Congratulations to Tanzanians for your hardwork you really making major strides
@chinaomy1305 жыл бұрын
Magu konki sana.Anauthubutu wa hali ya juu sana.Tumechelewa kumpata.Ila hakuna noma tutafanya fitna yoyote ili timsimike kama miaka 20.
@wycliffeondieki9776 жыл бұрын
Looks nice You beat us there on the SGR great
@kidalikevin16765 жыл бұрын
As a Kenyan, I am proud of this, self sponsored electric train, Mr. president Uhuru, learn from them and stop deceiving us Kenyans.
@johnmbugani65326 жыл бұрын
Hongera wa Tanzania wote, Hongera viongozi wetu wote, Hongera ndugu Rais John Pombe Magufuli. Mliokabidhiwa kusimamia na kuendesha Shirika jueni tunawaunga mkono, nanyi mkumbuke jukumu hili tukufu mlilopewa na Taifa letu. Hujuma yeyote ni sawa kujipiga risasi mwenyewe
@sidibesolo10044 жыл бұрын
Bravo Tanzania
@gospelthusiast6 жыл бұрын
Hamna muda mtanzania anajivunia kuwa mtanzania kama kipindi hiki..... Nchi zingine zinashangaa hawa wanatoa wapi ela, ujasiri na akili hiyo? sisi sisi ni wafadhi!! tunajifadhili! Hongera sana Magu! ongeza ata mkataba hatuna noma! usibadilike tu baba! chenchi iile hatuna shida!
Hongera ni hatua nzuri,isipokuwa Ben Mwanatara umekuwa mvivu hautuletei updates kama zamani loh
@rewaatesh48776 жыл бұрын
Hongereni.. Ila ongezeni uwekezaji km hoteli, Maduka, vituo vya mafuta, Dar mtengeneze parking kubwa. Reli haiendeshwi kwa nauli
@enockelia95676 жыл бұрын
Ben, sahv hautupi updates za ujenzi km tulivyo kuwa tumezoea. umepotea. Toa kitu bac hata cha December tuone maendeleo ya ujenzi.
@kalisacallixte70275 жыл бұрын
Good
@twilakambangwa59526 жыл бұрын
Tunawaombea mtekeleze kwa weledi mkubwa. Nitakuja mwaka huu Bongo nije nijionee na nipande. VIVA mjomba magu
@jesse80755 жыл бұрын
1st well done to TZ for this work, 2nd I think the difference from this to Kenya is that the drivers are taught by the Chinese as the train is in operation which most people don't understand in Kenya always complaining why china man is there. learning in class is totally different than learning while doing the work.
@festuskanga84956 жыл бұрын
HUYO SASA NDYO PRESIDENT. MAKAFULI WOYEE!!! TENA HONGERA WATANZANIA!!!
@Itarusii6 жыл бұрын
Hiyo akili. Kuleta waalimu badala ya kupeleka kundi nje ya nchi. Ukipiga mahesabu hata nauli na visa gharama zinapungua sana. Bravo.
@johnkatambi96576 жыл бұрын
J. F.K wakitaka kuaply elimu ya vitendo wanaendesha mwendokasi ?
@Itarusii6 жыл бұрын
@@johnkatambi9657 kama anavyosema ikifika wakati wa kitendo watapelekwa.
@flaviusmwemezi99616 жыл бұрын
Olewenu mlete vile vyichwa vibovu wakati kwenye picha mnatupostia tren za maana au siku iz reli TV mpo after viewers Huwez kutuwekea picha kabla ya video tunafungua hatuoni hata dalili ya hivo vichwa
@HASASON6 жыл бұрын
Tuliza wenge wewe usifundishe watu kazi zao
@erickwanjarajr57076 жыл бұрын
Mimi nitaandamana
@renatusmisigaro63326 жыл бұрын
Vichwa na mabehewa ni atua ya mwisho kabisa reli ikishaisha! Utavileta saiv uviweke wapi?
@immamlowe71516 жыл бұрын
Zitto Kabwe na tundulisu wanateseka sana jamani!
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Imma Mlowe 😂😂😂
@karumekondo3606 жыл бұрын
APA Kazi tu
@HASASON6 жыл бұрын
Nyumbu wanaweka wapi sura zao wakiona hivi? Walisema JPM anaota ndoto huu umradi ungemshinda 😂😂😂
Kadogosa angalia hao wanaoenda kujifunza nje ya nchi wasije wakakusababishia ukamwaga ugali wa watoto wako usikubali kumwaga unga!
@kamgomoli36506 жыл бұрын
Hapo kama huna kadi ya kijani huchukuliwi
@nurukhama91366 жыл бұрын
poa
@charlesrachier54445 жыл бұрын
Tupo tupo
@rahjah58826 жыл бұрын
Mbona madereva wenyewe ni wengi ni wazee?
@pendokatindasa22816 жыл бұрын
Nitashangaa Yule mkongomani kivuruge na genge lake watakapo kuwa wa kwanza kupanda.
@deusmauka96265 жыл бұрын
Nawaonea huruma wenye wake maana wanawake wa kibongo uvumilivu kwao ni kitendawili 😂😂😂😂😂😂😂😂waanze mapema kuwaandaa wake zao kisaikolojia.
@johnasmwasnsansu54036 жыл бұрын
mh ss hii treni itakuwa inatumia umeme huu huu wa tanesco au upi maan huu wa tanesco watu si wakuwa wanalal njiani
@tegezdomin83634 жыл бұрын
Ndio huohup,lakini kuna umeme mwingine unatengenezwa maeneo ya kibiti
@selemankishema57806 жыл бұрын
Mtoe majina tuyaone isije kukawa na upendeleo wa dini au ukabila hii nchi yetu sote
@erickwanjarajr57076 жыл бұрын
Mimi nafikiri mmenunu vichwa kumbe story za darasani.
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Erick Wanjara 😂😂😂uta pata tabu sana
@eddiemsongelanzi53956 жыл бұрын
Ni sawa hilo wa angalie miaka na tabia za wanafunzi pia umri uwe mdogo wasiwe wazee kurahisisha uwelewa na urahisi wakuzingatia pia wawe wana nchi hails
@marcominja88505 жыл бұрын
Unateseka sana, kwa taarifa yako tutaleta vichwa vya kisasa, sio kama vyenu kenya kama bichwa la ng'ombe
@HASASON6 жыл бұрын
Nyumbu wanaweka wapi sura zao wakiona hivi? Walisema JPM anaota ndoto huu umradi ungemshinda 😂😂😂