Dada apo safi sana maana wanawake wenginee nikupamba kucha tuu na nyweleee,jifunzeni kwa dada hapa
@walterngowi58352 жыл бұрын
Sawa Bwashee mpaka Marekan flag inapepea Gud job 🤙🤙🤙
@augustinejohn18353 жыл бұрын
Kiteeee, thanks a lot kwa kituhabarisha kutoka USA. Mola akulinde urejee salama. Amin
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Allah ayibarika kaziyako dada 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@marcominja88503 жыл бұрын
Mama ntilie wa kishua, pilau elfu 40.
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Ubunifu sqfisaana 💕💕💕
@shaniseif1830 Жыл бұрын
Nimemfulaia uyo dada ajivungi❤❤
@shimbaalex88372 жыл бұрын
Big up my sister prisila mkenda
@flavianchuwa43703 жыл бұрын
Noma sanaaa
@thomasronniemashele6445 Жыл бұрын
Dada shujaa mpambanaji wabongo hatujawahi kushindwa labda enzi za mababu sio dunia ya leo.big up sister
@silviaamos-pl5lk4 ай бұрын
Dada hongera,naomba unahitaji mdada wakitanzania nahitaji napenda kupika chakula
@TheMkwatis3 жыл бұрын
Priscilla big up 👍
@magomaclass92773 жыл бұрын
Safi mama wape na ugali wa muhogo
@frankbunini98982 жыл бұрын
Fantastic 💯💯💯💯
@issamohamed3753 жыл бұрын
Kaka kitenge please naomba namba za uyo Dada ili nipate kujua thamani ya iyo gar ili na mm nifanye hapa home
@emmanuelshayo47033 жыл бұрын
Ndugu biashara inaenda sambamba na ubunifu huhitaji mpaka uwe na gari hiyo hiyo ndio uweze kufanya hiyo biashara......... Unaweza nunua gari aina nyingine ukapeleka gereji na kuiunda kama unavyotaka wewe mwenyewe
@mankacharles45592 жыл бұрын
Mmh agiza hayo ni maono yako anayeona kuliunda kwa fundi aunde,ila kuagiza ndio safi
@peterokalo96322 жыл бұрын
Congratulations 👏🏽
@vigezo2 жыл бұрын
Ungetuonesha au kutest chakula kidogo ingependeza
@edwinkarani55932 жыл бұрын
Love this.
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Good on you dada!
@bretengood50383 жыл бұрын
Xenks Bro
@boanergesd28582 жыл бұрын
Hii nimeikubali. Video zako nzuri sana na zina mchango mkubwa sana
@kingnicky25683 жыл бұрын
Kitumbua Gani hi ho Cha 8000 au ndo like walichokua wanaimba wasanii
@mohamedaden58812 жыл бұрын
Mwee jamani kitumbua elfu 8000🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@niriacatering1722 жыл бұрын
Asante sana
@sadih53333 жыл бұрын
Sawa
@raheemahamees6410 Жыл бұрын
Posipti tunazo Tupe michongo dada
@dorcasbyobala46982 жыл бұрын
Naweza pata number ya dada huyu tafadhali.
@ayoublupande39873 жыл бұрын
Duuh dolla 17 pilau kitumbua dolla 2 aisee kina pesa km kibongo bongo
@ChoroTesla2 жыл бұрын
anauza hvyo kutokana na thamani ya hela mzee
@AraAra-fs7tg10 ай бұрын
Kitumbua dollar 2.. Elf 4
@Nickojunior Жыл бұрын
kipindi kizuri,,, natamani kufanya naye kipindi
@josephjohnmagesa82563 жыл бұрын
Kumbe anaongea kiswaili
@benjaminmushi99942 жыл бұрын
Dada mchaga wa rombo kweli
@raheemahamees6410 Жыл бұрын
Tupe namba Tuje kufanfa kz
@PiusAmbros-gh9fk4 ай бұрын
kitenge nimeona mama nterie uko marekan mm ni mpishi nakuomba uniunganishie nifanye nayo kazi nitapata ?
@wivetv78672 жыл бұрын
Niumbey kazi kwa maman nitilie
@oscarakyoo48152 жыл бұрын
Ukisikia mama anaupiga mwingi ndo huyu sasa
@theuniversetv28702 жыл бұрын
Pilau moja shilingi arobaini🤣
@Maxpaul-oi8pw11 ай бұрын
Dada mchaga
@deborakasambula7431 Жыл бұрын
Dada na mm naomba kazi
@bikilamngashabani32633 жыл бұрын
Sasa wateja wanapotaka kula wanakaa ndani? Au?
@pmt793 жыл бұрын
Take away only mzee
@alvinsafi27332 жыл бұрын
Foodtrack huitaji kula hapo hapo Just take away .Ghana wenzetu wanafanya hii huko accra