Kumsahau huyu ktk maisha ni ngumu walah kwan ana upendo wa kweli toka moyon na alikuw taar kufa kwa ajili ya wananch wake lkn Allah kampenda mapemaaaa angali twamtaka bado
@wellbrand34152 жыл бұрын
Huyu baba. Mungu amlaze mahali pema peponi.
@sonnyr18992 жыл бұрын
Huyu alikua anakuja kufanya kazi ndio maana baada Ya kiapo tu anaingia mzigoni tofauti na wengine baada Ya kiapo kesho safari
@rasrizzy_g78562 жыл бұрын
Siku ya kwanza ni vizuri kujua mfuko wa taifa ukoje....respect sana hata BOT alienda huyu mwamba...sehem kama hizi huwa wanasiasa wanaambiwa wakae mbali nako koz WB na IMF hawapendi kuona wakiingiliwa
@vincentauxerbius75542 жыл бұрын
Rest in peace baba😢😢😢
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Duuu, shujaa wetu mwenye mapenzi makubwa kwa watanzania pumzika kwa Amani
@neemajulius12562 жыл бұрын
Pumzika jembe letu niliupenda Sana uongozi wako ulivyojituma kwa bidii kwa ajiliya kuipenda nchi yako hakika ulikuwa mzalendo wa kweli
@georgekagwebe17252 жыл бұрын
Ilove my presedent 😓 and lrip😓
@jumaakida59512 жыл бұрын
Kwakweli tumuachie Mungu lakini huyu alikuwa rais na alitosha sna kwenye hii nafasi. Alijua kuitendea haki kazi yake. Ulipata hamu yakumsikiliza kila siku.
@smukelomkhize97752 жыл бұрын
He was The best president in Africa Hata jakaya Kikwete anajua basi Wadwanzi figisu kibao Kwa Watu wanaopenda wizi WA pesa za Kodi za Watanzania
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Hukumtaja Mkapa wala Mwinyi isipokuwa JK!
@T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs2 жыл бұрын
Haya mamb yamerudi palepale ofisi za serikali unaenda hamna huduma wala wafanyakazi hawapo. Majaliwa 2025
@martineshija27122 жыл бұрын
Enzi hizotulikuwa tunakimbilia kuangalia taarfa ya habar ilasasahiv naikimbia taarfa ya habar
@bantuisolele25432 жыл бұрын
😆😆😆😆
@ujimansylivanus9442 жыл бұрын
Kweli
@josephchiluka93572 жыл бұрын
Kabsaa daah hata sitami kuangalia nikaichukia na TV yangu 😪
@priscamrekoni3451 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@dalali_professionalwa_dodo83302 жыл бұрын
Chumaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
@marcomuhoja59812 жыл бұрын
Endelea kupumzika Mzee wngu
@athumaniomari28332 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mraze maali pema
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Juzi tuuu nimemtaja huyu Simba tena kwa wema kabisaaaa
@stevenhassan2692 жыл бұрын
Daah
@farajakwilasa4712 жыл бұрын
Baba magufuri mungu mwenyezi akujalie na akutunuku cheo kikuu mbele ya malaika
@Bojak0792 жыл бұрын
Hatutamsahau kamwe Shujaa Rais Maghufuli....tunaomba Mungu ainue wengine kama yeye hata huku kenya.
@jeffkonki82792 жыл бұрын
Kafa kwaajili ya masikini maana yeye kwa cheo chake hakuwa na dhiki ila kuwakataa wanyonyaji na mabeberu ndio kilicho muua r .I.p magu
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Jamani, muda wake umefika. Tusiweke nadharia nyingi. Haifai!
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@TamuzaKale nikweli lakini Kumbuka kuwa hata ukiuliwa maana yake kuwa muda umefika
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@jumakapilima7295 Rais hawezi kuuliwa kama mjumbe wa nyumba kumi. Muwege na adabu!
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@TamuzaKale Acha ujinga wewe Nani aliyesema rais ameuliwa?
@hassanmirambo5642 жыл бұрын
@@TamuzaKale John F Kennedy wa marekani alijiuwa eti au unajitoa ufahamu
@zephaniamasatu59102 жыл бұрын
afrika haita musahau magu
@T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs2 жыл бұрын
Huyu baba alijua kunyoosha nchi akaipiga pasi balaa
@barakamwakapoma27022 жыл бұрын
Dah nitakukumbuka daima
@edisonpeter38942 жыл бұрын
Huyu mtu jamani sijui kwann tu alienda kipindi tumamtaka sanaaa
@simonverite59852 жыл бұрын
Wazungu ni masheti huwa najiulizaga sababu ya chuki na magufuli😢
@mariethagideon60052 жыл бұрын
Rip chuma
@jumawaziri85012 жыл бұрын
TUTAMKUMBUKA SAAN MZEE MAGUFULI
@emmanuelkanyela2752 жыл бұрын
Jembe langu nimemmis sana
@richardtungaraza75092 жыл бұрын
Dah aiseee chuma
@chb53672 жыл бұрын
Namna anavyowacheki!🤔
@abdullahisaidkassim46912 жыл бұрын
Basi tu
@marcoakyoo7602 жыл бұрын
Bibi tozo hili haliwezi kufanya ashaweka wapiga dili wake R. I. P. Magufuli
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Huyo mwenyewe ilikuwa anakwenda kupanga watu wake kila utawala unapanga watu wanaowaamini Sana siyo kujizolea tu..!
@mamboshepea88882 жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 Mmmmh..!!!!
@bashangegoogle67142 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@zakariamigeto35432 жыл бұрын
Kipindi hiko kodi yangu ikikatwa wala sijisikii vibaya
@scorasticaclement63082 жыл бұрын
R.i.p Magu.
@japhetdaudmaneno84402 жыл бұрын
U'r still alive and Identity of country none like u🤷🤔
@idrisasimba85012 жыл бұрын
FIKRA ZA JPM ZIDUMU KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU
@yahayamaulana15612 жыл бұрын
Aliyewanyoosha mafisadi ila mijitu yenyerohombaya yaliyostaafu ikiacha doa laufisadi bado yanang'ang'ania ndio wanaompotosha samia kwasasa
@saleheinnocent76362 жыл бұрын
Nishalia nikanyamaza Sasa kila nikiona Video zako naishia kufurahi to kwa kicheko kutokana na ubora wako.
@rachellaiza77792 жыл бұрын
Pumzika kwa amani jembe letu tunakukumbuka sana sana
@hassancharo14962 жыл бұрын
UHURU AIGIZE HUUU MFANO BADALA KUWA ADHIBU WAFUAC WA KENYA KWANZA
@mkijilukali20102 жыл бұрын
Uyundie alikua na mashine moyoni mbona aielekei mungu ataliipa
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Unajuaje undani wa mtu?
@tycoon95402 жыл бұрын
Hizo visingizio vilitengenezwa na wauaji ili wahalalishe kile walichomfanyia Jpm
@alphoncewilliam43252 жыл бұрын
Kiukweli tumempoteza mtetezi WA taifa
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
😭😭
@msomimosomy98122 жыл бұрын
Tunalimamandio.halijiele
@twofivefive9062 жыл бұрын
💯💯💯💯🤝💪🙏🙏
@Pastorbarakamwanjala2 жыл бұрын
Chuma
@allymadunda79312 жыл бұрын
Alishinda uchaguzi kwakishindo,hahaha
@bonifansimatias69512 жыл бұрын
Leo hii wakinamama wanajifungulia nje manesi wamepewa kiburi na B tozo eti naye anajiita rais wa matajiri
@lucystella96122 жыл бұрын
Haaaaaaaaaaaa
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
💌😪
@JosephMhecha2 жыл бұрын
Mwamba wa Afrika
@biddii1972 Жыл бұрын
Dah tokea nchi imepata uhuru atujawai pata mtu ka uyu
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Alikuwaga na tambo za hatari!
@servaciosamadu822 жыл бұрын
Jembe langu pumzika kwa amani
@mdalamgir-gu9hu2 жыл бұрын
Uyu askari wake aliendapi
@zakariamigeto35432 жыл бұрын
Haikuwa kwenda nje ya nchi kwani
@allymadunda79312 жыл бұрын
Zimbabwe, south, rwanda
@emmanuelkanyela275 Жыл бұрын
Mwamba huyo
@MAPETEE2 жыл бұрын
Ali jifanya jabbar wapi Sasa kwisha kwisha kabisa mungu si WA kuchezea
@joramudaudi53732 жыл бұрын
Kwan we utaishi milele?
@ivanniyeha42292 жыл бұрын
Bado ni jabar ndo maana bado anakukera sana
@ananiachelesi14862 жыл бұрын
Na ataendelea kukukera.
@eliaslazaro28092 жыл бұрын
Komanyoko zako ulitakiwa ufe wew unafaida gan mzoga mkubwa wew ningekuwa nakufaham ningeshugulika nawew.