Kutoka jela hadi kuwa Rais mpya wa Senegal: Mfahamu Bassirou Diomaye Faye mwenye miaka 44 tu

  Рет қаралды 25,024

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 32
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 6 ай бұрын
Huyo ndio Mungu sasa anakutoa chini anakuweka juu Mungu atabaki kuwa Mungu tuuuu
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 6 ай бұрын
Imani za kitanzania bwana, yaani maana ake hata viongozi wa Tanzania nao wamewekwa na Mungu?
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
​ MUUMBA NDIOOO MUAMUZI WA KILA KITU KIUFUPI KILA KITU HAKIWEZ KUTIMIA BILA YEYE KUTAKA JPM ALITAMAN KUMALIZIA MUHULA WA PILI LAKINI MUUMBA HAKUTAKA AKAMCHUKUA
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 5 ай бұрын
Kabisa
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 6 ай бұрын
Sipati picha hao walio mkamata na kumfunga ase😂😂😂
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 6 ай бұрын
Aibu tupu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 6 ай бұрын
@@FahadAbubakari ase Kuna vitu tunatakiwa kujifunza Sana
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 6 ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658 Africa siasa za chuki fitna na kukomoana mpinzani anachukuliwa kama adui
@Mkombozi255
@Mkombozi255 6 ай бұрын
Bongo mna kitu cha kujifunza na chaguzi zenu za Aibu 😮
@MussaKulanga
@MussaKulanga 6 ай бұрын
Bado bongo tu siku ikiondoka CCM Uhuru wa kweli utapatikana
@sadajuma6714
@sadajuma6714 6 ай бұрын
😍future is youth
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 6 ай бұрын
Wafaransa wametimba kenge kabisa
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 6 ай бұрын
Hii asiione mbowe 😂😂
@Zuu673
@Zuu673 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila wewe nitakufinya😂😂
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 6 ай бұрын
😂😂😂
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 6 ай бұрын
​@Zuu673 😂😂😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 6 ай бұрын
@@ArafaAmirAmir-ci7ld dah nimejua kucheka watu wanananeno kweli
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 6 ай бұрын
@@Zuu673 me mwenyewe nimecheka sana sijui wanatowa wapi maneno
@RichWise671
@RichWise671 6 ай бұрын
#SnS #Sky_Walker Please bring him to us on #Makala_360
@BunzarMarco
@BunzarMarco 6 ай бұрын
Kuna kitu cha kujifunza hapa👏👏
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 6 ай бұрын
Haina maana kua atakua Rais bora. Anaweza kua Rais mbabe
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 ай бұрын
Kama Hyo Senegal Ni Nchi Ya Afrika Basi Tusahau Kuhusu Maendeleo Ata Iwe Rais Katoka Kaburin Na Ilo Jambo La Kutangazwa Pia Tusijipe Matumain
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 6 ай бұрын
Kwann mzee
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658 Afrika Haiwez Kujiendesha Broo Bila Wazungu Na Wao Ndio Wanatupangia Nani Awe Mtawala Na Ukiona Wamekupa Nchi Basi Kuna Kitu Wanahitaj Tena Nikuona Sisi Tunawaomba Wao Msaada Kila Siku Na Ukienda Kinyume Tu Wanakuindoa Kivyovyote Vile
@umelamedia
@umelamedia 6 ай бұрын
My Brother SKY❤
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 6 ай бұрын
Wafaransa matumbo joto😢
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 ай бұрын
Hamna huyu ni kawaida tu Othman Sonko ndio alikua shida na ndio maana wamefanya kila wawezalo asiwepo. Huyu tayari Macky Sal kesha mmpa masharti Ya boss mfaransa. Safari yake Ya kwanza utaona ni Paris kwenda kumwaga wino
@Donrugi
@Donrugi 6 ай бұрын
💪💪
@bensonkyalo6382
@bensonkyalo6382 6 ай бұрын
Big win , all the best
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 6 ай бұрын
He should join the sahel group forces
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 6 ай бұрын
✔️✔️
Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye ni nani?
3:32
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 49 МЛН
Kiongozi wa Hamas huko Lebanon auawa kwa shambulio la Israel
2:41
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2,2 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19