KWANINI MJASIRIAMALI ANAHITAJI KUSOMA VITABU

  Рет қаралды 3,219

Success Path Network

Success Path Network

2 жыл бұрын

Sababu kumi (10) za kwanini mjasiriamali anahitaji kujenga tabia ya kusoma vitabu. Ifahamike kwanza mjasiriamali ni mtu anayehitaji sana kujifunza kila siku kwasababu ulimwengu wa biashara kila siku unakuwa mpya na maendeleo mbalimbali kwahiyo kutojifunza ni kukubali kuwa umeridhika kubaki nyuma.
.
Sasa kitabu ni kitu cha kwanza kinachoweza kumfanya yoyote akawa mstari wa mbele kiufahamu au kielimu kwa maana atakuwa na maarifa na taarifa sahihi nyakati zote. Basi ungana na Ezden Jumanne akichambua mambo mambo 10 yanaoonesha dhahiri umuhimu wa mjasiriamali kujenga urafiki na tabia ya kusoma vitabu, kama tabia yenye faida na manufaa makubwa.
.
Nini umejifunza katika episode hii? Tafadhali andika mawazo yako chini kwenye comments.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
HAMASA YA LEO👇🏽
/ hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
/ @youtubepesa255
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
/ @footballskill01
.
TUWASILIANE ZAIDI HAPA:
Kwa mahitaji ya kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
Kama unahitaji Voice-over (English & Swahili).
Kujiunga na group la vitabu (Whatsapp & Telegram).
Kuwasiliana na Ezden Jumanne kwa huduma zaidi.
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#mjasiriamali #anahitaji #vitabu

Пікірлер: 10
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 2 жыл бұрын
Assalam alykum, ungekuwa Kenya ningekupromot Sana Kwa vitabu napenda Sana kusoma.... maisha bila vitabu sio maisha wallah... ubarikiwe ndugu mpaka ushangaee👏👏
@habibismael4937
@habibismael4937 2 жыл бұрын
Waow asante Bro love from Burundi and God bless you
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@mussadismass9306
@mussadismass9306 2 жыл бұрын
Nakukubar san Kaka ezden nimejifunza kuona kitabu nichasamani kwakila mtu
@demarcusideka1506
@demarcusideka1506 2 жыл бұрын
hiyo nyuma ni background...😎😎 nimeipenda naipataje
@bakarimkundi9570
@bakarimkundi9570 2 жыл бұрын
I gat yue bro
@matendoandrewmgeni1135
@matendoandrewmgeni1135 2 жыл бұрын
The Tanzanian standard 7 president hapa Dah... Hii ya kuto ku judge MTU aisee kumbe WATANZANIA WENGI wanabahatisha sio wafanyabiashara walah maana Mimi naongoza kwa kua simple hata niwe na shingapi sasa hua naona ambavyo wafanyabiashara wanadharau ukihitaji HUDUMA...hahahaha Asante Kaka ezden...naenjoy kukusikiliza Ila umetususa Sana na program yetu😂😂
@kibandamodern
@kibandamodern 2 жыл бұрын
Kama una group niunge nnashida broo
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 2 жыл бұрын
Currently nimesoma vitabu hivi * QURAN this is forever and always🤗 * Don't believe in defeat * Power of positive thinking by Norman Vincent Peale *Expect the best and get it *how to get customer to like you ☺️
@mudathirrashid8503
@mudathirrashid8503 2 жыл бұрын
na je sisi wengin tunaosoam na tunaandil kupitia cm
FAIDA ZA KIAFYA ZA KUJICHANGANYA NA WENGINE
21:34
Success Path Network
Рет қаралды 11 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,3 МЛН
7 LESSONS People Learn Too Late In Life
21:22
Success Path Network
Рет қаралды 38 М.
IMANI NA UFAHAMU (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:06:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 6 М.
MJENGEE MWANAO TABIA YA KUSOMA VITABU
14:34
Success Path Network
Рет қаралды 2,7 М.
Ep : 5 I Jain Philosophy: An Introduction I Dr Vikas Divyakirti
3:29:27
Vikas Divyakirti
Рет қаралды 4,8 МЛН
English Conversation; Learn while you Sleep with 5000 words
3:01:48
Zen English
Рет қаралды 25 МЛН
Kama Umekosa Ajira, Jiajiri Kwa Njia Hii
10:26
Success Path Network
Рет қаралды 863
3 Hours for the NEXT 30 Years of Your LIFE | Best Motivational Speeches
3:29:50
ZAWADI YAKO TOKA KWA DENIS MPAGAZE
10:15
Success Path Network
Рет қаралды 3,9 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42