HABALI ZENU NDUGU ZANGU 🙏🏻😍 HABALI NIHIVI HII NAWAAIDI HIII VIDEO IKIFIKA VIEWERS 100k ONE DAY NAPANDISHA EPISODE YA 08 KIKUBWA TUMUOMBE MUNGU 🙏🏻😍
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI5 ай бұрын
OK inshalllah
@user-mv6vi1gv6f5 ай бұрын
Tumekubali
@director_halifu5 ай бұрын
insha'Allah itafika 100k Kwa kudra za Allah kaka
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Inshallah
@dianaSalumu5 ай бұрын
Sawa
@FatmaKambanga-cj4wn5 ай бұрын
Waaoo Naipenda Sana .hii move Sema Mnazngua Mnachelewesha
@salumumwandazi-uh7kd5 ай бұрын
Hili song la kikongwe nalipataje doko maan nmelielewa ni bonge moja la nyimbo
@Princejay-os9pg5 ай бұрын
Dah nakubali saana huo ni kikongwe kweli leteni chombo kingine tuko tayari❤❤❤❤❤❤
@MFINANGA7355 ай бұрын
HABALI ZENU JAMANI MM NAITWA MFINANGA SAMAANINI KWA KUWACHELEWESHEA KAZI ILA LEO NIKO ACTIVE ONLINE KWA KUJIBU MASWALI SO KAMA MTU UNA MAONI,USHAULI KARIBU 🙏
@pafengamedia5 ай бұрын
Naomba naomba MFINANGA tufanye interview
@mabulasayayai5 ай бұрын
Mfinanga hii kikongwe itaishia episode ya ngap?
@sadaraonesmo5 ай бұрын
Ushauli wangu NAOMBA muwe mnatoa episode 2 kwa kila week.
@chiefmbuke5 ай бұрын
Jaman mujitaid munatuchelewesha sana Yan mpka tunadhira mjue Kuna watu pia kama nyie wanafanya kaz nzuriiii pia so mjitaid saiz ushindan mkubwa kaka
@MFINANGA7355 ай бұрын
@@pafengamediaok nitakupa Ratiba 🎉
@MRCHARLES2775 ай бұрын
Hiii kitu kali sana sema limechelewa sana❤
@user-ct3zg8tl5b5 ай бұрын
Hii move ni nzur sana lakin sisi wadau wenu mnatucheleweshea sana.
Munatchelewesha sana mfinanga 🇨🇩 apa congo tunafatiriya lakini ya medumu
@abediyusufu5 ай бұрын
Et munamuona yule alie simama pale mweus kama mkaa yule nimjomba wangu kutoka milima ya kigoma anapenda ela angalien icho kisahan mana kishaaza kupedeza😂😂❤😂❤❤
@Mawengeactor5 ай бұрын
Ni moto motooooo😅😅
@user-be9zj6fw1c5 ай бұрын
Congratulations kwa kzi yko nzuri ❤❤
@khadijaabubakar23305 ай бұрын
Duh imechelewa sana kwann akiii❤❤
@user-bl5iu3hz5t4 ай бұрын
Jitahidi na hongera kz nzuri
@EcaSadiki-ds9cr5 ай бұрын
Ok uwe unawaisha maana ni movie nzuri sana from USA Georgia Atlanta
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI5 ай бұрын
Jamani tuwe wa kweli hiii series ni nzuri sana sana sana doko nakupa mau yako 🎉🎉❤❤
@SalehHakiim5 ай бұрын
Kaka mashabiki zako tunaopambana uwe unatuwaishia kidogo kazi, #NAKUBAL👊
@user-vj1zq8rs4n5 ай бұрын
Da inatishasana Namkiendeleahivi naona Kabisakwenyemaono Mtachukua Mataji Mengi sana na umaskini Kwenu bas Tena na waombeatu Mgu awalindesana,
@SAIDIEMANUELMAFUTA4 ай бұрын
Salut 🎉doko namwenye kipara ingwe ongereni sana
@AUTRISFILMPRODUCTION5 ай бұрын
Nampa kongole .D.O.P na camera man ...wamecheza kama wao,... talents pia wameweza 😢
@hamzaIlunga5 ай бұрын
Bro Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ,unaburudisha dunia nzima
@kamote95 ай бұрын
JAMANI hii ni hatali nitaisubili hata ichelewe shabiki yenu from DUBAI hapa
@DOKO34675 ай бұрын
Tunataka shabiki kama wewe 😂
@vdjdallaz25465 ай бұрын
1st viewer
@WendySadey4 ай бұрын
Ok sawa mim SIDE nimeipenda 👌👌
@user-qr6wq9kk6c5 ай бұрын
Mashaallah nimeipenda ❤❤❤kutoka kenya
@miguelrosarioyessa73275 ай бұрын
DOKO I like you job.
@dianaSalumu5 ай бұрын
Manazingu mwezi mzm.namnajua kua watu tuna wafatilia sio poa
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Mama 😂😂 doko kazimia eti mnafiki tu wake doko acha asira mama yako ndyo kauwa kwa aji ya mapenzi mfinaga 🎉🎉 shikamooo upo chapo hvyo nimeipenda hyooo 😢😢😢😢
@KiwandaiPallangyo-lo3yy5 ай бұрын
Yaani utoke kwenye uzinzi ufe duuh ataenda kumwambia nini mwenye enzi Mungu
@ManigaThedon5 ай бұрын
Mimi njo wa kwanza
@MoTalentTz5 ай бұрын
Daah mnachelewa sana😢😢😢
@TuyizereIssah5 ай бұрын
Kazin nzuri leo jamani
@_Wayiva_mukuta_jean5 ай бұрын
Les congolais 🇨🇩🇨🇩 venez ici pour que nous encourageons nos frères tanzaniens 🇹🇿🇹🇿
@aminagodwin82825 ай бұрын
Nipewe like zangu. Much lov from Oman
@DeogratiusSMkeah5 ай бұрын
wa kwanza Leo nipenike zangu
@user-tp4sy6ym7q5 ай бұрын
Safi sana 🔥🔥🔥🎉🎉
@nanjysara5 ай бұрын
Hapa kila mtu niwakwanza😅😅😅😅 much love ❤️ uganda 🇺🇬
@Mawengeactor5 ай бұрын
Na Mimi nipeni like zikifika 50 tu epsode ya 8 inapandishwa
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Hii movie kali sana ila mnatuchelewesha sana
@AffectionateArcticFox-xe9iy5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@ELLAIRAKOZE-cj9pf5 ай бұрын
Bas msiw mnachelewa sana🥺 , from 🇧🇮
@user-ns5oo7ux2x5 ай бұрын
Jamani munatowa kidogo tuuu
@rizikisam64815 ай бұрын
Nampenda huyu muhubiri
@KILUYAMEDIA5 ай бұрын
Kazi inaendelea iko sio kichwa cha chai, ukimtazama doko anafanana na adui gani wa kihindi________ ? Na apa bongo adui anaye fanana naye KISHOKA
@user-yz7gq7vm7q5 ай бұрын
Sitakuaje jaman❤❤❤❤❤❤
@AnithaIrankunda5 ай бұрын
Jamani doko Mbona mnakawiza kutowa Muendelezo tunawaombeni sana Kbx muwe mnaharakisha kutowa Muendelezo Maana tunakuwa tumeimiss sana Na tunaikubali sana Kbx KIKONGWE😊
@HAWAMAULIDI-zl5xd5 ай бұрын
Kitu kikali 🎉tunashkuru japo imechelewa 😊
@alilumia95255 ай бұрын
Waaah,nimekubali hii kali asey sister enda zikwa doko.😢😢