Kauli ya kwanza ya Mwigulu tangu atenguliwe “Nitaacha Ubunge?”

  Рет қаралды 335,277

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Ikiwa zimepita takribani siku sita tangu Rais John Pombe Magufuli kufanya mabadiliko madogo katika baraza lake la Mawaziri ikiwemo kumuondoa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba na nafasi hiyo kuchukuliwa na Kangi Lugola.
Leo July 7, 2018 Dr Nchemba kwa mara ya kwanza tangu kutenguliwa kwake amefanya mkutano na wananchi wake wa jimbo la Iramba Maghairi na kuzungumza nao ikiwemo tetesi za mitandaoni kwamba anataka kujiuzulu nafasi ya Ubunge baada tu ya kutenguliwa katika nafasi ya Uwaziri.

Пікірлер: 369
@emmanuelmajovenee8954
@emmanuelmajovenee8954 6 жыл бұрын
kama unakubaliana na mm kwamba siasa ni mchezo mchafu acha like apa....hyo inaitwa kujitakasa
@allyalzakwani8330
@allyalzakwani8330 6 жыл бұрын
Emmanuel Majovenee
@emmanuelmajovenee8954
@emmanuelmajovenee8954 6 жыл бұрын
ndo hvyo
@emmanuelmajovenee8954
@emmanuelmajovenee8954 6 жыл бұрын
kaz kwel kwel
@mutalemwamkimea8205
@mutalemwamkimea8205 6 жыл бұрын
Emmanuel Majovenee Yeeh
@josephsimon1173
@josephsimon1173 6 жыл бұрын
Emmanuel Majovenee haya bwana
@mkoteaziz5238
@mkoteaziz5238 6 жыл бұрын
Mhe umenifurahisha sana. Hii ndo Siasa tuitakayo. Ukipata nafasi watumikie wananchi. Na ukikosa nafasi wasapoti wengine tuendelee mbele.
@princesaha3262
@princesaha3262 6 жыл бұрын
Mkote Aziz true
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 6 жыл бұрын
Umeongea vzr mkuu, Hongera sana
@fatumachasama6284
@fatumachasama6284 6 жыл бұрын
Wewe ni mzalendo halisi unajitambua!! Hongera sana baba wewe unajuwa cheo ni dhamana tu!! Endelea na ubunge na u nahitajika sanaaana ktk maendeleo! Hongera baba!
@fakhadkhaj1100
@fakhadkhaj1100 6 жыл бұрын
Wasalimie wanyiramba wote
@shabibuabdala7816
@shabibuabdala7816 6 жыл бұрын
Saf sana nchemba hataukitolewa kwa ubaya so matter your the greatest man in iramba
@hassanmataula7063
@hassanmataula7063 6 жыл бұрын
Umenifurahisha Sana busara ndio hiyo ww nakufananisha na ridhiwan kikwete kwa busara zenu nawakubal Sana
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Safi sana ingekuwa mwingine angepaniki na kuanza kuropokaropoka hovyo, endelea kumsaidia rais kwa namna nyingine sio lazima uwe waziri ccm ni li kitu likubwa sana lina hazina nyingi shirikianeni kwa pamoja muimarishe chama mjenge nchi.
@methodemmanuel4658
@methodemmanuel4658 6 жыл бұрын
Anasema amekabidhi bila kuwaaibisha wakati huo mh. kataja makosa lukuki aliyoyafanya, duu!!!.
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 6 жыл бұрын
wewe ni mtu nzuri sana ,nakukubali sana umekomaa kisiasa
@nonkotv200
@nonkotv200 6 жыл бұрын
kama unaniunga mkono jamaa ameaibika sanaaaa na haumkubaliiii weka like hapa
@godloveadamu4379
@godloveadamu4379 6 жыл бұрын
Asante kiongozi wangu,uko vizuri na umekomaa kisiasa .nilitegemea utakuwa na majungu ,lakini uko vizuri sana unajua nini maana ya cheo ni zamana.
@mkurangacnajemasabatochane4626
@mkurangacnajemasabatochane4626 6 жыл бұрын
tuwe na desturi ya kukiri udhaifu wetu ilikuondoa dhana ya uonevu ulikosea waambie wananchi niliteleza najifunza nikiwa nnje
@emmanuelbellon2722
@emmanuelbellon2722 6 жыл бұрын
Una nidhamu mno Kwa viongozi wako, huna fikra na kiburi cha Nape, big up Nchemba wewe ni gentleman
@lydiadeogratius4345
@lydiadeogratius4345 6 жыл бұрын
Yes
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 6 жыл бұрын
Nape Kamtukana nani... acha Uzushi
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 6 жыл бұрын
Eti anakiburi... anataka asiseme ukweli?
