MAKONDA achukizwa AMTUMBU mkurugenzi na wanaokula pesa za serikali, aagiza wakamatwe na kuchunguzwa

  Рет қаралды 33,006

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@IsackBayyo
@IsackBayyo 4 ай бұрын
Naomba mungu umlinde huyu mtoto wako adui asimpate natunakuomba mungu wewe ukisema ndiyo hakuna wa pinga baba ninakuomba wewe uliye juu ya maserafi na makerubi naomba umlinde makonda Mungu wangu ninaomba baada ya raisi Samia kuimaliza awamu yake Mungu naomba umpe hii nchi Makonda maana huyu ni mtumishi wako ukampake mafuta ya roho wako Mungu nitakushukuru najua unalituma neno lako ulitimize na hata Sasa utalitimiza Mana neno lako halitoki bure kinywani mwako amen.
@ixheryusuph1748
@ixheryusuph1748 4 ай бұрын
Makonda jamani makonda mungu akupe maisha marefu sanaaaa.... Kwa maana umeumbwa kutetea wanyonge kila la kher Kaka....
@johnsonkatana1069
@johnsonkatana1069 4 ай бұрын
Sijui itatugarimu miaka mingapi Kenya kutokea viongozi kama hawa
@jayjay4313
@jayjay4313 4 ай бұрын
Acha tu ndugu, Japo tunao hawa viongozi wetu! Mijizi na mijambazi ina roho ya Kenge. Sikiliza hapo mijizi ipo kuanzia majumbani mpaka serikalini. Africa kazi tunayo.
@christianlutego1288
@christianlutego1288 4 ай бұрын
Safi Sana hiyo mijizi ya halmashauri inatusumbua Sana mitaani huku kumbe pesa wenyewe inajaza matumbo Yao, Sukuma ndani
@mutaziden701
@mutaziden701 4 ай бұрын
Mikoa yote na alimashauri zote na wakurugunzi ni shida tu wizi mwingi makonda ww ni jembe upewe ulinzi pia ww bola uwe rais wa Tanzania tutapona wengi
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 4 ай бұрын
Kwa mwendo huu Makonda jitegemeze kwa Mwenyezi Mungu bila hivyo utarogwa kwa kuwamwagia watu unga.
@Jkm237
@Jkm237 4 ай бұрын
HUYU JAMAA ANAWEZA KUWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 SIYO SIKU NYINGI NAONA NYOTA YAKE NI YA URAISI SIYO MKUU WA MKOA
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 4 ай бұрын
ANAFAAA KWA 100%
@olivernyange2349
@olivernyange2349 4 ай бұрын
Paulo Makonda be covered by the blood of Jesus.watakuacha kweli ndo hofu yetu God lntevention in your life ,career job and everything that has to do with you in Jesus name.
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 4 ай бұрын
Makonda unaudhubutu sana kama magu nchi hili inapigwa sana kilasehemu kwenye makusanyo yahela itakuwa nishida tungekuwanaakina Makonda kilamkoa inchiinge pigahatua sana
@SamweliMwalindu
@SamweliMwalindu 4 ай бұрын
sisi watanzania hatupendi watu wanamna hii mungu aingilie kati kuwaweka ka iblahimu wa bukinafaso makonda oyeé raisi ajaye
@CharlotteMpangala
@CharlotteMpangala 4 ай бұрын
Makonda njoo na hukuuuuuu kwanguu kuna shida inayotikana na shida
@benardpeter3562
@benardpeter3562 4 ай бұрын
Hongera sana Mkuu
@honoratusmodest285
@honoratusmodest285 4 ай бұрын
Safiii
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 ай бұрын
Makonda nakuomba kwa dhati uchaguzi ujao ugombee ubunge jimbo la ubungo, hatuna mbunge ubungo. Wala hatujawahi kumuona mitaani, magufuli alikua kiongozi mzuri lakini kwenye wabunge fake alitukosea sana wapiga kura. Kimara barabara za mitaani ni disaster
@MariaBugingo
@MariaBugingo 4 ай бұрын
Mafisadi hawataisha kwenye hii nchi. Mpaka hapo tutakapo pata watu, wenye uchungu na Maendeleo ya Nchi yetu. Makonda yupo Arusha, je Mikoa mengine wanafanya hivyo?. Barabara zetu za mitaani ni mbovu. Kodi ni kwa ajili ya Maendeleo ya Taifa letu, lakini sasa inakuwa ni Maendeleo ya Familia zao na Matumbo yao. Mungu atusaidie sana
@afyaacademy-t7n
@afyaacademy-t7n 4 ай бұрын
Makonda Nina buku Yako hapa kadri ya uwezo Wangu Utamnunulia Jojo kijana wako
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 4 ай бұрын
Nchii ni tajiri sana maana inapigwa usiku na mchana, hasa tamisemi, inatisha
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 4 ай бұрын
Hii nchi imeoza kweli!!!
