No video

KUADHIMISHA MAULID YA MTUME || SHEIKH ATOA UJUMBE MZITO KWA WAISLAM ﷺ.

  Рет қаралды 9,562

ALIBAANA TV

ALIBAANA TV

Күн бұрын

MAWAHABI / MASUFI / MAKHURAAFI | MAJINA HAYA NDIYO TUNAYO TUPIANA BAINA YETU NA KUSHINDWA KUFANYA MAMBO YA MUHIMU ZAIDI KWA UMMA.
Jibu la ; 104

Пікірлер: 211
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Ай бұрын
Allah akubaarik Sheikh Abdulqaadir ..
@mirajiFeruzi
@mirajiFeruzi Ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخ وجزاك الله خيرا
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc Ай бұрын
Wewe ndio shekhe pekee kwa zama hizi ambaye unabainisha haki waziwazi bila kuangalia upande na unaufanya uisilamu kuwa mwepesi kama alivyosema mtume atakaeufanya uisilamu kuwa mgumu utamshinda allah akupe umri merefu wewe na sisi amin
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Kwakuwa katetea bidaah zako ndo wanadamu tulivyo leo hatupendi hakki akija mtu kuongea maneno ya porojo kama shekhe huyu utamkumbatia akisema hakki utamchukia kwakuwa ajaongea hakki kaongea ulichokipenda ww utamsifu lakini bado hakki ipo pale pale hatuangalii ndevu nyingi au rangi hakki haipo hivyo sisi tutamfata mtume wetu hatomfata mtu na madevu mengi hiyo so dalili
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e hayo ndio uliyopandikizwa nafsini mwako na ndio mana hatamasikio unaziba lauhuyo mtume unaesema unamfuata basi hata macho yako yangeona kama masikio umeziba kor'ani imeshasema halali iko wazi na haram ikowazi ni wewe tu kuangalia ni njia gani unaifwata sasa sijaona shekhe alichotetea isipokuwa ameweka wazi kila kitu sasa ni wewe wa maulidi kuyafuata au usifute lakini hajasema yanafaaa sasa ndugu unamzushia uwongo shekhe kweupe wewe na shekhe mrongo nani au ndio mmesomeshwa kwa kukariri kama anavyosema abuu iddi
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
​@@user-yj5on8cz3ewengi mnaopinga maulid ni wasikilizaji sana wa singeli na mashabiki wa Diamond
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@walidmgonja3644 naninyi washabiki wa kupiga matwari na kukata viuno mkijifanya mnampenda mtume kumbe urongo mtupu wanawake wanaume mnachanganyika kukata viuno mpk nguo zinavvulika uislamu munauchezea mtakavyo ninyi na maulidi yenu mumaganga shirki ndani yake na urongo usipo soma utajuwa maulid ni ibada ukisoma utaelewa ni bidaah na ndani yake kuna kumshirikisha mungu nyi vichwa mchungwa watu wa maulidi
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
Ni uzushi tu
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Ай бұрын
Sh Abdulqadir we ni mtu muhimu sana katika umma huu we ni allama katika zama zetu hizi Allah akuhifadhi na husda za wapuuzi wasiojua dini
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Uzuri uislamu sisi hatuangalii mtu aloongea yupoje tunaangalia hakki ata akiwa mlinganizi anavilemba mpk mbinguni ndevu nyingi so ndo kujulisha hakki si tunamuangalia mtume wwtu muhammadi na wwma waliotangulia bhasi ndo msingi wetu ahlsuna mtume kafanya tuta fanya hakufanya tutawacha hatuangalii porojo sijui za fulani sijui nani laa tulichopewa na mtume wetu tutakichukuwa hakukifanya nasi hatutofanya kumuiga yey usituambie sijui suyuuti kasema hivi sijui hivi suyuut ni nani kwa mtume mtume
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Ай бұрын
Kasome kwanza kisha ndo useme ulochokisema unaongea hata kutia udhu elimu yake hujui mtu wapi kaita watu maghurafi na mahizbi mbona nyie mnaita hivo au wapi mtume kajita yeye ni salafi mbona nyie mnafanya hayo kwa kujita masalafi wee ukitaka hivo hapo makka kjna bidaa zaid ya 1000 ambazo wanafanya mtume hajafanya hem kwanza acha kufata mkumbo hamtaki kusoma kisha mnapelekwa kama wakoristo wala hamjiulizi mambo yanapotoka kwa wakubwa zenu huko kuweni na akili hem skmeni kwanza lugha ya kiarabu kisha ndo mje kusoma hadithi za mtjme SAW na quran hani nyie ni watu pasua kichwa wallah Lakin Allah akuelekezeni kwenge haki yani eti mnakaa mnapiga kelele maisha yte maulidi wakati maulidi hayo hayamtoi mtu kwenye uislam wake wala hayamuingizi katika uislam yapo sisi yakukaa tukayajadili si hayo hem kuoni na uchamjngu si tu muwe wahuni katika imani
@aboubakaryhassan3821
@aboubakaryhassan3821 Ай бұрын
Kwani mtume alifanya mashindano ya quran ​@@user-yj5on8cz3e
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 5 күн бұрын
Mche Allah....acha kuzunguka zunguka na kupiga nyambu.....HII NI DINI YA ALLAH.....UKIICHEXEA HALI UNAJUA ALLAH ATUUUMBUA HAPA HAPA
@Alibaana550
@Alibaana550 4 күн бұрын
Na wewe pia mche ALLAH , na ukae chini uisome dini yako kisha uache mihemko.
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 4 күн бұрын
@@Alibaana550 maulidi ni bidaa na kuna shirki kwenye barazanje....BIDAA ....MAKHURAFI NYIE TUFANYE SUBRA UZURI HATUISHI MIAKA MINGI...TUANGALIE NYIE NA SISI MASUNN NAN YUPO KWA HAKI.....
