Ww baba nimekupenda sana umeongea ukweli bila kuogopa mtu mama etu mama samia yupo vizur sana sana baadhi ya watendaji hawa wa chini 😭😭😭😭
@robertphilip385 Жыл бұрын
Nakweli mandunduka niwengi watu wenye vichwa mgando hawaishi inchi hi
@Eliaskasanya-hm5yk10 ай бұрын
Huyu mzee yupo vizuri sana. Yafaa awe diwani
@mayungarichard7443 Жыл бұрын
Hao ndio viongozi sasa, safi mzee
@fadhiliomary1802 Жыл бұрын
Huyu anaitwa mzee Abuu mzee mbishi Sana, mshabiki wa @yanga asiyekubali kuzhindwa, ukibishana nae kwanza upunguze hasira la sivyo utampiga makofi😂😂😂 Ana akili Sana...na hapendi kuonewa huyu mzee na Ana mtoto kasoma elim ya juu...
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Wazee kama hawa wamebaki wachache wengi watumia matumbo Yao mzee mungu akubariki Sana sana
@marcongeleja9450 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@masatumtani1588 Жыл бұрын
Nashukuru Makala umetambua mahakamani hakuna haki
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Kuwa na kiongozi mwanamke tena asiye raia wa Tanganyika, watanzania mmeingizwa mkenge ktk sehemu mbaya ya miili yenu. Hasira zinazidi kuwapanda. Wakati unakaribia kimbunga kitokee ktk nchi nzima.
@cosmasmwaselela6584 Жыл бұрын
Kama Rais wangu wa Tz akiyasikia yako kalibu Tanzania yote hao diowamchonganisha nawanainchiwake huku wakimumwangia sifa zakinafik
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
Huyu ndio abuu.. mwenyekiti msomi sana.. hapo degree ya accounts imetawala ndani ya ubongo wake..
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Anaonekana tuu sio ndio mzee mama anaupiga mwingi tetea wananchi.
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Yes, huyu mzee anajua anachokiongelea.Mwanza kuna rushwa kubwa sana na cartel ambayo inarudisha mkoa na jiji la Mwanza nyuma.
@jesaminzo Жыл бұрын
Hiyo ndiyo CCM mbele kwa mbele!
@tumainielmaruwa3148 Жыл бұрын
Mkuu hawa wazee wanapasa kupewa maua yao.
@zakariafrancis4570 Жыл бұрын
Huyo rev alomtaja nimtu mbaya sana tulishawai kutonya jambo fran tukijitia usarendo wa nchi alituchoma baada ya kupata alichopewa tukaenda jera
@samwelnaal7952 Жыл бұрын
Mtoto wa muasisi wa taifa😂😂😂 Alivurugana sana na Lukuvi
@jeshilamtu863 Жыл бұрын
Mzee ABUU❤❤😂😂😂😂
@RemmyWilliams Жыл бұрын
Halimashauri ya ilemela imetuzungusha miaka zaidi ya 4 hawatupi hati ZETU. Viwanja 40. Kiseke ppf. Walijigawia viwanja wanakula pesa tu. Tumesumbuka sana mpaka wilayani BILA m yoyote. MPAKA tumejuana tamaa. ATUSAIDIE MUHESHIMUWA. TULISHA LIPA NA PESA ZA HATI NA KILA KITU.
@musa-v3f Жыл бұрын
mkuu wa mkoa siku hizi amekua Jaji ? sheria gani inampa mamlaka RC kusikilza kesi za jinai/utapeli kama kuna mtu ameibiwa aende mahakamani na RC hana uwezo wa kupinga mahakama
@rukiafaraj1400 Жыл бұрын
Huyo ndo Abuubakar au baba Mariam.. Hesabu zimelala kwenye kichwa cha Abuu
@Freedom_fighters898 Жыл бұрын
Hawa Maccm hawawezi kuiendesha hii nchi tena wanapiga deal tu!
