''TUTAWANYOOSHA NINYI - AKIYAMUNGU'' - MAKONDA AJIAPIZA - SAKATA ZITO la WAZEE wa SACCOS na MATREKTA

  Рет қаралды 26,038

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

''TUTAWANYOOSHA NINYI - AKIYAMUNGU'' - MAKONDA AJIAPIZA - SAKATA ZITO la WAZEE wa SACCOS na MATREKTA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 74
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-jz6wu1ed1h
@user-jz6wu1ed1h Ай бұрын
Ninakufunika kwa damu ya Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai, Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
.tumishi wa Mungu aliye hai, Mungu azidi kuwalinda kundi lote la ukombozi.... Hii ni ukombozi timu ikiongozwa na Makonda..Mungu azidi kuwatangulia.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
T M U... Team Makonda Ukombozi. Naomba wote tunaoiona kazi ya mheshimiwa Makonda na team yake chini ya uongozi wa mama Samia tujuane.
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 29 күн бұрын
Tupoooooooooooooo tumejaaaa teleeeeee hata wale waliokuwa wanamuita Bashite nao wameungana nasiiiii....safi sana Makonda Mungu akufunike pande zote ...
@JosephSaidi-db2rv
@JosephSaidi-db2rv Ай бұрын
Makonda Mungu aendelee kukupigania Kwa kuwa unapambania haki ya masikini na watu wa hali ya chini
@JosephSaidi-db2rv
@JosephSaidi-db2rv Ай бұрын
Raisi wetu mheshimiwa Dakitari Samia Suluhu Hasani tunakushukuru kutuletea huyu kiongozi mahiri Makonda Kiongozi mwenye maono Asiependa mtu kudhulumiwa Mwenye kutetea haki Mama Yetu Samia Mungu akubariki
@section8ight174
@section8ight174 29 күн бұрын
Daktari*
@user-dq1wz9fw6n
@user-dq1wz9fw6n Ай бұрын
Hii nchi Mungu aliumba vizuri sana akamuumba Makonda ,Mungu naomba umlinde huyu,
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Makonda na timu yako, Mungu wa mbinguni azidi kuwatangulia...awalindeee.... Hiyo kazi siyo rahisi kabisa, Zaburi ya 35..Bwana akatete nao watakaoteta nanyi na akapigane nao watakaopigana nanyi, jina la Yesu likawafunike kwa jina kuu la Yesu Kristo.
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa wa kipekee🇹🇿 Mungu akupe nguvu
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 Ай бұрын
Yaani najiskia vibaya mpka machozi yananitokaa. Kuna sehem nying sanaaa watu wananyimwa haki zao na kutesekaaaa. Makonda Mungu wa Mbinguni akubarik kwa hivi unavyovifanya
@japhetkarori5230
@japhetkarori5230 Ай бұрын
Uyu jamaa makonda ata mumpe mwenyekiti wa kijiji anajaza watu tu...kwa kazi zake.
@petersilas4234
@petersilas4234 Ай бұрын
Kwani ukiwaaminisha watu kwamba una dawa ya matatizo yao yote wataacha kukufuata, ila utaweza kuwaona wote, mfumo ndio unaotakiwa kufanya kazi sio mtu.
@rabylicious7178
@rabylicious7178 Ай бұрын
Mzee anawapa za vichwa tuu "humu tu, humu tu" makonda Baba mungu akulinde 🤲🙏😘
@GodlistenNdetaulwa
@GodlistenNdetaulwa Ай бұрын
Kwakweli Makonda kazi unayo fanya kutetea hawa watu ni Mungu akulipe tu .
