Kigoma Mashaallah Mumebarikiw vipaji vingi tu Mziki mnavyo, mpira mnavyo na wabunifu mnao Hongeren Wazawa wa Kigoma
@ludovickludonya9845 жыл бұрын
aksnte kwa niaba
@niceone93925 жыл бұрын
Aboubakar Massooud Safi mwanangu... #kigoma Sana bless
@radhinibolakulikamalizuber73165 жыл бұрын
Leka tutigite najivunia nakumis kigoma
@saimoni-hx1me4 жыл бұрын
Nikweli
@Lemalali854 жыл бұрын
Hongera sana dogo Mungu atakusaidia upate wafadhili ujiendeleze.
@khalidahmed87745 жыл бұрын
kijana Fanya jambo kwa kujiamini usiogope MTU muogope mungu tu.Hongera sana hiyo redio iendeleze.Mungu akubariki.
@azizimuhibu77714 жыл бұрын
Mashaallah,huyu anatakiwa aendelezwe serikali/wadhamin lazma imuagalie,,,isije wakamchukuwa watu was nje, wakasema wamemfundisha wao kumbe kipaji chake asilia
@markmichael29385 жыл бұрын
Ilitakiwa uendelee kutengeneza hiyo radio ili wakija kukukamata ndio watagundua namna ya kuendeleza kipaji chako
@niceone93925 жыл бұрын
Kama unaamini kigoma Kuna vipaji vingi tofaut..gonga like
@shabanishabani24535 жыл бұрын
Dah dogo ana tisha. Mungu amtangulie.
@dechardavid25555 жыл бұрын
Chalii yuko vzr angepata veta angekua injinia mzr..sema ndio ivo mi mwenyewe sielew ningemtoa
@hamisishabani88642 жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu kwa kipaji kizuri ulichonacho
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
Hiyo ndo Kigoma mkoa ulojaaa vipaji alhamdulillah
@hussenidd50925 жыл бұрын
Umejuaje
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
Husein Idd nimetokea mkoa wakigoma ujiji posta darajani kama unapajua,,,,navipaji nivingi havielezeki natumai nawe unafaham
@gosbertrwezahura36454 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Kigoma kuna vipaji vya kutosha.
@majiminze41355 жыл бұрын
Watanzania tulio wengi ni wajinga, tunafurahia upumbavu wa akina dudu baya tunaacha mambo ya msingi kama haya. Sio ya kupuuza
@williamkibassa6164 жыл бұрын
Kimeniuma,Hv serikali inaacha vipaji kama hv,hii ni azina ya Taifa,
@fredyjohn50873 жыл бұрын
Kweli kabisa
@asheryissa61005 жыл бұрын
Hongera sn Alla akufungulie njia ufike mbali
@TALLUBOY5 жыл бұрын
Nyi nyi watanzania bado amujsjua uyu siyo wakusomeshwa veta no uyu lijitolee taifa likamuombee nafas FEKON how! SANLG .nk hawe MTU mkubwa zaid kisha akisomeshwa halud bongo aje kutengeneza hapa hapa hm akayasomee madin chuma Uhundwaji wake na nk. Kisha Halud hm
@SarafinaJMapas5 жыл бұрын
Avata star255 kwel kabisa
@fredyjohn50873 жыл бұрын
Kweli kabc
@joelndaliche86265 жыл бұрын
unahitaji kusoma, hapo una cheza na toys , ukipewa shule utajua kuunda real objects that can transform your knowledge into money chain..!nice work kid
@thepointofculture53925 жыл бұрын
Kazi iko safi sana na serikali igeuke na kuwaangalia vijana wenye vpaji na kuangalia namna ya kuwasaidia ili mwisho wa siku na sisi tuwe tunazalisha bidhaa zetu wenyewe.
@raphaelkasagula9774 жыл бұрын
Dgo hongera sana uko vizuri. Ni vile tu sina uwezo but ningekupa support mdg wangu. Ila mungu yu pamoja na ww bhn.