@Alibaana550
@Alibaana550 4 күн бұрын
@@SameerMdumbemalongo ALLAH atupe salama kutokana na mazito ya siku hiyo
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
Allah akurehemu inshaallah
@rajabuathumani5775
@rajabuathumani5775 Ай бұрын
ANATABIA ZNAZO FANANA NA MAWALII WA ALLAAH.MASHAALLAAH
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Ай бұрын
Mashallah shukran sana sheik wangu Allah akulinde, akulipe kheri kwa kuwa unasimamia uislamu wa ukweli
@MansourAbubakar-l2b
@MansourAbubakar-l2b Ай бұрын
Mie nisemetu umejitahidi sana kwakweli Allah akuhifadh Ishaa Allah
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 Ай бұрын
Allahu akupe afya njema na yenye mafanikio makubwa uzidi kutuelimisha
@hassanisihaka910
@hassanisihaka910 Ай бұрын
Sheikh Abdulqaadir Allaah akujaaliee Kheyr nyingi mno unafaa kuwa hakimu
@abubakarinzori9726
@abubakarinzori9726 Ай бұрын
Sheikh ww ni mtu muhimu sana ktk nyaka hizi zenye ma sheikh wakuwagawa waislam, unajitahidi sana kutuunganisha,
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry Ай бұрын
Ma'ashallah Allah akubarik
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur Ай бұрын
Umekosea sanaa ww kwa hilo
@rumonajarufu1346
@rumonajarufu1346 Ай бұрын
Allah akuhifadhi sana shekhe
@zuberinasibu1441
@zuberinasibu1441 Ай бұрын
Subhannallah ! Hii ndiyo hal ya Sheikh Abdulqaadr kwa sasa Allah Akuongoze. Na historia inasema Sheikh kipoozeo alipita huku huku sasa yupo pale alipo kwa sasa.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Kipozeo nae alianza kama huyu sie mdogo mdogo anatumbukia katika wao si wanaanzaga hivi hivi kiukweli shekhe nilikuwaga na mfatilia mwanzo skuhizi naona fatuwa zake zinaelekea sipo kabisa amekuwa akiwakbatia ahlu bidaa sana ndo kipenzi chao kwa fatuwa zake
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx Ай бұрын
Kabla hujasema Sheikh kipozeo Yuko pale alipo tujiulize mim na wew tuko wap?
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx Ай бұрын
Kabla hujasema Sheikh kipozeo Yuko pale alipo tulijulize mim na wew tuko wap?
@jumafaki2891
@jumafaki2891 Ай бұрын
huyu shekh anafahamu qur,ani na hadithi za mtume ilipoteremka Aya ndani yake Kuna maneno وتوزروه، masahaba walikuaanyika Kwa Saadi na kuchinja mbuzi kumsheherekea mtume na bibi Aysha anasema mtume alikua akimuekea membari Hassan bin sabiti akipanda kwenye hiyo membari akimsifu mtume bila shaka nassu kama hizo ameanza kuzuona huyu shekh ndio maana amekua hivo ama wale wasosoma bado watabaki maulidi haramu sijui bidaa sijui yamezuka hebu tusomeni jamani
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Ай бұрын
Wewe ni pimbi wa kiwahabiya inakuuma sana utabaki kuwa mjinga mpk kifo chako​@@user-yj5on8cz3e
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚🇰🇪
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 Ай бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah Huyu mwamba
@abasitwahiru8898
@abasitwahiru8898 Ай бұрын
Mashallah Shekh ktk shekh mwenye inswaaf ni huyu hapa
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
Huyu nishekh anaeona mbali sana. Masheikh kama hawa niadimu katika ulimwengu waleo
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Kwakuwa kakuhararishia kufata matamanio yako ndo unamsifu ndo binadamu tulivyo mtu akiongea hakki atachukiwa akiongea porojo atasifiwa watu sikuzote wanaoenda uovu
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
@user-yj5on8cz3e kwahio hao unaowasifiaga wewe pia niwatu batwili?au wako ndio wapo sahihi ukiwasifu
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e kumbe nawewe niwatu wa mihemko fwata mkumbo
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e shekh ameweka wazi wanachuon hawakua wakikufurishana au kutoana kwenye sunna haraka haraka hivyo wewe mpumbavu unapinga
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e sasa wewe usidili na mimi dili na yeye toa mada mjibu tukuone kama imekukera mjinga ww
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Jazaaka llahu khayraaa shekhe wetu kwa maneno mazur yenye hekima na busara na sio mihemuko na jazba Na hivi ukiangalia kwa mtu aliye soma atajua kuwa ndivyo ulamaa zetu walivyo kuwa mfano natoa maneno ya شيخ السلام ابن تيمية katka kubainisha kwamba watu wema wana Tofautisha hali ya Ahlu sunnah kutokana na maeneo jinsi yalivyo sio kama sisi leo hii tumekuwa ni watu wa jazba قال شيخ الإسلام (في الفتاوا ٢٨/ ٢٠٦-٢١٠-٢١٢ كلام آخر وهو مفرق وقد نسق بين هذا الكلام صاحب كتاب (فقه الرد المخالف) ١٠-١١ فقال:((كان السلف يفرقون في أحكامهم مراعين بذلك الفوارق المكانية ولذا لم يكونوا يقولون بهجر من رمي بالتشيع في الكوفة أو رمي بالقول بالقدر في البصرة وذلك لغلبة التشيع على الكوفة وغلبة القول بالقدر على البصرة آنذاك وكذا التنجيم في خراسان، وسئل أحمد عن إظهار العداوة لمن يقول القرآن مخلوق فقال ((أهل خراسان لا يقوون بهم /انتها. Sasa huyu ni shekhe Islam anayasema Haya maneno kwa watu wenye bidaa tena za kufru wew una Leta jazba kwa watu wanao soma maulidi lakn mapaka unafikia kumsema Shekh Abdul qaadir anae nukuu tu kauli za wana zuoni nimeona comment za watu wengi humu wakimsema shekhe kama wew umefundishwa kauli moja jua wenzako hawaja soma kama fundi saa nitoe nasaha kwa sote jaman ndugu zangu tujitahidi kusoma kikweli kweli tuachane na mihemuko
@ibrahimswalehe254
@ibrahimswalehe254 Ай бұрын
Mashaalah allah akuzidishie kheri wewe unatupa elimu ya umoja
@iddswalehomar1323
@iddswalehomar1323 Ай бұрын
Twakukubali bila kufata mrengo
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Ай бұрын
Allahu AKBAR sh Abubakar bin zubeir mufti mkuu wa Tanzania nakuomba huyu sh Abdulqadir ni mtu muhimu sana nakmba umchukue katika baraza la bakwata atasaidia sana huyu ni mtu mwenye hekima na Elimu atakufaa sana katika kuweka umoja wa Tanzania katika waislam
@user-vt3jl6kh4v
@user-vt3jl6kh4v Ай бұрын
Kwaiyo kusema maulid ni bidaa ndio mtu muhimu sana 😂😂😂
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@user-vt3jl6kh4v akuna umoja watu wa hakki na batwil hata siku moja hilo ni gumu waloleta makundi ya uzushi katika dini ndo wameleta farka hayawezi kukaa sawa makundi ya peponi na makundi ya motoni anae juwa na asie juwa utaletaje hiyo ni ngumu mtume mwenyewe kabaguwa makundi katika hadithi yake, kuwa katika ummati wangu vikundi vyote vitaangamia motoni isipokuwa kundi moja tuu ndo litapasi kuingia peponi swahaba walimuuliza kundi lipi hilo ya rassulu llah akasema ni wale watao kuwa kama mimi na swahaba zangu katika mihamala na itikadi, sasa ww hata ndevu kuweka hutaki kufata mwendo wa mtume hutaki unafata uzushi ndo utaingia kwenye kundi hili kweli kwahiyo ni ngumu waislamu kuwa kitu kimoja mtume mwenyew kabaguwa ww unasema kuleta umoja huo umoja feki
@user-dj1os5ib8x
@user-dj1os5ib8x Ай бұрын
Umeweka ugoro mdomoni au?
