KESI YA MAKONDA: MAPYA YAIBUKA, JAMUHURI WAWEKA KIGINGI, WAKILI AELEZEA..

  Рет қаралды 24,463

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@janekichonge4957
@janekichonge4957 2 жыл бұрын
Mna muda WA kupoteza nyinyi watanzania fanyeni KAZI hacheni visasi mtakufa masikini
@sarahmwansile6007
@sarahmwansile6007 2 жыл бұрын
Mmeona mnavyo lazimisha kesi ,hata mungu hapendi
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 2 жыл бұрын
Acheni wivu,mtu kafanya kazi kama kijana mzalendo,pongezi kwa selikari
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 жыл бұрын
Fanyeni kaz,acheeni mambo ya kipuuzi,
@jaffarichimbuvu9409
@jaffarichimbuvu9409 2 жыл бұрын
Amna chochote mnatupotezea bando tu,pumbavuu
@mwanaharusisaidi6889
@mwanaharusisaidi6889 2 жыл бұрын
sio ndugu wala rafiki wanayomsema vibaya makinda wakapimwe akili maana kesi yenyewe haina mashiko kuwashinda kimaisha pambaneni siovisasi acheni kupotezeana muda mnaacha kuhudumia wananchi mahosipitarini michango shuleni imezidi hizo ndio vitu vyakushugulikia
@alphadreammedia
@alphadreammedia 2 жыл бұрын
Mmekwama aibuuu🤣🤣🤣
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 2 жыл бұрын
ni hivi shauli hilo halina mashiko makonda anahaki acheni jaja
@Baba-JJ
@Baba-JJ 2 жыл бұрын
Hizi ndo zile sheria walizokuwa wamejitungia wenyewe kina Makonda. Yaani kama unaona kuna mtu anaonewa na hajui sheria, huwezi kwenda kumfungulia kesi mwonezi kwasababu wewe sio unayeonewa. Sheria ya kishetani kabisa yaani. Eti Kubenea hana maslahi na hii kesi simply yeye sio mwanafamilia wa clouds kwahiyo kama ni kesi wakafungue clouds, sheria gani hiyo ya kitumwa.
@nipautago8574
@nipautago8574 2 жыл бұрын
Chuki binafsi zinamsumbua kubenea! Huko kupotezeana mda
@stanleykitika2129
@stanleykitika2129 2 жыл бұрын
Ngojaa.aki.ifanyekaziyake
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 2 жыл бұрын
Mnapoteza mda Mungu atamcmamia hamtaweza.
@janekichonge4957
@janekichonge4957 2 жыл бұрын
Hacheni visasi tafuta pesa muda wote alikuwa wapi kutomshitaki hiyo imeisha expire
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Makonda babalau.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Chuki zenu zitawauwa. Kama kufukuwa makaburi tuanze serikali ya awamu ya nne, wakati wakina Manji walipewa fedha za Watanzania na kuwagawia kwa kuwapunja Kama zawo. Wauza madawa ya kulevya kwa sasa ni mawaziri. Jamani oneni aibu. Watanzania sio wajinga. Wana macho. Mukianza serikali za visasi, mukiiondoka madarakani, watoto zenu wataanza kukamatwa.
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
Kwani hii imefunguliwa na serikali au mtu binafsi
@neemaisrael688
@neemaisrael688 2 жыл бұрын
Kubenea😂😂😂
@mwanaharusisaidi6889
@mwanaharusisaidi6889 2 жыл бұрын
Kwani tunajua awamu ya sita ya visasi tutakutana 25 tunataka kubadili gamba
@musabarnabas7628
@musabarnabas7628 2 жыл бұрын
Kesi inasikilizwa katika viunga vya mahakama?
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Kubenea au kuna mtu nyuma yake?
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 жыл бұрын
makonda lazima ashughulikiwe ipasavyo kafanya uovu mwingi mno bila kuchukuliwa hatua za kisheria akilindwa na mwenda zake,malipo ni hapahapa kwa duniani.
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 2 жыл бұрын
Kafanya maovu gani hebu tuambie
@marryjohn6855
@marryjohn6855 2 жыл бұрын
Siuseme hayo maovu aliyofanya mbona hatujayasikia mahakamani
@simonnick1242
@simonnick1242 2 жыл бұрын
Pumbavu alimbaka bibi yako?
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Ulisikia wapi makosa 2017 ifunguliwe kesi 2022 unaambiwa hata check unaambiwa isizidi miezi 6 ugomvi huwa hauzidi masaa ila kwa Tanzania hata miaka 100 itafufuliwa kesi baada ya mshitaka kuhonga kuanzia mashahidi wa uwongo mpaka jaji wa kusimamia kesi kama tulivyo ona kwa Ole Sabaya kesi yake
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 жыл бұрын
Sipingani na unachokiongea ila napingana na makosa ya sabaya,mkuu sabaya alikuwa kiongozi jambazi kama utakumbuka ktk ushahidi wake alishawahi kusema mbele ya mahakama kuwa nikweli alikwenda kufanya kazi kwa mroso ambayo alikuwa aneagizwa na hayati magufuli na philipo mpango akiwa waziri wa fedha,je arusha hakuna mkuu wa wilaya? hakuna mkuu wa mkoa na wakurugenzi?kitendo cha kutoka wilaya ya hai na kwenda arusha dc kufanya kz sehemu iliyo na mtu mwenye cheo kama chake ule ni uhuni mtupu,yaliyomkuta sabaya anastahili kabisa kile upandacho leo ndio matokeo ya utakachovuna kesho.