@wazalendocom66605 жыл бұрын
Napenda Sana Kuwashukuru Mild Ayo Tv Kwa kuendelea Kumtangaza Kijana Wetu Ombi Langu ni Moja Waziri Alimuita kijana ila hatujasikia chochote Naomb Basi Nyie Mchukue Jukum la Kumuendeleza
@shabanishabani24535 жыл бұрын
Tengeneza radio iyo ili ikupe kiki na uta sikika mbaali zaid na kwa uwezo wa mungu mambo yatakua poa tu charii.
@maigajohn58282 жыл бұрын
Hongera sana dogo upo vizuri sana
@timotheojoram87145 жыл бұрын
Kigoma acha tutigite,, hongera brother
@pheniasleonard95835 жыл бұрын
Timotheo Joram mwenye maona hafi nilazima yatimie
@rehemaabudararehemaabudara48975 жыл бұрын
Hongera sana
@debosstv435 жыл бұрын
Kama umeskia umbunifu mpya , gonga LIKE yako hapa 😀😀😀😀
@hassanjumbe13685 жыл бұрын
Noma sana
@azizimuhibu77714 жыл бұрын
😁😁😁
@eliusandrew37624 жыл бұрын
Dogo Muombe Mungu tu utakufundisha sio hayo MAVETA YA BONGO Walimu wenyewe hamna kitu
@ibrahtv55925 жыл бұрын
aisee serikali haimuoni huyu kijana ??mbona akiwezeshwa anakua bonge la mbunifu na kuitangaza Tanzania kwa kua anatengeneza vitu halisi kwa kutumia vifaa vyake mwenyewe na sio kununua
@d.a.t33835 жыл бұрын
Etiiiiiiii
@mohamedmwenyeinda5 жыл бұрын
kuhusu redio kawaida sana hata runzewe kuna kijana tena ni mlevu wa miguu anautwa kopa hedi....alitengeneza na mpaka me nikawa mtangazaji hapo tena....kweli alikamatwa et zinaingiliana na redio kwizera ya ngara
@glorynguma35935 жыл бұрын
Mohamed Mwenyeinda eti kawaida wa tz kumkubali mtu inakuwa n shida fanya basi ww kama ni rahisi tukuone
@hermankoba49705 жыл бұрын
Dogo talent sana jmn mwenye uwezo amsaidie
@mudyklg62385 жыл бұрын
Very talented
@georgemandevu21345 жыл бұрын
Interview inayofuata utakuwa unamuoji huku mnaendesha,yn kubwa kuliko>
@bongodigital352 жыл бұрын
Ila waha ni wabishi jamani kila swali analoulizwa dogo anabisha Kwanza alafu ndio anajibu we kama unabisha msikilize utasiki "Aaaa" katika kila swali. 🤣🤣🤣Jocks, Ongera Sana mtanzania mwenzangu
@teddykassinde46085 жыл бұрын
Ingekuwa nchi nyingine wangemsapot ila tz mh watamtafutia skendo akaozee jela
@rashidynyamguma89965 жыл бұрын
Wa Tz tujalib kukuza vipaj vyetu tuxipende kuxhabikia vit vya nchi nyingne wakt hata xx tunaweza
@khamisomary34315 жыл бұрын
Kabisaaa
@amosm4874 жыл бұрын
Pamoja sana dogo nmekusoma
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
Masha Allah zubeir❤❤
@hamisiabdallah42173 жыл бұрын
Mung akujalie mway
@na0m1fes515 жыл бұрын
jmn tengenezaa radio yako utafikaaa mbali
@bonifasirameckkingstoni50454 жыл бұрын
Kigoma oyeeee jamani muna koswa katika Africa yetu Tanzania watu kama hawo
@famitoissanawanda70115 жыл бұрын
Yupo vizuri dogo
@yellooh4 жыл бұрын
Make a KZbin channel doing things like this. There is a demand for it.
