KIBOKO YA WACHAWI Amtaja Mwamposa Nabii Mkuu Geordavie Na Kuhan Musa | Pesa Wanagawana Na Viongozi

  Рет қаралды 27,447

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

#kibokoyawachawi

Пікірлер: 196
@benotayari5970
@benotayari5970 24 күн бұрын
Sasa mwamba wewe unalalamika nini? Umeshaondoka Tanzania fanya mambo yako huko uliko kila cku maneno maneno kinakuuma nini? Sawa wenye nchi wamekukataaa
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 22 күн бұрын
Nchi ipi imemkataa ni mchawi mmoja tu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 22 күн бұрын
Mtu mmoja anasema simtaki mtu fulani ni nchi imesema Tanzania wala Africa haipo hivyo
@prophetjoelymairaministrie1778
@prophetjoelymairaministrie1778 24 күн бұрын
Tatizo lako kiboko ni kusema etiiii hizo laki tano tano za wa Tz umezimis nilijua tu utakuja kulia hawa ndio Wabongo kwani umeshasema ?? Na badooo
@marygregory7566
@marygregory7566 24 күн бұрын
Unajua sisi watanzania hatunaga tabia za kusutana kiivyo nakuomba Kaa Congo kwenu na uache kufatilia nchi yetu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 22 күн бұрын
Nenda mahakamani sikumoja utajua kama hawasutani wangempeleka mahakamani angeyasema sasa ukimyima mtu kusema sehemu inayostahili atasema hatasehemu ambayo haistahili
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 18 күн бұрын
​@@MfiriFulgensimfate
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 24 күн бұрын
Kaa kimya. Tatizo ulianza kujisifu kwa kuwadanganya wa Tz. Basi ebdelea na shughuli zako huko.
@194summer
@194summer 24 күн бұрын
Wala hauna jina kenge wewe
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 24 күн бұрын
Wewe huna akili kabisa yani wewe unasema kiboko alafu unalalamika tumia ukiboko wako kuwanyosha waliokunyosha Sasa umeshindwa kuwanyosha bc wewe ni muongo sio kiboko ya wachawi wewe ni tapeli
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka 24 күн бұрын
Unazingua mdogo wangu ukija tz tunakuchapa
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 24 күн бұрын
Kwanini unaumia? Si uendelee kuhubiri huko kwenu kama tunakuhitaj tukufuate?
@KhalfanNassoro-i9g
@KhalfanNassoro-i9g 24 күн бұрын
Kweli ww tapeli kwanza huna jina mshamba wewe
@Gospo_beats
@Gospo_beats 24 күн бұрын
Wachawi wamekunyoosha😁
@OS-pf6op
@OS-pf6op 18 күн бұрын
😂
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 24 күн бұрын
Ole wenu watumishi mnaopambania pesa kuliko ufalme wa Mungu
@TeloAwor
@TeloAwor 24 күн бұрын
Kinakuuma nini? Jaribu kudanganya kongo km hawajakupiga sumu. Unabore na kulalamika kwako. Tz utanisikia tu. Unafikiri kuna mtu atakuonea huruma. We pambana na hali yako acha kuchonga. Km Kongo kungekuwa kuzuri usingelalamika Hivyo. Wafukuzwe wapelekwe wapi na ni Tz.kafie mbali. Si umesema watz ni wapumbafu sasa unataka nini unatia kuchefu chafu. Tuache na nchi yetu kaa kwenu
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 24 күн бұрын
​@@TeloAworTz ndoimfanya kapata pesa ya kujichubuwa sasaiv anatutukana mshamba kwrli
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 24 күн бұрын
Wachawi wamejibu MAPIGO, wamekufanya USIPATE USINGIZI Kila siku unaizungumzia LAKI TANO😂😂😂😂😂Na bado.....kudadadek
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 22 күн бұрын
Njoo uling'oe kanisa lako ubebe umefukuzwa kwakuwa wewe si mtanzania ni mkongo na taperi na hata hao unaowasema ni mataperi wenzio ila nchi imewasitiri kwakuwa ni kwao ila MUNGU yeye sijui kama anawajua kama watumishi wake
@marymwaya9685
@marymwaya9685 24 күн бұрын
Huyu mshungulikieni huyu huko huko kwao mjinga mkubwa huyu wewe usicheze na tanzania
@petersulle1937
@petersulle1937 22 күн бұрын
Kwani wachawi wako Tanzania tu, si uende nchi nyingine? Usitupigie kelele bhana.
