Kituo cha Sheria (LHRC) chamuonya RC Makonda kwa madai ya kumdhalilisha Mtumishi wa Longido!

  Рет қаралды 8,156

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

25 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 298
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 23 күн бұрын
Nashangaha sana kwahiyio mwanamke akikosea utendaji kazi asi kosolewi kwani? Nahona sasa wanawake wamekuwa mihungu. Mwacheni makonda apige kazi nahona huo Ndio ubunifu wake .mbona akiwambia wanaume hamsemi kwajili nimwanamke wamwogope?
@josephmchila6467
@josephmchila6467 23 күн бұрын
Kwa hilo dada sikuungi mkono,makonda anasaidia watu,nyinyi wanasheria mbona hamuendi kusaidia watu.Usimkatishe tamaaa.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 22 күн бұрын
Hivi umeelewa kilichoongelewa hapo fikiria ingekuwa wewe ungejisikiaje
@AmosiMaduka
@AmosiMaduka 23 күн бұрын
Kutuo cha sheria ya mashoga tuacheni tusaidiwe mpo na hakizenu hakuna mdaada wowote
@hollymore4904
@hollymore4904 23 күн бұрын
Ko mnatetea haki za binadam au za wanawake? Mbona nyingi tuu znavunjwa
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 22 күн бұрын
Waambieni wafadhili wenu wawatafutie kazi za kufanya,nyinyi mtihani sana..
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 22 күн бұрын
😂😂😂😂
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 23 күн бұрын
Hawa nao wapumbavu hivi hii taasisi inaongozwa na mtu anae walipa ni nani mbona hii taasisi inaongozwa na nani maaana natamani ifungwe (aombe radhi kwa upumbavu wa aliofanya mwanamke yaani uibe halafu akuombe radhi) hii taasisi inalipwa Hela na nan mpaka ipo pale mbona kama naona wanatuchanganya
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 23 күн бұрын
Umekosa kazi mwache kabisa Makonda mmezoea kuonea watu
@juliusjoseph8550
@juliusjoseph8550 23 күн бұрын
Hii inchi ngumu sna hapo amezalilishwa nn we nae ni mxenge sasa kwamba mwanamke akikosea asikosolewe
@user-op5gz7vj6w
@user-op5gz7vj6w 23 күн бұрын
Kwaiyo Sisi wanaumee ndoo atuzalilishwaaajiii etii
@boaziamos1224
@boaziamos1224 23 күн бұрын
Wameshaanza harakati za kumshusha tena
@simonmartin5358
@simonmartin5358 22 күн бұрын
Chefu haki gani wananchi anawakosewa hamjaona haki imekosewa hapo
@DominicaShiyo
@DominicaShiyo 22 күн бұрын
Samia suluhu rais wetu oyeeeeee kwa kutupa jembe hongera
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 23 күн бұрын
Makonda piga kazi
@tinomzungu8070
@tinomzungu8070 23 күн бұрын
Dada hapo kamzalilisha kvp au umekosa kz dada tafadhali muudumie mumeo mwache kaka tafadhali
@fridamossony2821
@fridamossony2821 23 күн бұрын
Wacha ninyamaze niendelee kumuombea mtu aliye na uchungu na wananchi na rasilimali za nchi
@teddydule4784
@teddydule4784 23 күн бұрын
Sasa hapo amedhalilisha nini 😂😂😂😂Tz nchi yangu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@rahmasaid1062
@rahmasaid1062 23 күн бұрын
Ndo ujinga wa wake mnatakakuhurumiwa zaidi kuliko kuwajibika
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 22 күн бұрын
Kwa picha Hairuhusiwi kumhoji kiongozi mwanamke akionekana anafanya Kwa ulegevu ama hafanyi kwa usahihi maana imeonekana ni udhalilishaji!😮
@edwinamos9734
@edwinamos9734 20 күн бұрын
Fara weweeeeeee! Kaombe ushauri kwa watoto wako Mzee.labda watoto wako wanaweza kua na akiri.
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 19 күн бұрын
@@edwinamos9734 hongera sana, inaonyesha kabisa ulifaulu vizuri katika hilo somo!
@chande2k250
@chande2k250 23 күн бұрын
Ahsante Tanzania cku zote ujinga Ndio unatrend mlikuwa Wapi kipindi cha mwenda zake kuyasema Leo Mtu anafanya Kazi unampangia cha kuongea au Ndio ushapewa bahasa Nawe kwa upande wako
@user-pi9ds7oe9s
@user-pi9ds7oe9s 23 күн бұрын
Kampe mumeo stahiki zake acha kulopoka
@lizzybrownlizzy6094
@lizzybrownlizzy6094 22 күн бұрын
Huna kazi ww dada
@user-uc3wu3ho5s
@user-uc3wu3ho5s 23 күн бұрын
Wewe mama umekosa kazi kamzalilisha wapi? ACHA unafki wewe
@Sophie-sl7zc
@Sophie-sl7zc 23 күн бұрын
Mbona Mimi sioni kama kamzalilisha apo jamani yeye alikuwa anaongelea kama utani jamani 😅
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 22 күн бұрын
Sofi what if ungejibiwa wewe Iyo kauli ungejisikaje
@meshacksamora4817
@meshacksamora4817 22 күн бұрын
No sio kweli piga kazi makonda
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 23 күн бұрын
Pole tz
@Muhammedramadhan-xl6yg
@Muhammedramadhan-xl6yg 22 күн бұрын
Hakuna kitu apo makonda hakua siriaz kivile nanyiee muiombe radhi jamii kwani kuna haki zao zinaminywa nanyie mpo hamna maana sasa. Ukizingatia apoyote ni matatizo ya kisheria
@youthmediatv1
@youthmediatv1 23 күн бұрын
Duh
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 23 күн бұрын
We are stand with u makonda,watu wakawaida wanatahabika tz ,😊
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 23 күн бұрын
Hii nchi ngumu
@japharymagesa735
@japharymagesa735 23 күн бұрын
Soma comment ujione ulivyo ng'ombe
@nzalinextlevel4515
@nzalinextlevel4515 22 күн бұрын
umlisema 50 to 50 yakotokea mnasahu hilo dada angu mlitaka kusimama kama wanaume sasa pambanane hayo ndiyo matokeo
@josephamos6636
@josephamos6636 23 күн бұрын
Hakuna kitu umekosa point yakuongea dada
@ViniciasOfficialtz
@ViniciasOfficialtz 22 күн бұрын
We dada mwana Shelia huelewi ulisemalo, na hujui maana ya kuzalilisha
@saidmeza8287
@saidmeza8287 22 күн бұрын
Mama kama huna cha kuongea ebu tupishe
@user-ud4hu6xe1c
@user-ud4hu6xe1c 22 күн бұрын
Natamani kukuambia kitu wewe mama 😢😢😢 Ila Mungu nifundishe kunuamaza
@Elybwayz
@Elybwayz 23 күн бұрын
Ujielewi we mdada auna point
@user-oo3xt3yf6y
@user-oo3xt3yf6y 23 күн бұрын
Huna jioya
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 20 күн бұрын
Harakati.
@abdallahtamim6829
@abdallahtamim6829 22 күн бұрын
Piga kazi makonda
@user-hb6ek6gx7v
@user-hb6ek6gx7v 23 күн бұрын
Ww ni mwehu
@starjay3052
@starjay3052 23 күн бұрын
muacheni makonda mtu kazi
@minanifreddy6969
@minanifreddy6969 22 күн бұрын
Af kwa wale wanaume aliowaleta mbele ya wanainchi wakalalamike wapi na wao...
@simonmartin5358
@simonmartin5358 22 күн бұрын
Upuuz ngomani nao rudisha nyuma maendeleo ya jamii na nch nzma Kwa jmla. Hivi wanapo Fanya eiz na uhalifu mbona hamuoni haki za binadamu.