@dennischarles85245 жыл бұрын
Tz tunasapoti vitu vya starehe, tech kama hizi tunapuuza, konki liq ametoboa kabla yake
@ernestbatta5975 жыл бұрын
Serikali imwangalie kwa kwa jicho la tatu anawezaaa
@abdulrahmanmussalonka49355 жыл бұрын
Dah dogo yuko vizuri Allah akuwekee wepesi katika hili, lakini pia tafuta na akhera yako, ukitoka katika shughuli zako unamtafuta mwalimu anakuwa anakufundisha masomo ya dini ili umfaham mola wako, rengo ili ufanye ibada zako kwa usahihi.
@lamaachipanga78105 жыл бұрын
Abdulrahman mussa Lonka k..,
@aishaomar40125 жыл бұрын
Kabisa
@nasracebu70725 жыл бұрын
Ndiyo kawaida ya kigoma Kukatishana ramaa
@michaelgamba66985 жыл бұрын
Tanzania mkowapi wakuu wa nchi china pia ilianza ivi saivi wanatuuzia vitu wakati tukikuza vipaji vyetu tunatengeneza wenyew
@michaelplacidius21995 жыл бұрын
Tunatafuta sana vijana wabunifu kama hawa big up kijana
@bahatibaraka37195 жыл бұрын
Bro mchukue huyo hapo
@user-sq7pz9ex5g2 жыл бұрын
Mashallah 🥰 piki piki mpyaaa
@sumahmvellah74765 жыл бұрын
Dogo uko vizuri bonge talent , serikali ikusapot
@haldinkiope9855 жыл бұрын
So kwa mwaka huu
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Mungu aibark Kaz ya mikono yako kijana
@niceone93925 жыл бұрын
Alaf nimeambiw ety wazir mkuu alikuja akamchukua Ni kweli jaman😁
@musason16802 жыл бұрын
Daahh kaz yote iyo elfu hamsini
@youngnelly62725 жыл бұрын
Home boy duuuh nomaaa k town
@ibrahimahmady19715 жыл бұрын
sana dg
@danielmotta57032 жыл бұрын
Ndoto zake zimetimia naona radio ashaitengeneza
@robertfabian30305 жыл бұрын
Duh..kipaji sana
@nellywizzy70345 жыл бұрын
Uzur dogo anajitambua so hatokwama
@maigajohn58282 жыл бұрын
Endelea kukaza msuli dogo M Mungu ni mwema
@pastormoseschami91675 жыл бұрын
Hongera sana nyota ndogo huonekana asubuhi, unakipaji cha ajabu sana ila kinahitaji kulelewa zaidi, ila zaidi ya yote mtafute Yesu kwanza
@aishaomar40125 жыл бұрын
Amtaftie wapi?
@priscasiame91795 жыл бұрын
Akamtafute wap.huyo yesu toka alipoahdi ataludi jiiiiii mbaka leo
@henrykamoko495 жыл бұрын
@@aishaomar4012 hahahaha😆😆😆😆
@haldinkiope9855 жыл бұрын
Bongo bado labda china
@coulibalysiaka61625 жыл бұрын
2. Mmawa umenewo, ine ndinali ndekha ndikusinkhasinkha za moyo wanga wakale komanso momwe angelo adadza kwa ine mu 1993. Ine ndinali kukankha wilibara, ine ndimaperekera simenti pa malo omanga kuti ndipeze chinachake ndidye. Nyumba ya banja lathu linali ndi nyali yamphepo imodzi yokha basi ndipo pamene ife tinalibe mafuta, mayi anga ankatulutsa chingwe cha nsalu ndikuchiviika mu mphika wa mafuta a kanjedza ndikuchiyatsa ngati nyali. Nyumba yathu inalibe khomo ndipo usiku, timipando tinaikidwa kuti nyama ndi njoka zisalowe m'nyumba. 