@NicIbrahim
@NicIbrahim Ай бұрын
Makonda unakazi kubwa hapa God with you
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde baba njoo oljoro
@salvakimati1944
@salvakimati1944 Ай бұрын
Mzee yuko nondo sana
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 Ай бұрын
Slaa +makonda good solver
@LeonardKasulwa
@LeonardKasulwa Ай бұрын
Hivi mambo haya anayo shughulika nayo Makonda leo Arusha, viongozi wa serikali waliopita mkoa huo, hawaoni aibu kuishi katika nafasi zao miaka yote hiyo wakipokea mishahara minono na bila kuwashughulikia wananchi si wanaona aibu sana? Hawastahili kuendelea kushika nafasi zozote serikalini. Hongera Baba Makonda, nakufunika kwa damu ya Bwana Yesu, na Mungu peke yake akulinde asbh, akulinde mchana, akulinde jioni na siku zote za maisha yako. AMEN
@user-fo9cn6kx1s
@user-fo9cn6kx1s Ай бұрын
wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@neemaemanuel1058
@neemaemanuel1058 Ай бұрын
Kazi nzuri sana makonda
@nowamateyo3318
@nowamateyo3318 29 күн бұрын
Mungu akubariki saxna makonda endelea kuwa zikilisa wanyongeeee
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Unapeleka kesi kwa bashe.hana msaada huyo bashe
@maryjames7438
@maryjames7438 29 күн бұрын
Hahahahaha nimempenda Bure Mzee amsi safi sana baba
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
Makonda mungu akusaidie unapambana sana daah
@nellynathan-hf2by
@nellynathan-hf2by Ай бұрын
Mhhhh,,,nikimwangalia rais WA bukinafaso na waheshimiwa wetu hawa kuna kitu naona.... Safr yetu ni ndefu sana
@edwinmsuya3813
@edwinmsuya3813 Ай бұрын
Saccos nishida sana kuna sacoss moja ipo mwanga inaitwa chawakuko nijipu
@hategekimanamariespeciose5701
@hategekimanamariespeciose5701 29 күн бұрын
Kweri kbx baba
@IsufuRajabu
@IsufuRajabu 28 күн бұрын
Hii nidamu ya Marehemu Dr John Pombe Magufuli
@faridahalil4456
@faridahalil4456 14 күн бұрын
Microphone 🎤 sio nzuri
@IbrahimMotors-vl9ii
@IbrahimMotors-vl9ii Ай бұрын
Babu hanamsuka hatar sana, safi sana mzee
@judicalosika7642
@judicalosika7642 29 күн бұрын
Dah hii kali kweli. Eti hii ndiyo Tz ya ANANI!!!??
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉maua yangu kwa Mzee
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 Ай бұрын
Ndio hayo makonda wanamuandama kusaidia watu kupata haki zao
@user-ks7zc6kd7u
@user-ks7zc6kd7u Ай бұрын
Hao watu siyo wastaarabu
@janethelitwaza213
@janethelitwaza213 14 күн бұрын
Ee MUNGU mtunze MAKONDA
@zaitunihussein
@zaitunihussein 16 күн бұрын
Kimeumana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
MWAKA YOYOTE KULA ZA URAISI TANZANIA 🇹🇿 ATAFANYA RICODI YA KULA TANZANIA 🇹🇿 HUYU MAKONDA NI MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤❤❤
@section8ight174
@section8ight174 29 күн бұрын
*wowote *Kura
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 29 күн бұрын
Ndio maana mimi sijui masakosi sijui upatu sijui kupena hela uwaga sifanyagi uo Upuudhi bora nife masikini unaona ubabaishaji
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
Tatizo LIKO SARCOSSSSS
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 29 күн бұрын
Duh!!
@richardmaimu9596
@richardmaimu9596 Ай бұрын
Hapa ndipo napomkumbuka Magufuli,
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 29 күн бұрын
Makonda mimi siku tukikutana nitakupa mkono wangu wa shukurani
@salvakimati1944
@salvakimati1944 Ай бұрын
Hahahaha eti komaa mzee daaah!
@mc-stephenmasome6553
@mc-stephenmasome6553 Ай бұрын
Baadhi ya watumishi wa Umma, wanasababisha serikali yetu inaonekana mbaya
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 24 күн бұрын
Ndo maana sipendi issue za saccos wizi mtupu
@user-zw6lg3px6d
@user-zw6lg3px6d 29 күн бұрын
Ivi tunajifunza nini?.
