Aliyemwona mhindi ameshika kichwa kwa huzuni kubwa nadhani haamini kinachoendelea! agonge like za kutosha!
@Supershopdubai-ck8td12 күн бұрын
Good job mzebaba from 🇧🇮🙏🔥🔥 tunakupenda san
@bashirbaruan396912 күн бұрын
Good job makonda mungu akupe afya njema umri mrefu
@fatumasaidimmependezamjeng89942 күн бұрын
Don't use fake information you undermine your channel
@axdomician47859 күн бұрын
Kazi nzuri sana Blaza Makonda
@mlumendoigonza639812 күн бұрын
Well done makonda
@mohddelo12 күн бұрын
Wanyooshe wapige spana
@fidelfidel-jz4iw12 күн бұрын
Hapo kiongozi uwe makini sanaa kwani wala rushwa upo nao hapo hapo wamechuna tu ni miyoka furani
@AminielMbise-cl3fq9 күн бұрын
Makonda hakika unafaa sana. Mtu anayetetea wanadamu wengine ni mtumishi wa Mungu
@user-tg8tq1pz1u11 күн бұрын
Brother unajua kazi yako vilivyo Wapambanie waTanzania , sisi tupo nyuma yako Mh @Makonda
@mussaissa679612 күн бұрын
MAGUFULI ANAONEKANA KATIKA MANENO NA MATENDO YA MAKONDA WAZI WAZI.
@yahayampangilwa12 күн бұрын
Tunahitaji maombi makubwa sana kwenye hii nchi.
@samirsamson399612 күн бұрын
Viva Makonda Viva ww ni mtu na nusu
@Kelvin-sd9gb11 күн бұрын
Brother unahekima sana
@RenaldaZeramula11 күн бұрын
Siyo KUNENGE ANASHIRIKIANA NA WATENDAJU WA VUJIJI KUUZA MASHAMBA PORI.BAADAE.WANAVUNJIWA .HATUONI AKIWACHUJUKIQNHATIQNHAOMMAAFISA.WATENDAJI.NAN WENYE VITI .WA VUJIJI
@DafiMohamed-dz8xk12 күн бұрын
Piga spana Makonda hao wote wafungwe tu wananuka rushwa hao kila siku mambo yale yale tamaa za maisha ya dunia mafupi wananchi wanapata tabu tu kwa upuuzi wa wachache ...China wananyongwa hao wote ndio maana wachina wamepiga hatua
@user-zo5sx5ko5s11 күн бұрын
Sema makondo hameokoka yeye sasaivi Kawa muamasishaji mungu ham baliki
@abelchacha597712 күн бұрын
Huo ndo wizi uliopo. Watu hawana imani na control namba. Wizi woteunaanzia kwenye mifumo.
@TitoNgomuo11 күн бұрын
Uongozi bora ni huu jamani
@JosephaNdomba9 күн бұрын
Fagiafagia nchi nzima
@zefamange728111 күн бұрын
HIVI VIONGOZ WENGINE WANAONA KAZ YA MAKONDA AU WANAPITA TUU
@TitoNgomuo11 күн бұрын
Imagine
@taseleli918111 күн бұрын
Wanapita tu hawana time na shida za wananchi , mwenyezi Mungu aendelee kumlinda huyu Makonda
@laylayl51667 күн бұрын
Viongozi wachafu hawampendi kuona wasafi.wanaona
@Kelvin-sd9gb11 күн бұрын
🎤🎤
@JosephaNdomba9 күн бұрын
Mpaka wanyoooke
@user-wk8yl6jp9i11 күн бұрын
Kwa nini? Mtu apatikane na kosa la wazi wazi na bado uchunguzi ufanyike? Alafu hii dhamana ya polisi inakuwa vipi? Kwa nini dhamana isitolewe Mahakamani tu
@alawi67963 күн бұрын
Hafai hyo znatosha hzo alizo zpata mwez mkubwa hyo mzee
@JosephaNdomba9 күн бұрын
Pambana mkuu
@isaacndimangwa679112 күн бұрын
Hi kazi sio ndogo, Mungu akuongezee ulinzi muhishimiwa Paul
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds11 күн бұрын
Yaani Makonda akitoka mama njoo wewe au ikishindikana njoo mkoa wetu Morogoro, maana ulanga tunapata shida sana mzee mwanakijiji hana haki ya kulima uko mashambani mzee nakuombea cheo kipya kiwe cha taifa
@user-zl2mf8on2o10 күн бұрын
Morogoro ni mkoa mzima ni shida
@ayubumoha631312 күн бұрын
Mtu chum kwele kweli
@alawi67963 күн бұрын
Ni mkuu wa mkoa ww tu ndy unaye fanya kza wengn wote uwozo mtupu hko Tanga ndy kumeoza kabsa
@user-jc8vt7ct9t12 күн бұрын
Makonda ungewa mkoa wa pwani Ingependeza mno na sijui kwa nn hawaleti watu kama nyie!!!
@BeniJohn-xd3cn11 күн бұрын
Wewe ndiyo Rais wa Mkoa ni lazima wafuate maelekezo yako inaonekana uyo jamaa alikuwa anafanya atakavyo apo Mkoani muajibishe ajuwi kuwa ni majira mapya
@RenaldaZeramula11 күн бұрын
KUNENGE AINDOLEWE MKOA WA.PWANI NI MKUU WA.MATAPERU WA.MASHAMBA PORI
@user-ru1yk6tc7w12 күн бұрын
Mkurugenzi mwizi
@ThomasErro12 күн бұрын
Mungu akulinde sana ww makondo
@laylayl51667 күн бұрын
Amiin
@nassorntandu451311 күн бұрын
Mwandishi unashindwa kwenda na muda! Hizi habari za mwezi umepita! Mangapi yanaendelea huyaoni
@jaydenbedas572912 күн бұрын
Mkurugenzi anapete za Dr sule
@subirajohn72812 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@mataypanga526211 күн бұрын
Swala la rushwa halivumiliki siyo maneno ya kufurahisha watanzania,bunge lipitishe sheria ya kukabiliana na rushwa .Siyo wanafunga wezi wa kuku na kumuacha rais wa nchi au mkuu wa mkoa
@husseinkarim766312 күн бұрын
Huyo mkurugenzi aombe uhamisho
@heaven.love.foundation12 күн бұрын
unataka hili tatizo lihamishiwe wapi?
@Ernestlaiza12 күн бұрын
@@heaven.love.foundation😂
@GwakisaMwaisanga-th7uz12 күн бұрын
Labda ahamie nyumban kwenu
@GibsonNtamamilo12 күн бұрын
Sasa unataka huu mzigo uende Halmashauri ipi.
@EmanuelIsack-gb5jy11 күн бұрын
Makonda ww ni hatali had mazungu wanavua miwani na kusikiliza kwa makin ww ni hatar 😂😂😂😂
@VeronicaMsenga12 күн бұрын
Mkurugenzi akapumzike tu
@mp.MwaithesonScania1111 күн бұрын
Let's pray 4 him, Amen
@daudikirua4212 күн бұрын
Mtu wa maana kwelikweli
@sulabdul600711 күн бұрын
Huyu form 0 Sii ndio Yule alokuwa Dar akifanya ujambazi?
@BeniJohn-xd3cn11 күн бұрын
Ameacha ujambazi ameamuwa kuwa mtu mwema ndiyo maana anajuwa maovu yote
@Essa155412 күн бұрын
Pambana muheshimiwa, madudu mengi yanahitaji kusafishwa nchi nzima