Pamoja na hayo,nafikiri Jeshi la polisi mngekuwa mnakamata mafisadi wa nchi hii mkishirikiana na Takukuru, inchi ingenyooka.
@noorbazaar90633 ай бұрын
Watakuŵa wanaingilia kazi za wengine.
@RaymondZindah-ow7wr3 ай бұрын
Polisi mnatengeneza mabo ya uongo Ili kumzuga president. Mme jaa unafki sana.
@ndukulusudikucho_3 ай бұрын
Kazi nzuri saana jeshi la Polisi, wanatumia mitandao vibaya saaana na kuleta fitna na taharuki
@IsmailLugenge3 ай бұрын
Ni vizuri sana kwà jeshi la polisi lakini ombi langu taharifa hizi tupate majibu yake pia na kuhusu makosa ya mtandaoni Kuna hitajika namba inayo husiana na tatizo hili namba ambayo ni ya moja kwa moja na kitengo mahalumu Cha makosa ya mtandaoni na sio kama tcra wao namba Yao inafanana na ya mitandao ya simu ya 100 asa hii aisahjdii kitu
@MaxCharles-wj5dg3 ай бұрын
duh tz yangu
@MichaelNdelema3 ай бұрын
❤JPM✋
@AllyHassan-e2m3 ай бұрын
Siku jeshi letu la police likitia mafisadi wanchi yetu ambao wanapoteza mabiloni ya fedha nitafurahi sana
@Worldunite3 ай бұрын
Makamba hatumpi kura
@rogerabdallah4393 ай бұрын
Amna kazi za kufanya
@MjumbeAgano3 ай бұрын
Wanahitaji Neno la wakati kwa mjumbe wa agano duniani ili waikolewe na mambo mabaya.
@johandavid73893 ай бұрын
iv ana kisikia anachokisoma au ameandikiwa tu
@philemonmagesa55483 ай бұрын
Namm nimemuona kama wewe
@fadhilimoshi57543 ай бұрын
Shida kubwa ni kwamba mapolisi mmekuwa wanasiasa mnaacha majukumu yenu na kulinda viongozi mafisadi ni hivyo tu.
@herie16m3 ай бұрын
Sioni titles zikiendana na simulizi Anyway Sioni tija
@loner_wolf3 ай бұрын
Aliyemsaliti mwenzio unamuamini vip ? Wote problem wache wasalitiane .
@AyubuHeshima3 ай бұрын
Hamna lolote Kuna mafisadi wanapiga mabilioni mnajifanya hamuwaoni ila vibaka kama hao munawaona halaka. Labda kwakuwa wanakula pekeyao
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Kumbe mnajiweza polic kukamata watu je nawale wanoitwa wasiyojulikana vipi msiwakamate maana.wanateka watu watoto nawakubwa. Au hawatumii sim kwa kaxihizi nalaazimatu wanapigiana sim katikakutekeleza uharamia nao wakamateni tuwajue nawahukumiwe kishelia. . Inshaallah. Allah awapenguvu polic wetu mtende haki
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Hivi huwa najiuliza mafisadi walishatubu hawaibi tena wametubu kabisa sasa tumebaki na dhambi moja tu ya kuwasema waheshimiwa na naona hiyo ndio dhambi pekee iliobaki naona tuelekeze nguvu zetu zote kupambana maana wezi wote wa mali ya umma mafisadi wameshatubu
@BraxedaDomina-xn4zc3 ай бұрын
Acheni kuzuga bhana kamateni mafisadi
@MonicaKaskaz3 ай бұрын
Kumbe yule mtabiri ni wa kweli jamani
@MathayoMulumbi3 ай бұрын
Mtabili yupi huyo
@onesmothimos26353 ай бұрын
Una nikumbusha rock city Mwanza kamanda jumanne pigakazi bila kuchoka
@mmarandu24173 ай бұрын
Mgeamua kuthibiti rushwa kikamilifu taifa lingekuwa tajiri. Uwezo mnao.
@MwazoaMwazoa3 ай бұрын
January Alipotaka urais Aligombea live kila mtu Akamuona.Nakua Ameshakua mwanasiasa mkubwa hakuna Anaepinga.Ila namuona haya mambo yanamkataa ni bora Aelekee kwenye mrengo mwengine wa maisha Aachane na Siasa.Maana mwishowe Atajikuta kubaya ima kwa makosa yake ya kweli.Au kwa kuchomekewa na mahasimu wake.
@gidongailo71743 ай бұрын
Sasa kuna ubaya gani mtu kujipanga ili kugombea Urais. Mbona 2025 wanasisiem wanatakiwa kugombea wengiiiii kama 2015 walipogombea 40+. Tunataka kuona Demokrasia ndani ya CCM inaruhusiwa ili tupate watia nia wengiiii. Wakati sis tukiandaa vichinjio, tunataka kuona watia nia watakaokatwa kwenye michujo ya sisiemu. Ujue raha sana kusikia Nape kakatwa awamu ya kwanza. Makamba kakatwa sasa kabaki Samia😂
@suleimanissa20893 ай бұрын
Kamanda piga kazi, big brain, wewe ndio polisi wa kweli
@davinaheven47943 ай бұрын
Mama Mama Mama yetu. Hatoki ng'oo
@kulewamziray90683 ай бұрын
Wacha mvua imyeshe tuone wapi panavija
@deniccgabriel61533 ай бұрын
Mnashindwa kukamata wanaoiujumu nchi hiii mnakimbilia kumg'oa rais wakati Kuna watu wanaitwa wasiojulikana nao mlikamata wangapi😮😮😮
@jackisonmlaari45563 ай бұрын
Endeleeni kukamata sindio kazi zenu.na msiangqoie nyuma
Hamna maana kabisa msitufanye wajinga jueni tunawachora 2
@JohnSulle-q6p3 ай бұрын
Atoke tu uyo mama
@twalibulomy-cd4zd3 ай бұрын
Mkundu WA bibi yako. Toka magetoni Mkundu wako Tafuta kazi.
@HonestMchau3 ай бұрын
Hapa hata sijaelewa
@jaydon33613 ай бұрын
Ila serikal bana, kamateni watu wenye makosa nyeti, sasa kwel vijana wadogo tu ambao hata chanel Yao ya KZbin Haina wafuatiliji wengi ndo mnna deal nao
@Kahasija3 ай бұрын
7:06 Ww Matatizo acha ujinga hakuna Tanganÿika kuna Tanzania mjinga we😊
@RajabuMkonje3 ай бұрын
Hawa polisi ni chawa wa ccm mshaanza uoga wa uchaguzi
@soka-fx1xp3 ай бұрын
POLISI MNAONEA SANA WATU, KILA KONA HABARI NI JANUARY MAKAMBA KWELI ANAUTAKA URAIS , SASA KWANINI MNAWAKAMATA WATU WAKATI HILO LINAJULIKANA WAZI. UNAFIKILI KWANIN RAIS SAMIA KAMTUMBUA JANUARY MAKAMBA?? ACHENI KUONEA WATU BADALA YA KUCHUNGUZA KAMA TAARIFA NIYA KWELI.
@verdianabanabi22053 ай бұрын
Tena kweli
@JosefuSwai3 ай бұрын
Kweli kaka kitu Kiko wazi halafu wanatesa watu bure
@SamuelKivuyo-t4r3 ай бұрын
Police ni waongo sana. Wanabandika wtu makesi ya kijinga hku wakiacha mafizadi wa mabilioni wa inchi ytu ,
@MasterOil-qm6vw3 ай бұрын
Polisi mumeshindwa kudhibiti utekwaji wa watoto kweli? Mpaka mnatupa jukumu hilo sisi wazazi wakati sisi tunatimiza jukumu letu la kualinda wanapo kua maeneo ya nyumbani wanapotoka nje ya nyumba zao linakua ni jukumu lenu polisi kama mnavyosema kazi ya polisi ni kulinda watu na mali zao sasa inakuaje watoto kila siku wanatekwa na kuchinjwa ?
@twalibulomy-cd4zd3 ай бұрын
Mkundu wako. Acha ufala. Police wapo sawa
@handenitakuru66963 ай бұрын
@@twalibulomy-cd4zd acha usenge we jamaa kafilwe na baba yako huyo jamaa kaongea ukweli
@twalibulomy-cd4zd3 ай бұрын
@@handenitakuru6696 ukweli ni Mkundu wako Tafuta kazi.
@ilynpayne74913 ай бұрын
@@twalibulomy-cd4zd Tanzania nchi ngumu sana😅😅😅😅😂😂😂😅
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
@@twalibulomy-cd4zdkwa mitusi hiyo huifai dunia wala kuzimu sijui uitwe nani maana upo duniani kwa hasala huna faida
@deohaule81613 ай бұрын
Acheni uhuni nyie, acheni kukamata wanyonge badala yake kamateni watu wanao hujumu uchumi wa nchi kwa mabilioni ya fedha na kusababisha umaskini kwa watu walio wengi.