Kuimba huku....kuna nini nyuma yake😭😭😭😭😭😭😭😩😩

  Рет қаралды 9,060

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@leonardjamson-tb4jj
@leonardjamson-tb4jj 8 ай бұрын
Hatuna maisha mengine zaidi ya kuishi ndani ya yesu kristo msikate tamaa wapendwa mpaka mwisho
@mbakimwakilema167
@mbakimwakilema167 8 ай бұрын
Hakika karibu na yesu ndipo ushindi unapatikan mbarikiwe na bwana wetu kristo
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 8 ай бұрын
Emeni mungu awabariki sana songeni mbele liwalo na liwe mpaka yesu arudi
@martinwhite8823
@martinwhite8823 8 ай бұрын
Amina nimebarikiwa Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@merykatala8827
@merykatala8827 8 ай бұрын
Mungu anaweza fanya msiogope wanna wa Mungu katikati ya dhoruba Kali Mungu atatengeneza njia mpaka mtabaki mnashangaa, Mungu awatie moyo Katika kipind hiki kigumu
@user-rk9fb5wi7w
@user-rk9fb5wi7w 8 ай бұрын
Yesu azidi sana katika utumishi wenuuu🎉🎉🎉🎉
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 8 ай бұрын
Asante mama mchungaji mbalikiwa mwakipesile
@ConsolataSilivanus-dq5ge
@ConsolataSilivanus-dq5ge 6 ай бұрын
Mama Mchungaji ubarikiwe pia MUNGU awakumbuke katika hayo mapito
@user-vd8kc5cj7o
@user-vd8kc5cj7o 8 ай бұрын
mungu hajawai kushindwa naona mda mfupi kuna jambo bwana anaenda kutenda juu ya mbarikiwa
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 8 ай бұрын
nawapenda mna mmebaki Peke kama wanafunzi wa yesu jitieni nguvu mmeshinda
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 8 ай бұрын
Isaya 43. 1inasema usiogope katika maji huta galikiswa hata katika mito wala katika moto hata teketeya wala mwali wa moto hauta kuunguza Mimi ni pamoja nawe usiogope lsaya 44 '1
@GeophreyMalambwa
@GeophreyMalambwa 8 ай бұрын
Neema ya Mungu nikubwa hata kama mbalikiwa atafungwa asifunguliwe Mungu atabaki kuwa Mungu hata hili la mbalikiwa tunamshukuru Mungu japo mwili unaumia ila roho inatiwa nguvu
@simonphabiano9050
@simonphabiano9050 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mamma🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 8 ай бұрын
Haleluya mubalikiwe watumishi
@BahatiYenzela-kj6jq
@BahatiYenzela-kj6jq 8 ай бұрын
Mungu mfalme wa amani hakuna wa kufanananae. One love JAH
@user-uh4ir6oj1w
@user-uh4ir6oj1w 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Salome,Nakupenda sana
@leonardjamson-tb4jj
@leonardjamson-tb4jj 8 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mama mchungaji Kwa kweli unapitia kipindi kigumu ila mungu yupo nawe amekuzingira
@emmanuelmgeni273
@emmanuelmgeni273 8 ай бұрын
Amina, mama wa imani MUNGU akubaliki na kukulinda
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 8 ай бұрын
Dada hongera tena asante sana, Bwana azidi kukujaza pendo lake,
@kingsonkambey1436
@kingsonkambey1436 6 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu aliye Hai
@louisamazutantamukunzi7363
@louisamazutantamukunzi7363 8 ай бұрын
👏👏👏👏😭😭😭😱😱😱eeeeMungu tenda kazi Baba.
@HelinaMsalila-us4yo
@HelinaMsalila-us4yo 8 ай бұрын
MUNGU awabariki saaaanaa 🙏🙏😇😇
@REDEMPTAMAKONGA-tp4kw
@REDEMPTAMAKONGA-tp4kw 8 ай бұрын
hakika hakuna pa kupumzika!cha msingi ni kupambana
@imeldakassoga6332
@imeldakassoga6332 8 ай бұрын
Ameeeeeeen utukufu Ni kwa Bwana
@rebekamoshi2623
@rebekamoshi2623 8 ай бұрын
Karbu sana Yesu wakati wote kwetu
@matridahtongamwakipagala2078
@matridahtongamwakipagala2078 8 ай бұрын
❤❤❤❤Amen
@abigaillucas1114
@abigaillucas1114 8 ай бұрын
🎉Mmeishashinda🎉❤
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 8 ай бұрын
Karbu na wewe MUNGU wangu
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 8 ай бұрын
Apa ni sawa
@louisamazutantamukunzi7363
@louisamazutantamukunzi7363 8 ай бұрын
EeeeeeeeMungu uliye waokowa wamitume waliotanguliya wakina Petro stefano Danieli nawengine babawewe usiyeshidwa jitukuze kwa Mubalikiwababa leta furahatena kwa mukewake hatanasisiwengine mupanguze mkewake majozi.
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 8 ай бұрын
TUNAKUPENDA MAMA YETU MBAKA SISI WANAUME TUNATAMANI KUA KAMA WEWE
@florianmakero9877
@florianmakero9877 8 ай бұрын
Pppqoolmw😮
@AyoubDaudi
@AyoubDaudi 8 ай бұрын
Aaamen
@mestonianatori7254
@mestonianatori7254 8 ай бұрын
MAMA😢😢😢😭😭😭😭😭
@salomemadila319
@salomemadila319 8 ай бұрын
Amen be blessed
@EsterSwilah-jv6ns
@EsterSwilah-jv6ns 8 ай бұрын
😭😭😭😭 karibu nawe bab
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 8 ай бұрын
Mama umenibariki, guitare,piano,drum kumbe wewe ni Mali ya BWANA YESU, ubarikiwe sana mama
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 8 ай бұрын
👏👏👏👏
@elizabethmashombo4924
@elizabethmashombo4924 8 ай бұрын
Ameni
@neemajohn9024
@neemajohn9024 8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 8 ай бұрын
Watumishi wa Mungu epukeni kutumia emojis ni hatari
BEATRICE MWAIPAJA - NDOTO YANGU (OFFICIAL VIDEO)
7:00
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 504 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 8 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Mbarikiwa amkemea Masanja kwa sababu amewakemea manabii wahuni (ZABURI 50:16-18).
30:32
Katikati ya furaha tenaaaa?
7:07
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 7 М.
Mke wa mbarikiwa ala kiapo juu ya wimbo huu
11:58
Yusufu Mahendeka
Рет қаралды 1,4 М.
Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1 МЛН
Mtoto mch mbarikiwa mwakipesile wakwanza katoa nyimbo mpya
5:20
Robert Robert
Рет қаралды 32 М.
Sifa mwimbaji wa wanatuona nyani,atoa wimbo mwingine hee huyu kweli ni shujaa....
6:47
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 15 М.
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 322 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 8 МЛН