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 4 ай бұрын
Huyo Ndio BABA KIGAN
@emmanuelelam555
@emmanuelelam555 4 ай бұрын
Duh kaz tunayo hongera mkuu wamkoa
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 4 ай бұрын
Makonda hoyeeeee
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 4 ай бұрын
Nakukubari sana makonda ww ni jembe
@EnjoyReonald
@EnjoyReonald 4 ай бұрын
Usijekutulogea tuu watu na hiyo mipete yako😂😂😂😂
@olivernyange2349
@olivernyange2349 4 ай бұрын
Hamuwezi,toka anapelekewa moto tungeona matokeo
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 4 ай бұрын
Huyo mkurugenzi hana adabu, ni mpigaji ndio maana aliitisha waandishi ili kudhiofisha maamuzi ya RC
@maasaiafricanguides5717
@maasaiafricanguides5717 4 ай бұрын
Inawezekana hajui kinachoendelea kati ya vijana wake wa kazi na wahasibu wa Tanganyika Wilderness Camp, vijana wake (wafanyakazi wa halmashauri) hawawezi kuipiga hiyo pesa bila ushirikiano wa wafanyakazi wa kampuni ya Tanganyika Wilderness Camp. Hapo Kuna siri na mwisho wa siku itajulikana tu.........tusishangae TWC akaja kumuomba msamaha mkurugenzi.
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 4 ай бұрын
Next president of tz
@josephsala5415
@josephsala5415 4 ай бұрын
Kumbe RAS anamtumbua DED?🤔
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 4 ай бұрын
Duu. Kazi kweli ila Mungu asimsimame kwenye haki jamani
@mustaphahashim7532
@mustaphahashim7532 4 ай бұрын
Makondaa apewe nchi.
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 ай бұрын
Salute 🫡 makonda
@IDDYHussein-fe7dn
@IDDYHussein-fe7dn 4 ай бұрын
Yaani uyo mkurugenzi si alisamehewa wakati wa Magufuli..akajilizaga ule wakati. Wakamsamehe akarudishwa kazini na uko Arusha analikoroga tena..piga .chini
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Hivi ajira za wazee kama huyu asieweza hata kujieleza wanazipatagaje jamanii
@chandekaamiri3153
@chandekaamiri3153 4 ай бұрын
Piga makonda tunahitaji watu kam nyie
@khamishussein3502
@khamishussein3502 4 ай бұрын
Nakubali
@athumanimhina1869
@athumanimhina1869 4 ай бұрын
Mh makonda endesha kazi kwa uwazi hivihivi ili tusipotoshwe kuhusu utendaji wako wa kazi tunauona mubashara
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
TUNGEPATA RAIS TANZANIA KAMA MAKONDA MIAKA MITANO TU WAZUNGU WANGEJIULIZA KICHWA KIPO KATIKA KITI TANZANIA 🇹🇿 😂😂😂
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 4 ай бұрын
Kila kona majanga naomba Makonda apewe Tamisemi
@ericksaulo3029
@ericksaulo3029 4 ай бұрын
Mweshimiwa wanyooshe hao ndio wanaozuia maendeleo yetu ya Arusha...
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 4 ай бұрын
Mmelea watu hawa miaka mingi. Kufukuza haisaidii. Wengine wangekua wananyongwa ingesaidia
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 4 ай бұрын
Tamisemi Pana shida, serikali yetu Ina serikali nyingine ya Siri ,deep state, Hawa wanakusanya Kodi nje ya Kodi serikali
@mybrain8940
@mybrain8940 4 ай бұрын
Wakurugenzi wakiwa wanasiasa na sio wataalam , professionals itawasumbua saana,
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Makonda tembelea halmashauri za mkoa wote huu ni muozo ndo maana Arusha hainekani kubadilika kila mwaka barabara ni zilezile ndo zinajazwa vifusi
@JohnMunisi
@JohnMunisi 4 ай бұрын
Makonda usiogope Hawa vibaraka pambana nao.
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 4 ай бұрын
Makonda Tanzania hii nishidaaaaaaa wizi mtupu unamaana nchihiii wizi tuna hasa malipo yaserikali yamfumo waconrooo helanyingi zinaliwatu
@ThomasiMichael
@ThomasiMichael 4 ай бұрын
Mama Samia tuletee sabaya uku dar kumeoza
@SamweliMwalindu
@SamweliMwalindu 4 ай бұрын
sasa makonda unamsaidiane mkulugezi kwaanavyoonekana anawatu juu sio anaptaje ujasili wakwenda kunyu.e nawew
@hashimabdalah3161
@hashimabdalah3161 4 ай бұрын
Kama ningekua rais wakulugenz wangetokea jeshin
@markjason2035
@markjason2035 4 ай бұрын
Mi pete imegoma
@godfreychaba9673
@godfreychaba9673 4 ай бұрын
😂😂😂
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@AllyDaudiNgoyeji
@AllyDaudiNgoyeji 4 ай бұрын
Je,Makonda ana mamlaka ya kumfukuza kazi mteule wa Mhe. Raisi? Mbona waliokula mabilioni yaliyoibuliwa na"CAG" mbona hawagusi?Kile anachotuhumiwa kula huyo bwana,je kiliibuliwa na CAG,Internal Auditor au Makonda tu ktk kuonyesha ubabe wake hadharani? Ni mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Kijiji cha Itilima ,Kishapu;Shinyanga.
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 4 ай бұрын
Chuki za mafisadi
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 4 ай бұрын
Ana malaka ya kumsimamisha na ndicho alicho kifanya umeelewa we kibaka
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 4 ай бұрын
Unachohoji. Na uchofaidika na kipii apo katika ilo swali lakooo .?
@makamejuma6959
@makamejuma6959 4 ай бұрын
Yy hatoweza kumfukuza icpokua atapeleka taarifa juu kutokana na utensaji mbovu wa mkurugenzi wake ss apo anaweza kupewa mamlaka na ata apo hajasema km mkurugenzi akamatwe
@olivernyange2349
@olivernyange2349 4 ай бұрын
We ndo mganga wa mkurugenzi nini,mapete yamefeli Sasa kambadilishie
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 ай бұрын
kesi ya mbuzi unaipeleka kwa mbwehaa shidaa nikuondoa chama chapinduzi madarakani wenye mamalamiko nitanzania nzimaa mtapiga kelele mpaka mchoke hakuna msaada
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 4 ай бұрын
We nae siasa kila mahari haowapizan wako pia hakunachochote waowenyewe nimafisadi katika vyama vyao wakishika nchi itakuaje, madiwan wachama pinzan walikua wengi sana kipindi cha nyuma lakin walikua wanatafuna pesa nawatu wa harimashauri siasa pizan za tanzania kilamtu apigania tumbo lake wala si kuleta mabadiliko viongozi kama makonda tunawahitaji sana
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 4 ай бұрын
Dah umesema kweli ndugu​@@bugapeasant1827
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 4 ай бұрын
Chama chako kimefanya nini toka umeanza maisha?
@golebenson4597
@golebenson4597 4 ай бұрын
Umekariri ujinga poleeee😅😅
@golebenson4597
@golebenson4597 4 ай бұрын
Makonda kuna mjinga mmoja alisema ulipata ziro alupata wapi ujasiri wakuongea utombo wakuku
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 18 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 21 МЛН
MKURUGENZI AINGIA KWEYE 18 za MAKONDA, MTWANGA MASWALI MAZITO,
9:14
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 18 МЛН