3. Koma Mulungu Wamphamvuyonse anandiveka ine chofunda Chake cha chisomo ndipo kunanenedwa kuti panthawi yoikika, ine ndikanati ndikalalikire zinsinsi zomwe ine sindinadziwe kotero kuti kwa aliyense wokhulupirira mwa ine akhale nawo moyo wosatha ndi kuti amuna onse a mafuko ndi mitundu ndi chinenedwe adzabwera kwa ine kuti akhale ndi moyo wosatha. Zinthu izi zakwaniritsidwa ndipo pemphero langa limafika pa mpando wachifumu wa chisomo cha Mulungu. Nditawona zithunzi za Mkazi wa Reza Ponce, ine ndinalira ndipo ine ndinatumizira kwa iwo kuchita kwa ulosi womwe anawuchita pa mawondo pake ndipo chiwanda cha khunyu chinamuchokera pompo. 46. Mu 1993, ine ndinaona paradaiso wa Mulungu ndi aneneri ake ataphimbidwa ndi mtambo woyera koma maparadaiso a zipembedzo sapezeka kulikonse. Ndipo chipulumutso sichingapezedwe kudzera mu zitsutso kapena zokambirana kapena kupyolera mu chipembedzo chachikale cha makolo anu koma chipulumutso ndicho kuzindikira mneneri wamoyo wa nthawi yanu ndipo ndi mneneri uyu amene adzakuuzani zomwe inu muyenera kuchita kuti inu mupulumutsidwe, monga pambuyo panu, anthu onga inu adalandira aneneri mu nthawi yawo ndipo anapulumutsidwa. Ndipo mutatha kuwerenga kapena kumvetsera ine, inu muli ndi zisankho ziwiri: kapena mumwalira mu Chisilamu, Chihindu, Chibuddha, Chikhristu kapena Chiyuda ndikupita ku gehena, kapena inu mumatsata mneneri wamoyo wa nthawi yanu kupita kumwamba ndipo ine ndine mneneri uyu, Ine amene ndikuyankhula nanu. 36. Simoni Petro anati kwa mbuye wake Yesu Khristu: "Inu Rabbi, Inu ndinu Khristu, mwana wa Mulungu wamoyo" ndipo Ambuye anati kwa iye: "Iwe ndiwe Petro ndipo pathanthwe ili la vumbulutso, Ine ndidzamanga Mpingo wanga". Ilo linali thanthwe ndi malo apamwamba pa vumbulutso lonse mu nthawi ya Ambuye Yesu. Thanthwe la vumbulutso mu 1415 linali kunena kuti: "Iwe, John Huss, kwa nthawi yathu ino, iwe ndiwe Khristu, mwana wobadwa yekha wa Mulungu wa amoyo". Thanthwe la vumbulutso mu 1545 linali kukhoza kunena: "Iwe Martin Luther, iwe ndiwe Khristu, mwana wa Mulungu wa amoyo". Thanthwe la vumbulutso pakati pa 1933 ndi 1965 linali kunena kuti: "Iwe, William Branham, iwe ndiwe Khristu, mwana wa Mulungu wa amoyo". Thanthwe la vumbulutso kuyambira pa April 24, 1993, likhoza kunena kuti: "Iwe, Kacou Philippe, iwe ndiwe Khristu, mwana wa Mulungu wa amoyo". Kuzindikira Mulungu mwa munthu m'nthawi ya moyo wanu liri thanthwe komanso maziko apamwamba a chikhulupiriro cha moyo wosatha. www.philippekacou.org
@fatumanasoro50572 жыл бұрын
Tatizo la afrika hatusamini vipaji sirikali zetu hazikuelewi asaa
@levocatusiisaka2255 жыл бұрын
Naipenda Tanzania
@zakiamaungazakia7205 жыл бұрын
Unakipaji dogo ila Tz yetu unaweza kusahulika
@salmayussuf67114 жыл бұрын
kigoma big up kwenu
@nelsonkihwele78565 жыл бұрын
Hongera kwa kaz nzur kijana
@nasrasaid68545 жыл бұрын
hongera unajitahidi
@feresimon53255 жыл бұрын
dogo kajitaidi kinoma
@umojatunzwetv4 жыл бұрын
Mimi nime zaliwa kigoma maisha duni kigoma. Hali hio naelewa. Nitafute kwanamba hii on WhatsApp +1204 615 4043 ningefulahi ukienda shule.
