ALIYETEGENEZA KITUO CHA RADIO KIGOMA AKIBOMOA "TCRA WALIKUJA, NAENDA DAR KUSOMA MIAKA MITATU"

  Рет қаралды 125,752

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 399
@downtoncargocargo4140
@downtoncargocargo4140 2 жыл бұрын
mimi nimesoma pcm kibaha , na nimefika marekani, very rarely kuwaona vijana kama hawa, anakosa logic thinking in self explanation, also there is wrong aproach ya uongozi na kijana pia, ilibidi akasome akiendeleza kituo chake, wampatie frequency zake, wamnunulie vifaa vyake ili aendelee, sio kutaka tuu sifa, then nashindwa kuelewa kwanini hawajataka kumpatia logical approach and progressive approach ya huyu kijana
@kimaronemes5689
@kimaronemes5689 2 жыл бұрын
Huyu dogo serikali ingempa scholarship nje ya nchi kama China, Japan au Korea akoseme practical skills mambo ya lugha atajifunza taratibu huko huko nje ila anahitaji elimu ya vitendo zaidi kuliko darasani
@fabianclato3101
@fabianclato3101 2 жыл бұрын
fact
@alicekatondo5940
@alicekatondo5940 2 жыл бұрын
True bongo bana
@salumothman3994
@salumothman3994 2 жыл бұрын
Mungu akujalie afya njema kijana maana uko unajitaidi sana
@othmanabdalla5295
@othmanabdalla5295 2 жыл бұрын
Afrika,Afrika nimekuita mara mbili mbona uongozi wako umejawa na chuki na roho mbaya zisizopenda mafanikio?
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Nchi ya Mavi kunuka Tanzania uwezo mdogo wa kufikiri. Hao waliosoma wamegundua nini ....Huyu kijana sio wa kukaa kwenye benchi la shule miaka mitatu na kupata elimu ya kukariri formal education, ilitakiwa kutathimini nini anataka maarifa gani anataka ili kuongeza ubunifu wake. Na upuuzi wa Mavi kunuka wa hao watu Waziri aliowatuma eti aziendeleze hiyo radio , pili kwanza Waziri ilitakiwa aje mwenyewe kumuona huyo kijana na hata Rais mambo haya ya muhimu hawatangazi ila utumbo wanaongea. Nchi ya Mavi kunuka Tanzania 🇹🇿 ya watu million 60 hamna hata innovation centers moja sasa nchi itaendeleaje bila vipaji vya technology na wabunifu kuendelezwa
@donjb3178
@donjb3178 2 жыл бұрын
Huyo dogo dream zake zishakufa tyri, expectations kills people yaani anawaamini TCRA bila hata kushughulisha akili yake kipaji alichonacho hawezi kukikuza shule tena 3 years kukalili vitu visivyo na umuhimu
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Kweli naona washamfelisha lkn sijui ten
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
Kwa wataalam wa mambo ya radio, sio ajabu Sana. Hiyo ilikua ni simple transmitter ambayo radio technician anaweza ku assemble. Lakini kupeperusha radio frequency Ina sheria zake ambazo huwezi zijua kama hujasoma. Na Kuna madhara kama wewe unapeperusha kihorera, hujui frequency za raia, za police, za kijeshi. Huyo anatakiwa afundishwe basic electronics ili awe na uwezo wa ku repair na kuinstall communication equipment. Mnachosema amebuni si cha ajabu wengi wamefanya kabla. Inabidi aelewe kuengeneza machine ambazo zinavigezo.
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 2 жыл бұрын
Naongezea tena ,changamoto kubwa lina ikumba nchi za kiafrika ni kwamba watu wenye akili hawataki kujihusisha na siasa...hivyo wamepewa mamlaka watu wasio na akili wawaongoze watu wenye akili na wasio na akili..matatokeo yake ndio hii
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
@@suntzu8959 upo sahihi kaka!
@afratrad7214
@afratrad7214 2 жыл бұрын
Kuna tatizo kubwa naliona hapa, Baada ya kumsomesha what next? What does it add on Innovation? We need strategical and not talent killing. Kuna mambo ambayo kama taifa tumekwamisha. Kuna jambo la ziada la kufanya .....
