Nakuota unatembea ukafika sehem kina kam shimo lachoo ukakanyanga likabomoka ukatumbukia ukabakiza kichwa namikono unaonb msaada hakun anayekuskia
@annmukiri86866 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu.niliota nikitolewa kwa shimo na wanaume wawili
@pendokayange33992 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish wa Mungu,nimekuelewa sana na umenigusa
@revpeternjihia2 жыл бұрын
@Pendo Kayange ubarikiwe pia
@veronicagati19952 жыл бұрын
Very true 👋👋
@MariaMaria-ul6xl Жыл бұрын
Amina
@batuli-n8e11 күн бұрын
Nipe namba nko kenya
@veronicagati19952 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@Hidaya-e7x7 ай бұрын
Mm nmeota natingisha machwangwa yakaanguka kwenye shimo, nikaingia nakuyachukua machungwa yangu ndani ya shimo kulikuwa na miti midogo mitatu nikaweza kutoka na machungwa yangu
@batuli-n8e11 күн бұрын
Mm nliota nmeanguka.kisima.cha ndoo nkaekekwa ngazi nkatoka jee hapo nvip jeee😮😮
@batuli-n8e11 күн бұрын
Tuekee namba mwalim nmeota hh ndoto 3 days ago😮
@veronicagati19952 жыл бұрын
Ni ukweli daddy kuna siku nilikuaga naota naanguka kwa shimo ila Kila nilipo kua naanguka sikua nafika chini nikipiga kelele sauti haitoki
@revpeternjihia2 жыл бұрын
Mungu akuweke huru Kwa Jina La yesu
@veronicagati19952 жыл бұрын
@@revpeternjihia Amen 🙏
@mahmoudabda11812 жыл бұрын
Niliona nikiwa naosha sink but nikaona boss wangu akitoka kwa shimo nami nikatoroka na kusema jesus
@revpeternjihia2 жыл бұрын
Nitakuwa live @9pm nitakupa maana yake.
@justuskatana17432 жыл бұрын
Niliota nikiwa ni mekalia kando ya shimo na kulikua na rafiki yangu mmonja alifariki tukiwa vinjana na huyo rafiki akufuraia vile sikuingia
@andrewmmassy52042 жыл бұрын
Niliota,nikiwa na ndugu yangu tumbo Moja tunaenda tupo njiani,nikajikuta nipo ndani ya shimo nikawa najiuliza ndugu yangu kavuka,ndani ya shimo nikaona watu wamepanga mstari NAMI nikiwa kwenye mstari mwisho kabisa,ila mstari ule kumbe Kuna mtu yupo juu anafimbo anaokoa mmoja mmoja.
@ruthmachimbo Жыл бұрын
Nimekulewa vizuri mchungaji juzi niliota nikiwa na rafiki zangu na wengine sikuwa na wajua tukiwa kando la shimo wakawa wananimbia ni ruke kwenye shimo kwalile mshimo kulikuwa kumefurika asali mpaka katikati mwa shimo nikaona mtu mmoja anatoka ndani wa shimo akiwa na nyuki wengi mgongoni mwake kwa kweli niliongapa kuruka ndani mwa shimo ilo
@millycentzindoli25672 жыл бұрын
Na kama ukiota uko unaelea kwa kisima kilicho jaa maji hadi pomono na nangangana kutoka lkn mamangu ndio anakimbia kunivuta mkono nkatoka
@محمدالمحمد-ض6ي9ض Жыл бұрын
asate sana kwamawaithayako niombee sana mm huwota doto kama hizo naitwa Jane niko Saudi
@revpeternjihia Жыл бұрын
Kuna hali utapitia yani changa moto hila mama mzazi ndiye atakuwepo akusaidie.
@UtukufuAntidius Жыл бұрын
Mchungaji mm niliota nimetoka shimoni lakini walibaki wanafamilia wangu(mke na mtoto)
@beera.g5302 Жыл бұрын
Nngesubscribu lkn hujibu subscribers wako🙃
@revpeternjihia Жыл бұрын
Beera G Nashukuru Bora injili ina hubiriwa kwa jina la yesu, kuna thausands ya jumbe hapa zimetumwa, kwa uwezo wangu siwezi hata nikitaka kijibu ni ngumu, pia niko na majukumu mengine ya kufanya siwezi ziacha. Ungekuwa ukinifatilia nikiwa live na uache ujumbe wako ningejibu nikiwa live. Beera. G hii ndiyo ujumbe wako wa kwanza nimeona. Ukiwa live ndiyo utajua umeni hukumu kimakosa mimi hujibu kila mtu ako live. Nashukuru kwa maoni yako na kwa moyo wako mungu akubariki sana. 🙏🙏🙏🙏
@beera.g5302 Жыл бұрын
@@revpeternjihia samahani Sana mchungaji 🙏, nimekuelewa , achanikufuatilie, 🙏🥰
@fadhilaburuhani17742 жыл бұрын
Nimeota tunatembea na mdogo wangu wa kike. Tukakutana na shimo kubwa mkoba wangu ukadondoka ndani. Mdogo wangu akaingia shimoni akautoa. Nikamvuta. Baado na sim yangu ikadondoka mle ndani ikapita hadi shimo LA choo tukaingia chooni nikaitoa. Nini maana yake
@francisdonald42982 жыл бұрын
Niliota nipo na kitu kama kartasi inayowaka sana pia inawaka sana ikiwa kwenye mwanga inatoa mwanga mkali sana sasa mbele yangu kulikua na mwanamke anaongea na simu alafu ilikua giza sana ile karatasi ilikua inatoa mwanga mkati sana hadi yeye anashangaa baade tukafika sehemu fulani yeye akabadilisha njia mi nikaendelea huko mbele nikakutana na giza mpaka ile karatasi ikaacha kuwaka baadae ndo nikajikuta kwenye shimo sasa. Shimo hilo juu lilikua na mlangoa wa kufunga na kufungua badae nikaona unafunguliwa halafu walionitegea shimo wakanirushia nyani mdogo ndani ya shimo pia kulikua na maji ndani ya ilo shimo nikakaa na huyo nyani nikimpapasa
@EuniceKileo-qr6kv7 ай бұрын
Na ukiota unadumbukia. Shimoni na mchumba. Wako
@Marry-el6tx Жыл бұрын
Mchungaji naomba namba yako kuna ndoto nimeiyota sijaelewa maana yake naomba namba ili nikupigie nikuelezee
@merina813 ай бұрын
❤
@rozimarymnyethi5022 жыл бұрын
Niliota Niko kwa choo najisaidia ghafra nikadubukia kwenye Hilo shimo la choo, lilikuwa lefu sana lakini nilihisi nimedodokea kwenye maji,sijui hiyo doto Ina maana gani
@sylviaecke17722 жыл бұрын
Nimeota nimeingia kwenyeshimo but na hangaika kutoka ,watu wenyewe hapo wakunitoa wanataka pesa nyingi ambayo Sina,kilanikijaribu,nateleza ,juu kumezibwa siwezi kupita
@revpeternjihia Жыл бұрын
Mungu anakuonyesha utapitia hali ngumu na watu wako karibu nawe hatakuwa wakujinufaisha na hali unapitia
@salimahlokoh96992 жыл бұрын
Mtumishi mimi ni mgeni hapa kwa channel yako ila nitafuatilia video zote. Mimi niliota mwanangu ameanguka kwa shimo giza. Lakini bàadae nikieda kumuokoa nikakuta ina upana na mwangaza na maji masafi sana nikamuokoa
@revpeternjihia2 жыл бұрын
@salimah lokoh karibu Sana na ukumbe Ku. Subscribe Kwa hiii channel. Moto atapitia changa Moto mingi na Giza maishani , ila ndani ya hayo lmatatizo atatoka .maji ni baraka,mwangaza ni utukifu wa mumg
@sophiajacksonjacksonmeshac1468 Жыл бұрын
Nimeota nimetumbukia shimon lakin skufika chin nilikomea hewani nikatoka na shimo lilikuwa na harufu mbaya nilitoka nalia japo skufika chini
@violetkazira60922 жыл бұрын
Mimi nimeota watoto watano wametubukia kwa shimi na mmoja akabaki
@malickmakapa-sp3ez Жыл бұрын
Bwana asifiwe mchungaji mi nimeota nipo shimoni nafanya shuuli za ucbimbaji madini sina madini lkn ndo nayatafuta na nlikuwa najaza udongo ktk chombo mwenzangu anavita juu baadae nikatoka cjapata madini nilishtuka tunapanga kurudi tn shimoni
@francisdonald42982 жыл бұрын
Pia niliota nimeota katani
@YassinMudy Жыл бұрын
Naota nipo ndani ya shimo na siwezi kutoka
@miriambashiri2009 Жыл бұрын
Baba nimeota natoka ndani ya shimo
@marybrison55049 ай бұрын
Nimeota nipo shimon na ndani ya shimo kuna maji machafu..je ina maana gan
@JasminJafar-sd4wk24 күн бұрын
jaman hata mm hvyo 😢 hvyoo lakin nimeokolewa nikatoka
@rosyyas10882 жыл бұрын
Na ukioda uko kwe maji mengi jafu
@revpeternjihia2 жыл бұрын
Rosyy nimefanya video kuhusu maji mangi angalia video zangu. But inategemea hayo maji yalikubeba ama ulivuvu? Kuwa kwa maji ni majaribu ,unaitaji kuomba sana.
@justuskatana17432 жыл бұрын
Niliota nikiwa ni mekalia kando ya shimo na kulikua na rafiki yangu mmonja alifariki tukiwa vinjana na huyo rafiki akufuraia vile sikuingia
@revpeternjihia2 жыл бұрын
Shukuru mungu hakuingia ndani ya shimo, hiyo ilikuwa roho ya kifo , alitaka umfwate.