@chrissfordsadickh8280
@chrissfordsadickh8280 2 жыл бұрын
Jinai haina expire, hata miaka 1000.....kwan kenya waliishtaki UK kudai fidia ya dhulma za ukolon, Kenya ilipata uhuru lin
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Tuko busy na MAISHA acheni visasi mumble na mazuri aliyoyafanya Makonda kubenea Unaroho ya visasi Unaroho ya kixhetwani utakuwa mchawi hivi roho mbaya itakusaidia nini chefuu 😏😏😏
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Wehamnazo kweli
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Kote Kukwepa Kwenda Vijijini Watu Upenda Kuonekana Wakiwa Mijini2 Basi
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
Dada anapenda kweli "VIUNGA VYA MAHAKAMA HII'. Maana yake nini? Kwani ukisema tu MAHAKAMANI HAPA AU KATIKA MAHAKAMA HII utakufa? ☹️
@adeeltz9111
@adeeltz9111 2 жыл бұрын
ppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
@adeeltz9111
@adeeltz9111 2 жыл бұрын
ppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 2 жыл бұрын
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeèe
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim 2 жыл бұрын
@@adeeltz9111 kidogo kiswahili kinampiga chenga.
@richardmasanja6163
@richardmasanja6163 2 жыл бұрын
Acheni uhasama wa kipuuzi jamn tanzania tunataka amani Mama raisi kuwa makini wanatugawa hawa jaman makonda hana hatia hapa waache siasa hawajamaa
@linuskyando4155
@linuskyando4155 2 жыл бұрын
KWA HIYO MAKONDA KI STORES ALIFANYA UHASAMA WA KISTARABU???
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 2 жыл бұрын
No siyo visasi Makonda siyo kwamba wanapenda visasi aliyesababisha ni serikali na Rais aliyetangulia mbele za haki hao akina Makonda ni wateule wa Rais aliyetangulia mbele za haki Makonda ana kesi ya kujibu japo aliyekuwa anamtuma alikuwa na kinga Hayo ni matatizo ya kikatiba ndiyo maana watanzania wanataka katiba mpya ili mtu akitumia madaraka vibaya kuonea raia awajibishwe na katiba kisheria
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 жыл бұрын
Sawa kabisa ww unaupiga mwingi sio huyu anayejiita galax
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Kibenea anataka kiki na kujulikana. Kisiasa,nonsense. Makonda humuwezi
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 жыл бұрын
Makondo hana chake hapa kwenye kiwanja hachomoki kwa kubenea hatoki mjomba
@bethjohn928
@bethjohn928 2 жыл бұрын
Yote haya ya Nini watu tupo busy kupambana na Maisha nyie mnakazi yakuvurugiana Maisha yaliopita yamepita Kila mtu atAjibu anayoyatenda kwa mola wake
@raymond5175
@raymond5175 2 жыл бұрын
Malipo hapahapa duniani
@omariramadhani9990
@omariramadhani9990 2 жыл бұрын
Kumbe ni kesi ya jamhuri na kubenea
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Atamwaga mboga kama sabaya
@edwardlutema6006
@edwardlutema6006 2 жыл бұрын
Mme koswa kazi nyie
@bethjohn928
@bethjohn928 2 жыл бұрын
Kabisa Yani Kuna vitu vinatia aibu kah
@stanleykitika2129
@stanleykitika2129 2 жыл бұрын
Ukobizeniwewe
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
Funga mpoteza watu
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 2 жыл бұрын
Alimpoteza nani au unafata tu mkumbo na chuki zako
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 жыл бұрын
Makonda ashughulikiwe
@saimonkaswahilikaswahili639
@saimonkaswahilikaswahili639 2 жыл бұрын
Fala wewe
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 жыл бұрын
@@saimonkaswahilikaswahili639 fala mwenyewe
@godwinkileo50
@godwinkileo50 2 жыл бұрын
Makonda Hana tofauti na Sabaya tofauti Yao nimajina tuu
@simonnick1242
@simonnick1242 2 жыл бұрын
Keajina yesu hashughulikiwi mtu acheni kutuchefua mshindwe na mregeeeee
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,3 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 24 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Makontena ya Makonda hayauziki
1:27
Azam TV
Рет қаралды 352
KUNA MCHAGA MBISHI KAJENGA KWENYE ZIWA MANYARA PEKE YAKE 😳
7:41
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 38 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,3 МЛН