@allyhabib2496
@allyhabib2496 2 жыл бұрын
Well done milad ayo all the best kijana
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Daaah aisee,me kwaupande wangu sioni Kama wazo zuri Huyo sio wakukaa benchi saiz ilibid aendelezwe hao waliosomea weeengi tuponao mtaani huku Tz watu tuna felishana saaan
@georgesheto4542
@georgesheto4542 2 жыл бұрын
Kijana huyu akienda darasani atapotea maana alitokeaga kijana mmoja alitengenezaga helikopta akapelekwa darasani hadi leo sijui yuko wapi
@andrewkandrossy1990
@andrewkandrossy1990 3 ай бұрын
Bado YUPO shuleni
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Ukiwa na kipaji sio lazima uende ukasome maana elimu ya skuizi ni mashaka tu
@ezeedi871
@ezeedi871 2 жыл бұрын
Hapo nakataa kusoma lazima yaan,lazima usome usiposoma utakutana na changamoto nyingi sana mpaka utataman uende shule walau uongeze maarifa fulan kwanza Kama wewe ni mbunifu ukienda shule hata ukali na uwezo unatanuka.
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 2 жыл бұрын
@@ezeedi871 nani alikwambia kusoma ni mhimu , mwanasansi gani akina aizack Newton, Asten wewe uliwahi kusikia wapi walisomea
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Жыл бұрын
Asante sana Millard ayo kwa kumtoa kijana mungu awabariki sana na azidi kuwatumia kutangaza vipaji vya vijana mbali mbali
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema katulize kichwa mdogo wangu
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo 2 жыл бұрын
Africa yetu siku zote hubaki nyuma kwa ajili Ya fitna na wivu... Huyu kijana Ana kipaji Mungu kamjaalia ila ADUI Ya mwafrika ni mwafrika... Mpeni support huyu mtoto wacheni drama...
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 2 жыл бұрын
BIG UP DOGO, UBUNIFU WA HALI YA JUU, VYEMA KUTII SHERIA BILA SHURUTI.
@sadamofficialtz
@sadamofficialtz 2 жыл бұрын
Tunamuombea afanikiwe🔥🔥🔥
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 2 жыл бұрын
watu wa hivi huwa hawaitaji elimu kubwa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Naamini TCRA wamemfungia kijana kiaina, ila sio poa kabisa kuua vipaji vya vijana wetu,,,,,,kwanini abomoe na asiboreshe transmitter yake?
@kimaronemes5689
@kimaronemes5689 2 жыл бұрын
Una akili sana mwamba ,hao TCRA wamempunguza kisomi 🤣🤣🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@kimaronemes5689 yaani huo ndio ukweli Kaka,,,,,ila inauma sana kuona wanamzima kiaina, badala ya kumwambia aboreshe!!!
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 2 жыл бұрын
Washamuaribia maisha yake
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 2 жыл бұрын
Ninachojua kurusha matangazo kwa njia ya radio au television inahitaji kibali kwa ajili ya uwajibikaji, maudhui nk Kwahiyo wameona wakimwambia dogo kurasimisha kituo itakuwa mtihani kwenye gharama
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@nereaigogo4442 Tunafahamu hayo yote, suala kubwa hapo ambalo nadhani ni la umuhimu mkubwa ni Kwa namna gani kama nchi tuna wapromote wabunifu wa ndani, Kwa hiyo Kwa maoni yangu si busara kumpunguza kama walivyofanya,,,,maana tumeanzisha vyuo vya VETA ili kupromote ubunifu, sasa ikiwa wabunifu tunawazima basi hakuna umuhimu wa kuanzishwa kwake!!
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 жыл бұрын
,Hongera Sana kijana, zuberi, Lakini pia hongera Sana Mirald Ayo, Kwa kuibua vipaji vilivyopo Underground, Mirald Ayo Mungu akubariki Sana.
