Ahlu Sunna kufurahia kifo cha ahlu twariqa Ni kumkosea heshma Allah C sawa tusifurahieni 🙏🏾 muhim nikumuombea dua Kwa Yale makosa aliyofanya ulimwenguni na kuwaasa wengine wanaofuata njia aliopitia yeye insha-allah
@AjranAlly2 күн бұрын
Nikweli kbsaaaaa hpo shekh aliteleza saaaaaaana kwakweli nimtihani allah atupe mwisho mwema
@Lulualshagri2 күн бұрын
Alifanya Nini kwani
@ABUUALLY-u6x2 күн бұрын
Sifa za wanafiq anapokufa mtu wa kheri wao hushangiriaa na hufurahi ,siku alipokufa mtume s.a.w basi wanaafiq walifurahia sana na kuchekelea 😢 mpka ikapelekea wakatoka hasaa ktk dini 😢 hivi ndivyo vitimbi vya wanaafiq 😢 kwa manaiyoo kushwrekea kifo cha muislamu mwenzako tunakuhesabu wewe ni mnafiq maana kama sio mnafiq kwanni ufurahie msiba wa mwenzio ?😢 Allah anatuonyesha jinsi gni hawa wanaojiita masalafi walivyo kuwa wanafiq 😢
@Chemba67Күн бұрын
Nimeangalia zaidi ya video tano tofauti tofauti zinazozungumzia wasifu wa marhum.........nimeona huyu mshika visemeo amepata tabu sana na hivyo visemeo vingiiiiii alivyovishika , anaonekana ana struggle kutafuta namna bora ya kuvikamata lakini kutokana na wingi wake anajikuta vinapiga makelele kiasi cha kutosikia wakati mwengine kinachozungumzwa.
@SingoMediaКүн бұрын
Ni kweli kabisa
@JailanRamadhan-m6fКүн бұрын
Tafadhal mashekh msiwaite mawahab kwa jina la masalaf waiten mawahab
@BakariBinuriКүн бұрын
She muogope mungu kwani mnagombania vyeo
@JumaSalu-z8i2 күн бұрын
Daa huu ni mtihani mkubwa ivi unawezaje kumwambia mwenzio alietangulia mbele za Hali hata huyo Allah ndiy alivyofundisha
@AbdulswamadHashimКүн бұрын
Sheikh nani ulimsikia akifurahia kifo Cha sheikh muhammad subirini msikie angalau yoyote ndomseme wachamungu watatofautiana laakin akifa mmoja zitabaki duatu elewahivo mzeewetu
@yusuphrashidi-dr1kbКүн бұрын
Hapo ndipo unapokoseaga babu yangu usizungumzie harakati wakati bakwata miaka 61 hospital hakuna mmeuza mali za waislam ndomana walio wengi wanaumizwa na mambo yenu
@allymtito81172 күн бұрын
Allaah akuongoze ww jongo na genge lako
@Lulualshagri2 күн бұрын
Masalafi ni akina nani?
@ibrahimmsabah4402 күн бұрын
Asalam alaikum, wislamu wenzangu hasa salafiina tusimtukane huyu sheikh Jongo wala tumbeze,huo ndio ufahamu wake tumvumilie tu na kuhusu kifo cha sheikh Muhammad Iddi tuhuzunike,tumuombee maghfira na tumuombee pepo ya Allah ila na tusichoke kumuomba Allah awaonyeshe hawa masufi njia ya haki,angalieni mtihani huu eti wanaisomea maiti ya sheikh abu Iddi maulidi,astaghafirullah ni uzushi wa hali ya juu kabisa,Allah awasamehe.
@Kzm-c9u2 күн бұрын
Hata huyu Jongoo akifa tutafurahia Inshaa Allaah
@salmaramadhan27252 күн бұрын
Utaanza wewe kufa kabla YA jongo Na naomba iwe hivyo
@assadyabdull5146Күн бұрын
Weye sio binadam Acha tu kuwa mwislaam bali sio binadam
@HemedSeriousКүн бұрын
Ww uanaharamu wako ata akifa mama Ako na baba Ako shingai unaweza kufurahi😂😂😂
@mekijitiomary8506Күн бұрын
Hata wewe ukifa tutafurahi wewe hutaishi milele duniani hujielewi hatuishi kwa ajili Yako tutaishi kwa mpango wa mwenyezi mungu hovyo kabisa wewe
@SaraSara-i1l2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mungu atusamehe
@أبوفيصل_الحنبلي2 күн бұрын
Kwan Mwamedi Kapambana nn Yeye Alitanfikwa na Abul fadhwil Mpaka akakaa kimyaaa kama Mtoto. Alijitapa kuwa kamsomesha Abul Fadhwil Lakin wapi Akashindw kujib mpka sas ni miaka Mi 5 sasa. Huwez kushindana na Haki.
@arafatiabdullahi2 күн бұрын
Astaghfirullaah😢
@gambigambi7254Күн бұрын
Shehe itakua shule uli 🏃 masndamano yametambulika ktk katiba ni halali unaruhusiwa kwa mujib wa sheria usipoteshe
@AbdallaHassan-gu6fi2 күн бұрын
Waislamu Wa Tanganyika hamna Heshima ya Dini wa nidhamu ya Dini baadhi yenu. Munatukana tuu. WALA HAMJAHITIMU. Kuna Adabu za Kukosoana ktk Uislam. sio hivyo munavyofanya.
@kifandenabil2 күн бұрын
Huyu mwenyewe c ndo amesema anawaagiza malaika huyu au siye😂😂bora IDDI, ALLAH amsamehe makosa yake
@AllySibilaКүн бұрын
Sasa wewe kama huwezi kuwatuma kuwaagiza malaika si wwe jiwe tu. Malaika tunawaagiza tu kama huwezi wwe huna elimu
@kifandenabilКүн бұрын
@AllySibila muogope ALLAH Dunia ni mapito tu kuna kaburi,,,halafu hii mitamdao wanasoma wengi kama huna unakaa kimya.
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Haya sasa watu kama nyie ndio mnalioachwa na huyo mpotevu mwenze alie wekewa tani saba za ardhi leo huo ndio urithi aliowaachia wa matusi unajua kumtukana muisilamu mwenzio hukumu yake ni nn? Wewe tukana t lakini jua kwa kutoa matusi kwako hicho kinywa chako hata ukimuombea dua huyo mzushi mwenzio dua yako haiubaliki
@BakariOmari-tr8cy2 күн бұрын
Huyu jongo ndoo jinga zaid
@SabrinaYasin-q6q2 күн бұрын
Hv ww una din kwel
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Nyie hampo kwaajili ya kuinua dini ya allaah iwe juu bali nyie bakwata ni wapigaji hapo wewe jongo msikiti wako uko chini ya takukuru sasa hv tunaswali na takukuru ndani kwaajili ya upigaji wenu msikiti wenyewe wametanda buibui hamana harakati za elimu
@gambigambi7254Күн бұрын
Nawe hutolinda dunia kashaenda huna uwezo wakufanya chochote usivae joho la mungu umemeosha una chuki na ahlul fitna kabisa
@aishathabit3732Күн бұрын
Yani huyu upolisi wakw umo ndani ya dam . Hata msibani yeye ni kutetea watawala tu. Wenzake wanakufa na wala hapati mazingatio
@HABIBHASSAN-wf5mrКүн бұрын
ETI MASALAFI NN MAANA YAKE ? MTU BADALA UJIITE MUISLAM UNAJIITA SALAFI... YAANI UELEWA NAO ! WAMETAJWA WAPI MASALAFI KWENYE AYA GANI ..TOKA ADAM MPAKA MUHAMMAD MWENYEZIMUNGU ALITUITA WAISLAM..SASA UJIITE SALAFI SI NI MAMBO YA AJABU HAYO ?
@maalimjuma10Күн бұрын
Qur'an yenyewe unaijua?!
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Angalieni misikiti ya sunnah hata ukiwa wa mabati lakini unakuta umejaa wanafunzi watu wasoma dini yao sio nyie mwawatapeli waisilamu kumbe mumevaa ngozi kondoo lakin asili ni chui
@YaziduIddy-j2t2 күн бұрын
Mnasoma dini mnasoma matusi
@AliKhamis-j9z2 күн бұрын
Kwani nawe shehe
@omaryjalyabaggo11132 күн бұрын
Uyu anaechekwa nibora zaidi kuliko hao wanaomcheka ikiwa huyu hakosi kuteleza kwakua ni mwanaadam lakini alivyoviacha ni vikubwa zaidi mbele zake allah subhanahu wataala je ww na mm tukiondoka tutaacha nn??
@hemedahmed30942 күн бұрын
Ayo unayozungumza ni mambo ya ghaib ww umekuwa mjuz wa ghaib kwa maneno yako
@AwaShaban2 күн бұрын
@@hemedahmed3094kweni hao masalafii hawatakufa kikubwa shekhe wetu ametangulia sisi tupo nyuma yety tumuombee kwa mungu ampe kaur thabit kwamema aliyotuachia tuseme Alhamdulilah ao masalafi nao wasubir wakat wao maana hakuna kitakachobaki
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Waganga mumekutana nyie wenyewe sio waadilifu majuzi t wakati yuko hai sheikh wa mkoa wa dsm wa zamani alhad musa alisema walimloga huyu marehemu na kama anabisha watamloga tena asipo acha kumsema sema alhad atamloga nyie
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Wahuni wanapiga makelele ndani ya msikiti kama wako kilabuni wajinga nyie
@JailanRamadhan-m6fКүн бұрын
MAma yako cyo mjinga Kwa kuzin na walevi Alf ukazaliwa wewe? Unadhan hatukujui?
@MasterOil-qm6vw2 күн бұрын
Jambo la mwezi wa ramadhani na jambo la arafa Huo ndio upotevu aliowaachia wajinga wenzake aliowapoteza
@kassimualli17552 күн бұрын
Mkundu wew
@aishathabit3732Күн бұрын
Hata Saud sasa haitaki mwezi wa kimataifa na hata Mafuta sasa ameungana na Bakwata au hujui? Saud hana shida ya dini bali nyie ni magenge kama UVCCM au MC4 na si zaidi
@allycomm15532 күн бұрын
Mzushi huyo umma utapata Raha kw kuondoka n BIDAA zake
@kassimualli17552 күн бұрын
Mkundu wew
@twahilhoja81032 күн бұрын
Kuna wa2 hua wana matope na sio akili hawa wanaojifunza qul hua Llaahu arafu wanafuga ndevu na vinjiwa na kujikuta masheikh na kuwa2si wanazuoni yaani mtihani sana dini imeingiliwa kwa kweli