@jumafaki2891
@jumafaki2891 Ай бұрын
maulidi si bidaa soma soma qur,ani ilipoteremshwa qur,ani ndani yake Kuna Aya isemayo وتوزروه masahaba walikusanyika Kwa Saadi wakachinja mbuzi kumsherekea mtume na bibi Aisha anasema mtume alikua akimuekea hasani bin thabiti membari yake ili asimame amsifu mtume nassu kama hizi ni nyingi sana Sasa huyu shehe kaanza kuziona nasu kama hizi ndio maana kabadilika tatizo ni Kwa wale wasotaka kusoma ndio huhemkwa mara bidaa mara shirki Hawana mbele Wala nyuma tusomeni tusiwe majuha ​@@user-vt3jl6kh4v
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 Ай бұрын
Remembering of anything is celebration
@mansoorpandakkal3609
@mansoorpandakkal3609 Ай бұрын
Ameen 😥😥😥
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Ай бұрын
Bidaa Zote Mbaya Kwamapenzi Yenu. Ila Bidaa Nzuri Kwa mnayoyataka Nyie Mtume Ametumia Simu Lakini Simu Itakuwa Bidaa Nzuri
@ibrahimjumaisingo1769
@ibrahimjumaisingo1769 Ай бұрын
..Mtu aliyekuwa kiakili ni: Anayejuwa cha kusema na namna ya kusema na kusema na nani na kusema nini, na kusema kwa style gani, na akikosa kujua haya nyamaza kwani hata kunyamaza ni hekma kubwa kuliko kusema ukakosea
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Ай бұрын
@@ibrahimjumaisingo1769 Twayiib. Kwamaana Kusema.Sikila Kilakitu Waweza Vingine Mkae Kimya. La Mnataka Kujifunza Kitu Ulizeni.Kwamaana Siokila Msichokijua Nyinyi Hakifai.
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k Ай бұрын
𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐚𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐪𝐪𝐢
@Alibaana550
@Alibaana550 Ай бұрын
Nawe pia
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo Ай бұрын
Shekh hakuna bidaa nzuri km ni nzuri Mtume صلى الله عليه وسلم angefanya
@SalumKhalfan-np5vb
@SalumKhalfan-np5vb Ай бұрын
Sawa hakuna bidaa nzuri kama unavyosesma MTUME SAW HAJATUMIA MITANDAO YA KIJAMII WEWE MBONA UKO KWENYE MITANDAO HUONI KUWA NI BIDAA
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo Ай бұрын
Kwan maulid ni miongon mwa mitandao ya kijamii bidaa kwenye dini shekh hakuna bidaa nzuri, mbona ww alfajir huswal rakaa 3 unaswal 2
@nimbonaomaruumm3229
@nimbonaomaruumm3229 Ай бұрын
Mtume صلى الله عليه وسلم akifanya jambo litaitwa Sunnah na sio bidaa. Ndo maana wao huita maulid bidaa hasanat na sio Sunnah.
@coolvoices6608
@coolvoices6608 Ай бұрын
😂Leta dalili hatutaki rai. Toa dalili hakuna bidaa nzuri na mbaya
@nimbonaomaruumm3229
@nimbonaomaruumm3229 Ай бұрын
Akili mgando tatizo elimu inahitaji uelewa
@Aymanland
@Aymanland Ай бұрын
😢 SHEIKH KILICHO MKUTA NINI JAMANI MBONA HÀKUWAGA HIYO?? SUBHANA ALLAH ‼️ ALLAH ATUSTIRI YAARAB
@selengu
@selengu Ай бұрын
Kasoma na Kawa muadilifu wa elimu yake kwa kujua Allah atamuuliza juu ya matumizi ya Elimu pia
@ashrafhashim2116
@ashrafhashim2116 Ай бұрын
Naona watu wengi wanasifia tu talbiisaat za Shaykh kusena ukweli huyu shaykh kabadirika sana hali yake nitaabani masufi wamesha muathiri sana Allah amuongoze arudi katika Haqi aache maslah.
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Ай бұрын
Shida ya masalafi Hawa ni kuwa wafanye lile tu wanalolitaka wao. Hivi mashindani ya Qur'an Kuna siku yamefanywa na Mtume au hao makhalifa? Jambo mnalotaka ndio mnafanya na msilotaka mnalipinga.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Soma utajuwa kumbe unaongea kitu hukujui mashindano aliyanya swahaba wa mtume Abu dal dal aliwashindanisha vijana kuhifadhi kitabu Cha Allah na ijimaa iliridhia maulid ilifanywa na Nani shekhe hapo kakutajia wakwanza mashia kuzuwa maulid Sasa karne 3 Bora hazikufanya we imetowa wapi maulid!? Si kwa mashia Sasa uislamu wetu tunatakiwa tumfate mtume na maswahaba au tuwafate mashia na ndani ya quruani Allah anasema lakad kana fi Rassuluh llahy husunat hasana amekuwa mtume kwenu kiigizo bora kwwnu, kila kitu tumuige alichokatazatuwache alichofanya tuchukue Sasa Jambo halikufanywa na yey maswahaba matabiina tabi tabiina na maimamu wanne imamu shafii imamu Maliki imamu habal, ww ulietunga maulidi Leo kheri hii hawakuiona Hawa? Na mtume kasema fa hiyakumu muhudathat ya bidaah na tahadharini ninyi na mambo ya uzushi, wakulu bidat dhwalala kila bidaa ni upotevu wakulu dhwalala finnari na kila uzushi Ni motoni mbona mtume akusema kunabidaa nzuri,???? Batwili itabaki kuwa chini ya hakki
@abdillahmachemba5597
@abdillahmachemba5597 Ай бұрын
Kama huna D mbili huwezi kumuelewa huyu shariff.... Allah akuhifadhi sana sheikh we ni hazina yetu waislam.
@answaryhussein256
@answaryhussein256 Ай бұрын
Mawahabi mujassima siyo Ahlu sunnat waljamaa
@Rooney1184
@Rooney1184 Ай бұрын
🫡🫡🫡 katika zama hizi wewe ndo ulamai wa ukweli unasema pande zote 2 Alhmdullh
@rehemaabdallah5306
@rehemaabdallah5306 Ай бұрын
Samahan shekh haya makund 73 aloyasema mtume na akasema moja ndo litaingia pepon, unalizungumzia vipi hil?
@SidiqLisaan
@SidiqLisaan Ай бұрын
Sheikh kanukuu maneno ya Wana wachuoni wakubwa tn walio tangulia kwaiyo acheni kushambulia tn Kwa kumkosea adabu hatujafundishwa ivyo madrasa jamen mbn mnapetuka mipaka
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Subuhana llah tuwe makini na shekhe wanaotowa fatuwa huzi allah awaongoze kweli maana fatuwa za kwenda na watu mtihani kama mtume angeogopa watu hakki isingetujia leo,toka nimewasikiliza wqnazuoni wakubwa kina fawzan kina shekhe ibn baaz kina uthaymeen na wengineo sijawahy wasikia wanatoa fatuwa kama anazotoa shekhe huyu et bidaa nzuri ,wakati kuna hadithi ipo wazi ya kutahadharisha kila bidaa ni upotevu ata ikiwa nzuri, mtume wetu muhammadi alisimama na hakki japo alijuwa anawauzi watu madamu alilotumwa kufikisha na mola wake ni la hakki hakupindisha haki batwil alisema batwil hakki alisema hakki hili bidaa na kutahadharisha ummah kila bidaa ni upotevu leo wanakuja walinganizi kwa matamanio ya nafsi zao et kuna bidaa nzuri madamu wahararishe batwil iendelee kufanywa,uzuri uislamu hatuangalii uwingi wa ndevu za mtu au rangi au wadhifa wake mtu ndo anachokisema kitakuwa hakki hapana tutalichukuwa la hakiki na tutaliacha la batwil kwa maelekezo ya mtume wetu jambo alifanya tutamfata kaliwacha tutamfata mana kukaa kwake kimya ni sunnah akilifanya jambo pia ni sunnah huwezi kutueleza kinasuyuti wanasema bidaah nzuri ndo tuwafate suyut maneno yake so wahy bali ya mtume ndo wahy wa allah tutahadhari na mashekhe wa hivi ni hatari kubwa wa kuharibu umma na so msingi wa ahlsuna kuinyamazia batwil na kuifunika hakki na so msingi kuwakumbatia watu wa bidaah na kuwafanya wote kitu kimoja wakati kuna watu wanamuharifu mtume, ahlsuna wal jamaa wakwel hawazushi na hawapunguzi jambo katika dini na hawaabudu makaburi na hawafanyi shirki sasa listi ya kisufi imeharifu misingi hii unawaitaje ahlsuna wakati sunna hawazitaki wao kuzusha tuu ndo sunnah kwao
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Porojo la iblis malu uun
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Huyu ni mwehu kwani mtume alikufurisha waislam wenzake mjinga ww
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@HemedSerious Kama akukufurisha adingesema kila bidaa ni upotevu na upotevu motoni ww mpiga maulid inakukera hakki itabaki kuwa juu uzuri sisi ahlsuna atuangalii Jambo limesemwa na Nani hata mtu akiwa na ndevu nyingi haimanishi ndo hakki tunachoangalia like kutoka kwa mtume imamu shafii mwenyewe anasema idhaa wajatu fii kitabi pindi mtakapokuta kwenye kitabu changu irafa sunnat rasullu llahy imeharifu sunna ya mtume wa mwenyezi mungu, fauhudhu sunnat rasulluh llahy chukueni sunna ya mutume wa mwenyezi mungu wadahu makuntu, yawacheni maneno yangu_ Sasa ikiwa huyu imamu mkubwa wa kutegemewa katahadharisha hivi Sasa we unatakaje kusema Jambo likisemwa na shekhe basi madamu kazungumza mtu mwenye wadhifa Fulani linachukuliwa haliangaliwi limetoka kwa nani sisi ahlsuna hayupo hvyo sawa,tunaangalia kallah llah wakala Rassuluh kwa ufahamu wa wema waliotangulia sisi so kama ninyi masufi anachokisema shekhe hichohicho kimeharifu sunnah akiharifu madamu mzungumzaji anandevu nyingi ukajuwa hii ndo hakki haipo hivyo yakhe
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 Ай бұрын
WEWE KWELI JAHILI MURAKKAB,YAANI WANACHUONI WAKUBWA PEKEE NI BIN BAAZI ,UTHAYMIN NA FAUZAN TU,NENDA KAPIMWE AKILI KWANZA UTAKUA NA UBONGO WA MENDE
@ibrahimjumaisingo1769
@ibrahimjumaisingo1769 Ай бұрын
Lete Fatwa yako nawe tukusikilize sio kudandia hoja bila ya kusikiliza
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 Ай бұрын
Twendeni Chuoni Jamani Elimu Sio Mchezo
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq Ай бұрын
Huwezi kuja na mambo ambalo halikuthibithi kw mtume s.a.w ni kheri gni asilolijua mtume na maswahaba kisha walivumbua ww tumwogope Allah
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 Ай бұрын
Hakusherehekeya kwa kuita watu, lakini alisheherekeya kwa kufunga siku ya ijumaa tatu
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
BIDDAH kwa maneno megine ni HASADI je kuna HASADI NZURI? Uislamu unaongizwa na TARATIBU katika kila jambo. Ukifanya ki vyako sawa umeweka HUSUDA ndani ya DINI. Ma sheikh ongozeni maneno kwa ufupi na uwazi sip kutafuna tafuna.
@coolvoices6608
@coolvoices6608 Ай бұрын
😂leta dalili hatutaki maneno ya kanga
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Huo ufahamu umeutoa kwa nani 😂😂 maana hii dini hatuongei kama maneno ya wana siasa
@ibrahimjumaisingo1769
@ibrahimjumaisingo1769 Ай бұрын
Umetoa wapi maana ya Bidaa kuwa ni husda?
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
@@ibrahimjumaisingo1769 mainguzo yasiyomo ndani ya DINI ni husuda yenye kumhusidi Allah asijulikane. Ni sawa kusema MTU mweusi alianza mfani wa nyani, Hi yo ilikuwa bidaht (husuda) kumfitini M/Mungu katika uumba wake.
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o Ай бұрын
Yeye anacho ona wale kule Maka wanaangalia mwezi na darubini halafu wanatangazia huku je mtume s a w ameangalia mwezi na darubini mbona huhoji unauliza maulidi Yani kumsifu mtume mawahabi ndio walioleta vurugu baada ya muungano wao na myahudi na kuiuza sehemu takatifu ya parestina ukweli lazima usemwe japo unauma
@Mohamedharith-wb4op
@Mohamedharith-wb4op Ай бұрын
Hakuna kukaa kimya sai maneno ya bid'aa inaenea kwa mitandao hiyo ni akili yako sio dalili hapo umekosea
@majaliwaking4500
@majaliwaking4500 Ай бұрын
abdul qadir wee unapewa hongo mwalimu wangu allah akuongoze
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
😂😂😂😂 Unavyo ona Shekhe kwa Tanzania hii kuna mtu wa kumpa honga una fikiri ana njaa
@nyatya199
@nyatya199 Ай бұрын
Anajuwa ananjaa labda​@@user-dr4gb2ld7h
@dahirgaraar360
@dahirgaraar360 Ай бұрын
Ajenda hizo za kujadili fatwa za wanazuoni kwa lengo la kuchukua mrengo na kutaka ufuatwe katika mrengo wako ni ujahili. Elimu zote duniani za dini hadi za sekula zina protocol au itifaki zake. Na kufahamu wasomi ambao ni mamlaka au authority katika fani husika husaidia katika kutekeleza hizo protocol za kielimu. Kinachosumbua ni wakurupukaji wanaokurupukia kuongea pasipo utafiti wa kina. Kusoma bila kuheshimu itifaki na mamlaka za wataalamu katika fani husika ndiyo kumezaa fujo tunazoziona leo, na ukiangalia kwa jicho pana, hali ya usomaji huo unaokiuka utaratibu imeandaliwa na kupenyezwa kwenye Uislamu, na maadui wa UISLAMU hivyo tuchukue tahadhari.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Fatuwa za wanazuoni ikiiharifu sunnah tunatupilia mbali tunasimama na dalili ya sawa, hakuna haja ya kuleta viohoja na propaganda kwenye jambo la kweli na ambalo lipo wazi, msingi wa ahlsuna kala llah wa kallah rassulu mwanazuoni tutamuunga mkono ikiwa kauli yake imeenda sambamba na mtume umeharifu sunnah tutamuachia, mtume katuhusia pindi mkikuta jambo kuna ihitilafu kasema aleykum bisunat wasunat hurafau rashidin mahadiina min baadi adhuu aleyha bin waj _ mtume alihusia pindi mkiishi mkaja kuta ihitilafu nyingi jambo likawa na utata rudini katika sunna yangu na sunna ya maarifa wangu waongofu baada yangu yani swahaba na shikamaneni na sunna yangu kwa meno ya magego sasa tuna kuja mtume kashatuhusia sisi tunaangalia sunna zake twahiby tunauliza maulid katika sunnah mtume alifanya tunakuta akufanya kilicho thibiti kwa mtume ni nini alifunga kila juma 3 kwa kule kuzaliwa kwake bhasi,tutamfata yeye kwa kufunga tuwwangalie swahaba walifanyaje wao kuzaliwa mtume walimuiga kufunga bhasi hapa kumbe dalili zipo hakuna haja yakubabaika ww ukileta ibada kwa mtindo kinyume na mtume wako hilo umezusha ww na utakwenda kujibu ulilitowa wapi ikiwa kiongozi wa ummah alifunga ww ukabuni mtindo wako hilo la maulidi halina dalili sisi tumefata usia wa mtume na ndo tunaufanyia kazi usituletee kauli za kina suyuti wakati kwa mtume dalili. Zipo wazi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Shekhe ww unashindwa kuwa muwazi hakuna biddaah nzuri bwana Abdullah bin omary. Amekemea hilo tena ni swahaba huyu kaasema kulu bidaat ddhwalala wa inrat haasna bbidaa zote ni mbaya hakuna bidah nzuri sasa unawajibu watu kuwa mtume hhakufanya arafu unasema ulamaa wenngine wanasema biddah nzuri tumfate. Mtume au tuwafate kina suyyuti sheekhe itaqqi allh kasema lakani kana ffi rrasuuluh llahy husunat.hasana amekuwa mtume kwenu kiigizo bbora kwenu ibaada zote tunazichukuwa kwa mtume arafu ww unawambia watu bidaa nzuri kwahiyo wasimfte mtume wao aambao hawakufanya wamfate ssuyyuuti akati jambo akiwaccha mtume ni sunnah na akilifanya ni sunnah. Shekhe ummaa wanazuoni wanapatia na kukosea mtume jambo lake ni waahy arafu umesema walianzisha mashia arafu unasisitiza watu wafate maulidi tukiangalia hawo mashia ndo maadui wa mtume sasa swali sisi uislamu wwtu ni kumfata mtume au kkuwafata mashia itaqi llah shehe usijibu. Swali kuwaridhisha watu waffate matamanio wuharifu. Mtume fatuwa zako laini sana lengo kupendwa na masufi hiyo so. Man. hajjji sahihi ya kuwakumbatia watu wa biddaa
@binaamour318
@binaamour318 Ай бұрын
Hivi ww kwa ufahamu Gani uliokuwa nao uzer ; wakuw huyu sheikh hajui hiyo bidaa yy hampendi mihemuko y baadh ya mashekh au mashekh zako hawezi kukufurisha waislamu wenzake kwa misimamo yenu nyinyi endeleen mutakwenda kuc mamishwa mahkama y alwah tuta kwenada kuulizwa Kama una Mwambie sheikh amuogope alwah ba na ww pia zaid uache ushabik wa dini
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 Ай бұрын
Ukisoma dini utafahamu vizurii mambo na hii mihemuko uliyonayo utaiacha.. Kama jamabo halikufanywa na mtume basi mtu akilifinya ni jambo baya Naomba nijibu hili swali.. Mtume hakukataza watu kupiga dufu, sasa ww unakataza kwa kumfuata nani..?
@assadmohamedali7426
@assadmohamedali7426 Ай бұрын
Una uhakika hakuna bidaa mzuri?😂
@yussufkhamis2792
@yussufkhamis2792 Ай бұрын
Swadakta kabisa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Huyu shekhe kapinda kweli na tutahadhari na mashekhe kama Hawa wanaotowa fatuwa za kwenda na watu,toka nianze kuwasikiliza maulama wakubwa fatuwa zao kina shekhe fawzan na kina ibn baazi kina shekhe swalehe utheimeeny sijapata kuwasikia wakitowa fatuwa anazotoa shekhe hapa jambo kama ni bidaah watakueleza hii ni bidaa na kuegemeza alili toka kwa mtume lakin kama ni hakki watanyoka kukuambia hii ni hakki bila kutomuogopa mtu sasa ww leo unawajib watu kuna bidaah nzuri,uzuri sisi tunamfata mtume wwtu atuangalii ndevu za mtu au rangi au wadhifa wa mtu,ndevu so hojja tosha ya mtu kuzungumza hakki,, mtume wetu alifanya tutafanya aliwacha tutawacha kufanya kwake ni sunnah kuacha kwake ni sunnah sasa utuambie ni bidaa nzuri tukuelewe subutu, wakati kuna hadithi ya mtume kila bidaa ni upotevu hakuna unatuambia tumfate suyuti ye ninani kwa mtume wa mwenyezi mungu suyuti imamu anapatia na kukosea mtume yake ni ufunuo tuache ufunue tumfate mtu anaetaka matamanio
@MohamefMullah
@MohamefMullah Ай бұрын
Nyinyi munaompinga na kumfanyia ufisadi sheikh Abdulkadir ni Mawahabi na wahabi siku zote yeye anazo bidaa hata mia zinafika lakini zake ni sinna, hivi nyie mawahabi kusema kuna Tauhid 3 badala ya 1 sio bidaa au kuna mtume yoyote alifundisha tauhid 3,nyie mawahabi mumempa mwili mungu, munasema ana kichwa miguu mikono mumetoa wapi, munasema mungu anachoka, munasema mungu anabebwa na malaika wanne, munasema M, mungu siku ya kiama atauliza moto umejaa, eti ataingiza mguu kuiangalia kuwa imejaa au laa, hii sio bidaa ni kufru haswa, pia nyie wahabi munasema Allah ana kivuli na siku ya kisimamo M, mungu atawafunika waja wema kwa kivuli chake, yaani nyinyi mumechupa mipaka ya Allah kwa kufru sio bidaa kama ni bidaa basi zenu ni kubwa zaid, na kuna mengi munayafanya ambayo ni bidaa, ikiwa ni pamoja na kukufurisha waislam kuwatukana masheikh na wanavyuoni wakubwa, kuwatoa waislam peponi na kuwaingiza motoni kweli mawahabi, salafi jadida pote baya
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Yani ww unae zungumza bidaa hujui maana ya bidaa na wahabi hujui ni nani unalopokwa unaonekana hata dini bado hujui ni jahli moja hivi kaa chini usome dini usiokote okote maneno mitandaoni kwa mashekhe kila lisemwalo unaamini nakushauri jifunze dini naona maneno yako ya mtu asoelewa chochote katika dinni tafuta ilmu usivamie mitandao ndo ukajuwa unajuwa dini
@timermedia3509
@timermedia3509 Ай бұрын
Kwanza aanze kuongea na mdogo wake Kishki.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Kishki kafanyeje ww mpk aongee nae
@Rooney1184
@Rooney1184 Ай бұрын
Tulia mwamba ustaje maulamai hapa ushaskia mawaidha tulia
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@Rooney1184 maulamaa wakubwa wametahadharisha bidaa na kupigavita watu wa bidaa sasa ukiona mtu anatetea bidaa na kuwatetea watu wa bidaa ni dalil ya mtu kupinda na kuwa kama wao sikiliza fatuwa za kina shekhe fawzan,uthaymeen ibn baaz wanazungumziaje mtu anae tetea bidaah
@rushu1232
@rushu1232 Ай бұрын
Ajabu watu wakubali aksamu tawheed thalatha na hii ndio khatari lakini aksamu ya bidaa hawaitaki kabisa hiza simu tunazo tumia kufanyia daawa pia ni bidaa hasn.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
Sheikh Abdulqadir,achana kuwaangalia watu machoni,hakuna BID'A nzuri kwa kuzuwa inada ktk dini iliyokamilika!!hebu ziache kona kona zako zako kuwafurahisha masharifu wenzao wa mwambao wa bahari ya hindi na BID'A zao hizo mbaya!!!
@assadmohamedali7426
@assadmohamedali7426 Ай бұрын
Una uhakika hakuna bidaa mzuri?😂
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@assadmohamedali7426 hakuna bidah nzuri kuna kauli ya Abdillahy bin omary amepokea mtoto wa omary bin hatwab kulu bidaat dwalala wakulu dhwalala wa inrati hasana kila bidaa niupotevu hata ikiwa nzuri ni upotevu sasa unakataa nini
@user-hq5fg1zj5n
@user-hq5fg1zj5n Ай бұрын
@@hamzakimaro3764 tatizo analeta ushkj ktk dini,ili asiwaudhi jamaa zake,bidaa nzuri kwann hamsomi atahiyatu ktk swalat janaiiz
@AzizSimai-ss1jp
@AzizSimai-ss1jp Ай бұрын
Sheikhe kasema Ibunu hajari Al Athkalani kasema ni bidaa nzur je wewe hamzakimaro una elimu kuliko ibnu hajari?
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Shekh kasema maneno kutoka kwa ibn Hajar na imamu suyutwi bas hamnza ww umeshindwa kumwelewa hata shekh itakuwa hata ibtidaiyya hujafika
@YakubuMursali
@YakubuMursali Ай бұрын
Mawahabi ni hawajui nini bidaa kisha wao wenyewe watenda hiyo bida 😂
@ibrahimjumaisingo1769
@ibrahimjumaisingo1769 Ай бұрын
Wahabi nani au nawe hujui ulisemalo?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@ibrahimjumaisingo1769 bidaa ni jambo fulani lililozushwa katika dini likanasibishwa na ibada linasura ya ibada ila so ibada hata likiwa zuri halina sheria katika dinni na mtu anae fanya anataraji thwawabu au malipo kwa allah_ tafsili ingine jambo lililozushwa ambalo halikufanywa na mtume au wema waliotangulia hiyo kisheria kwa kilugha bidaa kuanzisha kitu kipya au kufumbua lililofanywa nyuma _ sasa unasema wahabi tunafanya bidaa lete hoja jambo gani tumezusha sie japo moja ambalo tunafanya halikufanywa na mtume wetu au wema waliotangulia nipe japo moja nami nikuorodhoshee chungu mzima ya bidaa mnazo fanya ww niletee moja tuu au mawili useme hiii mawahabi ni bidaa mmeharifu sunnah ya bwana mtume nakusubir akhy tupeane ilmu mi na ww
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Bidaa ni Bidaa tuuuu, hakuna Bidaa nzuri. Vinginevyo tunajitenga na Mwenyezi Mungu na Mtume.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Shekhe huyu anaongeaga kauli za kupendwa na watu so hakki ukifata hakki lazima utachukiwa na watu sasa amekuwa shekhe wa kwenda na hawwa za watu so hakki juzi kuna clip yake moja nilimsikia aliulizwa swali akasema tofauti na hili lakini alisema hakuna bidaa nzuri leo kaulizwa anasema bidaa nzuri hatarii kweli yani hana msimamo na kasahau kama alitamka hakuna bidaah nzuri
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
Mashindano ya Qur'an ni badaa mbaya au nzuri?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@rayisadesigns2646 mtume swala na salamu ziwe juuu yake kasema alisema man yaish munkum fathahiktilaf kathira atakae ishi sana katika ninyi akakuta ihitilafu nyingi mtume katuusia faaleykum bisunnat shikamaneni na sunnah zangu , wa sunnat hurafai rashidin mahadiina min baadi na mwenendo wa maarifa wangu waongofu akiwakusudia maswahaba so mtume aliwaambia maswahaba mtakapokuja kuona kuna ihtilafu za mambo kuna utata shikamaneni na mwendo wangu sunnah na mwendo wa maswahaba zake badaa yake .sasa tuje kwenye swali lako mashindano ya kuruani ni bidaa au sunnah ile haiwezi kuwa bidaa sabu abu dal dal swahaba huyu wa mtume aliwashindanisha watoto kuhifadhi kuruani na aliwapa zawadi tuna kuja kitu kilichopokewa na swahaba akakifanya na wenzie wote wakamridhia inaitwa ijimaa ni halali so bidaa na ukisema bidaa mtume alisema fatweni mwenendo wangu na mwenendo wa swahaba wangu baada yangu quruani so bidaa vile vile wanazuoni wameichukulia kuruani ni miongoni mwa silaha sabu mtume alifanya mashindano ya silaha na quruani nayo ni silaaha ni hoja kupambana na makafiri
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui Ай бұрын
Chanzo ni mawahabi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Ni vzr tuuh hata mtume mtamuita wahabi sikila anaepinga shirki na bidaa huyo leo mnamuita wahab kuna wengine hata huyo wahab hamumjui wahab ni nani watu wa batwil wote masufi mashia na makundi mengine mmemdhulumu shekhe muhammadi Abdul wahab bila kujuwa wengine kwakujuwa kwakule kuja kwake kupinga shirki na bidaa na kueneza tawhweed mkamtusi shekhe na kumzulia urongo wanazuoni wa kishia na kisufi mmemzulumu sana shekhe ila hakki itabaki kuwa juu ndo mkaona muwanasibishe wanaopinga shirki na bidaa na kuwaweka watu katika mstari wa sawa hili uzushi hili hakki hili shirki hili tawheed ndo mumeamua kutunasibisha na jina la wahab sasa mtu wa kwanza kupinga bidaa na kukataza shirki ni mtume muhammad basi nae atakuwa wahabi kwa akili zenu zinavyotafsil ahlsuna mnawaita wahab siyo ni kutosoma na kuelewa dini
@AbdulLiumbo-gz2qs
@AbdulLiumbo-gz2qs Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e shekh wenu Muhammad Abdul wahabi kafanya mambo mengi mabaya kwa kuwarizisha wazungu na mayahudi na hakuwa mjuzi wa dini
@medimisi6930
@medimisi6930 Ай бұрын
shekh, mche Allah iv ww umesoma je? umekutia kuna hadithi yyte inasema kua kuna BIDAA nzur. bainisha haki usimuogope mtu. na je ushafuatilia haya mashari yanayosomwa kwenye hivyo vitabu bainisha haki ALLAH atakunyanyua tu kwa umma kama alivomnyanyua Ibrahiim.
@user-hq5fg1zj5n
@user-hq5fg1zj5n Ай бұрын
Masheikh km hawa wanataka wapendwa kila upande ilhali anahariibu image ya sunnah,ushasema ni bidaa then unakuja kuleta porojo
@medimisi6930
@medimisi6930 Ай бұрын
@@user-hq5fg1zj5n fatawa za huyu shekh zote hua haongei direct sijui anamuhofia nani dunia imeiza usipoongea direct utapotosha umma ni lazima haki isemwe hata kama baadhi ya watu watachukia, hadithi iko wazi kua bidaa zote ni mbaya sasa kona kona sijui za nini hasa kwa mwanachuoni mkubwa kama huyu.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@medimisi6930 shekhe amepinda huyu mashekhe kama Hawa so wakusikilizwa wanapoteza ummah nimewahi wasikiliza fatuwa za kina shekhe swaleh fawzan kina ibn baaz hawajawahi kuulizwa swali wakajibu majibu rahisi ya kupendwa na watu kama huyu panako hakki atakujibu hii ni hakki panako na batwil atakujibu hii ni batwli na uzushi shekhe anatafuta kupendwa na watu wakati mtume alichukiwa na watu alisimama na hakki na allah alimtia nguvu usijali matusi yao na porojo zao fikisha ndo mitihani walopata mitume walokuwa kabla yako na mtume alifikisha
@sungitatv9887
@sungitatv9887 Ай бұрын
Mtume kasema mwenye kuanzisha jambo Zuri katika uislam Ana ujira yeye na atakae fanya na atakae anzisha jambo ovu ivo ivo anae ujira yeye na mwenye kufanya
@user-hq5fg1zj5n
@user-hq5fg1zj5n Ай бұрын
@@sungitatv9887 kwa mafu'umu hayo yako basi acha na mimi nianzishe kusoma al fatiha ktk sujudu then niwasambazie heri hiyo ndugu zangu
@softjeanskhakis789
@softjeanskhakis789 Ай бұрын
Huja soma. Bado
@ahmedmartin
@ahmedmartin Ай бұрын
wew ulie soma uko wapi
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Wew ulio soma lete adilla zako tufaidike mbona unakanusha kama shekhe ndo mwanafunzi wako au ww ndo unamsimamia katika kutafuta kwake elimu
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Ай бұрын
Wewe ulosoma hebu toa yako utusomeshe kwa ushahid wa dalili
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Huy shekg lazma apindisge pindshe kwamaaana ana taasiai zake Tznanıa sasa akikazaa jamba unadhainia zitaendelea! Si zitaamwa na BAKWATA zinafundsha ugaidi, kwa hiyo pimdisha Tongee liende kinywani!
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Hiyo ni husda ya wazi kabisa na roho mbaya una ileta je hapa Tanzania kuna taasisi ngap na je zote zinaungana na bakwata na je hiyo Taasisi ya shekhe ulithibitisha inashirikiana na bakwata au unaleta ngonjera na dhana ambazo zitakuwa n sababu ya ww kuingia katika makasiriko ya Allah Allah akusamehe na sisi pia lakn mche Allah jambo huna elimu nalo ni bora unyamaze kuliko kumsema Shekh. Yako yanakushinda unasema ya shekhe.
@ibrahimjumaisingo1769
@ibrahimjumaisingo1769 Ай бұрын
Wewe uwezo wako wako ni upi maana jambo umeambiwa kuna khilaafu ya wanachuoni, wewe lete ijmaai ya wanachuoni kuwa sio hivyo. Huna nyamaza usomeshwe
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@twaibumikidadi7377 ni sahihi kaka unachosema sisi tunaangalia hakki hatuangalii wadhifa wa mtu fulani kuwa akisema ndo hakki mtume wetu alipata taabu kisa kueleza hakki na mtu ikisima na hakki utatengwa kama alivyotengwa mtume, ukitetea batwil utapendwa na wengi kisa wapenda maovu ni wengi duniani kuliko hakki, sisi tutamuangalia mtume alichokifanya tutafanya ajafanya tutawacha tukicheki sunnah inatuonesha mtume alifunga kila juma 3 katika kuzaliwa kwake ndo sunnah ilothibiti na swahaba wao walifunga kumuiga mtume hbr za kupiga matwari kudance, kusoma mashahili na kukusanya watu hii haikuthibiti kwa mtume wetu unatuambiaje ihitilafu wakati sunnah sahihi ipo kwa kiongozi wa ummah tumfate suyuti anae sema ihitilafu au mtume eetuu muhammadi
@jafaribenta73
@jafaribenta73 Ай бұрын
Huyu hajui dini hata kidogo hajui ussulu dini
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Jafar hebu tupe faida kuhusu usulu dini
@huseninchasi
@huseninchasi Ай бұрын
Umwambie huyu namkubali Sana hata akiniambia maulidi ni haramu mm naacha hachagui hana mhemko kabisa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Kwahiyo unamfata mtu hutafuti hakki kwa kusoma ww watata mtu hufati hakki
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Tafuta ilmu kijana usivamie mitandao ukajuwa kila anaehararisha jambo ni halali kwakuwa kavaa joho kubwa kilemba kikubwa ukajuwa asemacho ni hakki uislamu haupo hivyo soma utajuwa akhy
@huseninchasi
@huseninchasi Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e elimu nimesha itafuta bado elimu gani tena elimu ni bahari unaweza. Ukawa unajua vitu vingi lakini vingine hujui huyu mwamba ni salafi na mm ni salafi sijui wa ni nani naona unaona unajua sana labda pengine
@huseninchasi
@huseninchasi Ай бұрын
Maulidi nafanya Na wali twala
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@huseninchasi ww fanya tuuh hii dini ya allah wala humkomoi mtu hata mtume alitumwa kufikisha tuh la hakki na batwil ukifanya jema ni kwajili ya akhera yako kesho na ukifanya baya ni kwajil ya akhera yako kesho amumkomoi mtu dini ya mwenyezi mungu unapo kaidi jambo humkaidi mtu unajisumbua bule unamfanyia jazba mola wako alokuhararishia haramu na halali ah ah ah dah kunawatu mnachekesha sana
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq Ай бұрын
Ww acha kupotosha watu ww hujafaham aliyo kusudia mtume s.a.w kullu bidaa tin dhalala alafu unasema bidaa nzuri bidaa mbaya acha kuchezea watu akili
@user-dr4gb2ld7h
@user-dr4gb2ld7h Ай бұрын
Wew ndo hujafahamu shekhe kataja ufahamu wa ibn Hajar na imamu suyutwi wala haja taja uelewa wake sasa wew na ibn Hajar nani ambaye ana uelewa zaidi katika hadithi
JE KUSOMA  MAULID NI BIDAH AU NIREHMA -SHEIKH OTHMAN MAALIM-SEHEMU 01
15:01
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 6 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
FADHLA NA UBORA WA KUMSWALIA MTUME (S.A.W) l  SHEIKH HASSAN AHMED
32:37
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 38 М.
HUKMU YA KUSOMA MUHALLILA KWA AJILI YA MAREHEMU.
7:27
ALIBAANA TV
Рет қаралды 2,1 М.
NYUNDO YA SAYYID SWALEH AL-AHDALY KWA MASHIA
24:09
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 6 М.