MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS

  Рет қаралды 62,988

keki plus

keki plus

Күн бұрын

mwongozo wa biashara ya juice,ni rahisi sana lufuata biashara hii kama ukiwa tayari na kuzingatia vigezo.
kwa video zingine za biashara bonyeza link hizi
BISKUTI ZA BIASHARA
• Video
BIASHARA 13 KWA AJILI YA MAMA WA NYUMBANI
• BIASHARA 13 KWA AJILI ...
BIASHARA 5 ZA KUKUINGIZIA 10,000/= KILA SIKU
• BIASHARA 5 ZA KUKUINGI...

Пікірлер: 74
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Mwenye maoni zaidi/angalizo/ushauri zaidi tafadhali dodosha kwenye comment tujifunze pamoja. Pia usisahau kusubscribe,like,comment na kushare na ndugu jamaa na marafiki
@sofiaringo4901
@sofiaringo4901 3 жыл бұрын
Jamn uku nlipo juice nusu lita ndo 500 napenda sana hii biashar lkn changamoto yang napatia wap (disposable glasses) maan huku nlipo hakuna
@sofiaringo4901
@sofiaringo4901 3 жыл бұрын
Maan inabd ninunue chupa za maj za nusu lita nizfanyie usaf alafu niweke juice kwa wateja wng nlikua nahtaj class hiz ambazo mtu akitumia bac lakn huku nilipo hakun jamn na wateja wangu weng n wapitaj tuu sasa mteja Akija anahtaj umuekee kweny chupa weng hawanyw hapa hapa sasa napata changamoto nikiwa cna chupa duuh... Yan hela naikosa hvhv nkiangalia nsaidien mawazo nifanyaj
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Pole sana dear,upo wapi?hata mjini kwenu hamna? Basi niambie kama unataka kununuliwa na kutumiwa ulipo..nitakusaidia.usijali. Nitafute instagram kekiplus.youtubechannel
@sofiaringo4901
@sofiaringo4901 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly ok
@happyfrances8854
@happyfrances8854 3 жыл бұрын
Samahani dear kama nikichanya na palachichi au napassion inakubalika
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
MashaaAllah mpenzi mm pia napenda sana kuonja juice kabla kuserve ama juisi ya aina yoyote.. Haya niletee glass yangu😋😋sijawahi fanya biashara ya juice ila nikimakinika nitafanya love
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Yes,kuonja ndo kila kitu. Hata glass usibebe,we njoo tu😂😂😂😂😂 Kweli ukimakinika its possible kama time unayo
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly eeeeh mpenzi nikujipanga💪
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
Asante dada kwa ushauri ni kweli kabisa tunanunua vilivyoiva sana sana na juice huwa inaonyesha kabisa kuwa limeoza. Bariakia
@stephenkadakwa2315
@stephenkadakwa2315 Жыл бұрын
Mungu asaidie ninampango wa kuanza kutengeneza na kuuza juice. Nitakutafuta mama kwa somo zaidi
@LucyWangui-m1x
@LucyWangui-m1x 2 ай бұрын
Wow very smart and clean netazama video Mingi but hawavai gloves
@binahmadkhalif6424
@binahmadkhalif6424 Жыл бұрын
Mwongozo mzuri kabisa huu, nakukubali dada
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
jibu moja nimepa la bei. Je maji hayatajitenga na tunda.
@cookwithmsoo
@cookwithmsoo 3 жыл бұрын
Such an informative guide- this new series is Everything sis. Keep up the good work dear alafu naangalia tu hio maende mate yananindondoka, yameiva poa sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahaha...unapenda maembe eeh? Thanls dear,for always supporting.. Did you check ur dm?
@cookwithmsoo
@cookwithmsoo 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly maembe na mimi tuko inseparable.. I'll check my dm today been sooo busy this week
@marybrison5504
@marybrison5504 11 ай бұрын
blessed
@ShamimHaroub-r9b
@ShamimHaroub-r9b 8 ай бұрын
Nataman sana dada angu tatizo mtaji tu,mtaji sio matunda tu hata friji na brenda pia mtaji
@HappyJoellwaga-if9gz
@HappyJoellwaga-if9gz 3 ай бұрын
Nmependa saaana mafunzo yako ubarikiwe saana
@renaldamelchiardy1032
@renaldamelchiardy1032 3 жыл бұрын
Asante mamy vitu vyako vinaeleweka kwakweli
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 8 ай бұрын
Asante dada kwa mafundisho naomba uniambie nitumie nini?ili juice yangu iwe na radha nzuri.please
@theresiamhina9714
@theresiamhina9714 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzuri
@carolainenyakundi3316
@carolainenyakundi3316 3 жыл бұрын
Asante Sana dada barikiwa 🙏
@katherinemoroni9591
@katherinemoroni9591 3 жыл бұрын
Asante sana kwa video, nimejifunza mengi sana sanaaaa
@shakilashakila5142
@shakilashakila5142 2 жыл бұрын
Asante Sana Kwa somo,nimependa sana
@JeremieManirambona-mw6nl
@JeremieManirambona-mw6nl 8 күн бұрын