@albertshao4834
@albertshao4834 23 күн бұрын
Mm sijamuelewa huyu
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 22 күн бұрын
Hawa ndio wanao tetea ndoa za jinsia moja kiukweli toka nilivyo jua kuwa hawa wanao jiita haki za binadamu ndio wanao halalisha ndoa za jinsia moja sijawahi wapenda ata siku moja na wapite wasome hizi comment hakuna kosa lililo fanyika hapo nyinyi ndio tuwatake mutuombe ladhi kwa kuvunja maadili ya kiafrica koloboi zenu
@onester4946
@onester4946 23 күн бұрын
These lawyers must work in the interest of people.
@Hakuzwe
@Hakuzwe 22 күн бұрын
Imeniumiza na Mimi.Heshima kwawatu at wewe ni kiongozi.
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 22 күн бұрын
Kwa hiyoo katika mambo yooooote mazuri anaulizwa juu ya Kodi zetu atakama kafanya wizi asiulizwe kisa mwanamke makonda amenusa alafu ya wiz msitumie uanawake wenu kichaka cha uovu ukiulizwa ulegeze saut ukiambiwa kaz saut unasema unazalilishwa kwendaaaaa temeke huko makonda oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ❤️❤️❣️💕💕🌹🌹🌹🍎🍎
@biomedicaleliatosha7485
@biomedicaleliatosha7485 22 күн бұрын
Aombe radhi nini? Kutojielewa ni shida.
@user-yk1sn8gp9z
@user-yk1sn8gp9z 21 күн бұрын
Makonda ana kiburi tu
@lanezboy7016
@lanezboy7016 22 күн бұрын
Ss kama wananch tunaomba makonda aendelee hiv hiv ndiyo vizur
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 23 күн бұрын
Akiomba radhi mkuu wa mkoa nakunya mafungu mafungu huko alipo mpaka dar es salaam
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 22 күн бұрын
Wanawake watupishe kwenye KAZI shenzi tokeni hapa
@simumbaken4902
@simumbaken4902 23 күн бұрын
Mmeaza
@R-wt5ry
@R-wt5ry 22 күн бұрын
Hivi vituo vngine bana kama hamna vyakuongea mnyamaze mnatualibia mudi jamani
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 23 күн бұрын
Nyie ndio hatuwatak kabisa mnatetea na ushoga...tunajua watetea upinde mnalipwa na marekani panya nyie
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 22 күн бұрын
Janani vyombo vya habari kwa ujumla muwe mnaweka vipindi vya kusoma maoni ya watu ili kutoa ukweli wa mitazamo ya jambo lililo tokea kama hili watanzania wanaakili sana wamelipinga na kuwaona hao wanao jiita haki za binadamu ndio hawana akili na kuwaona nikama wanasiasa tu na si chombo cha kutetea haki za binadamu tafadhali tafadhali someni comment zetu kwenye vipindi vya kufanya mapitio
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 22 күн бұрын
😢
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 22 күн бұрын
Kwakweli hata mimi sijapenda kusema ukweli ...
@msafiriomary893
@msafiriomary893 22 күн бұрын
Kumtharirisha wapiii nyinyi SEMA mmezowa wezi mnapenda kubebana kwenye wizi
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 22 күн бұрын
mjinga sana we nazi kumbe sasa hapo ambe radhi kwa kipi
@wilfredmaimu1958
@wilfredmaimu1958 22 күн бұрын
Wewe tafuta kazi
@gracethobias8069
@gracethobias8069 22 күн бұрын
We mwenyewe mpuuzi tu
@user-qi2dt9nm1k
@user-qi2dt9nm1k 22 күн бұрын
Ww mwanamke sio binadam
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 22 күн бұрын
Changamoto kubwa sana
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 22 күн бұрын
Meno yako hayoooo
@hussenihassani4156
@hussenihassani4156 23 күн бұрын
Dada yangu kazi anayoifanya Makonda asilimia kubwa anawatetea wanawake leohii unasema kamzalilisha kwani kamvuanguo acheni chuki Makonda pigakazi wewenimchamungu munguatakulipa kwakaziunayo ifanya hongera makonda
@vintz338
@vintz338 23 күн бұрын
Toka hapa ,Toka hap nasema tena Toka pepo
@HamisiForogo
@HamisiForogo 14 күн бұрын
Tokaaaaaaaa
@user-uh5ms6qe9b
@user-uh5ms6qe9b 22 күн бұрын
Ulitakaje apakiwe piko ama inaa
@lodnessEnterprises779
@lodnessEnterprises779 22 күн бұрын
Hajadhalilishwa kinachozingatiwa hapo ni utendaji sio udhalilishwaji, kwamba angefanyiwa mwanaume mngeongea, makonda yuko right but kwa watu wazembe na wenye kona kona ndio wanamchukia na kumuona hafai
@ip_header
@ip_header 22 күн бұрын
Eti haki ya Mwanamke , yaan inaonyesha kabisa hayo maneno ya kutafuta huruma ili muendelee kupata misaada kutoka nchi za magharib, watumishi wanafanya ubadhilifu kisha mnatetea upuuzi ili mpate support kutoka kwa nchi za magharib, Waafrika itachukua miaka 1000 kutoka kwenye ukoloni
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 22 күн бұрын
Kwanza bora tuanzishe sheria za uarabuni,maana wanawake mkisomeshwa mnaleta jeuri,bora mkae majumbani mtunze familia,utandawazi unatusumbua sana.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 22 күн бұрын
Hapa ndo naona umuhimu wa sheria za kiislamu sasa.
@hanifa9153
@hanifa9153 22 күн бұрын
Alooh hku kwenye comments kuna hataree shikamoo nchi yangu pendwa Tz na watu wake😂😂😂
@wilsonmahundi6816
@wilsonmahundi6816 22 күн бұрын
Huyo dada bwege kweli kazalilishwa nn
@jacksportman5181
@jacksportman5181 22 күн бұрын
😂😂😂😂 mbona kama wanaume tumepanic iv c rungu tuliwapa wenyewe jaman
@FatmaNoor-ig8iy
@FatmaNoor-ig8iy 22 күн бұрын
Shida imeazia apo aliposem Nina mke tena mzur 😂😂😂😂😂 nkumbuka wakt tupo shule mwalim alimwambia mwanafunz km huo msem😂 bas alienda kwa uongoz wa shule kwa kilio😂😂😂😂😂
@kidoesther
@kidoesther 22 күн бұрын
Kweli pale alimdhalilisha,akimaanisha yule dada siyo mzuri 😅
@user-pk4qq6kn9c
@user-pk4qq6kn9c 22 күн бұрын
Huna cha kuongea kaeni kimya haki unaijua
@user-ud4hu6xe1c
@user-ud4hu6xe1c 22 күн бұрын
Msiyuuuuuuuuuuuu
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 22 күн бұрын
Hauna Story
@chachamturi259
@chachamturi259 23 күн бұрын
Huoniujinga mmezoe kufanya kazin kwamazoea Kuna vituvingi vyakuongelea nasihicho unacho ongeawewe.. unataka umaaarufu au hivi umeeacha kufanya kazi zako nawewe umeyakalisha hapo. Kama nijinsia k aende nyumbani akanyonyeshe. Makonda yuko sahihi. Huyo dada kama angekua anajituma ange lizalilishwa. Ameshindwa kuajiba ngoja aajibishwe. Kama mnajijua nijinsia k kazizakiume mna,iingilia zann. Simnataka hakisawa sasa lawama zann. Nabado hamjasema kwamakonda hamjasema na mtasema. Kiongozi wakweli niyule anaehoji nakufatilia. Magufuli alikua anafatilia anahoji anakuazibu hapo hapo mbona hamjawai kusema kuwa niuzalilishaji
@samsonnyihita3985
@samsonnyihita3985 22 күн бұрын
Kwa hiyo akiwa mwanamke jenga hoja bada jamiii haijakuelewa
@jumashedafa
@jumashedafa 22 күн бұрын
Yan Tanzania anayedhalilishwa ni mwanamke ila wanaume hamtokei kutetea haki zao tushajazwa umagharib unatutesa...Achen unafik...mkitak muende saw ata wanaume wakidhalilishwa mtokee kukemea
@Lameckrichvsix
@Lameckrichvsix 22 күн бұрын
Hichi kitengo mkogo wap kwenye kufuatilia Mikasa ya watoto kulawitiwa na unyanyasaji wa kijinsia leo hii ndio mmuone makonda anakauli za unyanyasaji kwa wanawake
@jacobletema3681
@jacobletema3681 22 күн бұрын
Yaani ninyi mmeona haki inayovunjwa ni ya huyo mwanamke, na haki za wananchi anazotetea Mh. Makonda hamzioni?? Mbona hamtetei haki za wananchi wanoonewa kula siku!!