@alimondbenson1751
@alimondbenson1751 20 күн бұрын
Bado hujasemaa Yaani Mpaka Usemeee Nabii Wa Uongo Mkubwa wee na Wenzako tushawatambua kwa Matunda yao wanawapata wajinga wenzao waliokosa maalifa. Wanaofuata Miujiza Kuliko Kumfata Yesu.
@t.a.gigalulabypastorjacobs3047
@t.a.gigalulabypastorjacobs3047 24 күн бұрын
Sasa hapo unamuuliza nani?
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 22 күн бұрын
Kama kweli ww ni mtumishi wa Mungu mwachie Mungu wako awashughulikie.ukijitetea saana inaonekana una mungu mdhaifu ndio maana umeamua kujilinda mwenyewe.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 24 күн бұрын
Nimefatilia comment za wadau nimegundua watu hawakuelewi...wanakukomalianww ni mpigaji lkn wanasahau serikali ndio wapigaji namba moja wauza bandali pia wanasahau viongoz wa dini na miujiza yao ya kisenge kuna huyu anautwa mwamposa anashika wamama tumbo na viuno
@AmirAbdallah-pr4uq
@AmirAbdallah-pr4uq 24 күн бұрын
Achana na nchi yetu kaka tuache usije tena bongo mshamba wewe
@kolumanialoyce4623
@kolumanialoyce4623 24 күн бұрын
acha kuropoka ropoka kafungue kanisa goma
@AshrafuJonny-sz4gs
@AshrafuJonny-sz4gs 24 күн бұрын
Hakuna manabii kwasas hawa wanao jitokeza nimatapelitu
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 24 күн бұрын
Hayo ndio matokeo yake Waganga wa kienyeji wapiga ramli chonganishi wanapelekwa mahakamani huyu clip zake nyingi zipo walimuachia hakupelekwa mahakamani sasa msikilizeni eti yeye anakanusha.Huyu alistahili ashtakiwe ahukumiwe kwa zile clips zake za capital redio na ule udhalilishaji wa kina mama na shanga na mengineyo halafu ndio afukuzwe. Watanzania wanashtakiwa kwa ramli chonganishi huyu walimwachia sasa analeta mdomo mrefu. Hashukuru kwa hilo. Hivi kuna binadamu anaweza kufufua mtu ? Kama si uongo na utapeli ni nini. Eti yeye ni nabii wa kujichomeka wale manabii wa ukweli walichaji pesa? Nabii hahubiri injili wala Zaburi wala maisha ya Yesu yeye anahubiri uchonganishi ramli na pesa !!!
@ThabitiKondo
@ThabitiKondo 24 күн бұрын
We kionngoz wako nani wakufanya ivyo, watu wanalawiti, hawafungwi, mtu anataperi tuu muache ale wajinga wake
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 24 күн бұрын
Peleka ujinga uko kwani si nitapeli ni mwizi ni ajent washetani mwizi mkubwa fanya vile unataka
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 23 күн бұрын
Ni bora uibiwe na ndugu yako kuliko uibiwe na mtoto wa jiran na badala ya kunyamaza awe anajisifu na kukashifu. tatizo lake alijipa uhuru wa urai wakat sio raia
@glorymasonga
@glorymasonga 19 күн бұрын
Hatukutaki. Baki kwenu kongo ombea nchi yako
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 24 күн бұрын
ningefurah kuona unanyamaza tu baba ang..ucwe unajibu acha MUNGU akujibie barikiwa sana
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 24 күн бұрын
Laki tank za viingilio zimeisha sasa unahaha!!!, ukirudi bongo kichapo kinakuhusu, la sivyo utoe NDOGO ndio tukupatie kibali cha kuhubir, maana utakua nabii wa kwanz asie na marinda, je uko tayari???? Nijibu saaiii!!!!.
