SANDUKU LA AGANO LILIPOTELEA WAPI?

  Рет қаралды 12,906

MWALIMU ISAYA BENSON

MWALIMU ISAYA BENSON

Күн бұрын

#specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

Пікірлер: 43
@ZawadiMtafya-jm8vz
@ZawadiMtafya-jm8vz Ай бұрын
Asante ku kutufunua ubongo🎉
@rajababrahman4365
@rajababrahman4365 3 ай бұрын
Wew unamnajisi Kristo na utapata hukumu angalia usipotubu
@pziragerajosefat9941
@pziragerajosefat9941 3 ай бұрын
Asante kwa mafundisho maziri ambayo yameishia kwa Kristo Yesu mkombizi wetu
@karolmsaki9855
@karolmsaki9855 7 ай бұрын
Mwalimu una utashu sana wa utafiti na kuelimisha.Mimi nina maswali mengi sana, kuhusu madhehebu haya ya kidini,kiblia inaonesha Kuna kanisa Moja tu,na biblia inasema usiongeze wala kupunguza,Sasa je ni halali kuwepo Kwa madhehebu?nini matokeo yake ikiwa biblia haitambui kuwepo Kwa madhehebu katika agano jipya?
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 7 ай бұрын
Du! Mwalimu Mungu akubariki sana,kila nikikusikiliza Moyo wangu unahisi kupokea kitu, naongezeka,nakuwa, habari hizi njema nitazipeleka pia kwa mataifa ili tukae kwenye ukurasa mmoja.
@RoseMwanga
@RoseMwanga 7 ай бұрын
Big up Mwalimu Isaya Benson kusoma kwako kumeturahisishia kuwa na uelewa mahiri kwa wepesi : japo wewe umechukua Muda mreefu kuandaa na kutufupishia sisi tuelewe;;; Niseme Asante saana Mwalimu umekuwa msaada Bora kwetu
@Nibizichristo
@Nibizichristo 7 ай бұрын
Mimi kwa wazo langu ninahisj kwamba Mungu alilipoteza kwa kua anajua mwanae yu kalibu kuzaliwa kwa hiyo ikabidi ipotee moja kwa moja
@AMOSIELIYA-xv1qn
@AMOSIELIYA-xv1qn 3 ай бұрын
Barikiwa saana
@txsoundsrecord3663
@txsoundsrecord3663 7 ай бұрын
Mwl Hongeraaaaa.. MUNGU akulinde
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 7 ай бұрын
Ni kweli sanduku la agani ni mungu mwegnewe ndo anae jua
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 7 ай бұрын
Mungu anaseme hukuna atakae niona kisha akaweza kuiishi vizur sana mungu amemarza kukulu kakala za wakristo wote wanaodai ya kwamba yesu ni mungu kwa hili andiko inamaana mungu haonekani
@ellymaz2187
@ellymaz2187 7 ай бұрын
Kwani Yesu alikuwa katika hali ya Uungu wakati watu wanamuona? Inaonekana uelewa wako juu ya Biblia ni mdogo sana
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 7 ай бұрын
@@ellymaz2187 wewe mungu sio kinyonga abadilike sasa hivi awe yesu baadae awe mungu
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 7 ай бұрын
@@ellymaz2187 usilazmishe aya aliyo toa mwalimu ni nzuli sana hakuna alie muona mungu kisha akawa mzima
@ellymaz2187
@ellymaz2187 7 ай бұрын
@@kalamamuller-qe1yd Kwani unalazimishwa kuamini wanachoamini Wakristo? Si uendelee kuamini unachoamini na Wakristo waendelee na imani yao. Mungu anaweza kufanya apendavyo, huamini sawa tu.
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 7 ай бұрын
Hongera sana mwalm
@husseiniddy5094
@husseiniddy5094 3 ай бұрын
Napata mashaka ya hii simulizi na habari za alen kua walikua na ushirikiano na binadamu.tangu kipindi hiko hizi dini zinautata sana ila nazani hilo sanduku litakua marekani pale seemu inaitwa area 51 ndo mana wamekua na nguvu na kuwezakuitawala dunia fikilia kwa makini hiyo kitu kwakua zama hizo azinatofauti na za sasa jinsi mambo yalivyo ila yanafanyika kwa siri sana
@PascasMathew
@PascasMathew 3 ай бұрын
Hakuna mtu yeyote aliweza kugusa au kulichukua akawa hai . Sanduku liko mbinguni
@mtumwawayesu1956
@mtumwawayesu1956 2 ай бұрын
we ni mlumbi, ulumbi kila pahala umenichovya tebwetebweree...wabadu wakatabahu fakir
@RashidiBirukundi
@RashidiBirukundi 4 ай бұрын
Mwakilembe nakukumbusha Salamu unayo tusalimia hajaitumia Yesu ila,siku zote aliwasalimia hivi (amani iwe kwenu)kwahiyo kama ulivyo mtafiti fuatilia hilo naamini yapo mengi unasemaga ukweli
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 7 ай бұрын
Napenda sana kuona unazungumzia neno la Mungu mavita vita hayo hayaleti tafsiri yako sina mana tusapot hivi viuni vinavyojifanya waisrael hapana, alafu jua kwanini wato wanajiita wayahudi ikiwa kuna makabila 12 nan mbenjamin kati yao wale ni wafuasi wa dini tu ya kiyahudi ndo mana wote wanaojifanya waisrael wanajiita wayahudi tu
@DanielNdagala
@DanielNdagala 4 күн бұрын
Ufunuo 11:19 ukisoma utajua iko wapi
@dannykimoko9293
@dannykimoko9293 7 ай бұрын
Sasa kama sanduku ulikuwa ukilishika unakufa inakuwaje liibiwe na Mungu anyamaze Wala hiyo nchi isipatwe na tatizo? Lakini pia Israel wasingekubali hilo sanduku lisiwepo nchini mwao.
@trm_tba9820
@trm_tba9820 7 ай бұрын
sikiliza tena ameelezea vizuri
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 7 ай бұрын
Sanduku liko mbinguni soma ufunuo11:19 hebu soma hapo
@karolmsaki9855
@karolmsaki9855 7 ай бұрын
Pale ni lugha ya picha sio miti ya duniani ipo mbinguni
@eliaalex8118
@eliaalex8118 9 күн бұрын
Barikiwa sana umenipa majibu ya kle kilkua kina nisumbua
@eliaalex8118
@eliaalex8118 9 күн бұрын
​@@karolmsaki9855ina weza ikawa mit ya dunian pia ume sahau kna henoko na eliya wako mbingun na miil yao ya kbinadam
@dastankinyenya5973
@dastankinyenya5973 3 ай бұрын
SANDUKU LILIPOTEA YESU ALIPOKUFA MSALABANI HAPO NDIPO UKAWA MWISHO WA UWEPO WA SANDUKU PALE PAZIA LA HEKALU LILIPOPASUKA
@ChristinaCharles-py1ct
@ChristinaCharles-py1ct 7 ай бұрын
Inafahamika kuwa uislamu una nguzo tano. Je ukristo unanguzo ngapi?
@ESTERMADIRISHA
@ESTERMADIRISHA 6 ай бұрын
Ukristo una nguzo tatu yaani Imani,mapendo na matumaini 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 7 ай бұрын
Mbona wengine wanasema lipo mlima kenya ? Na ndiyo maana hata wafalme wa Uingereza wanapotawazwa lazima waende kenya 🇰🇪
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 2 ай бұрын
Tafuteni sana maarifa biblia inasisitiza.....naona WATU wenye akili mgando hawakuelewi Mana akili zao ni za kula kiporo na kulala....ZODI KUTUELIMISHA TUYASOME MAANDIKO KWA UNDANI✓✓✓✓
@willymollel52
@willymollel52 7 ай бұрын
Sidhani kama ni vema kuanza kutafuta sanduku la agano la kale, kwa sasa kwa mujibu wa agano jipya na leo watu tuliookoka sanduku la agano letu ni lipi?
@user-yl6qq5uo7q
@user-yl6qq5uo7q 6 ай бұрын
Mwaka huu ni uchaguzi wa serkali za mitaa. Rishwa hio...chukueni. Hzo passport na ccm inyimeni kura
@TAFSIRIZANDOTO4106
@TAFSIRIZANDOTO4106 7 ай бұрын
Naomba namba zako Mwalimu
@hope-cj9rh
@hope-cj9rh 7 ай бұрын
sanduku la agano lipo mbinguni nabii yohana alioneshwa UFUNUO 11:19
@user-yj3mu3bo6t
@user-yj3mu3bo6t 7 ай бұрын
ss mwalim km ilikuw aiwezekan kuangalia walikuw wanabeb vip
@EagerAtv-jw7or
@EagerAtv-jw7or 7 ай бұрын
Mwl sanduku langano likombinguni biblia imesema kitabu Cha ufunuo
@GodyMussa-sc9fj
@GodyMussa-sc9fj 7 ай бұрын
MWALIM naomba kuuliza je amri 10 za Mungu zinafanyaxkazi mpaka leo???? Na je kama zinafanya kazi tukizibunja tutarnda motoni??
@RodgersMulongo
@RodgersMulongo 6 ай бұрын
Yesu kristo pamoja na mwenyezi Mungu ndio wanajua mahali ambapo sanduku la agano lipo
@JumaMkele-lm7qy
@JumaMkele-lm7qy 7 ай бұрын
Mwalimu naomba kuelewa kuusu vipindi Saba vya kanisa uko utuluk me ni ustaz ila ni mwafrika nae jaribu kutaka kutoka neocolonial
@gmmusiccenter3488
@gmmusiccenter3488 7 ай бұрын
Henoko ni nani na kwanini alienda mbinguni bila kufa?
"Mawazo" Sehemu Ya 70 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
36:53
Chomoza Tv
Рет қаралды 1,7 М.
MUNGU ALIKUWA ANAISHI WAPI KABLA YA KUUMBA MBINGU?
32:35
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 20 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 51 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН
YESU ALIKUNYWA MVINYO JE WAKRISTO TUNARUHUSIWA KUNYWA POMBE?
21:06
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 11 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 265 М.
SANDUKU LA AGANO LIMEPATIKANA (Where Could the Ark of the Covenant Be) ?
12:02
Hadithi za Biblia (Bible Stories)
Рет қаралды 4,6 М.
MELKIZEDEKI HANA MWANZO WALA MWISHO HANA BABA WALA MAMA ALIKUWA NANI?
54:14
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 12 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 51 МЛН