@SimulizinaPerfect
@SimulizinaPerfect 22 күн бұрын
Ulitaka maneno apewe nani kama mwizi makonda baba kula yangu kwako
@nzalinextlevel4515
@nzalinextlevel4515 22 күн бұрын
leo mlisema wabaijiji sasa kabla ujaongea ifute makubaliano yanubeijini kabla ya lulutukana mama yangu dada yangu na matusi yatakuwa mengi
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 17 күн бұрын
Makonda mung akulinde
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 22 күн бұрын
Hivi vituo vya haki za binaadam, ni Vimeo. Hawa ndiyo wanatuletea haki za jinsia moja, wapumbavu sana hawa.
@salmoomorefeelingproductio1744
@salmoomorefeelingproductio1744 22 күн бұрын
Mbona ye kavunja haki ya nywele zake kwa kuweka katani kichwani?
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 22 күн бұрын
Mtu mshenzi kwa nini asizalilishwe au kwa vile ni mwanamke
@eddechriss2664
@eddechriss2664 22 күн бұрын
Mh. MAKONDA kaisha waxing watumishi wenye jinsia ya kiume wengi sana lakini hatukuona mumkosoe, Acheni MAKONDA aendelee kuwafunza na kuwanyoosha watumishi wasiotambua majukumu yao
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 17 күн бұрын
We vp makonda chapa kaz
@shiraziibrahim9709
@shiraziibrahim9709 23 күн бұрын
Mbona usiku usiku
@lanezboy7016
@lanezboy7016 22 күн бұрын
Matako ww umekosa kaz mngekuwa hivyo s mngekuwa mnawatetea wanAnch
@jumamasele5793
@jumamasele5793 22 күн бұрын
Mbona hamkemei wa navyokula hela et yy n mwanamke so akiwa mwanamke ndo nn
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 22 күн бұрын
Sula ya huyu mama imenikera 😂😂😂😂namiwani
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 22 күн бұрын
Hili shirika la nchi gani hawaonagi wanawake wanadhalilishwa sana baada ya kufatilia kaz zake zinazomhusu hapo watu kazini hakuna cha kubembelezana
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 23 күн бұрын
😂😂😂😂 mti wa matunda ndio unapingwa mawe mbona ya mange kimambi husemagi
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 23 күн бұрын
ILOVE comenti❤
@mrmisosiliuma9366
@mrmisosiliuma9366 20 күн бұрын
Kaoge janaba ndo uje uongeee
ПООСТЕРЕГИСЬ🙊🙊🙊
00:39
Chapitosiki
Рет қаралды 68 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 1,4 МЛН
Choose a car for Grandma ❤️ #car #carlover #automobile
0:16
Drive Vibes
Рет қаралды 15 МЛН
Made in KZ?
4:18
Санжар Бокаев
Рет қаралды 83 М.
Подкат на дороге 😱
0:19
TeM4iK
Рет қаралды 3,7 МЛН