@DuduMagau-sm3pd
@DuduMagau-sm3pd 22 күн бұрын
SAWA SHERIA NA DIN UNAJUA, BAKI KWENU WAACHE WA TZ NA TZ YAO
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 24 күн бұрын
Weee huna jipya tumekugundua huna huduma ndani yako ndio maana unabwabwaja
@David-uhayi
@David-uhayi 22 күн бұрын
Serkali ya wapi ukuhukumu,aina muda wakupogeza kwako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kaaa huku huku lushi DRC tutapeli wengine
@ustawiwetu
@ustawiwetu 24 күн бұрын
Pole Tanzania tamu, omba msamaha wakurudishe, ila ukileta ujuaji hutarudi na utaisikia kwenye radio
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 22 күн бұрын
Aje wapi tenaaaa??akae hukohukooo
@dorambaga2667
@dorambaga2667 21 күн бұрын
Aje kwenye nchi ya nani, , huyu mpuuzi
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 19 күн бұрын
Arudi nchi gani TZ hebu futa hiyo wakurudishwa yupi alivyo najeuri na mdomo ka mwanamke kutwa anachamba
@PaulKaisi
@PaulKaisi 24 күн бұрын
Pole sana pambana na hali yako baba
@bonyngoyindengoyinde6139
@bonyngoyindengoyinde6139 21 күн бұрын
Wawafukuze waende wap!?😂😂 Sikliza we mhuni, Kaa kwenu Congo uku unazingua wachawi wamekusanua😂😂
@dandy_unique
@dandy_unique 23 күн бұрын
Ubaguzi tu hakuna lolote
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 22 күн бұрын
Huku tz ni Bure wanaodhaniwa wanahekima, hamna kitu, elimu ya wengi ni masingizio kwa wasio na kosa,
@SMEDIA298
@SMEDIA298 24 күн бұрын
TAPELI TABELI, TAPEL Hatukuelewi
@RehemaMtono
@RehemaMtono 24 күн бұрын
Kaa hukohuko kwenu
@ombendaud5938
@ombendaud5938 19 күн бұрын
Mbarikiwa Mwakipesile hachukui fedha.Kaa huko huko KWENU kula za wa huko huko Congo
@allymanyika3502
@allymanyika3502 22 күн бұрын
Kweli sasa nimeamini umemiss laki tano tano za watanzania wapumbavu kwahiyo zimeanza kukuishia unatamani urudi tena kuja kuwapiga😅
@shabanikitula645
@shabanikitula645 24 күн бұрын
Ujumbe Kwa Waziri Masauni kweli kiboko ya wachawi no jeuri
@MichaelPaulsengele
@MichaelPaulsengele 24 күн бұрын
Hadi bwana yesu anawashangaa watumishi kwamalumbano mlionayo
@rambostalon2888
@rambostalon2888 19 күн бұрын
Acha kulalamika
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 24 күн бұрын
Hahahahahaha daah hela za bongo zinakuuma eee dah watanzania nan katuloga?
@194summer
@194summer 24 күн бұрын
Pumbafu ujenge ni kwenu kwa hauna akili ....pesa ulio iba huku ndio unajengea huko inaeleka au vp!mzee wa kucheza na akili za watu wewe kwangu ni kama mtoto mdogo anae jifinza uongo
@kusinikwetu9058
@kusinikwetu9058 24 күн бұрын
Tuache bwana wewe,mbona umeumia kuliko waumini wako 😂
@allylwambo-ol7qw
@allylwambo-ol7qw 24 күн бұрын
uho ni uchonganishi ushagundua umekosea unahanza kujitetea kumbe tanzania ilikua inakulips
@anandumishoo6840
@anandumishoo6840 23 күн бұрын
Wewe Acha kulalamika, WEWEEEEE NI MWIZI WA KIROO ACHA IZO MBAYA, UTAENDA KUCHWA MOTO. KAA KMYA.
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 22 күн бұрын
Hakuna muda wa kuhojiana umeleta shida tupa njeeeeeee we siumesema umeenda congo umenenepa sasa unalalamika nini
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 19 күн бұрын
😂😂😂 my
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 24 күн бұрын
Kwanza mchungaji mwenyewe anatumia mkorogo😂😂😂
@mangashajunior242
@mangashajunior242 24 күн бұрын
Tapeli mkubwa mwizi njoo tena TZ tukuchape fimbo za makalio ukae vizuri...
@SamwelLotuno-xo1jy
@SamwelLotuno-xo1jy 24 күн бұрын
Umeishiwae kaa kimya washujaa hawaropokagi kama umeitwa na Yesu kristo kaa kimya
@dignanjau692
@dignanjau692 23 күн бұрын
Kwa Nini usitulie Congo sisi tumechoka bhana Unatucheka na kukuzomea mmh kaa Congo
@ppcvk-f8x
@ppcvk-f8x 24 күн бұрын
Wewe ndo unatetea nonsense, unakumbatia upumbavu . Kwa Mungu hakuna mtumishi mwenye jina kubwa.