@prosperndelwa45602 жыл бұрын
Kigoma stand up
@beatricekamengekamenge55435 жыл бұрын
Huyu dogo wampe saport jaman vip serikali yetu dogo anakipaji huyu jamani
@jamalybashiru96805 жыл бұрын
Talented boy..God bless you👊
@godsonimma17535 жыл бұрын
Beatrice Kamenge kamenge it's true
@severinraymond69725 жыл бұрын
kiyambe
@albertkadyanji97225 жыл бұрын
Beatrice Kamenge mzima jamani
@brunomombe28015 жыл бұрын
Hyo namba mloweka feki au
@Alikibainblood19945 жыл бұрын
veta ndio utaenda kuariabu kipaji kipaji trust me
@fredyjohn50873 жыл бұрын
King msaport basi
@na0m1fes515 жыл бұрын
jmn try ur best utengenezeee radio sababu kunaaa mafrikaa kutokaaa west africa alitengenzaaa radio station yakee alikujaa kufikaaa mbali saaanaa aliendaa hadi MIT (marekani) soo pambanaaa utafikaaa mbali.
@florabaruti80325 жыл бұрын
unaumua
@beera.g53023 жыл бұрын
Ongeraa
@khalidahmed87745 жыл бұрын
endeleza kipaji chako na uku ukitafuta soko.
@chikoperotvtv22364 жыл бұрын
Nomaa
@dennisngulwa31854 жыл бұрын
Dah anaweza kwakweli
@bonychange33043 жыл бұрын
Good
@jovieejohn94435 жыл бұрын
hpn chezea kigoma
@jaffarymohammed60435 жыл бұрын
SI KWAMBA WADHAMIN HAMNA ILA VETA YA VIPAJI KAMA HIV TZ HAMNA
@mistere66015 жыл бұрын
nikweli ukimpeleka veta hata hawaez kumwendeleza huyu atakuwa mwalim wao😂
@fredysiwale54132 жыл бұрын
Huyo hatakiwai darasani tena yeye tayali ana ujuz.i huyo apewe mtaji ili apanue akili yake
@johnwalker99965 жыл бұрын
hiyo ndio kigoma yetu
@adinanikarata31155 жыл бұрын
Endelea kuumua kubwa zaidi ya hiyo ipakie mshikaki 😂
@beera.g53023 жыл бұрын
😅😅🙆🤭
@patrickjakson11645 жыл бұрын
Huyu jamaa kama ni China anatisha Sana'a kipaji cha hali ya juu
@musason16802 жыл бұрын
Sema mshikaji anafrahisha zaid anavoongea
@romakibasa70574 жыл бұрын
Nice
@cdcd41534 жыл бұрын
Achana nao hao ni wasenge2 Pambana
@alfasonkikoti21504 жыл бұрын
sitengeneze vidogo atengeneze itakayo kuwa zinatumika piya
@stanleykagoa61905 жыл бұрын
Hii ni kipaji sema pamoja kipaji huyu jamaa kakosa vitu vyake vya msingi kutoa kipaji chake kutoka hapa 1. Elimu 2. Fedha itachukua muda ama kupoteza muda wake kwa maana hamna anayemthamini ,sisi tulio wengi tunaitaji faida kuliko kutoa kitu cha kumsimamisha mmoja .
@bonifacemollel44015 жыл бұрын
Minaulizaje watu wa kigoma hua mnakula samaki gani hata sisi tukule ndio tuzae watoto wenye akili kama hawa kigoma zamani najua kigoma utagoma zaidi kumbe duuu akilitupu