@frankmichael200
@frankmichael200 6 жыл бұрын
Emmanuel Bellon
@twahirnasa1574
@twahirnasa1574 6 жыл бұрын
Atapatapa wacha wasafishwe hawezi kazi kazi kutetea ccm sio wananchi
@kakapascal5090
@kakapascal5090 6 жыл бұрын
Do not let someone speak on yourbehalf if you are present, "Moyo wa unyenyekevu,ustarabu,staha na ukomavu. herí kwa wote waliopendezwa na yale uliyoyatoa moyoni mwako" salaam za heri kwa yule aliye teuliwa baada yako. peace & love Tanzania.
@allyfutto8763
@allyfutto8763 6 жыл бұрын
Kutereza sio kuanguka Piga kazi Mwigulu bila shaka umejifunza mengi bado Taifa linategemea ufanisiwako. Mungu akuongoze Vyema Amin.
@aggraypeter.5008
@aggraypeter.5008 6 жыл бұрын
Naona Mwigulu Kiluga leo Kinamata
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 жыл бұрын
Iza sana gyule, kupalumuwi. Hekima safi, kubaliana na matokeo. Hongera sana.
@leovarelian5031
@leovarelian5031 6 жыл бұрын
Margareth Solomon #zigizigiii🙏
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 6 жыл бұрын
na wewe umekigonga kilamba sio
@josephmathayo5605
@josephmathayo5605 6 жыл бұрын
Margareth Solomon u
@shekhekassim6402
@shekhekassim6402 6 жыл бұрын
Unajikosha kwa wapiga kura wako hongera
@lawarencemacheta7326
@lawarencemacheta7326 6 жыл бұрын
hongera sana Mh. Nchemba sio kama wengine wakitolewa uwaziri wanapaniki ni kama wapo peke yao
@manyangagrace4342
@manyangagrace4342 6 жыл бұрын
Safi karibu saaaana kwako ni kwako tu hatakuwe poroni.
@jehovandiwe1592
@jehovandiwe1592 4 жыл бұрын
Mungu awe Nawe Mheshimiwa Mwiguru
@msodockkayamba2973
@msodockkayamba2973 6 жыл бұрын
Hongera Nchemba kwa kaul nzur bado unafac
@gracewayanga105
@gracewayanga105 6 жыл бұрын
Hongera kaka unabusara siku zote
@vicemedicalhealthcareoffic2311
@vicemedicalhealthcareoffic2311 6 жыл бұрын
Utapata tabuuu Sana hii ni coz of Nondo l know that alimuachia mungu atende nae kaonekana pole San mkuu!
@jumaangazi7844
@jumaangazi7844 6 жыл бұрын
safi sana nchemba big up sana kwakua una kiburi unaona kawaida tu
@appoloniusbyarugaba3160
@appoloniusbyarugaba3160 6 жыл бұрын
Hongeraaa kwa kauli zenye nidhamu na mtazamo chanya!!! kwa namna hii yajayo yanafurahisha
@jaydon3361
@jaydon3361 6 жыл бұрын
Duh leo umeongea kiruga Kwel kutumbuliwa si mchezo
@kulwamalale2352
@kulwamalale2352 6 жыл бұрын
kutumbuliwa kubaya mpaka umekumbuka kuongea kinyiramba
@mariammichael9773
@mariammichael9773 6 жыл бұрын
Official Son 😂😂😂
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 6 жыл бұрын
Ndio maana tusiokua na vyama tunaongezeka.Alipokuwa waziri alinufaika yeye na familia yake leo katumbuliwa anarudi kuwazuga wananchi wenyewe hata hawajielewi maskini. Kaaazi kweli kweli
@kisibowarioba456
@kisibowarioba456 6 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa huo ndio ustaarabu wa kiongozi
@azizauledi4108
@azizauledi4108 6 жыл бұрын
you're well right men big up polite guy
@bethampondo7645
@bethampondo7645 6 жыл бұрын
Piga kazi bro, endelea kutumikia wananchi wacko. Uko vzr usijali cheo ni dhamana kaka yangu. Umeongea vzr sana hongera, Huo ndio uanaume
@imanuelmahenge5461
@imanuelmahenge5461 6 жыл бұрын
Maisha na siasa hivi ndivyo ilivyo sisi wala hatujali we are looking only what we own,,,we looking for our not for other's life
@deborabogohe6486
@deborabogohe6486 6 жыл бұрын
your proper stand defines, who you are! that's what great pple do!?
@joemuberwa3078
@joemuberwa3078 6 жыл бұрын
Nakupongeza hekima inazidi yote,mwenyezimungu a kutangulie,Amen
@annetmsafiri6704
@annetmsafiri6704 6 жыл бұрын
Niipenda sana wewe ni mwelewa sana kijiti ni kopokezana hongera sana umekomaa kiakili mungu akubariki sana
@fordtonny9548
@fordtonny9548 6 жыл бұрын
Mh mm naamin utapata zaid ya uwazir nimefurahia sana busara zako zidum
@meckjosephat6929
@meckjosephat6929 6 жыл бұрын
#Mwigulu Nchemba Piga kazi... Uwaziri ni dhamana tu ambayo inapita.... Najua Uwaziri ulikuwa unakunyima Fursa ya kurudi #nyumbani kuwasalimia wanairamba.. #Mwigulu Nchemba Rais #2025 #Wanairamba gonga Like tujuane
@selemanikalembo4711
@selemanikalembo4711 6 жыл бұрын
Unajikaza tu
@mwenyehamisimsata7368
@mwenyehamisimsata7368 6 жыл бұрын
Meck Josephat matukio
@dannykembo7214
@dannykembo7214 6 жыл бұрын
usitie huruma #mbn wakati unanafasi hukwenda kuongea nao.. m sikuelewi kbsa, wakiwatoa ndio mnaanza kutia huruma
@stanleylyimo7617
@stanleylyimo7617 6 жыл бұрын
ni motivation tosha yakwenda hatua ya juu zaidi yauliyokuwepo
@mohamedhalifambela6419
@mohamedhalifambela6419 6 жыл бұрын
Sasa unatumia kiruga kutuficha? Mi naona maumivu ya kidonda cha kutumbuliwa kinakuchachafya
@bettyngoo6979
@bettyngoo6979 6 жыл бұрын
Nakukubali mheshimiwa
@winifirdamayara2419
@winifirdamayara2419 6 жыл бұрын
uko vizuri kk yangu safi sana
@emmanuelamac1389
@emmanuelamac1389 6 жыл бұрын
Ila angekuwa mpinzan angeshakuwa na kesi tayr na ingeshasomwa mahakamani ila kwa vile yeye basi huu mkutano ni valid na hauna shida wakat me kwa kuuangalia tayar naona hii anapiga kampeni kabisa hapo!!
@hamiscosmas4667
@hamiscosmas4667 6 жыл бұрын
Utakoma hapa kazi tu
@rebeccamusa6456
@rebeccamusa6456 6 жыл бұрын
mwigulu nilimpigia simu hanijui ila akanisaidia na nikafanikiwa nakukumbuka kwa hilo
@samweldaudi9261
@samweldaudi9261 6 жыл бұрын
rebecca musa Mungu akubariki sana kwa kushuhudia hilo kwani nami ni miongoni mwao wa aina kama yako! Mungu ampe hekima na roho ya utulivu zaidi.
@antoineakimanayase5996
@antoineakimanayase5996 6 жыл бұрын
rebecca musa ni brother mzuri sana yaani basi tu
@neliusmwami307
@neliusmwami307 6 жыл бұрын
rebecca musa naomba namba yake mh
@rebeccamusa6456
@rebeccamusa6456 6 жыл бұрын
Antoine Akimanayase poa subiri
@princesaha3262
@princesaha3262 6 жыл бұрын
rebecca musa yuko poa
@leonardmadinda1439
@leonardmadinda1439 6 жыл бұрын
hongera xan Mwigulu kwa kuaman kuwa cheo dhamana maana huwez kubak milele
@dasadaimasanga7287
@dasadaimasanga7287 6 жыл бұрын
You deserve to be a politician nice speech
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 6 жыл бұрын
Safi sana,,,nimekukubali uo ndio uzalendo na uongozi ulio tukuka,,,
@limokisuda4145
@limokisuda4145 6 жыл бұрын
tatizo la wanasiasa wakipunguzwa vyeo wanakumbuka walikotoka kwenda kupiga wananchi saund kweli siasa ni usani usanii tu
@joshualazaro1641
@joshualazaro1641 6 жыл бұрын
Inaonekana amekuchania mkeka ulitegemea anaenda kutoa mipasho kama Nape, huo ndio ukomavu wa kisiasa sio watu wenye gubu
@erickhaule8680
@erickhaule8680 6 жыл бұрын
haha
@mwanakwetu6472
@mwanakwetu6472 6 жыл бұрын
Hahahahahahaaaa
@amandusmark3060
@amandusmark3060 6 жыл бұрын
Hakuna ukomavu apo
@frankmichael200
@frankmichael200 6 жыл бұрын
Limo Kisuda
@sihaclausy6502
@sihaclausy6502 6 жыл бұрын
Duuuuuh........!!!!!!!!!!!!!! Mi simoooooooooooo........... "ilani inayo tekelezwa ni ya CCM", Raisi ni wa CCM
@mwanakwetu6472
@mwanakwetu6472 6 жыл бұрын
Hongera sana Mwigulu, umekomaa ki siasa...Tushukuru kwa kila jambo, Cheo ni nadhana!
@bahatib.kidesela5423
@bahatib.kidesela5423 6 жыл бұрын
Huo ñdo msimamo mzuri ndugu Ñchembà. Moyo wañgu unàtàbiri kuwa utateuliwa tenà kuwa Ñàibu Waziri/Waziri tena ndañi ya Serikali hii hii ya awamu ya TANO. Hongera sana.
@kassimkishuka5181
@kassimkishuka5181 4 жыл бұрын
Umepatiaaa bahati b
@stellastanley630
@stellastanley630 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila jambo linamwisho usijali mungu atakupa cheo kingine inshaalah songela mugule wane nzua mukende
@christinamgongolwa4087
@christinamgongolwa4087 6 жыл бұрын
huo ndio ungwana mheshimiwa big up sana
@edgamwakyoma9761
@edgamwakyoma9761 4 жыл бұрын
Aliyeangalia baada ya mh kuteuliwa tena uwaziri like za kutosha
@jamesmichael5158
@jamesmichael5158 6 жыл бұрын
Asante mweshimiwa kosasiokosa lakin kuludiakosa ndokosa,true kulikokusema uongo
@nazaletmwampungu1120
@nazaletmwampungu1120 6 жыл бұрын
safi sana muheshimiwa hakika ww ni kiongozi bora endelea kupiga kazi namueshimiwa ili Tanzania mpya tuione
@sultannchacha666
@sultannchacha666 6 жыл бұрын
Mkitumbuliwa mnakumbuka na kuongea Lugha zenu
@sisisisilia4898
@sisisisilia4898 6 жыл бұрын
Yuko vizuri sana ila ndo anachanganya lugha maana wengine hatuelewi
@nowelalenze7099
@nowelalenze7099 6 жыл бұрын
Big up!
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 жыл бұрын
Nimekuelewa vizur kiongoz
@julianamasunga4147
@julianamasunga4147 6 жыл бұрын
safi sana umekomaa sana mwana lramba ....
@stevenwarioba1318
@stevenwarioba1318 6 жыл бұрын
Uko vizuri
@gracejohn886
@gracejohn886 3 жыл бұрын
Ccm bado sanaaaa kuondoka madarakani labda miaka 800 ijayo du kweli mtu kwao 👍👍👍👍👍👍
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 6 жыл бұрын
I love you! Nakupenda sana Japo niko Kasulu lkn nakupenda mno! Huna ukanda ukabila wala udini! Hongera MUNGU BABA kakupa hekima yake ambayo hukupa mwonekano mzuri! Nakupenda mno!!!!!!!!!!!!!!!!
@alphaemollel8241
@alphaemollel8241 6 жыл бұрын
KUTOKA 14:14. Mbn anaongea kikabila sasa
@stellaedward7726
@stellaedward7726 6 жыл бұрын
Much respect our mwigulu
@isayasigera1869
@isayasigera1869 6 жыл бұрын
Mungu Mwema Awenawe Baba
@ericjosephat9180
@ericjosephat9180 6 жыл бұрын
huyu ilikuwa siku nyingi ilitakiwa atumbuliwe hakua mchezaji mzuri kabisa katika nafasi aliyopewa na kocha
@clemencejames7279
@clemencejames7279 6 жыл бұрын
Umekomaaa kisiasa,,watu tulitarajia utabonga tulivyozani lakin imekuwa ndivyo sivyoooo,,,,tisha sana comred
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 6 жыл бұрын
Ume shindwa kazi mkuu Rais kalizungumza hilo wakati wenzio walivyo apishwa Ikulu...kwa sasa huku kwa wakulima wako wa iramba ndiyo kuna kufaa.