@shabanikhalfan2647
@shabanikhalfan2647 21 күн бұрын
Mungu hana mtumi usikia mtu anajiita mtumishi wa Mungu kimbia huyo nitapeli
@berthabarozi
@berthabarozi 23 күн бұрын
Inaonekana umeumia!!!
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 24 күн бұрын
Pambana na Hali yako Anza ukulasa mppya nchi siyako Atutaki udanganyifu
@zakeoleonard440
@zakeoleonard440 24 күн бұрын
Sasa analialia nini, nae si akagawane na viongozi wake wa Congo.
@williamsiame9616
@williamsiame9616 19 күн бұрын
Poleeeeeeeeee 😂😂😂😂
@matukutajuma156
@matukutajuma156 24 күн бұрын
ROHO IMEMUUMA SANA KUONDOLEWA TZ
@RuthSenkoro
@RuthSenkoro 24 күн бұрын
Ya mkosaji hayooo
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 24 күн бұрын
Nenda kwenu wwee tapel kavae glopes zako uko
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 21 күн бұрын
Bora wagawane wao kuliko wewe,sasa unaumia nini wakati umeshafukuzwa??.inaonesha bado unaipenda TZ,sasa kwa taarifa yako hatukutaki,Acha kelele tulia kwenye Congo.
@The__Lords333
@The__Lords333 24 күн бұрын
Wewe sio raia ulikua mkimbizi,
@anathaliamwangamila3296
@anathaliamwangamila3296 23 күн бұрын
Tumekukomesha unang'ang'ania kwani we Tanzania nchi yako ? Imekuuma sana 😂😂😂😂😂
@addymsola4625
@addymsola4625 24 күн бұрын
Kumbe umeondoka huku haupendi mbona unasema kwenu kuna maisha afu unatoka mapovu
@CrecenciaChisangula
@CrecenciaChisangula 24 күн бұрын
Acha maneno mingi tulia kwenu
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 23 күн бұрын
hao wez wengine wanaiba kwao sio mbaya sana kwa sabab wanatumia kwao
@marymwaya9685
@marymwaya9685 24 күн бұрын
Achana na tanzania wewe ongelea congo yako wahubiri wetu hawakuhusu mbona unaumia sana chukua za wakongo huko kwani hawana pesa huko
@PascalHermas-gg5dx
@PascalHermas-gg5dx 24 күн бұрын
Ww shoga tu tena yule aliyekubuhu,,jinsi unavyoongea tu unaonekana shoga la kimataifa,,acha ushoga mrudie Mungu
@SMEDIA298
@SMEDIA298 24 күн бұрын
SIO MATAPELI KAMA WEWE ALAFU HAPA NI KWAO😊😊😊
@bitecastory2137
@bitecastory2137 22 күн бұрын
Sasa ww inakuhusu nn msenge ww jmn kumbe unaumia sana kuondoka kwenye nchi yetu pole sana
@naomicharles5444
@naomicharles5444 24 күн бұрын
We ni mwizi kama wezi wengine
@bitecastory2137
@bitecastory2137 22 күн бұрын
Huna rolotee usitupigie kelele kenge ww tuache na nchi yetu na mkeo mjinga alivyo ingia kwa vyombo vya hbr kukuombea msamaha akome na yy akienderea atafirwa kenge ww
@abubakarnyerere5263
@abubakarnyerere5263 22 күн бұрын
Wapiga ramli kwa kutumia jina la yesu 😂😂😂😂😂
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 24 күн бұрын
Huyu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisaikolojia baada kufukuzwa haya yote ni kutapatapa tu pole yake
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 24 күн бұрын
Umeshaondoka endelea na HUDUMA Yako vita ya maneno Sio nzuri
@lewismpangala927
@lewismpangala927 24 күн бұрын
Kwendraa kwenu mapua
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 24 күн бұрын
Tapeli mkubwa wewe unajitetea bure .Nenda zako huna hoja
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 24 күн бұрын
Kwani shida Nini we si ufanye mahubiri yako Kongo hapa marufuku kuhubiri injiri iliyoghoshiwa ya kichawi peleke Kongo uko mkorogo
@Babyvence
@Babyvence 14 күн бұрын
Ungekua mtumishi wa kweli Hadi leo ungekua Tanzania ila wewe sio mtumishi wa kweli na ndio sababu umekuja kama kimbunga na kutoweka .usijizime data unajua unachokifanya na ndio maana ulikuwa unadhihaki watanzania tena ukasema hatuna akili sasa roho inauma Nini, Kaa kwenu tuache na Tanzania yetu.