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h Ай бұрын
Making baba nisaidie jm cna biashar mm ndy baba ndy mama naomb nipat ha lak moj
@FlorenceOttaru-jv4fi
@FlorenceOttaru-jv4fi 21 күн бұрын
Kosa la huyu dada ni lipi hapo
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 29 күн бұрын
Apo kuna janja janja apo iyo Insu wapewe kadi zao na hati zao waache utapeli
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 Ай бұрын
Hii nchi Ina shida nyingi , atakayeniona namtukana, kumkosoa, ama kumpinga Rais anikate shingo. Hivi tu jambo la kimkoa linaumiza dogo je makubwa makubwa
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 29 күн бұрын
Mzee Nicodemsi ana point Asilimia 100% wapewe kadi zao
@simonjuma2912
@simonjuma2912 Ай бұрын
Mzeee ana piga kwenye mshono tu ...hawa ndio wazee wa arusha ninao wajua mm sio wazee wa Dar.....tu
@rukiawagaba2080
@rukiawagaba2080 22 күн бұрын
Kunasii kumbwa sakosi
@SelijusiMalambo-ur6cr
@SelijusiMalambo-ur6cr Ай бұрын
Ww mama acha ujanja mwanzo umesema Nini
@apolinarymboya3231
@apolinarymboya3231 Ай бұрын
Wana karatuu kuweni na ukimya mbona hamsikilizani
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Hivi hawa watumishi wa serikali akili mbovu.Haya madudu yote vipi mikoa mingine?Watu weusi tuna tabu sana.
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy Ай бұрын
Duh
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Haramu ya mikopo
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Weifa Za Tanzania Zingekua Na Kasi Kama Ya Makonda Basi Tz Isingeitwa Dunia Ya Tatu Mana Dunia Moja Lakini Tuko Dunia Ya Tatu Wazungu Wanaenda Mwezini Sisi Intaneti Tabu
@deniskamamba7347
@deniskamamba7347 Ай бұрын
Huyu ni mkuu wa mukowa au ni rais wa inchi.?naomba taifa ritafakari juu ya utendaji wa makonda ktk taifa hili .
@magrethmeela154
@magrethmeela154 Ай бұрын
Jamani naomba mtuelewe hawa tib wana matatizo makubwa wanapenda kuuza na kung'ang'ania mali au dhamana za wateja wao
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 Ай бұрын
Rais tu kumpa hiyo dhamana tiyari hapo anafanya kazi ya rais sababu hayo ni matatizo ya mko a wake na ndivyo anatakiwa ashughulikie, sasa rais kweli atembee mkoa moja siku sita ?
@petersilas4234
@petersilas4234 Ай бұрын
Populism huzaa matatizo makubwa in the long run. Tumieni mifumo ya serikali na mkuu afuatilie kama mfumo unafanya kazi na ndio auwajibishe. Nabii Musa alifuata ushauri wa mkwewe, vinginevyo utachoka sana bwana .🤓🤓
@user-dq1wz9fw6n
@user-dq1wz9fw6n Ай бұрын
Mfumo hauwezi tengenezwa kwenye pango la wezi,kuchoka Kwa kutetea haki ndiyo mwanzo wa kuotesha m egu za haki vichwani mwa wananchi wa kesho
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 29 күн бұрын
​mfumo hujengwa kuanzia ngazi ya familia, @@user-dq1wz9fw6n
@sanduulemo
@sanduulemo Ай бұрын
Je? Ni wananchi wangapi? Wenye shida nchi nzima hawana pakwenda kulalamika? Je? Niviongozi wangapi wanapenda kusikiliza matatizo yanayowakera wananchi?
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
WENYE VYEOO VYAO WENGI sana wanakula mishahara ya BURE MAGARI YA BURE NINGEFURAHI WANGENUNULIWA BAJAJI
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
Mawaziri wenyewe hawajulikani wanawasaidiaje wananchi wizi ndio huo ubakaji ndio ule TOP OF AGENDA mauaji ndiyo hayoĺ🎉 Magonjwa ndio hayo ma accident kila leo mafuriko duu balaa balaa juu ya balaa WARUSHAJI NI HATARI
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
MAMA SAMIA APEWE HONGERA ZA MAKONDA NA SILAA. Wengine NO COMMENT😂
Mauaji Githurai 45
5:18
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,9 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 6 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 11 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29