@dannzacharia8356 Жыл бұрын
Rc makala hata mgogoro wa airport umeingizwa mkengee. Fatilia mwenyewe bilahaoo viongoz hata meneja wa Ndege siom2 mzurii wanachiianawambia hanatatizo naeneo hiloo. Juz anakusujudia
@MOHAMMEDABDI-lb7yp Жыл бұрын
Jama mlindeni mzee huyu jamani
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Huyu Mze awekewe ulinzi haraka sana kabisa.
@saltechnologiesco.ltd.2377 Жыл бұрын
Huyo mwenyewe ni dhalimu mtaani kwake ndio maana anateseka ameshiriki kufoji nyaraka nyingi za mirathi ili watu wapoteze haki zao sasa naye anapata malipo yake
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Mmmmmm??
@timboxlee919 Жыл бұрын
Hii ni awamu ya sita mafisadi makubwa, hapo msitegemee kupata msaada, Rip JPM
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Kweli tena kwa Makala ndio kabisa. Soko anasema eti iliungua kwa sigara 😢😢😢
@joachimanthony3230 Жыл бұрын
Kwa hiyo tumakubaliana mahakamani hakuna hakieee!!!
@mawazoaliselemani8909 Жыл бұрын
mifumo ya kimahakama ni kama kisima mwaye kata kubwa ndio hupata maji mengi. ukiwa uwezo wa kuweka wakili huna sahau baba
@pastorysent6586 Жыл бұрын
Mh nae anajua kuwa maharaja zetu hazitendi haki..asante mh kwa kuliona hilo
@rehemaissa6164 Жыл бұрын
Huyu ndio Mzee Abu Baker Hassan Seif, Chuma Cha Nera.
@AGNESMAJOLA Жыл бұрын
Baba uko vinzuri sana sijuwi unaishi mtaa gani
@Freedom_fighters898 Жыл бұрын
Hili swala si la kwanza tu ni mikoa yoteee yani watumishi wa serikari sasa wanamtumikia Mama siyo wananchi tena .. shame to Maccm❗️
@beathapontian2187 Жыл бұрын
Tupate wapi mtu km huyu 🎉🎉🎉
@mashirimathias6006 Жыл бұрын
Nimekiona chuma cha misungwi hapo Chacha
@chidatvchannel Жыл бұрын
Hiv huwa mnatangazia sehem gani maana taarifa hatuzifikii
@Michoarbah Жыл бұрын
Kabsaaa
@hizamawa6046 Жыл бұрын
Daaaah 😢😢
@petermgaya3231 Жыл бұрын
Huyu mhindi vip, utaiondoaje Cask wakati ndio sehemu ya Burundi iliyobaki mwanza? Kuna vitu vingine huwezi kuondoa ktk ya miji ambavyo vinaipa jina. Wao si wakakaishi magu huko
Bundi sio Rais, waliomuuwa ngosha ndio wanamuendesha!
@faustinluambano2958 Жыл бұрын
Wizara ya ARDHI ni mzigo.Wanakuwa na Mipango yao ya kubadili RAMANI za MANISPAA kwa manufaa YAO.ARDHI YA MANISPAA IBAKI CHINI YA MANISPAA
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Awamu ya majizi tupu. Mungu, nakuomba uiondoe hii CCM imekuwa janga kabisa kwa watanzania.
@robertphilip385 Жыл бұрын
Kabisa asee
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Amina🤲🤲🤲
@zephaniasamio797 Жыл бұрын
Tujitahidi ndio nini jamani ,Hawa viongozi ni mizigo, mtu ametajwa mshughulikie ajibu tuhuma
@daudimusoma3337 Жыл бұрын
Jamani mnisaidie ni wapi hapo ambapo wanatolea hizi kelo namimi niende? Sijui ofisi ipi hapa mwanza
@berthatz Жыл бұрын
Watanganyika wamechoka kila pande ya nchi..Uongozi huu haufai kuanzia Raisi ..Wasafi asante kwa kupost hii ..Vyombo vingi vinapost sifa tu na uchawa,,hawapost hali halisi…
@jacksonchilongani4478 Жыл бұрын
Kwann nini uite Tanganyika na wakati hatuna nchi hiyo Kwa Sasa tuna Tanzania usitugawe kifikra
@abi-onlinetv4181 Жыл бұрын
Wewe ndo ulie choka. Sisi Watanzania tuko na Mama. Kazi IENDELEE
@FadhirMagembe Жыл бұрын
Safi
@richkinji2583 Жыл бұрын
Tatizo ni lipo kwa huyo Mkuu wa mkoa wala siyo hao anawatuma anajua kinachoendelea
@JosephathKimbavala-bs7tf Жыл бұрын
Watu wanaotaka kuongoza nchi nikama hawa
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Mimi niliwambia huyu Makayla hakuna anapoenda pakawa na Amani yaani huyu jamaa ni shida mpigaji sana
@Misspilly Жыл бұрын
Huyu babu yake naniii🎉
@alicencyprian Жыл бұрын
babu yake Rwegoshora.
@Felix-e6t4m Жыл бұрын
Mkomesheni mkomeshi i mshenzi uyo msimugope asumbua sana daaa akawafukuza wamachinga daaa umewafukuza samia na makala siku itafika tutawavua ayo madaraka tuone mtauza nini tunawachukia sana siosiri
@charlesgasper-wo9hc Жыл бұрын
Watanzania mutanikumbuka hesai
@lameckmbele5901 Жыл бұрын
CCM wanaunyuka mwingi ccm kiboko yao
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Wewe ni kondoo wa mwisho kama bado una akili chafu kama hii,umekwisha
@Faidhajohn347 Жыл бұрын
Mzeeeee kalib tunduma songwe
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Nchi hii mnyonge hana haki silaha ya mnyonge ni umoja tuungane kuitoa serikali hii madarakani vinginevyo mtaliq milele
@MaryamKudra-gf8zs Жыл бұрын
tuungane tukamtoe kwanza kulala za wachadema mwenyekiti
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Huyooo amezoea na hizo propaganda usikute nyuma ya hayo anahusika masizi mwenyewe Sasa kwa wa Sukuma ameyakanyagaa lalekiii watu hawaogopi... wanamjua MUNGU wana IMANI na MUNGU alafu Wana Elim na maalifa Mwanza hoyeeee
@coolruler6820 Жыл бұрын
Mzee anafaa kupewa cheo kikubwa Mkoani,,,anaongea kutoka moyoni
Yaan hii nchi ni yahovy sana sijuw wanqtuchukuliaje wananchi ila itafika siku tutachok maan wanafaidik wao t tulioweng tunanuk umaskin wengine wakula na kusaza ifike mahali watanzania tuseme imetosho sio kutuona wajinga kilasiku allaaaa
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Eee kumbe wakubwa mnajuwa mahakama zinaegemea upande mmoja
@kelvinndege2200 Жыл бұрын
Hii Nchi ni kuteseka mpaka unakufa walah 😭😭😭
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Pambana,acha kujinenea mabaya
@aboubakarothman Жыл бұрын
Umeteseka kwa lipi mdau?
@robertphilip385 Жыл бұрын
Hayoyote ni matunda ya katiba mbovu
@kassimualli1755 Жыл бұрын
Kuma wewe
@rutakihama3523 Жыл бұрын
Sasa hapo katiba imeingiaje sasa
@rogersiddy Жыл бұрын
Kweli kbs Katiba inausiana sababu madaraka yote anayo Raisi kama yangekabidhiwa kama Majimbo haya yalishatatuliwa mapema sana lkn adi Raisi aseme jambo ndo litekelezwe uko sahihi kbs
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JohnDeus-v3e Жыл бұрын
@@kassimualli1755hauna Tus ringine mpaka utukane mama yako😂😂
@juliusdidose100 Жыл бұрын
Abuu
@alicencyprian Жыл бұрын
Mseminari
@pascallyasukuma8742 Жыл бұрын
Usikute huyu mwenyekiti wa mtaa ni usalama.
@dominicodeus2557 Жыл бұрын
Huyo mzee Abu niimtata sana
@KamwandaNzowa-eo4ur Жыл бұрын
Wambiye ukweli wakisema upinzani wanazomewa hapo leteni majibu wanafiki
@dannzacharia8356 Жыл бұрын
Kunaviongoz hawafaii hatakidogo nikufukuza kazi sioo kuhamisha