@Pettiemedia
@Pettiemedia 2 жыл бұрын
Hakuna cha elimu, wanaenda kummaliza😢. ANAENDA NA BASIIII😭😭😭
@elishayohana2896
@elishayohana2896 2 жыл бұрын
This is Tanzania bro! Kuna mwingine alibuni ndege ,,gari LA kutumia maji kama fuel ila baada ya ukaguzi kwisha yao habari
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 2 жыл бұрын
Waki mmaliza utanijulisha namimi huku
@edvinwissa7960
@edvinwissa7960 2 жыл бұрын
Apo kachagua sehemu sahihi coz mwanzo walikosea kumsomesha auto electric naamini kwa sasa ujuzi ataupata vema electronic is the best subject GOD bless this guy kaka millard nimesoma basic electronic lakini kwa uyu jamaa🙏🙏🙏🙏🙏 oligin tallented from Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Hiyo miaka mitatu ana soma si ana poteza muda mjue kama mtu ana kipaji suala ni kumpa mtaji ili afungue kampuni yake afanye biashara sio kwenda shule ana poteza mda na ubunifu wake
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Ndohapo wacha tuone itakavyokua
@neutraltv9393
@neutraltv9393 2 жыл бұрын
duh!..unahsi mtaj pekee unatosha?...elimu muhmu itamfanya ajue zaidi na hata mwenyew analifurahia hilo
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices 4 ай бұрын
Kipaji HALISI ni kama kifaranga ndani ya yai, ukikisaidia Sana UNAKIUA , ILA KIPE MUDA wa Kutosha wa majaribio, na pesa kidooogo baasi. *Kipaji ALISI Hakiongozwi , Kimezaliwa HIVYO KUJIONGOZA UKIKIONGOZA UNAKIPOTEZA, "KIPE MUDA" *KIPAJI KINAHITAJI HARD WORK NA MUDA, NA KUTOKATA TAMAA. *KIPAJI HAKIFUNDISHWI, UTAKIHARIBU, KINAJIFUNZA KINACHOTAKA CHENYEWE. *NJIA KUU YA KIPAJI KUJIFUNZA NI THOUGH PAIN OR MISTAKES. *AKIENDA SHULE AAMINI ALICHO NACHO KUWA NDIO BORA,
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Ndio Maana Elon Mask aliamua kujenga Chuo chake afundishe mwenyewe watoto wake maanaa Ameona Hii Elimu yetu yakuukaa kwenye Viti ukariri upewe mtihani Ufaulu alfu unatoka hujui kitu aliona Ni Ushenzi tuu
@neutraltv9393
@neutraltv9393 2 жыл бұрын
Kama ulimezeshwa ni ww siyo wote
@kimmusic7090
@kimmusic7090 2 жыл бұрын
Naomba wazari wa wa sheria asimamie huyu kijana hiyo elimu ya bure watanzania wanaweza msainisha mikataba ambayo itaua kipawa cha huyu kijana wakampa mikataba ya ajabu na yeye akasaini sababu hana namna viongozi mlindeni huyu kijana
@zamoyonialexofficial8738
@zamoyonialexofficial8738 2 жыл бұрын
I am so disappointed , Yani watu wako wana soma miaka Wana maliza hawaja weza kufaya chochote hata kubuni mbolea , mtu kama huyu alitakiwa kuwekwa kama Nyara ya serikali , hii ni hazina ila sioni initiatives za kumsaidia hii kitu. ila tukipongeze hata hicho chuo kilicho jitolea
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 жыл бұрын
Safi sana hicho chuo. Asee Mungu awabariki sana na awaongezee
@abbyzidane_5544
@abbyzidane_5544 2 жыл бұрын
Mungu amzidishie kipaji chake
@ivandangote1743
@ivandangote1743 2 жыл бұрын
Honger San bro maan toka shule ya msingi ulikuwag vizr kwa ubunifu
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 2 жыл бұрын
HONGERA SANA NDUGU. NDUGU NAOMBA USIENDE KUTULIZA AKILI, ANGALIA HUKO UNAKOENDA LISIWE KABURI LA KUUA ULICHONACHO.
@issamkumba8618
@issamkumba8618 2 жыл бұрын
Ayo tv mbaki milele nimependa mnawaibuwa watu ambao hata hawakufikili kama watatoka bigup sana
@jerryt698
@jerryt698 2 жыл бұрын
After 3 years in Dar es Salaam all the creativity will be filled with Luxurious life, he will get a job and that will be the end of the masterpiece invention. SAD
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
Which Invention. A Radio transmitter was invented in 1890 by German called "Macconi". I personally isn't my first time seeing children playing with electronic component to make simple radio, I have seen this as far back as 30 years ago. Those electronic components used to make that simple transmitter can only be learnt at school with right measuring and testing equipment. He has a passion yes, but to help him further is to train him. Also making an equipment which transmit radio frequency is guided by the law that's why he was told to Stop by relevant communication authority. Frequencies are managed and regulated, and allocated for various purposes. They are frequencies for domestic radio broadcasting, military, police, aviation, maritime, and many other applications. These can only be leant at school.
@laninatwaha3850
@laninatwaha3850 2 жыл бұрын
There wasn't any invention bro
@jerryt698
@jerryt698 2 жыл бұрын
@@suntzu8959 Lets not argue on the ''invention'' since it has several meaning; i am not against formal education that he will receive at the college; however the education system will help him to understand the functions of transmitter, capacitors etc but not creativity. I agree with you on the laws and broadcasting regulations guidance.
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
@@jerryt698 I get your point now. It is actually a plus for him to get educated
@mawazomolani2677
@mawazomolani2677 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana nawapongeza kwa kuwasaidia
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 2 жыл бұрын
Achunguzwe vizuri..for security purposes
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 2 жыл бұрын
Africa Africa. Bara linalo pega teke vipaji vyao naku kumbatia vyawazungu. Wakiamini kwamba wazungu ndowana damu. Niujingamtupu. Vipanji Africa nivingi tatizo viongozi waafrica. Awamini vipaji vyao.
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 2 жыл бұрын
Kweli kabisa brother
@perisiverympwenku139
@perisiverympwenku139 2 жыл бұрын
Akili nyeusi azioni
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 жыл бұрын
Waoh Mungu ampe upenyo kufanya maziri zaidi
@Best_tz
@Best_tz 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie na ufike mbali ndugu yangu
@daisythetech
@daisythetech 2 жыл бұрын
Sometime publicity huwaga inaponza na kuua vipaji vya watu......watu weng wa hapa tz walijitokeza kwa idea mara zote serikali ndo inawashusha...sidhani kama huyu dogo angekua ameonekana au kujulikana nafikiri watu wa eneo lake hapo wangeendelea kuburudiaka na idea yake ya kuanzisha redio
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Yaani ww kijana si ulishaenda ulifaidika nini Nibora ata wangekupa pesa tu utafute mtu wa kukufundisha English lakini mambo ya kwenda Dar kazi kweli kweli kweli
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 2 жыл бұрын
Uyu dg gifted sana, hamna kukariri apo n ma idea yanawaka tu kichwani
@mtopelamussa7783
@mtopelamussa7783 2 жыл бұрын
Asante mungu endelea kumsimamia kijana mwenzangu! Pambana brother, pia nimeshiba ushauri wako tusikate tamaa Inshallah tupambane.
@josengumbi4029
@josengumbi4029 2 жыл бұрын
Hapo ndoto zake zinazimwa mazina yani, tunaomba feedback ya huyu next three years.
@ammaherman3391
@ammaherman3391 2 жыл бұрын
Dah!! hii ndo tanzania. Zuberi angalia sana usipotezewe muda ili kipaji chako kipotee.
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Ila kweli
@sosom14
@sosom14 2 жыл бұрын
Really
@gamalielistephano8509
@gamalielistephano8509 2 жыл бұрын
We subiria kuuliwa kipaji chako tanzania huwezi kutoka mdogo wangu. Tz ukigunduliwa unakipaji kinachofuata nukuliwa tu.
@AbuAsmaa84
@AbuAsmaa84 2 жыл бұрын
Karibu chuo bora cha Al Maktoum college of Engineering and Technology
@eliashibundabalinze2217
@eliashibundabalinze2217 2 жыл бұрын
Ajifunze ubunifu upi zaidi ya huo alouonyesha? Vipaji vingine siyo vya kusomea ni vya kutoka moja kwa moja toka kwa Mungu. Tusubirie miaka mitatu iishe halafu turudi hapa muone kama tutamuona tena huyo dogo
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 2 жыл бұрын
Kama ulimsikiliza vizuri yy mwenyewe aliomba kusoma na shauku yake kubwa anataka kujua kingereza
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 жыл бұрын
Wataua. Ubunifu alonao. Bora wangemwacha
@eliashibundabalinze2217
@eliashibundabalinze2217 2 жыл бұрын
@@oliversimpliskimariokimari3510 kama hajui Kiingereza aliwezaje kuunganisha hiyo mitambo ya radio station
@masatjohnson7113
@masatjohnson7113 2 жыл бұрын
Ndio tujiulize
@eliashibundabalinze2217
@eliashibundabalinze2217 2 жыл бұрын
@@oliversimpliskimariokimari3510 yaani MTU hana elimu ya kiingereza lakini ameunganisha vifaa na akatengeneza mtambo wa radio. Anahitaji elimu ya nini tena? Tuko na vijana wengi wametoka vyuo na wanaongea vingereza Vingi lakin hata kubuni mshumaa au baruti hawawezi. Sitaki kuamini kama elimu inafanya MTU awe mbunifu nooooh Vitu vingine ni automatic toka kwa Mungu.
@mariamjackobo6219
@mariamjackobo6219 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa sana hongera sana mdogo WANGU mungu akutangulie katika masomo yako.
@msalikemedia
@msalikemedia 2 жыл бұрын
Sasa si wangekiacha kiendelee na yeye huku anasoma daah jaman nimeumia sana yaan😭😭😭
@mbarakatv633
@mbarakatv633 2 жыл бұрын
Imeisha io
@mohani7390
@mohani7390 2 жыл бұрын
Yess aendelee
@agyady6260
@agyady6260 2 жыл бұрын
Mungu amuwezeshe ndoto yake isizimike jamani ptuuu nchi ya kuua vipaji Mungu atusaidie tz
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Ngoja ukaanze kufundishwa hesabu za kutafuta X na Y ndo utajua cha mserereko kinaponza ila ukifeli usidhan serekali itakubeba tu niko hapa nakuombea ukangare urudi na ujuzi zai🙏🏽
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 2 жыл бұрын
Daah amevunja kwa maumivu makali moyoni Mungu yu pamoja nawe ndugu
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Maskini mungu azidi kukuongoza zuber.nampenda Sana uyu dogo na atafika mbari🙏🙏🙏🙏🙏
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
Mungu nimwema kwakila kitu
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 2 жыл бұрын
Safi sana Acha akaongeze elimu ila asisahau kuwezesha Kwao
@georginajohn8456
@georginajohn8456 2 жыл бұрын
Waooo kila la kheri 💪💪💪
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Bro Bora nenda veta, au tafuta vifaaa endelea kufanya maharifa yako , na chukua vitabu vyako soma mwenyewe, elimu zetu hizi za kibongo mhhh hakuna kitu ni utopolo tu..,
@directorsnigar625
@directorsnigar625 2 жыл бұрын
Daaaah SAFI SANAAAAA WABUNIFU WANAPATA MOYO SANAAAAAA
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Makubwa,pole kijana..husda za waungwana..kha!!!Tanzania,mtihani
@paulromanusy3882
@paulromanusy3882 2 жыл бұрын
Bahati yetu hili Taifa linachaguana kwa matabaka, ila laaah sivyo tungeuwana sana na tungedharaulika! But Mungu atuepushie sana lisitokee!!!😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@NdunduTv
@NdunduTv 2 жыл бұрын
Ukifika dar kumbuka kuna kidimbwi
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 2 жыл бұрын
Vipaji ni zawadi pekee Mungu anaompatia mwanadamu,ni vizuri kushika mkono ,huku alichokianzisha kikipewa sapoti,na sio kuua
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 2 жыл бұрын
Magu angekuwepo hawana kazi mzee
@thetrends472
@thetrends472 2 жыл бұрын
aaaaahhh kudadeki sijui kama wamefanya kwa nia ya kumsaidia hebu tuone
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 жыл бұрын
Wasingemvunjia Maan hapo wangemsaidia tu kupanua kituo chake Maan Elim alozaliwa nayo ilikua inamtosha na ingepanuka kupitia huo huo ubunifu, asipoangalia vizur atakiua hicho kipaji chake kabisa, Allah akusimamie
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
kijana Mungu akusaidie
@mjahmwajuma1324
@mjahmwajuma1324 2 жыл бұрын
Mungu amsaidie
@bamizertv1822
@bamizertv1822 2 жыл бұрын
Dogo anapata ustar ,lakini haangalii.itamsaidiaje kiuchumi. Kiufupi innovation Kwa Tanzania hazilipi ndo mana tunaamua kuwaachia.madogo.
@kassebo
@kassebo 2 жыл бұрын
Zuberi. Hiii Elimu uliyo nayo. Haukuisomea. Ni Elimu uliyo zaliwa nayo. Kuwa makini Sana. .unaweza ukapewa nafasi ya kusomea hiyo Elimu lakini usipewe nafasi ya kupata mafanikio kupitia hiyo Elimu. Chamsingi mtangulizeni MUNGU. Maaana wasomi niwengi sikuizi ila hawana ajira
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Mungu amlinde na husuda za walimwengu
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Amiina
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 жыл бұрын
Hongera sana
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Nilikua tu watatoa hat mm nikitengezenza hiv vitu simple Ila vitisho sasa
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Ulitakiwa useme muheshimiwa au Waziri Nape, kwa Watanzania tuna kitu kinaitwa kuheshimiana cc kwa cc, kwa wakubwa na wenye mamlaka. Hongera sana Zuberi, Mungu azidi kukutangulia...ndoto yako ni nini? Waambie ndoto yako.
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 жыл бұрын
Acha uchawa wewe mama wa mkoani
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 жыл бұрын
Dogo washakupoteza hao.. wenzio wanalipia hzo frequency kwa mamilion.. wameona wee unakula ubwabwa tu.. wamekwambia harib transmiter na uache unachofanya ukasome😁
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 жыл бұрын
Mungu amtangulie
@biottomollel6527
@biottomollel6527 2 жыл бұрын
Genius 🤛🏿
@msafirilwihulainternationa2414
@msafirilwihulainternationa2414 2 жыл бұрын
Contract lazima iwepo kati ya mbunifu na chuo, mara nyingi mambo kama haya yanafanyika kwa miemko , asije akaachwa solemba. kila part lazima iweke bayana nini wanapashwa kufanya na iwe ni legal binded and what is the way forward baada ya kumaliza chuo
@ronaldiko8794
@ronaldiko8794 2 жыл бұрын
kwei
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
Hajabuni kitu hapo
@samwelirobert2576
@samwelirobert2576 2 жыл бұрын
Ushindi mwingi 💪
@bongolegacy
@bongolegacy 2 жыл бұрын
MillardAyo tafadhali tutafutieni "Frank Wire" mbunifu wa kitambo kidogo. Alikuwa na mambo mengi zaidi tunaomba tujue yuko wapi na amefikia wapi kwenye ubunifu wake.
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Electronic ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajasoma.mngeboresha tu kipaji chake kwa kumsapoti
@vamos842
@vamos842 2 жыл бұрын
Ni kwel ila pia anahitajika kuongeza maarifa ila inapaswa aendelee na uvumbuzi ikibidi awapo masomoni☺️
@SadickvicentSimfukwe
@SadickvicentSimfukwe Жыл бұрын
Sorry Millard Ayo May I get connection to meet with that Guy thanks!!
@msusasandali5833
@msusasandali5833 2 жыл бұрын
Hii nchi hii daaah ya hovyo Sana wallah
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 жыл бұрын
Ameshapoteza kila Kitu Pesa N Pesa Na Shule n shule😀😀😀😀😀
@MrflashMobile
@MrflashMobile 2 жыл бұрын
Daaaah mchi yakijinga Sana 😁😁😁😁😁😁😁
@dereva0
@dereva0 2 жыл бұрын
ayo mmekuwa karb na huyu dogo nnaiman bado anajifunza muelekezen jins yaku adress watu wakubwa ww yy nimdogo sana anamuita waziri jina analoutwa na mama yake...NAPE....kama huwezi kumuita muheshmiwa muite hata waziri nape
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 2 жыл бұрын
Hahaha Ni kweli
@kuntakinteomolo2832
@kuntakinteomolo2832 2 жыл бұрын
Yaani kijana zuber unatisha,,wewe ni zaid ya mfugale
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 2 жыл бұрын
Wangempeleka Korea au China au Japan au marekan au urus hizo ndo nchi zingemwendeleza aje kusaidia watanzania wanampeleka mbezi beach🙆
@ijsound5149
@ijsound5149 2 жыл бұрын
Mdogo mdogo ndo mwendo muhimu akifundishwa na Lugha huko kote atafika na changamoto ya lugha ataimudu kwahiy kila kitu kinawezekana Allah akipanga
@salumhafidhally5927
@salumhafidhally5927 2 жыл бұрын
Maisha saiv unaweza kutoboa Kwa kipaji tu
@Bari686
@Bari686 2 жыл бұрын
Cha msingi dogo tumia kipaji ulichonacho kutengeneza bundki alafu unazikodsha,, Utakuja kunishkru
@fredrickjoseph2907
@fredrickjoseph2907 2 жыл бұрын
wait we can see kama atakuja tena na hii idea.
@abednego3876
@abednego3876 2 жыл бұрын
Idea gani?/kwan tanzania hamna redio
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@abednego3876 Acha chuki,,,,
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 2 жыл бұрын
He will do something if he will be very strict
@nikky4757
@nikky4757 4 ай бұрын
Kama msaada wa tcra NI kumsomesha hii inaonyesha ni kwa kiasi gani tuna safari ndefu kuendelea vyeti havisaidii MTU kabuni kujiaji nyinyi mnatafutia cheti akaajiriwe
@stukiaally4690
@stukiaally4690 2 жыл бұрын
Huu ni upuuzi, badala ya kumuwezesha vifaa na kumpa wataalam wamuelekeze matumizi, unamwambia abomoe, aende shule miaka 3
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 2 жыл бұрын
Jamaa ashaanza kutamba watu wa kigoma kwa tambo siwawezi mmevuka mipaka ya tambo zao.
@frankluhu5322
@frankluhu5322 2 жыл бұрын
Ohooo wasije haribu kipaji chake wataend kumuajili ubunifu unaisha TZ ya kifala sana
@youtub8320
@youtub8320 2 жыл бұрын
HAPO MDOGO WANGU NDO WAMESHA KUZIMA MAZIMA DU! NCHI HII!! HAO WASOMI WALIO WASOME WAME FIKA WAPI?
@johngasto4154
@johngasto4154 2 жыл бұрын
Nimefurai nataman ningekuwa mim hongera dogo
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 2 жыл бұрын
Mashallah
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 2 жыл бұрын
Huyondo kaishakabisa Taifa 🇹🇿 lakijinga.mawazo finyu yakufikili ili taifa kupata wabunifu wengi kuachana na kutegemea wazungu. Kaishahuyoss😭😭
@neutraltv9393
@neutraltv9393 2 жыл бұрын
Mbona una mawazo finyu
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 2 жыл бұрын
@@neutraltv9393 mawazoyako mazuri niyapi?...
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Hiyo scholarship kijana Zuberi asaini pamoja na mwanasheria na isomeke hamna haki juu ya intellectual rights zozote za kijana Zuberi. Kijana ukienda Dar utaenda kuteseka hawa watu sio wa kuwaamini na wabongo sio watu wa kuthamini vipaji kukugharimia kila kitu kwa miaka mitatu inaleta wasiwasi sana
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 2 жыл бұрын
Akitengeneza kitu akiwa bado yupo chini ya uangalizi wa chuo basi hiyo ni mali ya chuo Hakuna chuo chochote duniani hakina sheria hiyo
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Akili yangu inavyonishauli ninafuuu ungetafuta Daimondi wa kigoma. Mwenzio akuendeleze mfungue REDIO yenu lakini hiyo serikar mhh 🤔ngoja tuone🤣
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Fanya mkataba kwa maandishi wasije kukugeuka
@chuggabeatmurderstreetfree2685
@chuggabeatmurderstreetfree2685 2 жыл бұрын
Ndoto zimekufa. Niamini mimi 😂😂
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
"Ruge alinipa moyo nilipotaka kufungua kituo cha Redio." Majizo
10:37
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 22 М.
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН