Amina kumbe ulikuwa kigoma kwetu Hongera sana mtumishi wa Mungu
@KoinoniaEducation7 ай бұрын
Niliishibsana wilaya ya Kibondo.
@mwanawamfalmetz7 ай бұрын
@@KoinoniaEducation Mungu akubariki sana kiukweli haya mafundisho yameniongezea kitu katika utumishi na Imani yangu pia 🙏
@eunicenjonge22052 жыл бұрын
Waaaa..nimejifunza mengi mwalimi.. kweli kumbe kuona kwetu ni tofauti.. na pia tafsiri ya vitu unavyovisikia . Barikiwa sana. Nakupata nikiwa Kenya
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Nina furahi sana kusikia kwamba unabarikiwa na mafundisho. Karibu sana!
@florenceamagove4448 Жыл бұрын
Amen Amen Amen barikiwa mutumishi wa mungu Kwa mavundisho mazuri
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Asante sana, inaleta faraja kuona kazi yetu inakusaidia! Ubarikiwe ndugu!
@apostlejacksonkalinga51912 жыл бұрын
Amen naomba nipate utarati wa namna ya kujiunga na chuo chenu
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Mafundisho yote yapo hapa kwenye youtube. Karibu sana
@estermadinda93242 жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏 Nataka kufuwatilia masomo yenu
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Karibu sana!
@subiramagoha63172 жыл бұрын
Asanteee Sana mwalimu Mungu akubariki sana naendelea kujifunza
@subiramagoha63172 жыл бұрын
Nimefurahi Sana kukutana na kipindi hiki leo Ninashukuru Sana,
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Ninafurahi kusikia kwamba mafundisho yanakujenga 🙏
@denismugisha23 жыл бұрын
Nimesikiliza na ni kazi nzuri mtumishi unafanya
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Ahsante nashukuru, Minggu akubariki sana!
@priscapambe75143 жыл бұрын
Amen ndiyo Leo nimeanza kufuatilia kipindi hili nimefurahi Sana nitawezaje kujiunga na masomo haya.naomba maelekezo Mtumishi
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Masomo yote yapo kwenye channel yetu. Hakuna kujiunga rasmi isipokuwa labda ku subscribe na ku ”klick” notification upate taarifa vipindi vinaporushwa.
@SkylarReborn Жыл бұрын
God bless you mtumishi wa Mungu,am much blessed today 🙏
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Mtumishi Asante sana tena sana kwa maono hayo. Mnivumilie nitawauliza sana sana
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Karibu sana na maswali yako, tutajitahidi kujibu
@carolinelucky9199 Жыл бұрын
Yeremia wa 2/3
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Sijaelewa comment yako, labda ukifafanua kidogo nitaweza kufahamu.
@gogboykihereherewayesu19422 жыл бұрын
Mbarikiwe san san mungu azidi kuwatia nguvu wapendwa
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu, mzidinkutombea Mungu atatuwezesha
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
🙏
@monicampokwa4412 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa kunifungua macho 🙏🙏🙏
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Ahsante, kama unmesaidiwa Bwana asifiwe yeye ndiye anayetuwezesha
@MAUREENKNIGHT-qs8cx4 ай бұрын
Ameen ❤
@KoinoniaEducation4 ай бұрын
🙏
@kelvinmtavangu77013 жыл бұрын
Ahhh!! Mungu ni mwema sana. Nimefurahi sana kuona kipindi hiki leo 07 Nov.2021 usiku. Hakika nitajitahidi kufuatilia vipi vyenu. Hasa ni jinsi gani najiunga?
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Maono yetu ni kutoa mafundisho kwa yeyote abayohitaji kujifunza. Hakuna kujiunga zaidi labda ya ku ”subscribe” kusudi upate taarifa wakati kipindi kipya k8metoka. Zaidi ya hayo labda tubninkushauri uangalie ”playlist” kusudi uweze kufuata mtiririko wa somo. Karibu sana sana, tunafurahi kuwa pamoja na wewe!
@carolineindivitsa3686 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏 Mungu akubariki
@davidmpulumba40392 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor mzungu
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Ahsante, ubarikiwe nawe pia
@israelmlabwa97839 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa masomo
@KoinoniaEducation9 ай бұрын
🙏
@ZefaniaJoshua9 ай бұрын
Naipenda Sana nisaidi kuweza kumaliza kuisoma
@KoinoniaEducation9 ай бұрын
Njia ya kumaliza ni kusoma kwa muda unayoipata ideo zote zipo katika playlist. Na masomo mengine tele yapo katika chanel yetu. Karibu sana.
@alindasteven30943 жыл бұрын
Ameen ubalikiwe ntumishi wamungu
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
🙏
@paulmwangi3438 Жыл бұрын
Ahsante sana mchungaji.
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏.
@prophetmosseschella96943 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Ahsante sana, nashukuru
@mmasaalonda499 Жыл бұрын
Ubarikiwe nimehelewa somo Nimependelea Email
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
asante na e-mail yetu ni: koinoniaeduc@gmail.com
@irenemwenda637411 ай бұрын
Ameen ❤️ ❤️ ❤️
@KoinoniaEducation11 ай бұрын
Ubarikiwe!
@samjosh127 ай бұрын
Je, mnatumia na mtandao wa TikTok kufundisha? Je, mnagurupu la WhatsApp? Nahitaji sana kuongeza maarifa ya bibilia.
@KoinoniaEducation7 ай бұрын
Tuko youtube tu. Na kwa mawasiliano tunatumia e-mail ya channel. Karibu.
@kissinzaappolinary36043 жыл бұрын
Hiyo ni sawa kabisa mtumishi wetu.
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Ahsante 🙏
@boscosemahoro9486 Жыл бұрын
Mubarikiwe
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏
@leydaihal9332 Жыл бұрын
Amina sana🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏
@waluleambuto1400 Жыл бұрын
Je nawezaje kupata soft copy au hard copy ya haya mafundisho... Ni mazuri Sana nahitaji kujifunza.
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Ipo kwenye dscription ya video.
@JamesMwabonje Жыл бұрын
Amen..❤
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏
@mswahili6247 Жыл бұрын
Baraka kubwa kuwapata hapa ni darasa bora la imani, mbarikiwe nimepata motisha kuanza kujifunza upya
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Tunafurahi sana kusikia hivyo, Mungu akubariki
@mswahili6247 Жыл бұрын
@@KoinoniaEducation shukrani na Mungu awabariki sana. Kiswahili safi kabisa, nitaandika email pia kwa machapisho kama mtakuwa nayo siku za mbeleni.
@mathewspetr24653 жыл бұрын
Amen
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
🙏
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
👍
@naomibenjamini66912 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kwa masomo mazuri swali ni je nikitaka kujiunga na masomo haya nafanyaje ? au mawasiliano yenu nayapataje kwaajili ya mawasiliano?
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Kwa mawasiliano tumia koinoniaeduc@gmail.com karibu sana
@MAULUSGONGO Жыл бұрын
Naitaji notis 6:05
@hycarolinacgpah98772 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
🙏
@JoshuaDalushi-r7t Жыл бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏👍
@angelanimahubiripiaushuhud51512 жыл бұрын
Jambo mtumishi wa Bwana nami niko Sweden ndawapata je? ila ubarikiwe sana nimewafata leo
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Karibu sana, Kihuduma tupo youtube, mimi kwa sasa ninaishi Uppsala, na Musa yupo. Zanzibar
@foundationfaithtv3 жыл бұрын
Mungu asifiwe leo nimepata kitu nilicho kitafuta mda mrefu
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia 🙏
@abelolelekasio40653 жыл бұрын
Ningeweza kufahamu mlipo ningejifunza neno la mungu zaidi asante
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
@@abelolelekasio4065 Kwa upande wa Koinonia, Mimi K-A nipo Sweden na Mussa yupo Zanzibar. Kama unaulizia ndugu Celestin yeye yuko FInland. Kwa upande wa Koinonia mafundisho yote yanatolewa kupitia KZbin
@milemomajaliwa7710 Жыл бұрын
Jambo ni Malawi Very good
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Kutoka Malawi! Karibu sana ndugu
@HamisiHamisi-j4h11 күн бұрын
Biblia takatifu
@ezronmalongo77752 жыл бұрын
Habari nimependezwa na mafundisho yenu mnapatikana wapi hapa Tanzania
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Mimi K. Andersson niko Sweden na M. Makonelah yuko Zanzibar. Ila huduma hii ya mafundisho ipo youtube, Karibu sana
@mwl.timothysangayoni21373 жыл бұрын
Unaweza ukaeleza kidgo kuhusu Ubatizo?
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa swali lako, kama unavyoelewa ni somo kubwa kidogo hasa ukizingatia kwamba makundu mbali mbali ya ukristi wana mitazamo tofauti juu ya jambo hili. Lakini nitajitahidi kufanya kipindi inayoweza kusaidia katika fundisho hili. Itachukua muda kidogo kuliandaa, lakini itakuja. Kama unasubscribe na kuweka nitification utataarifiwa inapouja live. Mung akubariki sana!
@rachelkarembo33552 жыл бұрын
Hello nimekupenda hki uko na mtoto hajaoa
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
.
@alexeliya78133 жыл бұрын
Mi nime anza kuwa fuatiaria leo vipindi vywenu navi pataje
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Vipindi vyote unavipata kwenye KZbin Channel yetu. Angalia "playlist" utaona kuna video nyingi sana. Karibu
@alexeliya78133 жыл бұрын
@@KoinoniaEducation asante
@cristinakavishe17953 жыл бұрын
Ni nime anza kuwa fuatiaria leo vipindi vyenu navi pataje
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
@@cristinakavishe1795 Vipindi vyote unavipata kwenye KZbin Channel yetu. Angalia "playlist" utaona kuna video nyingi sana. Karibu
@boscosemahoro9486 Жыл бұрын
Munaweza kutupa anwanizenu
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Ipo kwenye maelezo ya channel
@Bishopdavidndaki71843 жыл бұрын
Asante sana mwalimu, Baada ya mitihani, tutapata vyeti?
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Sisi siyo chuo kwa maana ya kwamba tunasomesha wanafunzi wanaohitaji cheti. Maono yetu ni kutoa mafundisho kwa yeyote anayopenda kujielimisha katika imani yetu ya Ukristo. Ndiyo unaweza kulinganisha masomo tunayoyatoa na masomo yanayopatikana kwenye vyuo, ila hapa wote wanakaribishwa na hakuna ada. Labda tu tutashukuru kama 7na ”subscribe” kwa channel yetu. Karibu sana na Mungu akubariki!
@mganyizirubogorwa69329 ай бұрын
Notes napataje
@KoinoniaEducation9 ай бұрын
Notes zipo kwenye description, na pia kuna link ukitaka ku zipata kama document
@alindasteven30943 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Ahsante
@newhopeonline581810 ай бұрын
Naomba mawasiliano
@KoinoniaEducation10 ай бұрын
Tumia e-mail ya channel unaikuta kwenye maelezo (about) ya channel
@mutulaalexandre11233 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Nina hitaji namba yako ili nielimishwe zaidi.
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Kwa mawasiliano tumia email: koinoniaeduc@gmail.com
@NEEMAMTEGWA Жыл бұрын
Nakupata nikiwa tz
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
🙏👍
@rachelkarembo33552 жыл бұрын
Asant umenisaidia hki but ni tafutie job huko
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
.
@metrinemulama-kx5rn2 ай бұрын
Natamani nijue kwa kina na ubana bibilia ya mungu
@KoinoniaEducationАй бұрын
Endelea kufuata masomo utapata elimu
@dionicyndelwa6633 жыл бұрын
Amina
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
🙏
@nehemierugwiza91432 жыл бұрын
Habari nimefurahi kukufuata kwa KZbin nimependezwa na kujifunza kwako tafadhali ni naishi Marecani.
@KoinoniaEducation2 жыл бұрын
Karibu sana!
@SEBADENDE1987FRED11 ай бұрын
Nikweli
@KoinoniaEducation11 ай бұрын
Shukran!
@boanergetvtanzania12913 жыл бұрын
Je, munatoa mitihani?
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Hapana, ni channel ya youtube tu kwa yeyote anayopenda kujiendeleza katika imani ya kikristo. Ila level ya masomo inafanana na ya chuo
@boscosemahoro9486 Жыл бұрын
Tukawasiriana
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Ipo kwenye maelezo ya channel. Karibu
@FaithDaniel-y7l Жыл бұрын
Hakika bwana ni mwema
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
👍🙏
@milemomajaliwa7710 Жыл бұрын
Nahitaji kusoma mwalimu
@KoinoniaEducation Жыл бұрын
Karibu sana, nadhani utaona kuna mafundisho mengi kwenye channel yetu yatakayokusaidia. Mungu akubariki
@maikojoseph11153 жыл бұрын
Na Mimi ndo naanza Leo kuwa sikili
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Karibu sana, kama unamaswali usisite kuuliza
@barakakasongo61243 жыл бұрын
Nitapata je nots?
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Kwa vile wengi wameuizia nitajaribu kuweka notes kwenye description ila itabidi ustahimili kidogo maan ani kazi kubwa kidogo.
@KoinoniaEducation3 жыл бұрын
Sasa nimeweka link itakayokufikisha kwenye notes uki "klick" Unahitaji kutumia link moja kwa kila sehemu kwa mfano sehemu ya Injili zote zia link moja, Zaburi moja na kuendelea. Natumaini hiyo itaweza kukusaidia.
@albuscalion3543 жыл бұрын
Nataka kujiunga na chuo hiki ili nipate na cheti ninafanyaje kuhusu utaratibu wenu..