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 22 күн бұрын
Sasa si ukae Kwenu uwaombee wakongo wenzio wewe si umeinuliwa na mungu???😂😂😂
@AnnaAmon-e6g
@AnnaAmon-e6g 22 күн бұрын
Wasamehe baba watabaki na rohi zao mbaya
@kisrahcogar8538
@kisrahcogar8538 22 күн бұрын
Ss wafukuzwe waende wap wakat tz ni kwao 😂😂🤣🤣 ww mlugaluga wa kuja ndio mana umetimuliwa urudi kwenu huko 😂
@ScentsationalHeven
@ScentsationalHeven 23 күн бұрын
Wakristo amkeni hio sio dini hicho ni kichaka chauchumi watu wanawachuma pesa hata kuchunguza hamtaki? Angalieni viongozi wa kiislam hata mtaani kwako unapo kaa alivyo na hali ngum hata kula sadaka za waumini anaogopa siku ya qiyama amkeni njooni katika uislam la sivyo mtaibiwa sana huo ni trela muvi bado
@SaidMkome
@SaidMkome 24 күн бұрын
Wwe tapeli tyuu kma wwe kwani unafoc uku kwenu c unakwenu wenzio ao unao wataja wanatapeli kwako🏃🏃🏃🏃
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 5 күн бұрын
Shida nini? Jenga huko kwenu congo kwani hakuna watu? Kama unabisha rudi
@AmirAbdallah-pr4uq
@AmirAbdallah-pr4uq 24 күн бұрын
Wahubiri wetu ni wazawa wewe mshamba rudi kwenu Kolwezi na likasi mbuzi mayi
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 23 күн бұрын
Ushatimuliwa kaa huko kwenu utulizane
@Babyvence
@Babyvence 14 күн бұрын
Acha kutapa tapa umetukana sana watanzania Kaa huko😢 kwenu hatukutaki. Kwanza muhubiri gani mwenye matusi kama wewe
@meckmussa1840
@meckmussa1840 22 күн бұрын
Toka
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 24 күн бұрын
Wewe baki kwenu na mdomo wako mchafu mbwa ww, unataka wenye akili timamu walielewe wakati mwenyewe akili huna.
@jumahili8121
@jumahili8121 24 күн бұрын
Hata kama kanisa ulijenga kwa hela yako. Kwa nini uweke kiingilio? Kwani huko ndani wanacheza simba na yanga?
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 24 күн бұрын
Kwanza mchungaji mwenyewe anatumia mkorogo😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 23 күн бұрын
Pesa imekwisha hata mkorogo hawezi kununua
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 22 күн бұрын
kwanini munamtusi ameuwa mtu kwanini nyinyi wa Tanzania una ubagozi manake mkimbizi sio mtu mbona watanzania wamejaa congo mbona atuwabaguwi , munajivunia ka Tanzania utafikiri ni ka ichi kahajabu Mungu awasamee
@TzMose
@TzMose 23 күн бұрын
Uyu kashakuwa wakwetu sisi ndio maana anajitetea ila anatakiwa awe mnyenyekevu ila kaumizwa sana
@NazaelElias-hu7ow
@NazaelElias-hu7ow 23 күн бұрын
Mgombanishi huyo anataka kutuchonganisha Watanzania
@maryamos7663
@maryamos7663 22 күн бұрын
Hubiri huko kwenu ya huku yameshindikana.
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 22 күн бұрын
Video Crip zako ndio zinazibitisha utapeli wako.
@erickmahay3411
@erickmahay3411 24 күн бұрын
Kafie mbali
@dianaleo6067
@dianaleo6067 24 күн бұрын
Funga domo unaboa na kejeli zako. Mbona unalalamika sana? Au huko hupati laki 5, 5?? Umezimisi eehh😂😂😂😂. Mtumishi gani mwenye kejeli na eti unajitapa haya pambana na gulumbashi lako huko usikanyage huku tz tumeridhika na makanisa yetu hatukuhitaji.
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 22 күн бұрын
Acha utaperi wa kutumia jina la mungu
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 6 МЛН
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 170 М.
Jua Kali Leo Alhamisi Usiku 03-10-2027
20:05
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 4,7 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН