Facts. BM for Arusha to Dar, and Shabiby for Arusha to Dodoma. 👌👌
@ashaali71545 ай бұрын
Eti umekuwa mfanya biashara siku hizi una kelele sana wewe na Mwijaku hamna tofauti midomo inawalisha mjini.
@halimamwingu44785 ай бұрын
Camera man huna taaluma! Dotto anaposema angalia juu taa inatakiwa camera yako ionyeshe sisi viewers tuone
@shabamuhidin6344 ай бұрын
kweli kabisa,camera man dotto anaonyesha tv yye amekwama tu hapo hapo,sjui watu wanakurupua tu
@jmtv17365 ай бұрын
Camera man hamna kituu
@damianikimario56955 ай бұрын
kazi zuri ila kameramani piga chini hana taaluma tafuta anayewea kazi kaanikera sana nimeshidwa kuona vitu vya masingi. alivyo taja Dotto
@Brunn-mh2bq5 ай бұрын
Kweli. Badala ya kutuonesha gari ilivyo anamn'gan'gania Doto Magari
@JosephTibu5 ай бұрын
Hatari doto😂😂😂😂😂
@SelinaChares5 ай бұрын
Tunaomba dar dodoma Mara moja
@SijaOlomi-cm4cw5 ай бұрын
Bm the one only
@mwakiosalim29145 ай бұрын
Cameraman hajui kazi yake wakati Dotto anasema angalia taa unafaa uonyeshani kwenye Doto anasema we umeng'ang'ana tuu kumuonyesha dotto..Dotto tumekukubali sana uku kenya254🇰🇪
@angelatheobald5 ай бұрын
Basi nzuri sn
@SelinaChares5 ай бұрын
Tunaomba kuuliza zinaanza ruti lini dar dodoma
@alitante42795 ай бұрын
Huyu cameraman falaa
@martinlema41925 ай бұрын
Cameraman umejitahidi maana huko ndani kunambanano lakini umejitahidi!!!
@YohanaPaul-e7c5 ай бұрын
Iloo sasa ni gari au club 😂😂
@halimamwingu44785 ай бұрын
Manara tv nayo inaongopa tittle! Aibu kubwaa. Ishu ya BM unaandika ugomvi wa mwijaku! Millard Ayo atawaacha sn
@harunadaaprincesaidi55225 ай бұрын
Umesikiliza hadi mwisho au unaongea tu acha ujuaji sikiliza interview hadi mwisho mxiuuuuu
@MartinYeko5 ай бұрын
Jaga master ni nini wewe😂😂😂😂
@husseinmazrui10065 ай бұрын
Cameraman miyeyusho
@chisongastephen72995 ай бұрын
Hahaah Doto bhana
@AbubakarObthany5 ай бұрын
Wacha uongo wako panda bus ya Tahmeed kila abiria anakaa siti yake pekeyake
@MilajiHaji-f8f5 ай бұрын
Sisi wakaskazin tuna mabasi yetu hayo wapelekeni mikoa mwingine
@Abu-Hamza2545 ай бұрын
Acha sigara🚬
@Abu-Hamza2545 ай бұрын
Hakuna mtu ataenda na bus umejaa walevi eti bus iko na bar
@Brunn-mh2bq5 ай бұрын
Labda wewe ndugu lakini wangine watapanda sana tu. Usipange maisha ya dunia nzima kaka yatakushinda😊