KUTOKA WASHINGTON SEATLE HADI DAR TZ TWENDE PAMOJA ✈️✈️🇺🇸🇺🇸🇹🇿🇹🇿

  Рет қаралды 9,393

ArrivalTv

ArrivalTv

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@trueone_tz
@trueone_tz 8 ай бұрын
Hapo kwenye utangazaji wa nchi tuko nyuma sana sio maraisi wenyewe sio wizara yenyewe iliyolala kabisa hata haijulikani inafanya nini, inaniuma sana naongea na mgeni ananiambia haijui Tanzania 🇹🇿 anaijua kenya the 🥲 Tuamke na wizara pia ziamke
@CalebLema-zx4ig
@CalebLema-zx4ig 8 ай бұрын
Bro bora ww ata ni mzungu mimi kuna mghana nlikua nafanya nae conversation nkamwambia natokea Tanzania akasema embu elezea maana sipajui;
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 7 ай бұрын
Appreciate Dude!!
@robertmgori8165
@robertmgori8165 8 ай бұрын
Ooh wooow just it seems good
@mcback4384
@mcback4384 8 ай бұрын
Mzee downtown sio swagger, downtown ni CBD au central business district like city center mfano downtown ya Dar ni posta sehemu ya katikati ya mji yenye ofisi kubwa kwa Pamoja za mji mzima kinyume cha downtown ni outskirts yaani pembezoni mwa mji vitu vingine muwe hata mna Google
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 8 ай бұрын
Tuuko pamojaa kaka mkubwa ❤❤❤ from Zambia safe journey
@AnthonyMsafifir
@AnthonyMsafifir 8 ай бұрын
Kaka maelekezo yako yapo vizur Sana kazi nzuri Safari njema mungu akutangulie ufike salama
@joshuaamani1384
@joshuaamani1384 8 ай бұрын
Karibu sana Tz brother
@pablomnyama
@pablomnyama 8 ай бұрын
Safari njemaa broo
@tridaxprocumbens6079
@tridaxprocumbens6079 8 ай бұрын
Karibu tena bongo mwanakwetu
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 8 ай бұрын
Safi sana vijana mungu awabariki
@Michellhimself
@Michellhimself 8 ай бұрын
Welcome back mwana kwetu
@naimuothman3493
@naimuothman3493 8 ай бұрын
Pamoja brooo
@CalebLema-zx4ig
@CalebLema-zx4ig 8 ай бұрын
Good content bro wanamwanza tunakusubir!!
@vickymtama8889
@vickymtama8889 8 ай бұрын
Napata inspiration sana🙌🏻
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 7 ай бұрын
Daa mzee pamoja sana kama kunauezekano nipe muongozo nafikaje us angalau nisafishe macho !!!
@ArrivalTv
@ArrivalTv 7 ай бұрын
Uwezekano upo
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 7 ай бұрын
@@ArrivalTv nafanyaje ndugu
@southerntv3500
@southerntv3500 8 ай бұрын
Unyama sana kk
@barickmwikangila6574
@barickmwikangila6574 8 ай бұрын
🗽🗽🗽
@naimuothman3493
@naimuothman3493 8 ай бұрын
Nitakutafuta wewe long life brooo
@AnthonyMsafifir
@AnthonyMsafifir 8 ай бұрын
Hii Safari naitaka sanaaaa ila bado Kuna vikwazo kidogo tu namini unajua kaka lkn namini kila kitu kitakua sawa 🙏🙏
@amoskagika8884
@amoskagika8884 8 ай бұрын
Pamoja Mwanakwetu
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 8 ай бұрын
Tunakuja boss acha tuzichange one day yes
@jacqlinejames7568
@jacqlinejames7568 8 ай бұрын
Safari njema kaka
@trueone_tz
@trueone_tz 8 ай бұрын
🤝🤝🙏🏻
@zabulonhakizimana4386
@zabulonhakizimana4386 8 ай бұрын
Channels mbili zilini inspire Paka nikafanikiwa kusafili wew na EBM Scholars. Am Burundian.
@FedrickMarco
@FedrickMarco 3 ай бұрын
no zako za Whatsapp kwa mazongumuzo zaidi,, mm nko tz mwanza the Rock City
@infosolution1323
@infosolution1323 8 ай бұрын
Seatle huoneshi wanaolala kwenye Tent vilage unaonesha mambo mazuri tu mimi nipo Seatle vivile
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Yes kwa sababu siko kwajili ya negative information siku zote angalia mazuri Mengi kuliko baya moja
@vickymtama8889
@vickymtama8889 8 ай бұрын
Ipo siku nitakatiza hii mitaa🙏
@Zenny89
@Zenny89 8 ай бұрын
Acheni kuwaibia watu bongo..😂 $25 Dollars kwa information zipo Online bure.
@SaidAlly-rt6us
@SaidAlly-rt6us 8 ай бұрын
Kaka nashukuru kwa kunisanua mwana kwetu npo pamoja nawe
@petermabula4492
@petermabula4492 8 ай бұрын
NAitwa peter mabula naomba msaada wako
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
How my I help you Mr Peter
@Adrianmellow
@Adrianmellow 8 ай бұрын
Me natak kujua ukisafir gar unaacha airport au
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Inategema na wewe Ila Kifupi ni kwamba kila Airport kuna maegesho ambayo ukilipia unaacha gari lako
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 8 ай бұрын
We mwanakwetu nakukubali sana lakini nimekuuliza kwenye watsup yako gharama yote mpaka naingia huko ni bei gani hujaniambia mpaka Leo na nataka nikianza mchakato ni moja kwa moja mpaka hapo siato mjomba lakini umenikaushia mpaka Leo unaniangusha mmasai wa ukweli
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Tuma tena ujumbe wako
@paulgitau6055
@paulgitau6055 8 ай бұрын
Nonesence
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 8 ай бұрын
Mmh kutoa maelezo tu dola 25? Kaka hapo umechemsha, bora ungesema hata 5,000
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Wala sijachemsha Niko vizuri tu pia wa Elfu tano wapo Duniani kuna machaguo Mengi wewe chagua kulingana na uwezo wako
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 8 ай бұрын
Business kwani wameenda kunyang'anya mtu pesa mfukoni..
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 8 ай бұрын
Hakuna cha bure...
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 16 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 106 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 58 МЛН
Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
53:50
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Jinsi ya Kusafiri kwa Ndege
11:01
Mazula Abund
Рет қаралды 8 М.
Unajua Bei za Vyakula USA? (Gharama za kuishi USA zipoje?)
11:16
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29