@aminahamisi7854
@aminahamisi7854 6 жыл бұрын
bora hat ungemsikiliza mondo ukajiuzulu mwenyewe sasa umetumbuliea baba laxima roho ikuume roho imekuuma ila wajikaza tu kuongea
@albusaidkhelef6655
@albusaidkhelef6655 6 жыл бұрын
hongera sana nina imani mjomba Magu anakufikiria utapata nafasi nyengine
@musahezron4584
@musahezron4584 6 жыл бұрын
bigap mwigulu nchemba kwa kikumbuka na kwenu mungu akutie nguvu uzidi kupambana.
@najumongdeoxcar6312
@najumongdeoxcar6312 6 жыл бұрын
mhhhh kwer nomaaa
@godykucha3393
@godykucha3393 6 жыл бұрын
Hongela kwa kuongea luga yako
@khalidmayange5374
@khalidmayange5374 6 жыл бұрын
safi mheshimiwa nchemba una busara mno.
@clementdiyay5789
@clementdiyay5789 6 жыл бұрын
Uliambiwa na Nondo ujiuzulu ukangojea kutumbuliwa duh! Niheri ungejitumbua mwenyewe
@leolaswai5784
@leolaswai5784 6 жыл бұрын
hujakabidhi umevuliwa nyadhifa ya uwaziri, rekebisha kauli mh. anyways Good speech.
@hassankadio6470
@hassankadio6470 6 жыл бұрын
Wana Singida mmetuangusha sana kwa huyo kiongoz wenu tena alichelewa kutumbuliwa BURE kabsa kichwan nchi ilikuwa kama KOSOVO
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 жыл бұрын
Unajipa moyo Mzee Baba,mpk umeomgea kikwenu,ungeacha ubunge ungekula Nini Sasa na vyuma vilivyokamata
@herziminamaige7383
@herziminamaige7383 6 жыл бұрын
ulitaka aongee kabila yako yupo sahii kabisa shukrani
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 жыл бұрын
Herzimina Maige Kwani nimeandika aongee Kabila yangu amaaa
@molegend2672
@molegend2672 6 жыл бұрын
Daah maisha bhana
@hassankimti2679
@hassankimti2679 6 жыл бұрын
Mpaka nyimbo za kabila mh unatufanya tulio wengi tusikufaham
@adfordmaliga2516
@adfordmaliga2516 6 жыл бұрын
Umeshindwa kazi ya uwaziri hakuna kujitetea hapo baki na ubunge wako nao usipokaa sawa atakuondoa hufai Mwigulu kuwa kiongozi kwa sasa hauna sifa
@rozetowo2604
@rozetowo2604 6 жыл бұрын
kweli hana jipya sense akachunge ngombe na kukamua maziwa
@saidimalilo9640
@saidimalilo9640 Жыл бұрын
Kwa hiyo unarusiwa kuogea rugha tofauti na kiswahili
@ancosamlucas2408
@ancosamlucas2408 6 жыл бұрын
exactly
@kigonyamzoefu9376
@kigonyamzoefu9376 6 жыл бұрын
uko vema kiongoz safi sana kaka usimwangushe rais kwa kukosa imani na wewe bali muaminishe wewe ni jembe na unamuunga mkono hata kwa kukutoa ktk uwazir piga kaz hapa kaz tuu
@subiramohd885
@subiramohd885 6 жыл бұрын
pole sana.lkn Magufuli kakutendea haki maana Tulikuchoka sana bora Alivyo kutimuwa......
@godblessmariki8832
@godblessmariki8832 6 жыл бұрын
muheshimiwa ,Nafikiri utakuwa umekosea, serikali hii ni ya wananchi
@yusuphkimati9210
@yusuphkimati9210 6 жыл бұрын
mwigulu I salute u! Iko siku watakukumbuka wanaokuchukia
@hechihechie5558
@hechihechie5558 6 жыл бұрын
Asante sana Rais wetu kumtumbua huyu mtu hafai kabisa...anachekesha watu kufunika ujinga aliiotumbuliwa nao!!Magufuli nakupenda sana unauchungu na nchi yetu..Mungu akubariki baba
@muuminadam2998
@muuminadam2998 6 жыл бұрын
Christina Msoka ataongea lugha zote.
@muuminadam2998
@muuminadam2998 6 жыл бұрын
Hakuna rangi utaacha ona.. Had kikwenu unakiongea leo..
@tulizojonson8255
@tulizojonson8255 6 жыл бұрын
alichoongea Abdu Nondo ni kipi?
@elibarikiyusto5495
@elibarikiyusto5495 6 жыл бұрын
Unapomtumbua waziri kwenye nafasi yake ni kama umemuongezea mwendo kisiasa kwasababu umempa muda wa kwenda kukita mizizi vizuri jimboni kwake..sasa hapo kama kuna MTU alipanga kuiba hilo jimbo ni ndio basi tena
@marvelinc2450
@marvelinc2450 6 жыл бұрын
Upo vizur ila ulikua unakeraa... watu wanakufaa kila siku uchunguz uchunguz usoeleweka... Na bado UTAPATA TABÚ SANAA
@abuuaishaahmadtwaha7711
@abuuaishaahmadtwaha7711 6 жыл бұрын
Hawa ndo wajenga nchi, wapo tayari kujishusha na kupoteza heshima zao ili hali iendelee kuwa shwali, kiongoz wa sasa wa nchi asipokuwa na watu wa busara na wasoma upepo kama hawa basi hali itakuwa ni mbaya sana ya nchi.
@feliciankazimoto8888
@feliciankazimoto8888 6 жыл бұрын
Yes
@silasmsekela9256
@silasmsekela9256 6 жыл бұрын
hongera huyu ni mwanasiasa aliyekomaa unastahili pongezi
@felixjospjartmgenimgeni9045
@felixjospjartmgenimgeni9045 6 жыл бұрын
safiiiii mwigulu kwa busara zako piga kazi ccm safiiiiiiii
@gillyamani6090
@gillyamani6090 6 жыл бұрын
Aliyekupiga chini alisema mwenyewe kuwa madudu mengi yalikuwa kwenye Wizara uliyoongoza!! Wewe unajidai kusema maneno yasiyo na maana. Nani asiyekujua kuwa wewe ni hewa.
@sultannchacha666
@sultannchacha666 6 жыл бұрын
Laana haichelewi ulishinda kumsaidia Lissu ulipokuwa na dhamana na ni Mwana Singida mwenzako leo unawadanganya wana Singida acha unafiki
@alfredmmbaga9336
@alfredmmbaga9336 6 жыл бұрын
Safiii mheshimiwa, ila Rais kasema haumsaidii.. Ila umejipanga vizuri, walijaribu kukuvuruga...!! Ila umekaza...
@aminahamisi7854
@aminahamisi7854 6 жыл бұрын
lazima roho ikuume baba unajikaza tu hapo
@vakwawesanga733
@vakwawesanga733 6 жыл бұрын
Mmmmh😁😁😁👍🏻
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 6 жыл бұрын
Huko kwenye timu ya taifa umeboronga sasa unakumbuka yaliyotokea? Makufuli ni daktari wa majipu yaliyozidi . Bado mnatumbuwana wenyewe kwa wenyewe na mengine yanakuja ukweli hujausema.
@fredymushi4183
@fredymushi4183 6 жыл бұрын
Bakari Mngazija
@samwelstanley261
@samwelstanley261 6 жыл бұрын
Amekipata😯😯
@hoseakazikuboma1835
@hoseakazikuboma1835 6 жыл бұрын
Wewe ni mwanasiasa tumikia Taifa lako
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 жыл бұрын
Kiukweli Mwigulu wewe ni mwanaume.
@mosseseliastv6493
@mosseseliastv6493 6 жыл бұрын
Nadhani mh..Rais yuko saiii kwa sababu wizara ya mambo ya ndani aimuitaji MTU npole kama uyu sasa ni seme kwa Wazir yeyote anaye lega lega asujali akipumzishwa ....tuna itaji Kazi tuu NA sio my mbo au manene maneno ya kisiasa
@sultanamabrouk6825
@sultanamabrouk6825 4 жыл бұрын
Big up
@robertnzingo1238
@robertnzingo1238 6 жыл бұрын
Huo ndio ukomavu wa siasa na ukiwa kiongozi hayo yapo uongozi si wamilele.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 6 жыл бұрын
sijakuelewa kabisa mh.mstaafishwa
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 20 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
MWIGULU AKUTANA NA KICHWA KIBOVU, SIKUOGOPI, LEO NAKUCHANA
10:00
Duh! ASKARI KIBURI Abishana na MAGUFULI Mbele ya RPC - "AMENIINUA"
2:53
Global TV Online
Рет қаралды 683 М.
RAIS SAMIA Kwa KISHINDO AKANYAGA ARDHI YA TZ AKITOKEA UBELGIJI
10:13
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 7 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 12 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН