@RamadhaniMadanga-ne7jk3 ай бұрын
Nimetuma mashushu kwasiri Kwa viwanabiashara😢😢😢😢
@Nijuzetzdigital2 ай бұрын
Utendaji mbovu na kodi kubwa hujui???? Unajua hakuna mtu ambae hakodolewi na hakosei, hoja za wafanyabiashara toka yalipofanyika maazimio ya nyuma kupunguza baadhi ya kodi hayakufanyiwa kazi.
@magorymara55153 ай бұрын
Kufanya kazi na wageni ni lazima uwepo wao ndo unasababisha watu kusafiri kutoka nchi jiran kuja kufunga mizigo kariakoo teyari kuna mtandao mkubwa biashara ndani ya kariakoo kitu ambacho kinaifanya kariakoo iwe busy sasa mkijichanganya kisa mnataka kuwafurahisha watu hayo majengo yenu yatabaki matupu na abiria wa kutoka nchi jirani watapungua na isistoshe wanaolala mijin wengi ndo hao wageni j'e kod za majengo mtazikusanya kwa nani asiengiza pesa
@ShesheJahsh3 ай бұрын
Elewa anachoongea ndio otoe comment, hajakataza wageni kariakoo
@saeedally2683 ай бұрын
Sio mzanzibar tatizo watendaji wake na yeye sio mkali mbona magufuli alipokuwepo alikuwa moto tatizo kila kitu hapo ndo mnafeli tatizo mama kawarejesha mafisadi ambao magufuli aliwatowa tuje kwa mama mbona vyakula juu tatizo mb juu mbona viongozi ambao walikuwa wanawasaidiya wananchi mfano uenezi makonda katolewa tatizo kuwasaidiya wananchi nyie hamujui ccm hawataki wanyonge wasaidiwe wanataka watu kama akina nape makamba makala ambao sio watendaji wazuri hawajali pili wakati wa magufuli uliona kila kitu sawa kuanzia vyakula mb watu wanasikilizwa lazima kwa samia wataleta tafrani sio mnamsifu mtu wakati kila kitu juu hawajali wananchi hawasikilizwi kwa sasa hivi watu wakisema mnasema kwa sababu mzanzibar tatizo utendaji mfano samia angekuwa rais wa zanzibar wangesema hatufai kama ilivyokuwa kwa karume shein mwinyi angalieni samia na magufuli yupi vitu vilikuwa rahisi yupi alikuwa anasikiliza anatatuwa kero toka magufuli afariki umeme umekuwa shida vyakula shida mb shida wananchi hawasikilizwi hilo ndilo tatizo lazima mujue hivyo juzi nilikuwa zanzibar ndo kwetu lakini kuna watu bado kwa samia hawazioni shida kueni na akili wakati wa magufuli vyakula mpka zenji bei rahisi ebu msikilize yule mama wa donge alivyokuwa anamwambia mkuu wa mkowa ayoub mbona wakati wa magufuli vyakula vilikuwa rahisi mwisho
@husseinmkanga77943 ай бұрын
Kweli kabisa tatizo Mama kazungukwa na mafisadi na wanasema wao ndio watampitisha kwenye kamati kuu chama kwahiyo atashinda tu uchaguzi ujao ndio maana hasikilizi wananchi. Kwahiyo sasa wanataka kuzuwia wamachinga ili tuwe tunakabwa mitaani. Magufuri alikuwa kiongozi hawa wapo kwa kuchuma Mali. Hata nakubali wakati wa Magufuri upande wa nzanzibar na bara kote maisha yalikuwa Afadhali ndio maana tuliona hata nzanzibar wananchi walilia sana kifo cha Magufuri.
@RuthCharles-u4j3 ай бұрын
Kwakwel jafo yuko vizr sbb utendaj wake ukoje tunaamini hili ni jembe na atamaliza mzozo
@AwardHakimu3 ай бұрын
Binafsi namkubali hanaga sifa sifa za kijinga au mihemko
@hashimuuhehwa13203 ай бұрын
Huyu mtu Urais sio saizi yake kabisa 😮😮
@abednego38763 ай бұрын
Kwaio kariakoo watu wanagoma hawajui wanagoma nini ?? Mungu wangu 😅😅😅
@lazarombuze97763 ай бұрын
Hao uliowatuma nao watumie watu kwa siri wawachunguze
@ikulunimahalipatakatifu76423 ай бұрын
SASA MAMA NAKUELEWA KUNA WAHUNI WANATAFUTA PA KUTOKEA, , MIMI KADI YANGU NAITUNZA
@kefamwakipesile2753 ай бұрын
Sawa kama kuna siasa wewe endelea na hao TRA kufanya operation zao ipo siku utajua,mimi niko huku keko ambako wakongo,wazambia ,wamalawi na kila wageni wanafikia huku tukipiga nao story wanasema kwamba wansumbuliwa. Ukienda bandarin magazine ya watu wanaibiwa vitu vya ndani vyote. Sasa kama utatuma watu wako wa siri alafu wanakupa majibu kama hayo ujue wanakudanya. Mama nakuomba kama unatuma watu wako ebu waambie waje petrol station ya oilcom ya hapa VETA alafu utajionea
@MohamedSaidnassor3 ай бұрын
Humu mbeya siasa zipi zinafuatwa jamani
@victaboy72733 ай бұрын
Simuelewi mama
@AleiHadji-js3ed3 ай бұрын
Kweli mama Samia nakukubal kisa mzanzibari wanataka wakuzinguwee
@msafiriomary8933 ай бұрын
Wanakudanganya watu wako hakuna siasa bari ni rushwa za TRA
@onespour71893 ай бұрын
Hivi siasa ina nini,,,mpaka wanasiasa hawaikubali
@dulasele-ud8cw3 ай бұрын
Mama uyo wazili wako anaetumia karolaiti ndo anazingua;
@MOHAMEDJUMA-x1i3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Thevineyard98893 ай бұрын
Sasa bibie Rais Samia Suluhu Hassan kwani hujui kuwa siasa iko kila sehemu ya maisha ya mwanadamu? Na ukumbuke tu serikali yako ikileta siasa tu kwenye maisha ya watu, basi ujue na wewe utapigwa vitasa vya siasa mpaka ukome!
@dennisezakiel33803 ай бұрын
Huo muungano sio
@checkchannel38763 ай бұрын
Mh. Rais naona unamwamini sana Waziri wako wa fedha, lakini nae ni tatizo! Tena bomu kwelikweli! Hawezi kufikiri kwa kina namna ya kuiendesha nchi kiuchumi, na hivyo hawezi pia kukushauri wewe na baraza zima la Mawaziri ipasavyo. Ninajua na kuamini pia kuwa hii migogoro nae ni moja ya sababu.
@FerickKazori-rt5cw3 ай бұрын
Vizuri ila msing ushaanza bomolewa
@avitusmichael53 ай бұрын
Uliowatuma huenda walikudanganya ila ukweli upo wazi
@ramadhanichuma79253 ай бұрын
Wamempanga bimkubwa 😂😂
@J4Mnokote3 ай бұрын
Usipokua makini wafanya buashara watatumia sana udhaifu wako , Kumbuka kila mwamba ngoma huvutia kwake😂
@jedidahbintidaudi82413 ай бұрын
Wee Jafo usituangushe..angalia kwa jicho la hali ya juu..w/biashara pia wanamwazo chana,,washirikishe muweke mikutano WASKIE. tembelea mikoani pia jmni
@gilbertmchai24903 ай бұрын
Kwanza huyo mkuu wa mkoa hatumuelewi. Biashara Tanzania imeanguka kwa asilimia kubwa sana wageni sasa hivi hamna. Ni maumivu matupu
@MariamSoza-t4q3 ай бұрын
Mama sio kweli machinations wananunua kwa hao hao?wachina wengi,wahindi,ndio balaa??mama mabos wankimbia kodi
@HajiKlein-so1rk3 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑
@mfaumeally44763 ай бұрын
Wadanganyika mpoo?
@mamlomamlo90643 ай бұрын
Bishara ya transporter nayo ni vurugu tupu kariakoo na mtaa wa amana ilala
@lovemusicnoreen91853 ай бұрын
WAKO HURU SANAA WACHINA ALAFU MAKWAO WANAUMIZA WAGENI HASWA WATU WEUSI
@magorymara55153 ай бұрын
Hatuwez kubadilisha ukweli ni ngum kufanya biashara wazawa peke yake kule China wabongo wamejaa wanafanya hivyo hivyo biashara ndogo nasi China tu Dunia yote ndivyo ilivyo na kufanya kwao biashara kuna effect nyingi kama kulipa kod ya majengo ya kulala na ya biashara pamoja na kununua vyakula hiyo inachangia mzunguko kuwa mkubwa
@jamilahjamilah41573 ай бұрын
Rais hapo umepatia jafu k koo ataiweza mkuu wa mkoa na yy ana siasa yg
@mohammededy70863 ай бұрын
mama Simama ivo cc wa mtaan tunajua Kwann wanafanya ivo kwnn shda matusi ubaya hauishi kwako mama una maduwi wing sana ila MUNGU akusimamie
@KhalfaniSaidi3 ай бұрын
Ukiwa kama kijana uchawa aukufai
@YoussefAzhar-qi4rr2 ай бұрын
M
@GreezyMaker3 ай бұрын
Mitano tena
@KhalfaniSaidi3 ай бұрын
Acha uchawa
@GivenMgani3 ай бұрын
Mmh
@iddysonyo13563 ай бұрын
kumbe hata viongozi wasiasa hawaiyamini siasa
@gilbertkalanda93543 ай бұрын
Nimecheka
@MasterOil-qm6vw3 ай бұрын
Usimueke mtu kwenye?kazi ambayo wamjua haiwezi atakuangusha weka pembeni watu wapo na ambao hawatakuangusha
@benardmwinuka69483 ай бұрын
Mtu katolewa kafara
@HASASON3 ай бұрын
Malamiko mengi ya wafanyabishara ni ya kipumbavu hawataki kulipa kodi halali na tukienda kununua bidhaa risiti wanazotupa ni za uongo na wizi, msiwasikilize wabaneni vizuri walipe kodi inavyotakiwa
@dulasele-ud8cw3 ай бұрын
We boya unazingua simu umenunuliwa na baasha wako ndo unaleta zalau kavae eleni;
@wilsonandlea86143 ай бұрын
Mafisadi wote mmekutana mnapanga jinsi yakutunyosha hongereni kwahilo mmefauru😢😢
@mosesnyelo13803 ай бұрын
Nchi yoyote duniani lazma ilipe kodi, kwanza unaweza kuta una lalamika na huna hata biashara
@wilsonandlea86143 ай бұрын
Hujui unachokizungumuza ila tetea ugar wako
@mosesnyelo13803 ай бұрын
@@wilsonandlea8614 malalamiko hayawez kukutoa ulipo kikubwa nku pambana, mbona wafanya biashara wengine hawa lalamik
@husseinmkanga77943 ай бұрын
@@mosesnyelo1380Tatizo sio kulipa kodi hizo kodi zinafanya nini? Ilikuwa raha kulipa kodi wakati wa Magufuri kwa sababu tuliona mafanikio yake.