Salama asante sana rada nini sielewi niko burundi
@NanceUlomi
@NanceUlomi 5 ай бұрын
Shukran
@Melosa-r6h
@Melosa-r6h 5 ай бұрын
Santee sana nimejifunza vingi
@annaanthony2850
@annaanthony2850 Жыл бұрын
@joycepeterwilliam2143
@joycepeterwilliam2143 Жыл бұрын
Ahsante kwa somo dear
@ShamaimaHashim
@ShamaimaHashim 8 ай бұрын
Nazipataje izo crass
@lindamlaki8103
@lindamlaki8103 3 жыл бұрын
Umesema kweli dear mazingatio uliyosema ni sahihi kabisaa asante my.hivi nikitaka kukutana nawe uko na nafasi hiyo?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Inawezekana dear,ni mipango tu
@mbonihankuyelissa6931
@mbonihankuyelissa6931 3 жыл бұрын
Asante sanaa dada
@NuhuLyara
@NuhuLyara 7 ай бұрын
vifaa gani naweza kuandaa vya kuuzia juice ambayo tayar ime andaliwa madam msaada please ?
@shidalikenge1085
@shidalikenge1085 3 жыл бұрын
Mashallah 😍😍😍
@JennyJocktan-gl2ps
@JennyJocktan-gl2ps 9 ай бұрын
Samahani dada unaweza kunionyesha radha unazoweza kutumia kweny juice ili iwe tamu zaidi
@elizabethjulius651
@elizabethjulius651 2 жыл бұрын
Kwa wale wanaouza sh 500.....kuna glass za 250mls, zinaitwa glass bomba, lita 1 zinatoka glass 8
@twalibiddi3639
@twalibiddi3639 2 жыл бұрын
Ipo wap nabei gn
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Navipataje na wap
@LukaliMackline
@LukaliMackline 6 ай бұрын
Hesabu gani hizo ni glass nne
@corneliadamas6547
@corneliadamas6547 3 ай бұрын
Sorry hapo tumedanganyana, glass ya 250mls kwa Lita 1 huwezi kupata glass 8 hyo hesabu ya wapi? Coz 500mls ni nusu Lita how comes kwenye Lita 1 upate glass 8?
@BrendaJuddy
@BrendaJuddy 4 ай бұрын
Sio lazma kuweka tangawizi ? Na limao?
@mkamirachel9006
@mkamirachel9006 2 ай бұрын
Mbn radha hujatwambia bby
@glorylymo958
@glorylymo958 2 жыл бұрын
Axante dear
@kautharibrahim9691
@kautharibrahim9691 3 жыл бұрын
Asante sn
@ibraabuemu9231
@ibraabuemu9231 3 жыл бұрын
Thanks a lot
@mercymsupa1624
@mercymsupa1624 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️💯
@stellakapwapwa9550
@stellakapwapwa9550 Жыл бұрын
Asante my 🥰
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
🤗
@tinaedward2198
@tinaedward2198 Жыл бұрын
Hongera San mdada
@shineyourlifechannel.6753
@shineyourlifechannel.6753 Жыл бұрын
Hiyo glass y juice unauza kwa sh ngap kila glass
@mariajuma8994
@mariajuma8994 Жыл бұрын
Namba yako ya simu tafadhari
@Dizzolee-tz
@Dizzolee-tz 6 ай бұрын
Nampango wa kuuza juisi na kilacku nafatilia mafunzo yako napenda sana coz yanaeleweka sana mafunz yako
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 6 ай бұрын
MashaAllah 😘 nakuombea uanze rasmi,usfkirie sana,Anza tu,
@Dizzolee-tz
@Dizzolee-tz 6 ай бұрын
Ccta kunamtu alnambia kwamb biashara ya juic sio yakutegemea sana coz wakati wa masika wateja upungua naomb ushauli ccta
@mariammanoni4531
@mariammanoni4531 3 жыл бұрын
Asante dada naomba namba ako
@habibarajabkiriwacho5921
@habibarajabkiriwacho5921 3 жыл бұрын
shukran ukhty kwa ushauri wako
@CollinsMafuwe
@CollinsMafuwe 11 ай бұрын
Juice nzuri nimependa
@marthajoseph3297
@marthajoseph3297 3 жыл бұрын
Napenda mafunzo yako
@LovenessAnisia
@LovenessAnisia Жыл бұрын
Me nataka kufungua biashala yamatunda nashukulu kwa mafunzo
@LovenessAnisia
@LovenessAnisia Жыл бұрын
Naomba pia namba yako ili uzid kunifunza
@happyfrances8854
@happyfrances8854 3 жыл бұрын
Kama natumia barafu inakuwaje??
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
dada Glass nauzaje napenda sana kufanya biashara ya juice. Naomba namba yako ya simu.
@rahmaomari5544
@rahmaomari5544 2 жыл бұрын
Dada me naomb nmba yakoo nikutafute nashida
@annaanthony2850
@annaanthony2850 6 ай бұрын
Shukran
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Жыл бұрын
@bernadethansumba5568
@bernadethansumba5568 3 жыл бұрын
Shukran
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Karibu dear
@maliyalupogo6388
@maliyalupogo6388 2 жыл бұрын
Ongera sana
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 188 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 119 МЛН
KAZI NI KAZI | Msomi wa chuo kikuu aliyeamua kuuza matunda
24:29
BAADA YA KUITAZAMA RECIPE HII UTATENGEZA TU /TAMU AJABU / TAJIRI'S KITCHEN
5:55
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 30 М.
JUISI MIX AINA 4.. 4 SUMMER JUICES  @FoodloversTz
5:31
Foodlovers Tz
Рет қаралды 85 М.
Jinsi Ya Kununua Blenda?
7:54
Cities & Flavors
Рет қаралды 43 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН