YESU NI NANI SEHEMU YA PILI..NDACHA NA RAMADHANI KUIA

  Рет қаралды 7,962

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 105
@WillyAlfred-n4t
@WillyAlfred-n4t 4 ай бұрын
Mungu nibariki siku moja nichangie kwa kazi ya Bwana, anayo ifanya Mwalimu wetu Ndacha
@thadeombani7869
@thadeombani7869 4 ай бұрын
Amina
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 4 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu mr ndacha ntakipataje hicho kitabu.
@samerastus
@samerastus 4 ай бұрын
Mchungaji Ndacha Mungu azidi kukuinua kwa elimu ya Neno lake,kuafikiana na asiye kwa imani ya Kikristo ni kibarua kigumu. Ni kama ile vita ya Waisraeli na Wapalestina.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 4 ай бұрын
Ramadhan hawez jibu hoja za ndacha
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
MCH Ndacha kwakweli Mungu akushike sana,hawa watu wamedanganywa na Muhammad mtu ambaye ni aibu hata kusema alikuwa mtume wa Mungu kwa matendo yake
@konandawise4550
@konandawise4550 Ай бұрын
Aibu kwann ? Na ni mtume wa kweli kwa haki na uadilifu
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli 4 ай бұрын
Wakristo mnajichanganya sana mara yesu mtu,mara ,mtume ,mara mungu,mimi hata.sielewi yesu ni nani
@elifasinimpagaritse7902
@elifasinimpagaritse7902 4 ай бұрын
Huwezi kumtambua Mungu Kama huwezi kumtambua Yesu
@BRYSONYAA
@BRYSONYAA 4 ай бұрын
Kamwe hautaeza kumjua yesu n nan
@konandawise4550
@konandawise4550 Ай бұрын
​@@elifasinimpagaritse7902hata ww huezi kumuelezea Mungu ukiweza Kumuelezea Mungu utakua umefungukiwa kwa kiwango kikubwa kbs -
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Ramadhani acha maelezo jibu swali kwa maandiko sio maelezo alafu umeulizwa yesu alikua mbinguni alikua ninani hujajibu unamzungumzia alipofanyika mwili ss huoni elimu yako bado
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 ай бұрын
Mungu hajazaa wacha ukafiri
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 4 ай бұрын
@@StraightPathDawah Makafiri ni waislamu wanaopinga aliye pekee Mola na Bwana wetu Yesu Kristo!! Yuda 1:Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
@wakeshojana
@wakeshojana 4 ай бұрын
@@chapchap-oz1ou Kweli kabisa...makafiri wanasema Mungu kuwa na Mwana....Yesu kufa na kufufuka msalabani....ni ufisadi.... makafiri....nyani haoni kundule
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 4 ай бұрын
​@@StraightPathDawahukafiri unao waislam
@bustedislam3578
@bustedislam3578 4 ай бұрын
Yaani wafuasi wa marehemu Muhammad ni balaa kabisa. Wao nikukwepa maandiko tu. Hawana hoja lakini wanapemda kuitikisha upotovu wao. Mungu akubariki Mwalimu Ndacha. Hakuna jibu hata moja walilolitoa kwa swali zako.
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 4 ай бұрын
Ni kama wajukuu wa marehemu maria wanavyojikoroga;ooh ilipofika siku ya 7,Yesu akatahiriwa.(duh yani gov* la "mungu " wa wakristo limefukiwa ardhini,wakati zakal yake ipo mbinguni
@bustedislam3578
@bustedislam3578 4 ай бұрын
@@hemedbamja3197 Unaweza kudhibitisha hao wajukuu wa Mariamu ni wanani kwa andiko, siyo kwa maneno yako. Pia toa andiko inayosema Mungu alitahiriwa.
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 4 ай бұрын
@@bustedislam3578 : soma Luka 2:21 ndo utamjua ngariba wa "mungu/yesu"
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
​@@hemedbamja3197marehemu ameacha baraa duniani huko alipo kaburini kazi anayo ndiomaana wanamuombea rehema Kwa vurungu alizozifa huku akujua kusoma akawaambukiza waislamu wamepigwa upofu na mashetani majini yamewaongezea kupotea kazi mnayo waislamu
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 4 ай бұрын
@@prochesernest5439 : ni kama marehemu tu mwingine ambaye huwa anaombwa awaombee wakosefu,eti yeye ni "mama wa mungu"kwa mujibu wa wale wenye imani sawa na wale pepo wachafu waliomwita bwana yule eti "mwana wa mungu".
@Sara.11148
@Sara.11148 4 ай бұрын
Faith comes by hearing and hearing by the word of God.
@FunnyHermitCrab-gh4sw
@FunnyHermitCrab-gh4sw 4 ай бұрын
Ndacha upo vzur
@LudyJuma-t7z
@LudyJuma-t7z 18 күн бұрын
Mubalikiwe watumishi hukumu ya upererezi saah ya mwisho hi waisilamu mu mpekee yesu kristo
@peterndungu6980
@peterndungu6980 4 ай бұрын
Mwalimu Ndacha ramadhani ni mwalimu mzuri wakupindisha injiri ya Kristo anapoteza wengi kuelekea jehanam
@AzminShakila
@AzminShakila Ай бұрын
Leo nimeona Ndacha kalemewa na mahandiko nani Mungu
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
… Mohammeds alikuwa amerogwa na kifo chake kilisababishwa na kula sumu kwenye nyama huko khaiba.
@LudyJuma-t7z
@LudyJuma-t7z 18 күн бұрын
Kama kweri yesu mnamjua hivyo mnavyo mueleza basi Mungu awahulumie awafunulie kuhusu wokovu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👍👊✌️.
@CharlesOgendo
@CharlesOgendo 4 ай бұрын
Good ving
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
Ina mana mungu wandacha Ana kabila nimuisraeli😂 mana mtoto wake nimuisraeli
@GideonKelvin-cm5pp
@GideonKelvin-cm5pp 4 ай бұрын
Kumbe leo nimegundua huna akili, kumbe unafata ukoo wa mama ako? 😂😂😂
@MakholoBabá
@MakholoBabá 4 ай бұрын
Ndacha yuna uwezo sana katika maandiko matakatifu nikiwa mwislam lakini acha niceme Kweli
@footballdecode
@footballdecode 4 ай бұрын
Hapo kwa Chinja 😂😂😂😂
@lisiakudowela17
@lisiakudowela17 4 ай бұрын
Mutamkubari vipi yesu kristo wakati yesu ni aduwi wa majini
@OmarYunis-e5b
@OmarYunis-e5b 4 ай бұрын
Yesu si adui wa maumbile ya mungu majini ni maumbile wa mungu kama banadamu tu
@elifasinimpagaritse7902
@elifasinimpagaritse7902 4 ай бұрын
@@OmarYunis-e5bMajini ni Pepo chafu
@OmarYunis-e5b
@OmarYunis-e5b 4 ай бұрын
@@elifasinimpagaritse7902 nani aliumba
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 4 ай бұрын
Sijawai kuona mwalim aelewi kama uyu lamazani bule kabisa
@apollorutamucero6971
@apollorutamucero6971 4 ай бұрын
Hi tuna womba mutupe uk wa muhadi pamoja na Yesu
@breaking13327
@breaking13327 4 ай бұрын
🎉
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 4 ай бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto wa Simba ni Simba mtoto wa mungu ni mungu hio die ukweli rumathani
@konandawise4550
@konandawise4550 Ай бұрын
Duh kwani Mungu ni kiumbe mpk ufananishe hivo - nyoka ,simba binadamu woote huhitaji atakae wawakilisha pindi watakapokua dhaifu au watakapo toweka au huhitajia mtt kwaajili ya msaada - ss kusema tu Mungu anamtt ni mapungufu makubwa sana na Mungu hana sifa ya upungu !
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
We ramadhani kulya huwa unanikera sana huna uvumilivu ktk maongezi
@isayaogola8733
@isayaogola8733 4 ай бұрын
Ramadhan jibu hoja hacha chenga
@RapaFata
@RapaFata 4 ай бұрын
Yani ramadhani busara ya nyoka kwa mungu haikusaidii
@Mrsaviourtech6320
@Mrsaviourtech6320 4 ай бұрын
Mwalimu ndacha tupe habari
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Ramadhani ukweli umeujua ilasema unaogopa kubatizwa waislam wenzio watakuua maan ww ukibatzwa mashee watakujua utauliwa
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 4 ай бұрын
Very proud of u mwalimu wetu ndacha.without lies islam dies
@konandawise4550
@konandawise4550 Ай бұрын
Islam will rise - its a promise and surely it will happen...either u like or not.. Quran 61:9 It is He Who sent His Messenger with guidance and true religion, to make them prevail over all religion, even though it displeases the idolaters
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Mchungaji ndacha ameshushwa na mungu sio bure hii si kawaida
@josephmbirize3134
@josephmbirize3134 4 ай бұрын
Mwalim ndacha asha na WAESLAM kumbuka hata koran inasema ata waubiriwe hawasikii MUNGU akubariki sana ndacha
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Mbona mnakwepa hoja yani waislam kwa ndacha mnatumia maelezo mana maandiko hamna
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Sa ramadhani we unaikataa biblia na ndacha akiikataa quruan mtajenga mada kweli lazy ww ukubali biblia ndacha akubali quruan ndo mtajenga mada ss biblia inakubali mungu ana mwana kuruan inakataa na imekuja nyuma we huoni mnajichanganya
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Alafu yesu mnasem nabii wenu kwenye injili yake mnasema mnaikubali alafu yey kajiit mwana wa mungu kwenye injili yake alafu nyie mnakataa si tatizo ilo
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Ramadhani mbona andiko umepea umesema upew andiko yesu anasema kwakua nalisema mimi ni mwana wa mungu wakatak mpige mawe inamana ilikua kawaida yake kusema mm ni mwana wa mungu ww ni shee acha ushabiki mbon ndacha anakujibu
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Mbona ndacha anajibu swali zako ww unashindw kujibu kakwambia yesu kasujudiwa wap kakata unasema kusujudiwa aah, kuabudu sasa msikitini mnavyosujudu si mihimili ya kumuabudu mungu hiyo
@petermabada5628
@petermabada5628 4 ай бұрын
Ramadhani jikoni 😂
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Huyu Ramadhani kurya uwezo wake ni mdogo sana hoja hawezi
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Hawa waislamu walieneza dini yao Kwa upanga yaani kulazimisha hata Leo hii ukijitoa kwenye uislam wanakugecha hao ndio maana wanamakundi ya kigaidi ya kupigania dini,nitamfuata yesu wangu siku zote kuliko jamaa aliyezilwa uarabuni yaani marehemu au hayati
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli 4 ай бұрын
Waandishi wa bibilia wamewaharibu wakristo hiyo ndacha.leo anasema yesu mungu kesho anabadilisha atakwambia yesu ni.tu E tushike lipi
@academicsite8524
@academicsite8524 4 ай бұрын
Shika yote maana MUNGU anafanya wanadamu wasioyaweza Wala kuyafikiria.
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 4 ай бұрын
Acha porijo leta hoja
@يونيسيونيس
@يونيسيونيس 4 ай бұрын
Mwislamu mkikuyu haskiki
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 4 ай бұрын
Ramadhan mvua ilimnyeshea kweli kweli😂😂😂hata hagusi hoja alizoambiwa
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 4 ай бұрын
Kitabu cha marehemu Mohammad
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 4 ай бұрын
Ramadan alisema Qur'an 5:48 akidhani inaongelea Qur'an,anzia 47 inasema watu wa injili watumie injili kuhukumu
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
… Muisilamu ni yule anayempinga kristu.
@AntonyManeno
@AntonyManeno 4 ай бұрын
😂Ame Paniki Waisilam Walipo Ambiwa Ukweli Kua Wana Chinja Watu Akataka Kujitetea Ety Naye Anatafuta Mahali bc Wakristo Wana Chinja Watu Akakosa😢Akaulizwa Na Ndacha Umekubali Kuwa Wai Silam Mna Chija Watu😢😢😢 Akasikia Tumbo Joro😢 Yeye Ame Achiwa Maik Akaongea Hadi Aka Tosheka Aka Peana Sai Ndacha Anaongea Mashuzi Yanam Toka Hatulii
@moshajexplore
@moshajexplore 4 ай бұрын
Amesikia kuwawa akaanza wasiwasi
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 4 ай бұрын
hajawai patikana mchunguji au sheikh yeyote anaweza kamjibu ndacha
@Hagaispeck
@Hagaispeck 4 ай бұрын
Barikiwa mutumishi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Kuna badhii ya maandiko ya koran na matendo ya Muhammad vinatia kinyaa hata kusema ni maneno ya Mungu na kusema kwamba mud eti alikuwa mtume wa Mungu
@mikerutto8164
@mikerutto8164 4 ай бұрын
S. Swalla; means prayer A. Allah; means God( Alla) W. Waley wasallam; means Him S.A.W means Allah pray for Mohammed 😅😅😅... many Muslims converted to Islam without knowing
@dafarshaabduba8280
@dafarshaabduba8280 4 ай бұрын
Bona Kila siku munaongea yesu tu tanataka mada ya Muhammad ni mtume ya ukweli bona Ramadan anataka kujua yetu tu Ramadan natakujua Nini Iko ndani ya sanduku jeusi Ile Iko macce pliz utuambihe Nini Iko ndani
@josphatkarisa7291
@josphatkarisa7291 4 ай бұрын
Hawa mpaka ukweli waujue na watauasi uisilamu
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 4 ай бұрын
Waislamu kumuita ndacha studio huwa mnaaibika tafuteni mwingine 🤣🤣
@tsumamartin6878
@tsumamartin6878 4 ай бұрын
Ww ramadhani ni Bure kabisa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
We ndacha achana na ramadhani kulya maana ni comedian hana akili hicho anachouliza ushakijibu yesu tunamfahamu kimwili kwa kuzaliwa na mariam .
@PascalMbilinyi
@PascalMbilinyi 4 ай бұрын
Ramadhani mzungumzie yesu akiwa mbinguni
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 4 ай бұрын
sasa nyie waislamu mbona mungu wenu anamswalia Muhammad 😂😂😂😂😂
@silvamoz6299
@silvamoz6299 4 ай бұрын
Ndacha hapa ni kuzunguruka ramathan Ako kapa ajifunze koran kwako.
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 4 ай бұрын
Huyu ramadhani hana mafunzo yani kupinga kile kimesomwa
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 4 ай бұрын
Hapo Nani amesema atalinda Quran ni mungu Hama ni mwamendi?
@samerastus
@samerastus 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Ramadhan, surah 19:30 iliyosomwa kwa Quran inadhihirisha kua Issa bin Marium alikufa. Je mbona Waislamu wanapinga Yesu hakufa. hamueleweki kwenye misimamo yenyu. Ni maana kwamba Quran aina mwelekeo..
@Sofymushi
@Sofymushi 4 ай бұрын
Shekhe mbona kama anaujua ukweli ila unaupindisha ?anakubaliana na pastor ndacha sema unaogopa macho ya waamini wa uislam...
@soccertv293
@soccertv293 4 ай бұрын
Wakristo bana 😅😅😅inapokuja yesu ni nani mnasema ni mwana wa MUNGU,tukihama tukija kumuuliza huyo huyo aliejibu kua yesu ni mwana wa MUNGU, muulize Yesu ni MUNGU AU SIO MUNGU, atabadilika na kusema yesu ni MUNGU,full confusing
@mikerutto8164
@mikerutto8164 4 ай бұрын
Uislamu ni jokes; 1. Mara Mohammed kamsilimisha shetani 2. Mohammed kuwaabudu wasichana watatu wa Allah. Al alat, Al manat, Al huzat 3. Majini ni waisilamu 4. Mohammed kashukiwa kuiba nguo 5. Mohammed alikuwa na mateka( slaves) 6. Mohammed alisema ua wakristo na wayaudi
@HUSTLERS085
@HUSTLERS085 4 ай бұрын
Ndacha umepoteza watu wengi 😂😂😂😂😂
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 4 ай бұрын
Mohamad ndio kapoteza mamilion
@hassanmaalim7008
@hassanmaalim7008 4 ай бұрын
Kafiri nikafiritu
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 4 ай бұрын
Kama Allah
@IbadeAssiqui
@IbadeAssiqui 4 ай бұрын
Mimi muana nsumbinji naona ndaxa ni mnto ataq cu inguiya peponi uyo muana wa xetani cama ataq cusilimo
@IbadeAssiqui
@IbadeAssiqui 4 ай бұрын
Pole ndaxa wewe una njua bahti? Tulia nicuambie vose encotraste curani depos nao nqueres seguir, entao sivose morer antes de ser muçulmano vose vai se arepender wewe muenhewe uco cua mungo.
@husseinmohamed3980
@husseinmohamed3980 4 ай бұрын
Jameni Ndacha amenichekesha Tena namuomba aache iyo mifano anajipatisha haya Kwa kutowa mfano ki lugha eti Daughter na mtoto mwanamke
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 4 ай бұрын
Hoja za ndacha Ramadhan hawez we'we ni shabiki tu
@husseinmohamed3980
@husseinmohamed3980 4 ай бұрын
@@japhetndoro6533 kumbe Ndacha ni hoja tu ila hafundishi?Yani yeye ni mzee wakuleta tu hoja?sisi hatuitaji hoja tunahitaji Kupata elimu..Aje utowe mfano wa lugha mbili tofauti eti Daughter na mtoto mwanamke Kisha uwone kama naww umetowa mfano hali Kila mtu anajuwa Daughter ni kingereza na mkiswahili ni mtoto mwanamke ,Ayo nimafunzo Gani ao mfano Gani huyo?
@UshindiDavid
@UshindiDavid 4 ай бұрын
​@@husseinmohamed3980Ww unajielewa kwel umeandika nn apa acha ushabiki😂😂😂
@husseinmohamed3980
@husseinmohamed3980 4 ай бұрын
@@UshindiDavid msikilize Ndacha utaona yeye ndio hajielew eti anatowa mfano ukisema Daughter tu unaelewa kama ni mtoto mwanamke kwani mswahili ambaye anajuwa kingereza SI anafaham maaana ya Daughter mkiswahili ni mtoto wa kike?apo Kuna jambo Gani eti kuwa ukiiulizwa mtoto wa nyoka utajuwa kama ni nyoka ao mtoto wa mungu ni mungu?Daughter na mtoto wa kike iyo ni maaana ila sio mfano wa mtoto wa nyoka ni nyoka kama alivyo fananisha ndacha
@mikerutto8164
@mikerutto8164 4 ай бұрын
Allah didn't have a son but he have 3 daughters Al Alat, Al uzat and Manat... hypocrasy of Islam ​@husseinmohamed3980
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 20 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
UJUMBE WA SASA NI UPI?
1:48:09
BITTER TRUTH MINISTRY
Рет қаралды 1,2 М.
PASTOR NDACHA AKITETEA YESU KUWA MWANA WA MUNGU (SEHEMU YA 2 (A)
1:00:06
Straight Path Dawah
Рет қаралды 7 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 214 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 39 М.
MAANDAMANO YA KUFUNGA MWAKA😭NI KUBAYA GENZ BACK AT IT AGAIN
10:50
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 22 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 67 М.
GACHAGUA EXPOSES FAROUK KIBET AND HIS COUSIN BADLY AMID ONGOING ABDUCTIONS!
7:11
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН